MWALIMU MGENI ❤️ /14/

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • #babajoan #school #comedy

ความคิดเห็น • 994

  • @Dareyoman
    @Dareyoman 11 หลายเดือนก่อน +135

    Jamani selikali ya sanaa Tanzania hii series inahitajika apewe zawadi nzuri baba joana maana alichokifanya amefundisha vitu ambavyo wasanii wote wanaofanya online movie hawajawahi fanya mwaka 2023 Niombee muangalie kwa jicho la pili inshaalah tumejifunza mengi kupitia hii 😢😢

    • @stellahwilfred5762
      @stellahwilfred5762 11 หลายเดือนก่อน +2

      Kabsa❤❤❤

    • @JescaChidichiduo
      @JescaChidichiduo 11 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa

    • @AndersonKalimbo
      @AndersonKalimbo 11 หลายเดือนก่อน +2

      Mr tusufile hongera sana hebu nimabie nimsanii Gani aliimba hiyo nyimbo❤❤❤❤

    • @alisabyozani9796
      @alisabyozani9796 11 หลายเดือนก่อน +1

      Tupo hapa ❤

    • @aminaabdi-tb8bx
      @aminaabdi-tb8bx 11 หลายเดือนก่อน +1

      Honger San kwako baba joan

  • @AluleaAdrian-rm5qh
    @AluleaAdrian-rm5qh 11 หลายเดือนก่อน +463

    Walio fatilia iyi serie mpaka mwisho gonga like hapa hongera sana kwa wote waliofanya ichi kitu

    • @Olebee
      @Olebee 11 หลายเดือนก่อน +3

      🙏💪🔥🔥✌

    • @kilaboyjuma1430
      @kilaboyjuma1430 11 หลายเดือนก่อน +1

      🎉🎉🎉

    • @fatmaalbahri1846
      @fatmaalbahri1846 11 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @beatricenagudi7623
      @beatricenagudi7623 11 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

    • @christinekendi1719
      @christinekendi1719 11 หลายเดือนก่อน

      Pia mim namupenda sana mwalimu mgeni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @itikamwasimanga4202
    @itikamwasimanga4202 11 หลายเดือนก่อน +7

    Mwalimu Mgeni we ni star sana kiukweli hongera unajua sana utafika mbali

  • @timothytuluto
    @timothytuluto 11 หลายเดือนก่อน +9

    Yaani kama kuna kipindi nimekipenda sana ni hii filamu ya "Mwalimu mgeni"kwa kweli nimekukubali sana Baba Joan!!!Season 2 ikuje kwa haraka basi tunaisubiria kwa hamu❤❤

  • @rashidsaidsleiman231
    @rashidsaidsleiman231 11 หลายเดือนก่อน +38

    Daah, kwakweli hongera sana @BabaJoan nimekufatilia mwanzo mpaka sasa japo kuwa sijawah kucoment ila acha nisiwe mchoyo wa fadhila, namuomba mungu akubariki na azidi kukunyanyua ili ufike mbali zaidi ya hapo maana unakipaji sana kazi zako nzuri kwanza zinafunza na pia zinaelimisha hivyo bas muhimu jitihada zaidi uzidi kuonyesha kipaji chako zaidi na usikate tamaa mungu atakusaidia
    ........ pia nimesikia wimbo mwisho wa hii film naomba Jina la wimbo 😊😊😊

  • @HashimMakungu
    @HashimMakungu 11 หลายเดือนก่อน +13

    Mwalim mgeni unakitu utafika mbali sana mungu akubariki inshallah

  • @JOSEPHOMUKATU
    @JOSEPHOMUKATU 11 หลายเดือนก่อน +18

    🇰🇪🇰🇪 tumekuwa pamoja tangia episode ya Kwanza Hadi Sasa....Nmepata funzo kuu. Hongera kwa mtunzi.

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 11 หลายเดือนก่อน +50

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI, naitaji sapoti yenu wapendwa munipatie ma likes jameni

  • @JosephatNyantika
    @JosephatNyantika 11 หลายเดือนก่อน +17

    Hi baba Joan umenikumbusha mambo mengi sana enzi hizo nilipokuwa shule ubarikiwe sana ,❤❤❤ tuko pamoja🔥🔥🔥🔥

  • @RehemaMerlin-hu4xw
    @RehemaMerlin-hu4xw 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mwalimu mkuu kaona aibu mana aliende kuchochea Kwa afisa elimu kaz nzur Baba Joan asant Kwa movie nzur ya mwalim mgeni nimejifunza mengi

  • @lydiahnyamokami5058
    @lydiahnyamokami5058 11 หลายเดือนก่อน +21

    Mwalimu mgeni nimefurahiswa na wimbo wko wa msamaha ongera sana kwa mafundosho yenu ❤❤❤

    • @vellesticjames9064
      @vellesticjames9064 11 หลายเดือนก่อน

      Vipaji😂

    • @VirgilioMohammedBacarSabinavir
      @VirgilioMohammedBacarSabinavir 11 หลายเดือนก่อน

      Yanii ni mafundisho WA aliyajuu nimefurai Sanasa,nakuomba kazi yandalee,,,,Sasa mimi ninaswali,iii mimba ya fetyy itakuaje kwasababu mume ndyo tayali amikamatya...

  • @SaumuRuwa
    @SaumuRuwa 11 หลายเดือนก่อน +9

    Waiting for season two na mrembo nyoka pia mlete season two.mwalimu mkuu ametorka aibu mana pia alikua hampendi mwalimu mgeni 🎉🎉🎉🎉❤

  • @maalimali5513
    @maalimali5513 11 หลายเดือนก่อน +10

    Safi sana nimeipenda na Nadhani kila shabiki kaipenda. Kwa kweli mnatuelimisha sana katika maisha kupitia hizi tasnia za uigizaji. Hongeraaa.....😅😅😅❤❤❤

    • @NicodemusKithi-xe7mg
      @NicodemusKithi-xe7mg 11 หลายเดือนก่อน

      Pongezi sana nyote mlio husika kwa hii movie imenifundisha mengi sana jinsi ya kukaa na jamii na pia mahadui

  • @lucypaulo9238
    @lucypaulo9238 11 หลายเดือนก่อน +38

    Leo wa Kwanza naombeni like zenu hata kumi tu jaman 😢😢😢

    • @bishashatv944
      @bishashatv944 11 หลายเดือนก่อน

      kwenye hii Chanel?

  • @joss.nkilio.3537
    @joss.nkilio.3537 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye Movie kiukweli washiriki wote mmefanya vizuri sana Big up sana kwa Baba Joan a.k.a Mwalimu mgeni👏👏👏👏

  • @MakoriHazael
    @MakoriHazael 11 หลายเดือนก่อน +3

    Infekuwa kwa uwezi wangu singekumbali iishee, mwalimu mgeni alikuwa ananipea moyo hata kama nko kwa machungu ,,naomba mkirydishe baada ya wiki Moja🙏🥰🥰,na imekuwa kielelezo kwa jamii kupitia mwalimu mgeni , kwa njisi au namna ya kuishi na watu katika jamii

  • @MohamediShirazy
    @MohamediShirazy 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ahsanteni sana KWA filam nzuriiii sana Allah awajalie maisha marefu na ubunifu mwingine ufanyike mtu toleee nyingine tena by moudy shirazy singida

  • @ezekielmothoka727
    @ezekielmothoka727 11 หลายเดือนก่อน +15

    Hii ni tamthilia nzuri sana. Hongera baba Joan. From Kenya.

  • @OsmanDembele-uu6ir
    @OsmanDembele-uu6ir 11 หลายเดือนก่อน +1

    Duh kweli tumejifunza mengi kupitia Tamthilia hii hongera Baba Joan Kwa kazi nzuri

  • @lewischerus1313
    @lewischerus1313 11 หลายเดือนก่อน +21

    At least there's season 2, applause to the whole crew

  • @JkyYamabwe
    @JkyYamabwe 11 หลายเดือนก่อน +68

    Congratulations, nafurahi kabisa kwa kazi kubua ya mashauri kabiyi. Congo DRC, tuko pamoja

    • @allymwinjuma4922
      @allymwinjuma4922 11 หลายเดือนก่อน

      Nice work

    • @FrancisKimote-uf7te
      @FrancisKimote-uf7te 11 หลายเดือนก่อน

      Much inspiring congratulations 👏👏👏; from kenya

    • @kaserekambafumoja5005
      @kaserekambafumoja5005 11 หลายเดือนก่อน

      Brother unatokea DRcongo sehemu gani? Nami Niko congo

  • @MaryamJumwa-ez3xl
    @MaryamJumwa-ez3xl 11 หลายเดือนก่อน +16

    Woow.... Congratulations babajoaa.... Watching from 🇰🇪.... Eagerly waiting for season 2....❤❤❤

    • @youngmum3115
      @youngmum3115 11 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤

  • @Beatrice-z4c
    @Beatrice-z4c 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana mwalimu mgeni nimefatilia kipindi kutoka mwanzo hadi mwisho, kumbe pia ww unakipaji ndio maana ulikuwa unapenda kusikia vipaji vwa wanafunzi. Nasubiria season 2 nikiwa saudi

  • @ngaovevo2278
    @ngaovevo2278 11 หลายเดือนก่อน +8

    This series deserves an award🔥🔥🔥Maua yangu kwenu from Kenya🇰🇪

  • @emmanueloinoth
    @emmanueloinoth 11 หลายเดือนก่อน +1

    TUNAKUSHUKURU KWA KAZI NZURI NAAMINI UTAJIPANGA TENA IPASAVYO. NA UTARUDI UKIWA UMEJIPANGA ZAIDI YA HAPA MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI TULIANZA KWA HUZUNI NA TUMEMALIZA TUKICHEKA/TUKIFURAHI NAWAPA PIA HONGERA WATU WALIOKUZUNGUKA HAKIKA WANAJUA BILA KUMSAHAU DIRECTOR HAKIKA AMEWEZA GOD BLESS YOU MY BROTHER BABA JOAN ❤❤ PIA HUYO KIJANA ANAEIMBA ANAJUA SANA NA ANAJUA SANA SANA

  • @SalumuMrimbo
    @SalumuMrimbo 11 หลายเดือนก่อน +5

    Gongen like ataka kumi maan ii movie ya mwalim mgen nimeipenda San nazan wot 2meipenda

  • @godfreymbaka
    @godfreymbaka 10 หลายเดือนก่อน +1

    kweli Mwalimu mgeni hongera kwa kazi nzuri yenye maalifa na mafunzo nakwombea Mwangaza huwe mbele yako.

  • @C_odongo
    @C_odongo 11 หลายเดือนก่อน +26

    The Truth will always set us free and separate us from evil intention.
    Pongezi kwa kazi safi bomba!

    • @jairuswangila1846
      @jairuswangila1846 11 หลายเดือนก่อน

      Natokea Kenya , mwalimu mgeni napenda kazi zako ,nakuombea mungu uzidi kuinuka zaidi,unatoa mafunzonmengi katika uhalisia wa maisha,uwe na moyo wa unyenyekevu mungu anakupeleka mbali❤❤

  • @BarickYohana
    @BarickYohana 11 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤Mungu akupe maisha marefu Sanaa kwakwel umenifundisha mengi Sanaa kwenye maisha haya hasa kumuheahimu Kila mtu kwenye haya maisha uishi maisha marefu kaka

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 11 หลายเดือนก่อน +3

    HONGERENI SANA TEAM NZIMA YA MWALIMU MGENI Mmefanya Kazi NZURI SANA Kwanzia Sehemu ya Kwanza Mpaka ya Mwisho... BIG UP TO YOURSELVES 👏👏👏👏👏

  • @loiceinavalia1188
    @loiceinavalia1188 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nimejifuja kusamee msamaha ni wamaana Asant sana wote mlio tuandalia tuko pamoja nawapenda wote ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @collinskimtai4432
    @collinskimtai4432 11 หลายเดือนก่อน +5

    Congratulations 👏👏,, iko na mafunzo mazuri sana tena zaidi,, tunawapenda sana na tunaendelea kuwatazama tukiwa kenya,,

  • @LucyMwangi-n1l
    @LucyMwangi-n1l 11 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani baba Joan umenitesa mke wangu kashindia mwalimu mgeni mala kama mia 😢😢www mwalimu una😅😅😅😅😅Sha sana🎉🎉🎉🎉congratulation keep up father keep up

  • @JulianneMwende
    @JulianneMwende 11 หลายเดือนก่อน +7

    Congratulations 👏👏 nimefuatilia ady mwisho💖this is impressive 💖💖

  • @Lilylove-y1j
    @Lilylove-y1j 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nmefurah Sana... Hongera baba joan kwa Kaz nzuri... Nlkuwa nanyi mwanzo had mwisho❤

  • @SeiphMkwizu-iz8ed
    @SeiphMkwizu-iz8ed 11 หลายเดือนก่อน +3

    Leo nimekua wa kwanza naomba maua yangu baba john

  • @futuremilionnaire3136
    @futuremilionnaire3136 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kabisa namimi nime penda iyi tamsiriya baba joar mimi nimekuwa shabiki wako number moja toka DRC Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @AishaNassoro-k3i
    @AishaNassoro-k3i 11 หลายเดือนก่อน +3

    Naipenda kwanin inaisha

  • @bentaadhiambo82
    @bentaadhiambo82 3 หลายเดือนก่อน +1

    I like your videos baba Joan..yamenitoa machozi nikifikiria nilivyo teseka kwa sababu ya uchawi..you are a good teacher

  • @SeifhYusuph
    @SeifhYusuph 14 วันที่ผ่านมา +1

    Aisee hii move mmetishaa Sana kuanzia mwalimu mgeni na kikosi chake chote mmetisha by yusufu kïñyøgøly kutoka kisemvule mpera moja

  • @omaryyusuph2106
    @omaryyusuph2106 11 หลายเดือนก่อน +7

    Walipenda season 2 itoke ata kesho tujuane kwa like

  • @Zaharamohamed-xr1rn
    @Zaharamohamed-xr1rn 11 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana jinsi ulivyoigiza naimani walimu wanaofwatilia hii watajufunza mengi sana kutoka kwako ili kukuza sekta ya elimu Mungu Akubariki sana mwalimu ufanye utulete movie nyingine ❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @mustamomustamusta9788
    @mustamomustamusta9788 11 หลายเดือนก่อน +5

    We are waiting season 2 from kenya actually we have learnt alot..... may Allah be your director and protector to whenever and whatever you may be doing InshaAllah

    • @RichardKiama
      @RichardKiama 11 หลายเดือนก่อน +1

      Tujifuze na mwalimu mugeni nimweje subira hakasiriki upesi Hana mripuko ya hasira na nimuvumilifu somu muzuri kwetu

  • @lilimoswambu9934
    @lilimoswambu9934 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefatilia kutoka mwanzo hongera sana 👏👏👏👏🎉🎉🎉🎉🎉 mpenzi mtasamaji kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @abdullkombo3875
    @abdullkombo3875 11 หลายเดือนก่อน +2

    Movie nzuri nazani wote tulofatilia tumeenjoi tatzo mwalim magesa kwenye kushtuka hayuko vizuri

  • @odworwilliam3631
    @odworwilliam3631 11 หลายเดือนก่อน +7

    It has been so wonderful thank you beyond my limits. You people, your s incredibly exceptional.

  • @GabuuJoseph
    @GabuuJoseph 11 หลายเดือนก่อน +1

    Naipongeza sana timu ya mwalimu mgeni kwa kazi mliyoifanya kwenye movi hii kutoka ep 1 hadi 14..Mungu awabariki sana inafurahisha sana hii season..pia nipo sambamba nanyi kwenye kivumbi kingine..NEVER GIVE UP

  • @ronnyBMsaniithebigboy
    @ronnyBMsaniithebigboy 11 หลายเดือนก่อน +4

    Kwani inafikaje mwisho haraka hvi??? I thought itafika episode 30.. waau kumbe Kuna season 2 😅😅😅am happy now

  • @mussakizajohnson9646
    @mussakizajohnson9646 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa fundisho
    Tume jifunza mengi.yajayo yatafuraisha zaidi.
    Watching from Birchenonught-bridge 🇿🇼 zimbabwe,,,
    Cross border machipanda 🇲🇿
    We are together🇿🇦
    Estamos juntos 🇲🇿
    Nous sommes ensembles, 🇨🇩
    Pamoja sana 🇹🇿
    By international 🇨🇩💪✊🙏 connecting africa

  • @masudymnonge4983
    @masudymnonge4983 11 หลายเดือนก่อน +4

    Hakikaka imefana Sana mungu akusimamie Katka KAZI zako🙏🙏

  • @AbdillahMngoya-zj5or
    @AbdillahMngoya-zj5or 11 หลายเดือนก่อน +1

    safi sana hii move imenilkumbusha mbali sana haswa ina uharisia wa shule kabisa haswa huyo mwl mgeni anae fundisha bila kitabu haswa masomo ya science amenikumbuka walimu wangu 1 Patrick madiwa now yupo mara natumain wanafunz wa huko wana enjoy sana namba mbili mwl mayewa mzigua wa handeni tanga mazingara (mkata) nawakumbuka sana walimu wangu pamoja na mwalimu wenu enginear Rama maarufu rama matawi

  • @JamesNjoroge-u3h
    @JamesNjoroge-u3h 11 หลายเดือนก่อน +3

    waoh kazi nzuri kweli kweli

  • @IshakaMohd-t5c
    @IshakaMohd-t5c 11 หลายเดือนก่อน +1

    Aise nimeipenda inatuelimisha sana ongera ndugu mtungaji wa filamu hii Allah akupe maisha marefu Love you

  • @adidjastamili6389
    @adidjastamili6389 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kabisa kazizuri nimeifatiliya mwanzo mwisho ongereni kwaote kabisa😘 mimi nafata nikiwa congo bukavu

  • @bombaali6304
    @bombaali6304 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Kwa KAZI yako mzuri sana utawafunika sana Allah atakupa nguvu uko vizuri sana unajifunza mengi sana na jamii itajifunza mengi sana hora sana

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 11 หลายเดือนก่อน +10

    Km umekua n mm kwa mwalimu mgeni kwanzo adi mwsho like apa mm ndio wa kwanza Leo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💞💞💞💞💞💞💞💞💞

  • @paustine5590
    @paustine5590 11 หลายเดือนก่อน +1

    Waaaah mungu wangu baba Joan umeimba Hadi nimetokwa na majozi kuringana na message ya wimbo unaoimba 💪🤝🙏kutoka Kenya nimejufunza more about this video thank you.

    • @maalimali5513
      @maalimali5513 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio hata mimi nimeupenda huo wimbo unahuzunisha unagusa sana moyoni

  • @sarasara187
    @sarasara187 11 หลายเดือนก่อน +3

    Very good job honestly & touching good job @baba joan all the best ahead more successful

  • @MackRagavedra
    @MackRagavedra 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Kwnu,, Piah Hongera Magesa , Kuna kitu unacho Jitahd, Kaza Buti, Jiamini, Usikate Tamaa

  • @IreneJebiwot
    @IreneJebiwot 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nafurahixhwa xna na upendo kutoka kwa wanafunzi kwako. Patronize pia aendelee vivyo hivyo🎉🎉🎉❤❤❤

  • @joshuanyandega2360
    @joshuanyandega2360 11 หลายเดือนก่อน +4

    Keep it up brother, sky is the limit, hav4 watched from episode 1 up to episode 14. Joshua nyandega ftom kenya🇰🇪

  • @theetrendingsisters2546
    @theetrendingsisters2546 11 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana imeweza sana hii series yaani bonga la story big up sana Baba Joan Kenya tunakuwelewa sana

  • @AnstitchVEVO
    @AnstitchVEVO 11 หลายเดือนก่อน +3

    I'm follow from USA, Tanzania l appreciate for funny 👍👍👍

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi kama mimi naona kama huyu jamaa anajitahidi na bila shaka atafahamika mbali mbali sana 😢😢😢😢. Na hiki alichokifanya kiukweli wengine wanashindwa kukikamilisha❤❤😢😢😢 hongera sana mtusivile😢😢❤❤

  • @maxmiliankadawiibalaja2198
    @maxmiliankadawiibalaja2198 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu Awabariki Sana Awape Wepesi Wa Kutengeneza content za kuelimisha Jamii 🙏

  • @patrickbanyifo4064
    @patrickbanyifo4064 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali kabisa kwamba hatawewe mwalimu mgeni unakipaji kweli. Courage sana kabisa

  • @RAJJOHNSONS
    @RAJJOHNSONS 11 หลายเดือนก่อน +6

    baba Joan u're talented 😢😢😢😢😢

  • @kambandefusaidi6966
    @kambandefusaidi6966 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bonge Moja la kazi nimefuatilia mwanzo mwisho 🤝🔥🔥🔥

  • @PeterSimbeye-l6n
    @PeterSimbeye-l6n 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mnaacha kuview mnakimbilia tu mm wakwanza mm wa kwanza

  • @hellenobwogi472
    @hellenobwogi472 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wow amazing i have learnt alot be blessed even the Bible says clearly say the truth and it will set you free

  • @elsanane8721
    @elsanane8721 11 หลายเดือนก่อน +7

    Parabens pelo trabalho, continue assim chegará longe❤❤❤❤

  • @issagasana6633
    @issagasana6633 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nafurahi sana kwa mchezo wenunawafata nikiwa Rwanda Gisenyi hongera

  • @AbdulShemtandulo
    @AbdulShemtandulo 11 หลายเดือนก่อน +2

    Naipenda sana hii series yaani inafrahisha na inafundisha hongereni

  • @MwajumaHatibu-v8k
    @MwajumaHatibu-v8k 11 หลายเดือนก่อน

    Daa ndoo haienderei Tena jamani nawakati imefikia sehemu mzuri sana hayeni bwana IRA bado tunawapenda sana🎉🎉🎉🎉🎉

  • @leecy016
    @leecy016 11 หลายเดือนก่อน +9

    Congratulations 🎉❤

  • @AishajumasaidAishajumasaid
    @AishajumasaidAishajumasaid 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ni movie mzuri sana ina mafunzo mazuri sana kazi nzuri waliyo ifanya ❤❤

  • @mercysialo1406
    @mercysialo1406 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu mgeni nakupenda....kazi nzuri

  • @EvaristDeusi
    @EvaristDeusi 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mbn me huwa sipati like jamani

  • @Caroline-i7j3u
    @Caroline-i7j3u 7 หลายเดือนก่อน

    Woow this is wonderful,you people you were talented , especially mwalimu mgeni congratulations good work keep it's up,may God continue to expand your talents,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 but watching from Saudi Arabia

  • @MwikaliKaranja
    @MwikaliKaranja 11 หลายเดือนก่อน +4

    Watched from EP 1 to the last ep Soo nice movie

  • @عايشهعلي-و5ع
    @عايشهعلي-و5ع 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda sana nyote kazi nzuri sana maa shaa 🎉🎉🎉

  • @DianaMaiko-z9k
    @DianaMaiko-z9k 11 หลายเดือนก่อน +4

    Wow beautiful episodes with lessons learnt

  • @robertokari3736
    @robertokari3736 11 หลายเดือนก่อน +2

    Congratulations baba Joan kwa funzo nmepata kwa hii filamu

  • @kimvevo255
    @kimvevo255 11 หลายเดือนก่อน +10

    killed it my brother 🎉🎉🎉

  • @ayshaaysha3489
    @ayshaaysha3489 11 หลายเดือนก่อน +1

    Djamani najikuta Na lia kwa.nyimbo ya mwalimu mgeni.

  • @AminaHamissi
    @AminaHamissi 11 หลายเดือนก่อน +9

    Nimekua wa kwaza naomba like zangu wapenz wangu 💋💋💋

  • @hafsahmassemoh3598
    @hafsahmassemoh3598 11 หลายเดือนก่อน

    Wow ma sha ALLAH ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹maua kwa Wing maana kaz imefanyika tu kiutaratib na utamu ndan Asanten nyote much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🤲🤲 ALLAH Awazidishie vipaji vyenu vionekane na kuskika zaid Ongeren team Baba Joan 😊😊😊😊

  • @VJGABBY-rr7bo
    @VJGABBY-rr7bo 11 หลายเดือนก่อน

    Sijawh ku comment kwa youtube but hii ya mwalim mgen imenfanya n comment broo big up sana kwa kazi nzuri unayo ifanya mungu azid kkupa nguvu utuletee vitu vitamu kama hivi

  • @Mwanamkasi-s5e
    @Mwanamkasi-s5e 11 หลายเดือนก่อน

    Wee mwisho w ubaya aibu kweli mwalim tusvile icho kisong nikee ntakihitaji siku chache kuna mtu anaumbuka kma mwali makingi😅😅😅😅,hongereni sana jmni tumejifunza kitu kutoka kwenu mungu awaongee vipaji vyenu inshaallah. From kenya 🇰🇪 love moo❤❤❤

  • @kelvinrichard2240
    @kelvinrichard2240 11 หลายเดือนก่อน +1

    We jamaa si umesomea mpwapwa ttc? Hongera sana umepga hatua kubwa 👍👍👍

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 11 หลายเดือนก่อน +1

    Leo nimechelewa jmn kazi zimenibana sana ila siombaya maua yenu munadupa mambo kwa wakati ❤❤❤❤

  • @Ushindieliabdi-qe1en
    @Ushindieliabdi-qe1en 11 หลายเดือนก่อน +4

    Cool ❤❤❤

  • @patrickmzungu5169
    @patrickmzungu5169 11 หลายเดือนก่อน

    Nimefuatilia hii tamthilia kutoka mwanzo . Nimejifunza mengi kama jinsi ya kuishi na watu katika mazingira ya kazi. Much love❤ from Kenya 🇰🇪

  • @taucjumanne1953
    @taucjumanne1953 11 หลายเดือนก่อน +9

    Congratulations to all the organizers

  • @GeofreyOtieno-vo3rz
    @GeofreyOtieno-vo3rz 11 หลายเดือนก่อน

    Thanks bro kazi Safi nmefatia tangu episode 1 mpaka mwisho, am a big fun of you from 245 side, nkupenda bure kakaangu

  • @rolenyjames8917
    @rolenyjames8917 11 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri hongera sana uko vizuri sana hongera yani nimetumia kama vile kweli.

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 11 หลายเดือนก่อน

    Pongezi kwa kaz nzr san msamaha ni kiti bora dunian mungu atufanyie wepes tuwe tunasamehe kila wakat inshallah 🎉🎉🎉🎉🤲🤲🤲🤲🥰🥰🥰

  • @Nechakhantv
    @Nechakhantv 11 หลายเดือนก่อน +2

    Waiting for season two brother imekua nzuri sana

  • @edwardkasmiri5460
    @edwardkasmiri5460 11 หลายเดือนก่อน

    Daaaah Leo mmejua kunitoa machoz Hakika Mungu azidi kuwainua zaidi katika kazi zijazo

  • @paulpaul380
    @paulpaul380 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana ndugu zangu Mungu awabariki sana mmetisha sana leteni vitu vingine❤❤❤