MAKONDA AITISHA KIKAO CHA DHARURA NA RPC, ACHUKIZWA na MADAI ya KUSHINDWA kutekeleza KUSIMAMIA KESI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 18

  • @sarasaraz-vn1vl
    @sarasaraz-vn1vl 12 วันที่ผ่านมา +7

    Ndugu zangu kwa dini yoyote ile tumwombe MUNGU aweke ulinzi kwa makonda huyu kaka amejitoa kama sadaka kwa wanainch wake yani hii ni zaidi ya hata hiyo huduma anayofanya EE mwenyezi MUNGU tunaomba ulinzi kwako kwa makonda🤲

  • @hbdina
    @hbdina 12 วันที่ผ่านมา +5

    🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Baba Mungu Jehovah tusaidie nchi ya Tanzania baadhi ya viongozi kwenye taasisi zote za serikali pamoja na jeshi la Polisi hawatufai

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi 12 วันที่ผ่านมา +4

    Viva Comrade PCM🤝🤝🤜🤛👏👏👏👏👏👏

  • @husseinbachwa8372
    @husseinbachwa8372 12 วันที่ผ่านมา +4

    Hakika watu wote awa wanakusanyika kwa kuwa na matumain yako mkuu ..

  • @maharagendondo
    @maharagendondo 11 วันที่ผ่านมา +3

    MAKONDA, WW KIONGONZI HUKUZALIWA UMESHUSHWA KAMA MALAIKA HAITA TOKEA MKUU WA MKOA KAMA WW TANZANIA HII

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt 12 วันที่ผ่านมา +2

    Duuu ivi jamani nyie mnaolipwa pesa na serikali mbona atendihaki makonda hawa watu nikupiga Mikasa tu

  • @AhmedAdan-po5ps
    @AhmedAdan-po5ps 12 วันที่ผ่านมา +2

    Hawa watu wanaolawiti watoto jamani serekali hichukuwe hatuwa ya kunyonga

  • @eidalapac4120
    @eidalapac4120 12 วันที่ผ่านมา +1

    Mkuu wa wilaya😢

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 12 วันที่ผ่านมา +1

    Dc wako anashida hafai hicho kiti

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c 10 วันที่ผ่านมา

    Mkuu wa wilaya anaomba na yy asaidiwe na wananchi mh hi ndo tanzania makonda unajitahd sana kufanya kazi lakn wakwamishaji ni hao hao watendaji wako napata mashaka hata cliniki yako mengi inawezekana hayajafanyiwa kazi kama kesi yakulawitiwa haijafanyiw kaz na mkuu wa wilaya alisema hadharini imefanyiwa kaz vp hayo mengne? Daa

  • @Hbk206
    @Hbk206 12 วันที่ผ่านมา +2

    Tz yani uyu jama awezi kuja Congo akawa rais ata kwa mukopo? Au tukawapeni ata wachezaji kaza

  • @graysonmatali644
    @graysonmatali644 12 วันที่ผ่านมา

    Creator uliyeipakia umekuwa n wa hovyo

  • @damaspmtz1018
    @damaspmtz1018 12 วันที่ผ่านมา +1

    Ila aliye sema kuwa Rais aongelei swala hili la Ushoga na ulawiti wa watoto alifungwa kwa kukosa milioni tano mpaka watu wamemchangia ndiyo ametoka lakini Rais kanyamaza je, haya mambo anayafurahia

    • @David-if6nk
      @David-if6nk 11 วันที่ผ่านมา

      Ndio

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 11 วันที่ผ่านมา

      Wee una uhakika kweli rais hajawahi kuongelea inshu ya ushoga na ulawiti?

    • @David-if6nk
      @David-if6nk 11 วันที่ผ่านมา

      @@tazrywiser5126 Aliongelea ila kwa kulihalalisha namnukuu "fanyaneni wakubwa kwa wakubwa"