Tundu Lissu ndani ya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • #ChademaTanzania #TunduLissu #Uchaguzi2020.
    Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
    Subscribe to our TH-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
    Facebook : bit.ly/2KeQNl3
    Twitter : bit.ly/2XG7aii
    Instagram : bit.ly/34KItmg

ความคิดเห็น • 2K

  • @charlesmwisera7175
    @charlesmwisera7175 4 ปีที่แล้ว +70

    Kweli itv super brand nimekubali

  • @makalangele6229
    @makalangele6229 4 ปีที่แล้ว +61

    One of the best 45 minutes in ITV conversation ever.

    • @anithangao6564
      @anithangao6564 4 ปีที่แล้ว +1

      Ww mtangazaji uwa nakupenda sana unamakuu na mtu wala ubaguzi wa vyama big up faraila japo jina lako gumu kama nimelikosea nisamehe bure mamy

  • @elisantennko7811
    @elisantennko7811 4 ปีที่แล้ว +31

    Ilove you lisu ilove you sera zako na chadema kwa ujumla✌✌✌✌💕💕👌

  • @lwitikomwalwembe2116
    @lwitikomwalwembe2116 4 ปีที่แล้ว +37

    Da nakwerewa mzee uko saii na unaereweka tuko pamoja na tunakuombea .mungu akujarie🙏🙏🙏🙏🙏

  • @anchelouskyaruzi5913
    @anchelouskyaruzi5913 4 ปีที่แล้ว +42

    Genius sana huyu jamaa maana

  • @philesongella1700
    @philesongella1700 4 ปีที่แล้ว +100

    That man l understand very much ..Tanzanian people proud that you talking

    • @meryshomi1738
      @meryshomi1738 4 ปีที่แล้ว

      Jisemee wewe di wtz wote

    • @philesongella1700
      @philesongella1700 4 ปีที่แล้ว +3

      @@meryshomi1738 yupo mwingine mjenga hoja kama huyu acha aje mropokaj wenu uone atakavyofoka kweny speech huy big up sana

    • @davidjovinary4696
      @davidjovinary4696 4 ปีที่แล้ว +2

      Real, deal done!

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 4 ปีที่แล้ว +3

      @@meryshomi1738 Na jisemee wewe sisi tunampenda Lisu. Usituletee ujinga

    • @promramson80
      @promramson80 4 ปีที่แล้ว +1

      Brave man

  • @edinageorge7398
    @edinageorge7398 4 ปีที่แล้ว +68

    Nimekuelewa Saana lisu mungu akutangulie uwe raisi wetu tz

    • @zaynabnyamsingwa3830
      @zaynabnyamsingwa3830 4 ปีที่แล้ว

      Nisaidie moja ulilomuelewa ambalo linamfanya awe rais please🙏

    • @neemamahenge376
      @neemamahenge376 4 ปีที่แล้ว

      Mungu atuonekaniee wa tz

    • @RajabuOmar-er2lp
      @RajabuOmar-er2lp 23 วันที่ผ่านมา

      @@neemamahenge376 /zw0⅓21.

  • @silasponeka1773
    @silasponeka1773 4 ปีที่แล้ว +56

    Uko vizuri mtangazaji nakupenda

    • @meryshomi1738
      @meryshomi1738 4 ปีที่แล้ว

      Wew ndo unampenda si wote, don't generalise

    • @denisstameza-unitedstates3668
      @denisstameza-unitedstates3668 4 ปีที่แล้ว +1

      Mery ..limekukaba dada

    • @ShawnBeatz
      @ShawnBeatz 4 ปีที่แล้ว +1

      @@denisstameza-unitedstates3668 limemkaba mno

    • @renatusmatungwa6800
      @renatusmatungwa6800 3 ปีที่แล้ว

      @@meryshomi1738 nyie wanawake ni mashetani sasa mwanahabari kakukosea nn mpk umchukie?

  • @hamishamis8872
    @hamishamis8872 4 ปีที่แล้ว +58

    Asante sana ITV asante sana mheshimiwa Lisu

  • @ImpressiveFacts
    @ImpressiveFacts 4 ปีที่แล้ว +276

    Kama umeona vijana wa lumumba walivyonywea katika post hii kwa kushindwa kujibu hoja za lissu. gonga like

    • @kobelochamanga9757
      @kobelochamanga9757 4 ปีที่แล้ว +3

      Vijana wa lumumba wanamuelewa.lisu ila kura ni siri

    • @lucasiseleman950
      @lucasiseleman950 4 ปีที่แล้ว +1

      Hongera

    • @nestorycosmas5717
      @nestorycosmas5717 4 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna aliyenywea, hatuna muda wa kusikiliza mashudu...😅😅

    • @adamsibora4290
      @adamsibora4290 4 ปีที่แล้ว

      Kinyecc

    • @sportsmantv8397
      @sportsmantv8397 4 ปีที่แล้ว

      Mimi sio kijana wa lumumba lkn sio lumbukeni kudanganywa bima ya afya kwa kila mtanzania bila kupandisha Kodi mara 7

  • @saidkibwitis240
    @saidkibwitis240 4 ปีที่แล้ว +58

    Jamaa yuko vzr sanaa

  • @ramadhanisudi4104
    @ramadhanisudi4104 4 ปีที่แล้ว +77

    Mh Lisu yupo vizuri hongera

  • @nyikanyika9624
    @nyikanyika9624 4 ปีที่แล้ว +72

    The Genius Mastermind

  • @geraldeliona7657
    @geraldeliona7657 4 ปีที่แล้ว +50

    lisu is next level

  • @vailethnsaji6834
    @vailethnsaji6834 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni Itv kwa ujasir uyu jamaaa alitumwa kwel kusoma na alizngatia Mungu Azid kumpgania

  • @alphajongo9225
    @alphajongo9225 4 ปีที่แล้ว +264

    Gonga like kama umegundua mtangazaji kamkubari tundu lisu

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +2

      😆😆😆😆😆

    • @josephlaurent6174
      @josephlaurent6174 4 ปีที่แล้ว +1

      Wandishi wa wahabar wachochez2

    • @spicarkilapilo
      @spicarkilapilo 4 ปีที่แล้ว

      Hajamkubali ni maadili ya kiuandishi tu hayo. Neno gani alilosema la kumkubali? Hizo ni hisia zako

  • @edsonmbilinyi8551
    @edsonmbilinyi8551 4 ปีที่แล้ว +82

    Very intelligent man...hongera TUNDU...unastahili

  • @lukaseme5900
    @lukaseme5900 4 ปีที่แล้ว +47

    Lissu ✌️ ✌️✌️

  • @maulidmtowi3937
    @maulidmtowi3937 4 ปีที่แล้ว +115

    Uhuru,haki na maendeleo ya watu ni point mhimu sana.
    Haya yote unaweza kuyatafsiri kwa mapana sana kama ukiwa hauna ushabiki wa bendera fuata upepo
    Yupo very right👏👏

    • @iqramiddy4676
      @iqramiddy4676 4 ปีที่แล้ว

      King of jungle

    • @zeddybass6672
      @zeddybass6672 4 ปีที่แล้ว

      Kabsa

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 ปีที่แล้ว +1

      Uhuru upi sasa jamani, tuko social media, asiyesali msikitini au kanisani ni yeye mwenyewe tu. Kukosoa kila mmoja akosoe lakini akumbuke na anaekosolewa ana maoni yake. Kurekebisha mfumo wa Elimu ni zaidi ya miaka 40. Tatizo la Tanzania viongozi wetu hawana "shared vision" hata ndani ya Chama kimoja hii itatuchelewesha sana.

    • @rajabumuya4680
      @rajabumuya4680 4 ปีที่แล้ว

      @@hajihassan5433 we shekh kabisa jina lako linasomeka vizuri unauliza Uhuru upi wakati unajua mashekhe wa uamsho wanamiaka Saba mahabusu no kesi embu fungua DW born leo uisikilize hiyo kadhia

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 ปีที่แล้ว +1

      @@rajabumuya4680 Duniani kote ukiwa na tuhuma ya baadhi ya makosa kama UHAINI iwe kweli iwe sio kweli utapata tabu sana. Kama Uhuru Mhe. Magufuli ndie amewatowa jela watuhumiwa wengi wa makosa ambayo hayana dhamana kisheria, UAMSHO ni kosa la Wazanzibar wenyewe ndio walioweta huku Tanganyika bila kosa lakini usisahau .Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar alikuwa .Maalim Seif na Waziri wa Katiba na Sheria ambae ana mamlaka ya kuondosha kesi Mahakamani alikuwa Mhe. Abubakar Khamis Bakari kutoka huko huko upinzani. Wapinzani Tanzania wakifanya siasa kama wanavyofanya sasa watachewa sana kuiondoa CCM.

  • @gjoisso3347
    @gjoisso3347 4 ปีที่แล้ว +102

    This is a wonderful I like him my fellow tanzanians please and please vote for this Man he is very intelligent and he knows what he doing✌️✌️✌️✌️✌️

    • @estherminnahboaz6956
      @estherminnahboaz6956 4 ปีที่แล้ว

      Its a must🔥🔥✌✌

    • @kingkiba7205
      @kingkiba7205 4 ปีที่แล้ว

      He is not going to win

    • @fanuelyngajilo6107
      @fanuelyngajilo6107 4 ปีที่แล้ว

      Politician_politician but magu h's one of the leader's in afrca

    • @veeJesus
      @veeJesus 4 ปีที่แล้ว

      Vote ureself na warombo wenzio

    • @rhodadaniel8980
      @rhodadaniel8980 4 ปีที่แล้ว +1

      He is going to win

  • @edgercriss5800
    @edgercriss5800 4 ปีที่แล้ว +78

    Lissu is very intelligent.

  • @lightm2225
    @lightm2225 4 ปีที่แล้ว +120

    Kwakweli Mungu niwajabusana tudulisu ni muujizaunaotembe Mungu anamakusudi na lisu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @ImpressiveFacts
      @ImpressiveFacts 4 ปีที่แล้ว +2

      Angekuwa mwingine baada ya kupona angeunga juhudi. But huyu jamaa ni mpango wa Mungu

    • @Shabama854
      @Shabama854 4 ปีที่แล้ว +4

      Huyu ndio anatakiwa Raisi wa Tanzania

    • @rehemaissa6145
      @rehemaissa6145 4 ปีที่แล้ว +2

      Lisu Ana mungu ndani yake kwanza hata muonekano wake anapendeza kwa Raisi was TZ

    • @lightm2225
      @lightm2225 4 ปีที่แล้ว +1

      @@rehemaissa6145 naiwehivinyo. Kamaaliyopona kimiujiza aingie ikulu kwa muujiza pia itapendeza🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @esaumwakyami8714
      @esaumwakyami8714 4 ปีที่แล้ว +2

      Nelson Mandela amefufukia Tanzania kupitia Tundu Lissu

  • @hamisiramadhani8661
    @hamisiramadhani8661 4 ปีที่แล้ว +74

    Lisu shikamoo

    • @emanuelmhoja2411
      @emanuelmhoja2411 4 ปีที่แล้ว

      Marahaba

    • @rehemaissa6145
      @rehemaissa6145 4 ปีที่แล้ว

      @@omaryhassani9626 😀😀

    • @yohanachimama7839
      @yohanachimama7839 4 ปีที่แล้ว

      Mungu tusaidie wewe ndio uliumba tupate rais ambaye atatoa ajira .kutoonea watu kwani uliwaumba wewe

  • @robathzingu1650
    @robathzingu1650 4 ปีที่แล้ว

    Duuh, this is one of the best interview the ITV had made. Na nadhani ni kutokana na aina ya mtu anayehojiwa kuwa mtu mwenye ufahamu wa kutosha na anayejua kujieleza kwa lugha rahisi yenye kueleweka. Asante sana ITV, asante sana Tundu Lissu. Nakuombea ushinde na uwe Rais wa nchi. You deserve it...!!

  • @tamimwatamim3427
    @tamimwatamim3427 4 ปีที่แล้ว +37

    Umeongeya Point Lisu Sanatu..
    Kwa Wale Wenye Akili Mzr Watakufaham..
    Maana Kuna Wengne Hata Maana Ya Uhuru Hawajuwi .

    • @ideissamwashi9101
      @ideissamwashi9101 4 ปีที่แล้ว

      Nikwel kaongea point kumbuka mfanya biashara ukimwambia umempauhuru nikwamba hutopata kod yeyote serekalin utawezaje sasa kununua madawa kusomesha kulipa madoctor walim nawengine? sikuzote kuongea nirahis kuliko kutenda kuweza kuzibit fedha ndokutaisaidia nchi kuwa namiundo mbinu ambayo lisu anatuambia usipo kusanya kod utaishiwa kujengewa kwa misaada kama kipind chakikwete

  • @boniphacekitege6370
    @boniphacekitege6370 4 ปีที่แล้ว +67

    Walikupiga risasi 16 mwilini wakaacha kichwa.leo nafurahia uwepo wako mh tundulisu.Mungu akujaalie katika Safari yako ya uraisi

  • @tamimwatamim3427
    @tamimwatamim3427 4 ปีที่แล้ว +12

    You are professional Lawyer Mh.Tundu Lisaa..You know exactly what you are talking about.👌🏾

  • @goodluckyabsalom516
    @goodluckyabsalom516 4 ปีที่แล้ว +163

    Mimi had machozi yananitoka ya furaha nataman sana uwe Rais wa nchi yangu..♥️

    • @masoudkombo3976
      @masoudkombo3976 4 ปีที่แล้ว +11

      Tanzania mzima mm naamini hakuna Kama lisu huyu ni zaidi ya kiongozi watanzania sijuwi wanafeli wapi

    • @andrewlkashusha135
      @andrewlkashusha135 4 ปีที่แล้ว +4

      Hata mimi, ana future plan nzuri sana!.

    • @shabaniguma8696
      @shabaniguma8696 4 ปีที่แล้ว +3

      Kweli kabisa

    • @rehemaissa6145
      @rehemaissa6145 4 ปีที่แล้ว +2

      Ana mungu ndani yake

    • @goodluckyuisso606
      @goodluckyuisso606 4 ปีที่แล้ว

      Atakuongoza wew

  • @sylvanolufunyo8779
    @sylvanolufunyo8779 4 ปีที่แล้ว

    It was verynice Period !!!!!!😎😎🤠🤠😁😁🤗🤓😁🤓🤔 Busara sana Farhia, Salute sana sana kwa Rais mtarajiwa muheshimiwa Tembo Tundu Antipasi Lissu, uliyemiminiwa lisasi lukiki yaani 16 mtawaliwa zote zilizama mwilini bila kupoteza uhai, Ajabu sana tena inatakiwa uwekwe kwenye maajabu 7 ya Dunia, kwani kwa hakika hakuna mtu au kiumbe yeyote aponaye katika dhahama kama hilo ! 😎🤠😎🤠 kiukweli Mungu ana anahaja na wewe, Tena kubwa mnoo, hatukuwa na cha kufanya, wala cha kukusaidia, wala pakusemea, wala pa kukimbilia, zaidi ya kumlilia Mungu juu yako, na kukuombea, na hatimaye umepona na Mungu amekusadia yote hayo madhira nawe umerudi katika nchi yako Tanzania, karibu sana, Tunakupenda sana, Tunakutakia sana, Kiukweli tunapenda sera zako na za chama chako, Tunakufurahia vile unavyoijua KATIBA ya nchi yako vizuri sana, Lakini Pia Tunakupenda na kukufurahia unavyoijua sheria vizuri sana, kiukweli unakipawa kutoka Juu kwa MUNGU BABA YEHOVA, Hakika atakufikisha ulipopakusudia kufika, Nakusindikiza kwa Neno la Mungu akiyehai, Soma Biblia kitabu kitakatifu, Joshua 1:9--) Yeremia 33:3--) Ylemia 23:23--) Soma na Mathayo 7:7--11. Hongera kwa kuwa Jasiri, na ashukuriwe sana Mungu vile ulivyo, Amen

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 4 ปีที่แล้ว +69

    Lo mtangazaji kama wa CNN you inspire me how you ask constructive questions

    • @theophilbuay4005
      @theophilbuay4005 4 ปีที่แล้ว

      Jmn hachelewi kuondolewa kwenye hyo nafasi dada mzur kwel

  • @andrewpaul1904
    @andrewpaul1904 4 ปีที่แล้ว +7

    Fantastic interview congratulation CDM 2 have this genius

  • @esediezekieli2434
    @esediezekieli2434 4 ปีที่แล้ว +117

    Mwenyenzi mungu atakujalia uwe rais wakulima tunateseka sana ndugu yangu kwakweli

    • @emanuelmhoja2411
      @emanuelmhoja2411 4 ปีที่แล้ว +5

      Niliacha kulima pamba sababu ya kupangiwa bei

    • @victormneney8789
      @victormneney8789 4 ปีที่แล้ว +6

      Serikali imewasahau wakulima

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 4 ปีที่แล้ว +3

      Kabisaaa

    • @topotachilemba9196
      @topotachilemba9196 4 ปีที่แล้ว +3

      KWELI KABISA LISSU ni mtu wa kipekee

    • @jmtvtanzania2403
      @jmtvtanzania2403 4 ปีที่แล้ว +2

      Kwahalihii nikwamba watanzania hatupo hulu ila tuna utulivutu

  • @michaelmwaluko2882
    @michaelmwaluko2882 4 ปีที่แล้ว +77

    Hongera baba Rais kura yangu unayo

  • @ntihaboseadonis8746
    @ntihaboseadonis8746 4 ปีที่แล้ว +11

    Lissu wa sio kuelewa ni ma beberu
    Mimi nakuelewa vizuri
    Kama unaniamini gonga like hapa

    • @bensonmero5650
      @bensonmero5650 4 ปีที่แล้ว

      Lisu rais bana waelewa wanaelewa wanaopewa pilau huko shaur zao.

  • @topotachilemba9196
    @topotachilemba9196 4 ปีที่แล้ว +64

    HUYU LISSU ANA AKILI CHEZA MBALI KURA YANGU KWAKO 2020

  • @eliamsomba7461
    @eliamsomba7461 4 ปีที่แล้ว +132

    Mtangazaji studio unajitahidi!Maswali yameenda school,!

  • @ImpressiveFacts
    @ImpressiveFacts 4 ปีที่แล้ว +148

    Huyu jamaa aliitumia vizuri sana ada shuleni

    • @gastordominic410
      @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว +6

      Yaan wazaz wake hawakutupa ada

    • @yahayammwiry7109
      @yahayammwiry7109 4 ปีที่แล้ว +2

      Hahaa

    • @h.rukuba7464
      @h.rukuba7464 4 ปีที่แล้ว +2

      Kweli

    • @ezekielkagonji2401
      @ezekielkagonji2401 4 ปีที่แล้ว +2

      yani anaonekana alikuwa na utulivu mkubwa darasan mpole kabisa ili aelewe Big up master mind

    • @calimahad9274
      @calimahad9274 4 ปีที่แล้ว

      Mziki huu si wakawaida! Asset kwa Tanzania.
      IQ nyengine ya Zitto, zikichanganywa na ya Lisu mbona miaka 5 mingi.

  • @bindariawadhi5561
    @bindariawadhi5561 4 ปีที่แล้ว +43

    Huyu jama anamkalisha magu. ni yeye 2020 wapeleke mchaka mchaka hongereni itv ni kweli super brand tunawakubali

  • @ananiamkongosa5438
    @ananiamkongosa5438 4 ปีที่แล้ว +18

    Genius

  • @elisantelyimo9292
    @elisantelyimo9292 4 ปีที่แล้ว +60

    Congratulations for your speech Mr.lissu

  • @devothangomeni4750
    @devothangomeni4750 4 ปีที่แล้ว +43

    Nimekuelewa Lisu

  • @pepaspace
    @pepaspace 4 ปีที่แล้ว +102

    Jamani let’s vote for this guy please 🙏🏾

    • @samwela.kasamalo2113
      @samwela.kasamalo2113 4 ปีที่แล้ว

      Hongereni itv, mwendelee na counter balance

    • @enockfumbuka6843
      @enockfumbuka6843 4 ปีที่แล้ว

      Ilani ya CDM ni marudio ya CCM Sambazeni hizo Ilani tuzione !

  • @officialjox_ninja9704
    @officialjox_ninja9704 4 ปีที่แล้ว +78

    Daaah lissu Naomba MUNGU sana uwe rais

  • @veronicabariki5594
    @veronicabariki5594 4 ปีที่แล้ว +8

    Aseeee!!!! Huyu baba ana akili nyingi sana kwakweli anafaa kua rais wetu Tanzania. Kipindi kimenifungua akili yangu hongera ITV kwa kazi njema

  • @saviomlelwa
    @saviomlelwa 4 ปีที่แล้ว +76

    This man very intelligent. So proud to tanzanians

  • @ladslausmpakas1316
    @ladslausmpakas1316 4 ปีที่แล้ว +120

    TUNDU LISU anaakili, anavitu vingi kichwani anazungumza kwa reference, hakika, TUNDU LISU ANATOSHA kua rais wetu

  • @abelmtachoka7597
    @abelmtachoka7597 4 ปีที่แล้ว +16

    Kiukweli kwa Hoja unazotoa mtu hawezichoka kukusikiliza! Asante baba, kila la heri ila poleni ITV make kesho tu tcrs wanawezaibuka na ninyi!!!

    • @witneskilinda5034
      @witneskilinda5034 4 ปีที่แล้ว

      Lissu ni hazina ya tz

    • @radabilal9763
      @radabilal9763 4 ปีที่แล้ว

      Nmemuelewa. Lisu uzalendo uenishinda siwezi. kubaki. ccm.

  • @philipkato6517
    @philipkato6517 4 ปีที่แล้ว +306

    Kama upo unaludia tena hii interview mda huu..naomba tujuane..jamaa katisha.

  • @mduduemmanuel4585
    @mduduemmanuel4585 4 ปีที่แล้ว +37

    Naombeni like kwa huyu mama anauliza maswali ambayo yananilenga

  • @lwitikophilipopelela1891
    @lwitikophilipopelela1891 4 ปีที่แล้ว +287

    Jamaniiii naombeni likes kwaajili ya ITV. hii ndio ITV ninayoijua Mimi isiyo na upendeleo. ITV Ni BBC ya Afrika mashariki..

  • @damianshilla888
    @damianshilla888 4 ปีที่แล้ว +101

    Huyu jamaa ana kichwa hakika yuko vzr sana iribolu hakwenda kukalili hicho kichwa nooma sanaa

    • @adorakisamo8071
      @adorakisamo8071 4 ปีที่แล้ว +4

      Safi sana in yeye

    • @laurentpeter8043
      @laurentpeter8043 4 ปีที่แล้ว +3

      Tundu lisu Mungu amemkusudia kuivusha nchi kwenda nchi ya ahadi ya maziwa na asari

    • @laurentpeter8043
      @laurentpeter8043 4 ปีที่แล้ว +2

      Tusimupuuze liko kusudi la Mungu

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaaa

  • @michaelmwaisenye5016
    @michaelmwaisenye5016 4 ปีที่แล้ว +3

    Uyu tundu lisu sio siri Mungu kamjalia sana yuko vizuri aysee kwelii watanzania tunaongozwa na Mtu ambae amezidiwa uwezo sana nyie tubadilike kwa sasa Hongereni sana ITV super brand 🔥🔥🔥

  • @severinebagenyi4745
    @severinebagenyi4745 4 ปีที่แล้ว +7

    Ahsanteni ITV kwa hiki mlichokifanya@ shukrani pia kwako mtangazaji na mheshimiwa Tundu Lissu kwa interview nzuri

  • @gastormassawe8013
    @gastormassawe8013 4 ปีที่แล้ว +69

    Lisu ni mkweli, mpenda haki, mwingi wa maarifa na jasiri wa kweli kwa taifa.Mungu azidi kumbariki raisi wetu lisu

    • @tegemeachamwenye5242
      @tegemeachamwenye5242 4 ปีที่แล้ว

      Wewe subir uje uajiliwe na magu hata kazi ya kufagia Ikulu

    • @gastormassawe8013
      @gastormassawe8013 4 ปีที่แล้ว

      @@tegemeachamwenye5242 mm ni mtu na maisha yangu sio mtu wa kuja kuajiriwa na serekali milele dogo, madogo kama ww ndo mtapewa kazi za kuwalisha mbwa wa ikulu🤣

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 4 ปีที่แล้ว

      Mbona hajasema ufisadi ulio yomo kwenye chama chake? Mbona wizi wote unaotokea kwenye chama chake hajagusia hata kimoja. Hajaelezea ni nani alimufadhiri. Huo urafiki anausemaTundu Lissu lazima uwe urafiki wa ukweli, na sio urafiki wa kutudanganya. Kumpa huyu uongozi ni kuwakaribisha watu kama Bob Armsterdem kuiongoza Tanzania

    • @rahabumkama8954
      @rahabumkama8954 4 ปีที่แล้ว

      @@gracemima5234 usiogope my dia huyo hawezi kuwa rais hata usipoteze muda wako andaa tu kadi yako ya kupiga kura kula ushibe na umuombee magufuli afya njema

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 4 ปีที่แล้ว

      rahabu mkama mimi siogopi nataka kuelimisha watu. Huyu ni mpuuzi na traitor. Wenye akiri na wenye kupigania maendeleo ya Africa na Waafrika wanamucheka na kumuona mjinga mkubwa. Sijui Kwa nini wajinga wanamushangilia ah! Ndiyo maana wakaitwa wajinga

  • @zarinatv2024
    @zarinatv2024 4 ปีที่แล้ว +29

    nimeyapenda sana mahojiano, big up ITV

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 4 ปีที่แล้ว +133

    Hata mtangazaji anamuelewa Tundu!!!

    • @samwelmnizinza3508
      @samwelmnizinza3508 4 ปีที่แล้ว

      Siwezi kukupa kura mimi wewe

    • @raphaelsamwel2640
      @raphaelsamwel2640 4 ปีที่แล้ว +1

      Siombi kura mimi

    • @ey3022
      @ey3022 4 ปีที่แล้ว

      @@raphaelsamwel2640 😂😂😂😂 youtube jamani😂😂

  • @emmanuelmlule9101
    @emmanuelmlule9101 4 ปีที่แล้ว +28

    Mh Tundu Lisu ww ndiye uliye ni inspaya kupenda sheria, Nakukubali mnoo September 7 niliumia sanaaaa

  • @chundabadsingasinga3130
    @chundabadsingasinga3130 4 ปีที่แล้ว +132

    Daaaah #sijui kama watu wanaelewa anachosema huyu jamaa
    #ni zaidi ya mgombea urais

    • @shabaniguma8696
      @shabaniguma8696 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa ukimuona mtu ana mponda ujui akili yake haiko sawa

    • @gasperjacob5244
      @gasperjacob5244 4 ปีที่แล้ว +1

      Nakukubali xna

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 4 ปีที่แล้ว

      Anataka kupewa kakazi kidogo, kiofisi akae eti

    • @martinkipenya4592
      @martinkipenya4592 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ukweliunauma4570 ndio saizi yake

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 4 ปีที่แล้ว +1

      @@martinkipenya4592 haya tuone tarehe 28 , maana ugonjwa wa moyo utazidi , mwaka huu kura kimbunga cha lissu , magu atazimia tu

  • @yambazisimon1703
    @yambazisimon1703 4 ปีที่แล้ว +2

    Tuinamishe vchwa vyetu tuombe
    Ee Mungu muumba wa Mbingu na nchi tunakushukuru kwa kumtoa huyu mtumishi wako kwenye tanuri la moto, basi tunakuomba umuinue zaidi, awe rais wetu. Amen

  • @ismailkokoro4183
    @ismailkokoro4183 4 ปีที่แล้ว +165

    Daah nilikuwa sijui mh lisu lakin nmekuelewa kura yangu unayo

    • @b.truthful
      @b.truthful 4 ปีที่แล้ว +3

      Karibu sana endelea kufungua wengine macho

    • @reginamanyangu6682
      @reginamanyangu6682 4 ปีที่แล้ว +3

      Yaan da mi namkubali sana

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 4 ปีที่แล้ว

      ismail kokoro upuuzi mtupu. Kusema sio kutenda. Atueleze atapambanaje na ufisadi? Hawezi kwenda hapo kwasababu chama chake kimejaa mafisadi. Yote anayesema ni ndoto kama wizi wa mali ya wote hsutafanyiwa kazi.

    • @b.truthful
      @b.truthful 4 ปีที่แล้ว +2

      @@gracemima5234 angepambana vipi na ufisadi ilihalimlitaka kuitoa roho yake ili kumzuia asitende kazi ya taifa lake ama mtu akifa ndio kupambana na ufisadi 🤔 Shukuru Mungu kwanza yu hai mengine yatafwata mgala muue na haki yake apewe

    • @ismailkokoro4183
      @ismailkokoro4183 4 ปีที่แล้ว +1

      @@gracemima5234 na pia ata kiongoz wako ana sifa kama hiz za kuongea bila kutenda

  • @juliethjulius4412
    @juliethjulius4412 4 ปีที่แล้ว +9

    Mwenyezi Mungu akutangulie katika uchaguzi ujao

  • @limbeshishi7975
    @limbeshishi7975 4 ปีที่แล้ว +75

    Mungu akulinde Rais mtarajiwa

  • @jumongjr5837
    @jumongjr5837 4 ปีที่แล้ว +10

    Team #Tundu lissu tujuane apa

  • @emmanuelkasoga3727
    @emmanuelkasoga3727 4 ปีที่แล้ว +10

    Nakupata vizuri sana Mh. Lissu bonge la hazina hakika unafaa kulitumikia Taifa letu.

  • @swahibabu
    @swahibabu 4 ปีที่แล้ว +179

    Nimefanya makosa makubwa sana kumsikiliza Tundu lissu, ona sasa nimeanza kumpendelea.

    • @shabaniguma8696
      @shabaniguma8696 4 ปีที่แล้ว +5

      Safi sana haki isemwe hata kama inauma

    • @edmundykusena9728
      @edmundykusena9728 4 ปีที่แล้ว +2

      Hahshahahahaaaaa

    • @ibrahimmahapula4728
      @ibrahimmahapula4728 4 ปีที่แล้ว +3

      Hahaha

    • @faucynkrctian6607
      @faucynkrctian6607 4 ปีที่แล้ว +3

      Iyo inaitwa Happy accidents

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 4 ปีที่แล้ว +3

      Ukweli una raha zake, duuh! Ni Majuto au furaha, sababu ulikua unasikiza upende 1 tu kwa miaka 5 nakuonea huruma pamoja na nafsi yangu

  • @jmvuna2792
    @jmvuna2792 4 ปีที่แล้ว +10

    Asante ITV kwa kumwalika Mtalaam Lissu, shukrani kwa maswali yaliyo enda shule. Pongezi kwako Lissu kwa kujibu maswali vizuri. Vyombo vingine wakualike. ITV muanzishe mijadala na malumbano ya hoja kwa kuwahusisha/ kuwakutanisha wagombea nafasi za urais. IPP daima!

  • @jamesrobare522
    @jamesrobare522 4 ปีที่แล้ว +80

    Very good questions and answers,great Man answering questions intellectually, Big up brother Lisu.May God make away out for the better Tanzania.

  • @yohanadarprincekimola3883
    @yohanadarprincekimola3883 4 ปีที่แล้ว +49

    Lissu ndo rais wetu

  • @driss4957
    @driss4957 4 ปีที่แล้ว +62

    Huyu jamaaa ukimpa kipaza,ANAKUBADILI ITIKADI..ANAJUA SANA KUELEZEA MAMBO..

  • @agomasigazwa5761
    @agomasigazwa5761 4 ปีที่แล้ว +8

    Asante ITV 👏👏👏👏👏👏

  • @hilujuma4869
    @hilujuma4869 4 ปีที่แล้ว +86

    Jembe LISSU

  • @vicentkomba7478
    @vicentkomba7478 4 ปีที่แล้ว +43

    Upo uzuri

  • @rashidalnaamani6154
    @rashidalnaamani6154 4 ปีที่แล้ว +140

    Kwa ufupi tundu lisu mimi kama mimi kuanzia leo nitampa jina la nelson mandela wa tanzania

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 4 ปีที่แล้ว +8

    Yani huyu jamaa nilikua cjamjua vizur kumbe ni mtu mhimu sana kwenye hili taifa tukiacha uchama utamuelewa sana ila kama ni wakupiga makof tu huwez kuelewa

  • @hassanalkanyika1092
    @hassanalkanyika1092 4 ปีที่แล้ว +18

    The way anavyosema anaonyesha kuna kitu cha ziada chakuwapa WATANZANIA 28october #NIYEYELISU

  • @devothangomeni4750
    @devothangomeni4750 4 ปีที่แล้ว +107

    Magu mwenyewe anamuhofia Lisu ndio maana anawainguwa wabunge na madiwani wa chama cha upinzani ,, kama siyo hivyo kwanini anafanya hivyo ?

    • @thejuanaa2459
      @thejuanaa2459 4 ปีที่แล้ว

      Muulize mbowe ...fedha za ruzuku kuendesha chaguzi za serikali za mitaa....walizopewa kama chama ziko wapi....walishagawana ...walipoona wataumbuka wakasusia uchaguzi

    • @clementmikiko5064
      @clementmikiko5064 4 ปีที่แล้ว +5

      @@thejuanaa2459 kwli elimu mbaya. Hapo unajiita msomi eti?bado unamawazo na fikra finyu

    • @johnmatonge2618
      @johnmatonge2618 4 ปีที่แล้ว +4

      Jamani Mbona mnaongerea vichochoroni lisu jembe

    • @emmanuelnzaligo6262
      @emmanuelnzaligo6262 4 ปีที่แล้ว +3

      MAGU ni jembe hata siku moja hawezi kuogopa machizi kama hawa wanaongea utumbo tu hakuna cha maana hata kimoja.

    • @josephmashaury4418
      @josephmashaury4418 4 ปีที่แล้ว +1

      @@emmanuelnzaligo6262wasio ends shulee hamuwezii kiielewa lisssuu jembee

  • @galganopeter7787
    @galganopeter7787 4 ปีที่แล้ว +22

    🔥🔥🔥

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 4 ปีที่แล้ว +7

    Anaerudia hii pindi sasa hivi! Gonga like!!

  • @faucynkrctian6607
    @faucynkrctian6607 4 ปีที่แล้ว +149

    Ukiona mtu wa kijani kibichi analeta maneno mengi mwambie aje kusikiliza Dakika 45 za TUNDU LISSU ITV

  • @amanihaki6875
    @amanihaki6875 4 ปีที่แล้ว +40

    He is a genius. Watanzania hii bahati kubwa kuwa na kiongozi kama Lissu

  • @samsonnkuwi6325
    @samsonnkuwi6325 4 ปีที่แล้ว +84

    Lissu chaguo la Watanzania

  • @yassinyussuf8535
    @yassinyussuf8535 4 ปีที่แล้ว +10

    Mr ion man ✌✌✌✌✌💪💪💪💪

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 4 ปีที่แล้ว +39

    Hii ndioITV niliokuwa naimisiiii! U have now my support!! You have my positive swing moods back!!!

  • @jacobmayalla5698
    @jacobmayalla5698 4 ปีที่แล้ว +28

    Rais

  • @kiberitistartv8887
    @kiberitistartv8887 4 ปีที่แล้ว +155

    Mhe lisu nyumabn kwang kuna kula zako zaid ya 19

  • @richardriziki5794
    @richardriziki5794 4 ปีที่แล้ว +135

    Tundulisu raisi wangu

  • @japhettheboy2354
    @japhettheboy2354 4 ปีที่แล้ว +67

    Jaman,, mi nashindw kuelew hv mtu kama huyu unaanzaje kumpingaa ,,tuacheni bhn ushabiki wa kipuuzi ,,lissu ni binadam wa aina yake jaman

  • @aproniagerald6208
    @aproniagerald6208 4 ปีที่แล้ว +58

    Huwa sijutii kupoteza mb zangu kukusikiliza mheshiwa , rais wangu mtarajiwa Tundu Lissu

    • @charlesmsangai5024
      @charlesmsangai5024 4 ปีที่แล้ว +1

      Uko vizuri mzee baba

    • @aproniagerald6208
      @aproniagerald6208 4 ปีที่แล้ว

      @@charlesmsangai5024 jamani mi ni mzee mama

    • @ey3022
      @ey3022 4 ปีที่แล้ว

      @@aproniagerald6208 😂😂😂😂

    • @aproniagerald6208
      @aproniagerald6208 4 ปีที่แล้ว

      @@ey3022 mbona unanicheka

    • @bensilvester4981
      @bensilvester4981 3 ปีที่แล้ว

      @@aproniagerald6208
      Alikuwa hajakutambua wala usichukie

  • @felixtoke8216
    @felixtoke8216 4 ปีที่แล้ว +19

    Watanzania wanakuitaji kuliko wewe unavyoiitaji TZ. ur blessed Mr president..... Ni yeye 2020.

  • @mmariherieli2917
    @mmariherieli2917 4 ปีที่แล้ว +6

    Huyu Mwandishi wa Habari unatakiwa uajiriwe kwenye vyombo vya habari vya Kidunia! Yupo vizuri saana.
    #TunduLissu kura Yangu unayo.

    • @mmariherieli2917
      @mmariherieli2917 4 ปีที่แล้ว

      Farhia Middle unafaa sana

    • @ShawnBeatz
      @ShawnBeatz 4 ปีที่แล้ว

      Anatakiwa aende BBC swahili

  • @jemastmusiq9654
    @jemastmusiq9654 4 ปีที่แล้ว +35

    Sasa ndo nimeanza kujua kwanini Mungu hakutaka ufe aisee,

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 4 ปีที่แล้ว

      😀😀😀

    • @rahabumkama8954
      @rahabumkama8954 4 ปีที่แล้ว +1

      Nami nmejua Mungu amemnusuru ili atubu asipotubu ole iko juu yake

  • @jacksonmacheye4712
    @jacksonmacheye4712 4 ปีที่แล้ว +41

    chadema safi

  • @marcusraina3682
    @marcusraina3682 4 ปีที่แล้ว +102

    Nimegunduwa kitu kimoja ndani ya dakika kathaa tu watu waliokuwa wanaangalia kwenye mitandao ni wengi mno

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว +41

    Mungu akutangulie ktk safr ya Urais

  • @paulmsele3696
    @paulmsele3696 4 ปีที่แล้ว +6

    Hakika tundu Antipas mungwai lisu ni kiongoz mwenye usubutu usiokua na mashaka hata kidogo msomi mwenye upeo mkubwa mtu jasiri mpenda haki na maendeleo kwa taifa binadam wakwanza Africa kupigwa risas 16 na sasa tuponae live ✌️✌️✌️✌️🔥💥

  • @buildtekconsultants9687
    @buildtekconsultants9687 4 ปีที่แล้ว +45

    Huyu ndie raisi wangu hata wakimuibia Kura akashindwa. Nafsi yangu itaingia kaburini ikiwa na amani kuwa October 28 nilifanya kilicho sahihi.

    • @simonrusigwa3024
      @simonrusigwa3024 4 ปีที่แล้ว +2

      Mungu wetu mwema akubariki sana. Nimekuelewa

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 4 ปีที่แล้ว +3

      Mungu akupe umri mrefu Ufike siku ya uchaguzi , utimize jambo la haki yako bila woga

    • @jacobnghwali4531
      @jacobnghwali4531 4 ปีที่แล้ว +3

      Hakika upo sawa

    • @kareisindilo2776
      @kareisindilo2776 4 ปีที่แล้ว +3

      daaa umenitowa machozi

    • @yudatadeshayo4434
      @yudatadeshayo4434 4 ปีที่แล้ว

      Daaaah ubarikiwe

  • @ramadhanijuma4130
    @ramadhanijuma4130 4 ปีที่แล้ว +53

    Tusiishie kusikiliza tuu tuhamasishane vijana tukampigiek kura Raisi wetu

    • @ukweli255
      @ukweli255 4 ปีที่แล้ว

      na vijana ndio ambao ni wagumu kuelewa na kudadavua mambo

  • @lida457
    @lida457 4 ปีที่แล้ว +107

    Wewe ndio rais wangu

  • @derickthobias6393
    @derickthobias6393 4 ปีที่แล้ว +2

    Tunaimani na ww lissu. God bless you

  • @bashiruramadhani427
    @bashiruramadhani427 3 ปีที่แล้ว

    Bima ya afya ni muhimu sana 👍 kama umeelewa kama mimi gonga like