Mwakyembe alivyo mtaja Lowassa Bungeni sakata la Richmond

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @BeatriceShilla
    @BeatriceShilla 10 หลายเดือนก่อน +3

    Tatizo ilikuwa u wazri mkuu pumzika Kwa Amani Edward Lowasa

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mwekyembe tunakumiss sana bungeni hakika kwenye serikali zote ulikuwa waziri bora kabisa kuwai kutokea japo hii ilipelekea kuwa na watesi wengi walitaka hata kuutoa uhai wako lkn hakika mungu alikuwa mwema kwako

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mtukufu ni Mungu pekee

  • @azizimangara9024
    @azizimangara9024 10 หลายเดือนก่อน +5

    Kuna watu wanasema mwakyembe alikuwa anatamani uwaziri mkuu, hili Alina mashiko, UKIMFATILIA Mwakyembe akiwa bungeni huwa mzarendo na ananyooka sio hili la Richmond Tu hata kwenye mijadala mingine Mwakyembe huwa ananyooka anaongea wazi. Wewe mfatilie krip zake. Iliperekea mbaka kawekewa mambo furani kwenye tauro. Ukiona mtu anataka kupotezwa ujue kawakaria kooni. Mwakyembe alikuwa mzalendo

    • @PhilibetLadislaus
      @PhilibetLadislaus 9 หลายเดือนก่อน

      Awe hata Spika tu akina mama wanaogopa kusutana hadi kuuza bandari yetu

  • @alvangidion9366
    @alvangidion9366 6 ปีที่แล้ว +2

    Big up mr mwakyembe and mwana sheria

  • @mussamussamussa8444
    @mussamussamussa8444 7 ปีที่แล้ว +2

    Hongera mwanasheria mkuu kwa kweli inabidi uwafahamishe SSi tunataka maendeleo na maendelea tut atapata kupita ccm mungu ibariki Tanzania mbariki na Rais wetu

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +2

    We miss you in the parliament!!!

  • @PhilibetLadislaus
    @PhilibetLadislaus 10 หลายเดือนก่อน +1

    Siasa za Tanzania ni tatizo jambo lililofanyika kwa manufaa ya taifa linaelezwa katika hali ya kumchongisha mtu na jamii za kuendeleza chuki zinazomfanya asiweze kushiriki katika mambo ya jamii.Kwa hali hii Polisi, Hakimu na fani zingine watu wake wanapata shida kushiriki na jamii.Waziri wape Semina wajue wajibu wao kutofautisha muda sahihi kwa matumizi sahihi.

  • @GraceHezekia
    @GraceHezekia 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mwakembe huyu n rabish y kiongozi

    • @PhilibetLadislaus
      @PhilibetLadislaus 9 หลายเดือนก่อน

      Unafurahia Richmond Elimu ni ukombozi si kuiba angeenda kuna fursa sio kutunyonya sisi maskini

  • @BungaAbdallah-f1o
    @BungaAbdallah-f1o 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mwakyembe ni moja kati ya walio tamani nafazi ya waziri mkuu

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 10 หลายเดือนก่อน +2

    I will never believe CCM

  • @petrolukumay6627
    @petrolukumay6627 6 ปีที่แล้ว +1

    Thanks you

  • @Gsamir694
    @Gsamir694 10 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana baba Harrison mwakyembe

  • @allytauka8196
    @allytauka8196 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hiv yuko wap huyu mzee sas hiv

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 10 หลายเดือนก่อน +1

    Leo lowassa tunaambiwa ni shujaa na hakuhusika na Richmind😂

    • @Frankgamanuel
      @Frankgamanuel 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe unasemaje?...

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 10 หลายเดือนก่อน +1

      HAIFAI KUMSEMA VIBAYA MAREHEMU. HATA WEWE UKIFA HIVYO HIVYO. KIFO NI JAMBO ZITO.

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 10 หลายเดือนก่อน +1

    Duh..!?

  • @ignasnyembo1256
    @ignasnyembo1256 10 หลายเดือนก่อน +2

    Leo wewe upo wapi?

  • @medadiclement7335
    @medadiclement7335 7 ปีที่แล้ว +2

    musikate tamaa serikali yangu wazalendo tupo nyuma yenu

    • @kessykessy950
      @kessykessy950 7 ปีที่แล้ว

      Medadi Clement rais anafanya kazi nzuri sana pamoja na watendAji wake

    • @kessykessy950
      @kessykessy950 7 ปีที่แล้ว

      jaman rais akifanya mazuri watu wanachukia wanataka tufanye nn ili tuwaletee wananchi maendeleo baba endelea kutuletea maendeleo

  • @DavidMwaga-e4z
    @DavidMwaga-e4z 10 หลายเดือนก่อน +1

    Akika alikuwa mzalendo

  • @sadickmponyamilly
    @sadickmponyamilly 7 ปีที่แล้ว +2

    pelekeni sasa ushahid il sakata la #Richmond liishe bhanaa aaah

    • @owennyorido1876
      @owennyorido1876 7 ปีที่แล้ว

      utakesha Sana KAKA Kama matusi ndio ungozi 2020 mtaongoza

  • @AbrahamSekuza
    @AbrahamSekuza 9 หลายเดือนก่อน

    Makyembe na wewe si yamekupata?

  • @agnesmbogo3753
    @agnesmbogo3753 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mwakyembe ni mnafiki

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 10 หลายเดือนก่อน

      Unafiki wake nini?

    • @leonardchoma3765
      @leonardchoma3765 10 หลายเดือนก่อน

      Mwakyembe ana unafiki gani?Watu kama Mwakyembe ni wachache Sana katika nchi yetu.

    • @HabariPunde
      @HabariPunde 10 หลายเดือนก่อน

      Unafiki wake ni upi?

  • @mussamussamussa8444
    @mussamussamussa8444 7 ปีที่แล้ว +4

    Wapinzani kwa stori hii ya mr mwakyembe kwa kweli 2090 labda ndio kutuongoza chadema

    • @sadickmponyamilly
      @sadickmponyamilly 7 ปีที่แล้ว +1

      Sharifs Mussa wewweee kaaa hvohvo tyuu kwa taarfa yko 2020 #Chadema madarakani

    • @dickluckyvictor6571
      @dickluckyvictor6571 7 ปีที่แล้ว

      Mussamussa Mussa ww utaotaaaa 2020 imooooo

  • @makibadatela7865
    @makibadatela7865 10 หลายเดือนก่อน

    Watu wa Jimbo lake walitambua hawafai wakamkataa Mwakyembe, Mnazani nyei mnamfahamu zaidi yao? Haya yote walijionea zamani,wakamwaga. Uzalendo huanzia nyumbani.