Maisha ya Canada ni magumu,Tanzania afadhali mna uhuru Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Salia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 56

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly หลายเดือนก่อน +8

    Watu hawaelewi ugumu wa kuishi nchi za nje..
    Tena hawaelewi hata pesa upatikanaji ni kwa kujitesa,na garama ya kuishi ni kubwa sana,ukiona mtu yupo nje anakupatia pesa yake he grateful na umuimbee Mungu aendelee kumfanyia wepesi

  • @emmanuelmalissa9235
    @emmanuelmalissa9235 หลายเดือนก่อน +4

    she is soo kind and beautiful, i like the way she appreciate Bongo and our life style. you welcome again to bongo.

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e หลายเดือนก่อน +10

    Kule ni kwenda kusaka hela sio sehemu ya kula bata

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 หลายเดือนก่อน +1

    Naishi marekani miaka 27,Sio rahisi lakini inabidi kuzoea nimezaa watoto wanne na wajukuu watatu3,nimepambana vya kutosha lakini bado naipenda Tanzania sana"

  • @meowzna
    @meowzna หลายเดือนก่อน +1

    Thank you Sister🥰

  • @beatricesonga3468
    @beatricesonga3468 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera my sister

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna sehemu duniani kukawa na urahisi,tuacheni uvivuu

  • @jameshensdouglass7632
    @jameshensdouglass7632 หลายเดือนก่อน +1

    congo kingshasa uyu usitupange

  • @HassanMussa-vk3tj
    @HassanMussa-vk3tj หลายเดือนก่อน +5

    Bata lanini batalinamaliza pesa

  • @user-xh3cc7yp6o
    @user-xh3cc7yp6o หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe L❤you🎉🎉🎉

  • @AmirJuma-p5j
    @AmirJuma-p5j หลายเดือนก่อน +2

    Baridi kali wazee

  • @ashleymaingi7026
    @ashleymaingi7026 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli kabisa....hakuna bata hapa... :( Kazi kila siku

  • @Elila-TV-243
    @Elila-TV-243 หลายเดือนก่อน +1

    Courage sana Mutamba

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo sio mtanzani ni mtu wa Burund au Congo sema wamekuja kama wakimbizi muda mrefu mtagazaji hata hawez kujua huyu sio mtanzania

  • @DaudiMazengoMasterDTEM
    @DaudiMazengoMasterDTEM หลายเดือนก่อน

    Dada mstaarabu sana. Kilaakheri

  • @TrinaRoman345
    @TrinaRoman345 หลายเดือนก่อน +6

    Mkongo huyu ama?😂😂 cmuoni kwa utanzania kabisa

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 หลายเดือนก่อน

      OK, KIPI UMEFAIDIKA
      KUA SI RAIA WA TANZANIA?

    • @TrinaRoman345
      @TrinaRoman345 หลายเดือนก่อน

      @@allahisone6386 Umeulizaje wewe, 🤣🤣..

    • @TrinaRoman345
      @TrinaRoman345 หลายเดือนก่อน

      UTANZANIA WANGU NI FAHARI YANGU

    • @Orgenemizzyy
      @Orgenemizzyy หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 mimi mkongo ila simuoni kwa ukongo wowote

    • @TrinaRoman345
      @TrinaRoman345 หลายเดือนก่อน

      @@Orgenemizzyy Lazimaa🤗 si huna D mbili 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-ki9wu6no3d
    @user-ki9wu6no3d หลายเดือนก่อน +5

    Basi arudi tz kama maish magum mbona hawarudi sasa

    • @jovinathasavoie8018
      @jovinathasavoie8018 หลายเดือนก่อน +4

      Nimekupenda bure,kila sehem magumu ,hata marekani nipo maisha ni magumu ni kazi kila siku but huwezi compare na huko.

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 หลายเดือนก่อน +1

      Waongo hao.....

    • @klaussteiner94
      @klaussteiner94 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@joycehaule9717Dada joyce😊

  • @BornBush255
    @BornBush255 หลายเดือนก่อน +1

    Chris, Mbona kama hii manzi imekuaminia hivi

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI หลายเดือนก่อน +1

    Hata bongo pagumu

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 หลายเดือนก่อน +3

    Kunarafiki yang mmoja alikuwa anaishi uko anasema kuna baridi sana yan...

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kuna baridi kalikali sana

    • @hafidhyakoub8369
      @hafidhyakoub8369 หลายเดือนก่อน

      Wacheni ujinga maisha hayana ugumu wowote

    • @hafidhyakoub8369
      @hafidhyakoub8369 หลายเดือนก่อน

      ​@@aairraahseif5648 baridi inategema na province wenyewe na kuhusu kazi ndio mana nchi zetu hazi endeleii kwa7bu hatufanyi kazi tunendekaza starehe

  • @estermgata9617
    @estermgata9617 หลายเดือนก่อน

    Maisha yakikushinda Canada hakuna shida basi unarudi nyumbani. Nyumbani kumenoga

  • @AmirJuma-p5j
    @AmirJuma-p5j หลายเดือนก่อน +2

    Dada naomba namba 😂😂😂

  • @HassanMussa-vk3tj
    @HassanMussa-vk3tj หลายเดือนก่อน +1

    Sister usijalibu kutaka kuishi tz

    • @corrolesscps
      @corrolesscps หลายเดือนก่อน +1

      Kwa Nini? Mtu kwao, mkataa kwao ni Mtumwa, mwache atafute arudi nyumbani kula Bata😊

  • @hafidhyakoub8369
    @hafidhyakoub8369 หลายเดือนก่อน +1

    Hao ni waongo

    • @um_185
      @um_185 หลายเดือนก่อน

      Thibitisha huo uongo

    • @jacobjb4515
      @jacobjb4515 หลายเดือนก่อน

      Ukweli maisha ni tofauti sana ingawa thamani ya pesa ipo juu lkn wee ubaguzi nk

    • @jacobjb4515
      @jacobjb4515 หลายเดือนก่อน +1

      Kuhusu kurudi umeshafika Canada uwezi kurudi kama mnavyo sema coz umetumia gharama kubwa sana hadi kufika uku inakubidi ukomae tu mimi nipo uku naona mengi sana it's not easy men

  • @Maishacanada
    @Maishacanada หลายเดือนก่อน +3

    Hapa natoka kazini mamamae huku kazi kazi😂

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 หลายเดือนก่อน +2

    Siyo Congo democratic Republic 😲😲

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 หลายเดือนก่อน

    Mtagazaji mshamba sanasa

  • @user-qs7lj7kj1k
    @user-qs7lj7kj1k หลายเดือนก่อน +1

    Mrudi sasa africa kirasiku maisha magumu

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna sehemu duniani kukawa na urahisi,tuacheni uvivuu