naona ukweli mzito unaoufahamu kuhusu maisha (Naona jinsi unavyojaribu kuwafumbua watu macho wapunguze shobo na vitu wasivyojua undani wake) ...big up sana 🎉
❤Hobgera sana ndugu kazi yako ni nzuri sana kwa mtu anayetambua,Mungu akuinue zaidi nami natamani siku moja niigize na wewe kwani nami ni mwigizaji na nina movie nyingi sana za kucheza ijapo ndo nimeanza,ila Mungu akubariki sana ndugu
❤Hongera sana bro nikuombee sana kwa mola akuinue zaidi make nami ni mwigizaji natamani nifike hapo ulipo ila naamini Mungu atanisaidia.Mungu akubariki sana ndugu
Aseee clam ww n fundi wa story nzuriii sihitaji like hata Moja ila respect sana kanumba wa kizaz hiki
Huyu Clam fundi alafu anajua gonga like twende pamoja Kama unamkubali Clam 💯
Clam anajua jaman like hata kumi tu
Kama naiona part2 wachawi wanataka kumroga Freemason😆😁😁😄 wameyakanyaga
@@albertkatuga2434 kabisa kak
Good luck❤❤❤❤❤
Bro uko juu Sana TOA part 2
@@albertkatuga2434 mmmmmzot szothek ay km shap
First commenter from Malawi but my home country is TANZANIA ndugu zangu naomba like zangu kutoka kwenu
Uhakika naenjoy kutokana na talent ya Mr Clam,,,salute sana kwako ,,,, mwendelezo uko wapi????
Sijachelewa sana jámani naomba ata like 10 tu nitawashukuru
Much love bratha Clam n the crew at Large from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nawatambua sana
Tz unabeba bendela big boss nipeni like zang🇧🇮 Tanzania
Please make English subtitle coz you r coming very good am watching from 🇲🇼Malawi
Nakukubali sana mwanetu🔥🔥🇰🇪🇰🇪repin
Kwr boss ❤❤from Burundi 🇧🇮🇧🇮
KAZI Safi Sana @clam 👌👌twakuombea kufanikiwa zaidi... #rebornmtakatifu nawakilisha mombasa Kenya
naona ukweli mzito unaoufahamu kuhusu maisha (Naona jinsi unavyojaribu kuwafumbua watu macho wapunguze shobo na vitu wasivyojua undani wake) ...big up sana 🎉
Una maana gan
🔥🔥👐🏾 kwetu wataftaji tuloingia miji ya watu tumejifunza kitu
Kazi nzuri inagusa sana haya nimaisha tunayopitia katika jmn
Clam umejitafuta saivi umeanza kujipata Mzee 🔥🔥🔥✌️✌️✅✅✅ Nakubali
clam nakukubali, sauti unaiwekaga vzr sana
Nipeni like zango🔥🔥🔥
Nawapenda sana team clam ❤❤ Mimi ,,kutoka Rwanda Kigali
Jaman kama munankubal kaka clam kama ninavio nkubali Mimi naomba like bass japo 20🙏🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Unajua hawa wanaigiza lakin haya mambo yapo kweli ayse
Am late from Kisii KENYA 🇰🇪 but nimefika
Hio nyimbo inayoimba nzuri sana❤
Niko number one hapa
Napenda warembo wa Tanzania bana
WANGAP MNASEMA BIG BOSS IENDELEE🤎
Jaman ni ngum xan kwa kizaz hik kupat story kama hz
Best one
Noma sana nipen like zangu
Dar yaan ww mwengine kabisa big up sana👍👍👍💯💯
Je suis au Congo , mais franchement clam connais bien faire la comédie !!! Félicitation à toi mon frère !!!
Umejua kuifanya nzuri sana
Love from Sweden 🇸🇪 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇧🇮🙌🙌🙌🙌
Donloand
Nmekuwa wa kwanza naomba like zangu
sjawahi kumkubali msanii lakin wewe natia neno unajua kabsaa kuweka uhalisia wa maisha yetu your the best
Congratulations 🏃 kwa clam❤
❤❤❤❤clam never disappoint us❤❤we love you as your fans broo ❤❤
Ok
Kiongozi...mchawi anaua huku analiaaaa 😭😭😭
Vijakazi...uongo uwo, uongo uwo
Ilove ❣️ this song akiiiii
😂😂😂
Iyo noma kijana umeua
Wa kwanz mwnyewe😋😋
Huu wimbo hapo mwanzo kaimba nani 🥰 mbona nimeupenda
Kazi safi sana Clam nimeipenda ❤
Kali kinoma❤❤yani
Daaaah kimuu namuelewaga sasa popte alipo nampenda sana I love you kimu
Naenda nyumbaniiiii😂😂😂😂😂
Asante cram nimejifunza sio kila unae msaidia atafulahia maendeleo yako
Content nzuri
Msaada uwooooo clam vevo
Yani hi nimana kabisa binadamu tumuachie mungu tu ❤ hawana shukurani yani 😢
Can’t wait to watch part 2
This guy never disappoint us ❤❤❤
ww kaka ni balaa xan type vitu💯💯💯👍👍
Naijua iyo weka part2 tunakubali kazi zako kijana''
❤❤❤❤❤ 6:21 🎉
Swadakta 🎉🎉🎉🎉Natizama toka Kenya ❤❤❤Keep up niggah 🤝❤️
Najifunza mengi sana kutoka kwako ijapo nina uwezo wa kucheza na kundi letu changa la SONGAMBELE GANG
Hongeran sana Kwa kazi nzr
Waaaah!Mungu anipe pesa za kunitosha mahitaji tu nyingi sizitaki zinatoka mbali
Wa kwanza me naomba like
Hii movie inagusa uhalisia sana big up😍😍
keep fire burning 🤞🏽🤞🏽🤜🏾
Huyu mwamba GOD ambless 🙏😇
PIMPINAA INSIDE UNITED STATE OF MAMPONTENG USM 🔥💯❤️
Nh
Huyu mwamba noma like zang jmn
VEVO Im Wilson from KENYA napenda movie zako
Nyie napenda huyu bint anavyo igiza
Mzee wa kazi Clam
Félicitation mon grand frère l'ong Vie à toi
All the way from Russia keep it up guys,nice content plz upload part 2 as soon as possible ❤
ila msicheleweshe jaman,clam unatisha sana 💯 nakukubali
Kazi njema sana
Vitu vipya vipya harrier,mwonekano,story jamani likes zote zote by AshKhan
Congratulations bwana Clam 🎉🎈👏🥰🔥💯
Much love ❤️ ❤❤❤watching from Uganda 🇺🇬
You guys ni 🔥🔥🔥🔥
Yayee clam vevoo na mambo yake, Mwalimu wewee 1:13
🇰🇪👍
Wachawih cyo wat wanasaidiwah wao wanawaza kudidimiza watu tyuu 🤣🤣🤣
Kali sana
Dah ipo saf sana imetulia tuma namba 2 yake nimeipenda sana iyo
Imenigusa sana hasa maisha yangu na wazazi wangu hakuna amani kabisa namuomba mungu nisije kuishi maisha ya hivi
Nakubal sana kazi yako from Uk
Kazi 1 Safi Sana Ambayo Clam Hukuwah Fanya Kama Hii Ili Ni bonge la idea Hakikisha Mwendelezo Hautuangush
Wow sasa clam usicheleweshe sehemu ya pili maana mgaanga kicheche sijui kafikia wapi nae
Big Boss chapa namaharage nipeni mauwa yangu wa kwanza
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
❤Hobgera sana ndugu kazi yako ni nzuri sana kwa mtu anayetambua,Mungu akuinue zaidi nami natamani siku moja niigize na wewe kwani nami ni mwigizaji na nina movie nyingi sana za kucheza ijapo ndo nimeanza,ila Mungu akubariki sana ndugu
Wow 🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Nomaaa 🔥🔥
Kutoka kenya clam na jeshi yake kazi nzuri na sion dada kim ule balck beauty 😂😊
Clam unafanya vizuri sana lakini humalizi epsod unaziishia njian
nakubali mjomba
❤Hongera sana bro nikuombee sana kwa mola akuinue zaidi make nami ni mwigizaji natamani nifike hapo ulipo ila naamini Mungu atanisaidia.Mungu akubariki sana ndugu
Nimeiangalia movie hii. nimefarijika sana ,,kwa viwango vya uigizaji.. mmefanya vizuri . keep it on .
An brooo ii ume reflect jamii zetu za vijijini huwa hawapend maendeleo inabd ufikilie swala la tamthilia tuipeleke sinema zetu🎉🎉🎉😊
I'm Congolese but i congratulate Mr clam vevo good job
Huyu demu anae nyima number cram nampenda sana❤
representing Kisii Kenya Clam you are the best in Tz when it comes to Acting Mkuu i think everyone is waiting part 2👍👍
Mbona dem ni jini boss
Kazi nzuri sana!! Msicheleweshe part two
Unajua sana dogo elimisha jamii bana sio yule wa upwiru tuuuuu
Kaka Unajua sana
Vizuri sanaa kaka
Nimeona nimerauka kumbe wapi watu walikesha 😂😂
Nipeni like zangu
We mkali unajua sana