Dr. Chris Mauki: Hivi ndivyo afya yako huathirika na stress

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Labda stress unazisikia tu kwa wengine, je unajua stress “msongo wa mawazo” unaweza kuathiri afya yako na hata ukapoteza maisha? Je unajua wengi waliolazwa mahospitalini na hata baadhi waliopoteza maisha sababu inaweza kuwa ni msongo wa mawazo? Nifuatilie nikuonyeshe

ความคิดเห็น • 15