Sikuzote maisha ni safari ndefu ambayo inahitaji uvumilivu naomba usikwazane na wasanii wengine kaka na maisha pia ni kusaidiana.. unaweza kupata changamoto na ukasaidia na msanii mwingine.Hongera sana CLAM VEVO nina imani Mungu atakuongoza sana tu BIG UP.
Vraiment, je suis Congolaise d'origine et je suis à Bukavu pour le moment. Juste donner de congratulations à cette stars Tanzanienne pour les efforts fournis pour la réalisation de ce nouvel film émotionnel.
Watangazaji wa bongo muwe mnapenda basi na maswali muhimu interview zene zitakuwa nzuri mara unauliza swali lililopita mara mwakatobe mara watazamaji wako mara pesa mara chawa wako mara wasanii wakubwa hawawezi kushoot kwenye yachii mtangazaji acheni kuwa wachonganishiiii
Clam vevo angalia kwa makini kuna watu wanatuma kazi zako kwa jina lako nimetizama Best Friend part 3 na 4 lakini sio zako ila wametumia jina lako CHUKUA HATUA.
Kk mungu akubariki uwende kwutu congo la bda Ni ngekuwa uko Ni ngesheza na wewe lakini siko nyumbani Niko I djeaishi ila sija kimbia ishi ilosiku Ni tarudi✍️
Clam napenda Sana kbsa ananikumbusha movie moja ya kihindi ya Rohit 😂😂😂😂unajuwa kbsa clam namusaport nanazidi kumfwatiliya Sana uko zambia mzee wachapati nahararwe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏mnambiliye hivi clam nahamu ya big boss episode2
Nikweli movie nyingi zina chunda nikwasababu bajeti ni ndogo Yani story nzuri ila uhusika madhara zero watu wanabana bajeti ndomaana huarisia wa kitu unapotea kwaiyo ukiigiza ww ni billionea weka na mazingira ya tajiri huyo anatakiwa kuishi Alf movie nyingi watu wanalala wanaamka hawaendi job hatuoni wakipika mwanzo mwisho watu hawali Sasa kweli Kuna maisha bila kula😂😂😂 haya mnakula Sasa sihata mara Moja mara mbili mpike tuone eeeh iyo ndo shida kazi hazifiki mbali weka pesa fanya kitu kizuri Ili pesa iludi napenda Sanaa sana nilisha pita kwenye makundi ila sikufaniki Sasa na tafuta pesa nikipata naludi mzigoni live😂😂😂😂 hongera brother

Ce français n'est pas d'un Congolais 😅😅😅
@@strong8534 .
Uko sawa clam may god bless u nakupenda sana na ayo macho yako yananivutia sana
Nakukubali clam napenda kazi yako sana From 🇧🇮 Burundi 🇧🇮🇧🇮
Ila dogo kweli anafanya kazi nzuri, tumpe maua yake... Ongera sana Clam
Kazi nzuriii clam respect to yooi❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Tamthilia zako zinafundisha san kulingana maisha yetu ubalikiwe sana
Nawapenda sana from kenya ila Lein nimezidi kukupenda ww mrembo Mashallah na sauti tamu sana ❤❤❤
Clam number one 🔥🔥🔥💪kama unamkubali clam gonga like apa
Clam nimemkubali sana nikiwa kenya
th-cam.com/video/iG743SFFtE0/w-d-xo.html
Mwambie atoe best friend nyingine
Yuko pw sana mwana na anagonga vitu vizuli sana kaa mkubwa
Bbbbyvyc
Kiukweli clam yupo juu sana napenda sana kazi zake ..mungu akubariki sanaa mdg angu 🤲🙏 nakupenda pia ❤
From Kenya yote tumekubali huyu jamàa anafaa atutembelee kwetu Kenya we love clam vevo now am Felix vevo
Mashallah kumbe clam anakuwa sur kihivo afu saut nzuli mung akulinde kaka yang twakupenda sana 🇧🇮
Tunakubali kazi na kasi yake....from 🇺🇸 USA
Kwani wewe dada una mchumba.. Nataka kuoa wewe dada kiukweli nakupenda sana naomba nijibu please ❤❤❤❤🎉🎉
Thank you so much for this interview!! I like Clam VEVO and his team!! From Burundi 🇧🇮🇧🇮 keep up guys!!
Tunapenda sana kaz zako clau uko serious ktk hili et🙏🙏
Huyo kijana mwamba sana namkubali mia mia big up sana broo God bless you.
I LOVE YOUR VIDEOS
Nakupenda sana veva uko nahakili sana ❤❤❤❤❤
Naomba umuulizage kama hawatoshirikiyana tena na #Kicheche kutengeneza series
kaka nakukubali sana mungu akujalie maisha mrefu sana duniani wewe unaweza
Watangazaji wa bongo muwe mnapenda basi na maswali muhimu interview zene zitakuwa nzuri mara unauliza swali lililopita mara mwakatobe mara watazamaji wako mara pesa mara chawa wako mara wasanii wakubwa hawawezi kushoot kwenye yachii mtangazaji acheni kuwa wachonganishiiii
Kram vevo unajua sana kaka yani mungu akupe maisha marefu the best in tanzania bongo moves
Huu kijana answeza❤
Nimeipenda Sana ile Episode ya Best friend! Hongera kijana, nimependa ulipokuwa ukiimba katika kundi la wanafunzi
Uko juu bro nakumueke dude ndio umeweza kabisa clum.All the best dogo
Hapo kwa Big boss from Burundi 🇧🇮 sijapenda naitaka itoke hata saai 😂😂
Umetisha sana ila kaa ukijua hata zanzibar kuna mashabiki zako na wanakubali sana kaz zako so karibu sana brooo🙏👌
Hey clam vevo.na Mimi niitwe Vinnie vevo
wa kwanza kutoka kenya mnipe likes za clam🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyu jamaa fund ila kinachozingua tunasubiria sana muendelezo kwa week ep 1 tu haitoshi
Kwer bhn
hicho cheupe nakipenda hatariiiii😊😊😊😊
DG Clam wewe acha uhongo wewe umesha gusa kwasababu siwezi kaaa nahangalia kazi zako hivi lakini uko sawa from USA
I really ❤ him i wish ningekuwa Sasha And i like the way which u sing in the group of students🎉
Clam Vevo diehard from Kenya ❤❤❤🎉🎉🎉
Clam to the world mwamba anajua sana huyu salute kwake
Nakubali sana clam vevo nipo Kenya 🇰🇪 lakn masikan ni tz nakukubali San views yang ni lazima mwamb
Nilipenda huyu kijana angali akiwa mdogo video zake sana nimeanza kumuona kitambo na mungu akufikishe mbali
Yupo vzr yaan bongo movie ya tz imesha isha sasa ivi wanatamba watu wa vichekesho kama clam vevo stevu na karo cheche
Mimi nahishi Canada iko siku nitakuja dar es Salam kumu tafuta clam vevo napenda sana Movie zake ❤ ❤❤❤❤
That guy is the best
Let him stay forever
Nakupenda sana clam VEVO🥰🥰
Nami hivo papa
Hujambo mimi nampenda sana clam tens twamwamini sana next naomba iwe kwa Ndaro na Mkubwa wetu kama shabiki wake Steve Mweusi tuyasikie take pia
Love u clam .. the big boss no one like u❣️chidady
VEVO ANAJITAHIDI SANA GOOD WORK TANZANIA TUNAPIGA HATUA KWA SASA
Kweli km mm naiona kiukubwa zaid uko gud xan vevo
Clam vevo you are very talented bro am watching you from Zambia
Clam VEVO much love you welcome 🤗 Kenya aki
Jamaaa Atari sana apewe ulinzi
Best friend imeweza sana pongezi kwako clam 🔥🔥
Baada ya interview kuisha Clam lazima akukabe umrudishie hela zake..😂
Ama ashushe mzigo😂
Hahaha
Hahahaha
Akisha pewa ukuna kunyanganya
Clam c wa aina iyo
Kumbe huo mtangazaji ni mzuri manshaallah
Nikali sana hii Best friend nimeipenda sana
Nakupenda sana dada nataka nilete mahari kwenu❤❤❤😂
Tunaomba Muenderezowabestifurendi
Clam congrats 🎉manzee umeweza yan nakukubali vinoma yan
comedian number one hakuna mwengine
Ukimaliza mahojiano mrudishie mwenyewe hela zake😂😂😂
Nigawie na mimi pesa hyo brother vevo maana duh salute had naztamani
Clam Mwamba anajua kutengeneza content au Rayner vevo unamuonaje Vevo❤ shulup kwake
Clam ni mfano wa kuigwa big up sana... Mungu azidi kukuongoza vema 🙏
Am kanyama yazidi from uganda I like the series bro
Mashaalah unafanya kazi vizuri sana
Nyimbo aloimba clan vevo kwenye hiii move nyimbo Gani inaitwaje na ameimba nan
tunapenda mkifanya comedy kwa movie pia. znatufanya tuzidi kuchangamka tunapo angalia movie zako vevo. pambana
Clam ❤❤❤❤💪💪💪 nakubali sana
Aaah Kenya twampenda clam vevo
Clam vevo angalia kwa makini kuna watu wanatuma kazi zako kwa jina lako nimetizama Best Friend part 3 na 4 lakini sio zako ila wametumia jina lako CHUKUA HATUA.
Naomba kuwa mshiliki wa cram vevo niwe rey vevo❤
Mmmmmm namkubali sana mzeee wachapati na mahalage
Hao niwa penz long time sana huyo dem analiwa na dogo huyu
Kk mungu akubariki uwende kwutu congo la bda Ni ngekuwa uko Ni ngesheza na wewe lakini siko nyumbani Niko I djeaishi ila sija kimbia ishi ilosiku Ni tarudi✍️
Clam napenda Sana kbsa ananikumbusha movie moja ya kihindi ya Rohit 😂😂😂😂unajuwa kbsa clam namusaport nanazidi kumfwatiliya Sana uko zambia mzee wachapati nahararwe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏mnambiliye hivi clam nahamu ya big boss episode2
Nakukubali sana clan❤❤❤
Ilove naninapenda kazi yako ilina mm nije nifanye na ww
Nikweli movie nyingi zina chunda nikwasababu bajeti ni ndogo Yani story nzuri ila uhusika madhara zero watu wanabana bajeti ndomaana huarisia wa kitu unapotea kwaiyo ukiigiza ww ni billionea weka na mazingira ya tajiri huyo anatakiwa kuishi Alf movie nyingi watu wanalala wanaamka hawaendi job hatuoni wakipika mwanzo mwisho watu hawali Sasa kweli Kuna maisha bila kula😂😂😂 haya mnakula Sasa sihata mara Moja mara mbili mpike tuone eeeh iyo ndo shida kazi hazifiki mbali weka pesa fanya kitu kizuri Ili pesa iludi napenda Sanaa sana nilisha pita kwenye makundi ila sikufaniki Sasa na tafuta pesa nikipata naludi mzigoni live😂😂😂😂 hongera brother
Nakubar namb❤ vzr sn
Mi staki , naenda kula chapati na maharage😂😂😂😂 napenda hiyo part .
Vipi kuhusu zinduna hamna kazi nae tena
Kama unamkubali clam gonga like hapa👍
Boss ya mboka @clam vevo
Hongera Sanaa Clam vevo ongeza juhudi
Hata mimi Pia namukubali Ila mbona Big Boss île chelewa lakini , na best Friend
Penda sana clam vevo ❤ pamoja san
Clam uko vizuri ase big up kwako
Clam kaza Bro upo vizuri sana kwny kuigiza
Clam vevo nakukubari we ni noma naenda nyumbani kula chapati na maharage babu unajua
Uku congo tunahaja ya big boss bwana clam wewe ni babalao
Umetisha ndugu yangu ukojuu endelea kutupa vitu
Ukovizuri sana
👍👍👍
Nampenda sana clam,tena nazipenda igizo zake,ila tatizo ni namna yakupa vidéo zake,
Very nice brother
Mbengo TV, kwann clam anafanya vizuri na anapata watazamaji wengi Kwa mda mchache lakn anakuwa hayuko kwenye trending
Congratulations clam 🎉🎉 uko juu
Congratulations to you clam
😂😂kumbe kicheche pia nimkubwa na yeye swali zuri boss....
Big congratulation man, ila natak mwendelezo wa best friend, madam 100$ kwel hel lkn
Napenda sana vedeo zake kijana afurahisha sana balikiwa ndugu
Umependeza dada lake ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ukishamaliza intavyuuu uzirudishe nae azirudishe kwa mwenyewe shenzi😂
Dada tamaa hiyo huyo vevo so mtu mzuri
Namkubali sanaa clam,hongera utafika mbalii
kazi safi clam vevo
Nipo congo uvira