CLAM; NIMETEMBEA NA ZUCHU, ALIKUWA MPENZI WANGU,COMEDY INANILIPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 397

  • @dativaminja2278
    @dativaminja2278 ปีที่แล้ว +62

    MUNGU wangu kumbe katoto Ila napenda komedi zako nacheka sana,,, nikuombe tu kwenye maisha halisi usiwe muhuni vile kutembea na kila mwanamke usije ukapata ukimwi

  • @amourworldbeats
    @amourworldbeats ปีที่แล้ว +22

    Namkubal sana Clam Vevo,Anapenda Chapati Na Maharage

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t ปีที่แล้ว +32

    Kijana muelevu sana Mungu akupiganie kazi nzuri ❤️❤️

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 ปีที่แล้ว

      sana❤❤❤❤🤝🤝🤝🙏🏿🙏🏿

  • @aishalovesidibeaisha9156
    @aishalovesidibeaisha9156 ปีที่แล้ว +33

    Islam nakupenda sana ukiwa kwa comedy zako zinanifuraishaka sana🥰🇦🇪🇧🇮🇧🇮

  • @sharoncherotich352
    @sharoncherotich352 ปีที่แล้ว +17

    Clam anapenda chapati na maharage unamwuliza ka Ako na mpenzi 💔😂😂😂😂😂

    • @Elizabeth-k7b
      @Elizabeth-k7b 11 หลายเดือนก่อน

      Nataka kwenda nyumbani 😂😂

  • @janniffermary736
    @janniffermary736 ปีที่แล้ว +8

    Kumbe ni katoto, ndio maana anapenda chapati na maragwe😂😂😂

    • @suschiambuche
      @suschiambuche ปีที่แล้ว

      Clam I love you 😂😂😂😂

    • @JBK240
      @JBK240 ปีที่แล้ว

      Hii comment inachekesha ukiisoma kwa kiingereza😂

  • @habbibtymonah6912
    @habbibtymonah6912 ปีที่แล้ว +18

    Hapo kwa wema yani ninavyompenda huyo dada wema acha tuu ❤❤❤

  • @mlokaferdinand
    @mlokaferdinand ปีที่แล้ว +2

    Kicheche njoo u comment kwa mbwa huyuu

    • @innocentbarazire4558
      @innocentbarazire4558 ปีที่แล้ว

      Sasa ukimuita mwenzako mbwa wewe utatakuwa we 🇸🇪👉

  • @mwaminashosi5781
    @mwaminashosi5781 ปีที่แล้ว +32

    Clam hapendi waschana yeye anapenda chapati na maharage 😁😂😁😂

  • @elizabethikai1565
    @elizabethikai1565 ปีที่แล้ว +13

    🥰🥰 nakupenda buree clam am watching from Kenya 🇰🇪 much love ❤

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 ปีที่แล้ว +12

    Miye nakutongoza nakupenda saana ridhiwani💕💕💕💞💅

  • @bahatisaid7931
    @bahatisaid7931 ปีที่แล้ว +14

    One love clam from Kenya🇰🇪🇰🇪

    • @AloyseMafuru-z6b
      @AloyseMafuru-z6b 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤ daaah nimekupenda bureee uko vizuriii 2:09 2:24

  • @wambuievelynwaithira
    @wambuievelynwaithira ปีที่แล้ว +12

    Clam nakubali sana kazi nzuri hongera sana kana 🙏. 🇰🇪 🇰🇪

  • @castroydaimon3107
    @castroydaimon3107 ปีที่แล้ว +10

    Daaah! Wewe dogo unanifurahishaga sana!...Excellent! Keep it up

  • @samirahmawby3331
    @samirahmawby3331 ปีที่แล้ว +10

    am proud of you Clam,,,hujawahi kutongozwa Mimi Leo nakutongoza hadharani🥰🥰nakupenda mkakaaaa njoo ule Raha mtaa huu

    • @Baraka-i2g
      @Baraka-i2g 10 หลายเดือนก่อน

      Penda pepo yko haya ni ya dunia

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +25

    Hongera sana nakutakia kazi njema na mafanikio mema kwenye kazi zako mimi ni shabiki Kati ya mashabiki wengine tunakuombea dua songa mbele usirudi nyuma

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 ปีที่แล้ว +5

    Wee mtangazaji wacha kumharibu huyu kijana... msitake kuharibu vijana wa Bongo kwa ujumla kishakwambia hajawahi usitake kumharibiya Zuhura jina lake ha haaa lakini huyu kijana kakupate. We MDADA Kachukuwe certificate ya kuwafanyia watu INTERVIEW. Umefeli....tena

  • @rajabutimotheelulenda9195
    @rajabutimotheelulenda9195 ปีที่แล้ว +1

    Journaliste uhanze juwa kuhuliza mambo ya msingi.

  • @juliennenzeyimana3274
    @juliennenzeyimana3274 ปีที่แล้ว +6

    Mtoto mudogo wa 21 bado anatamani wa mama zake?eti wema? We Clam pita uku

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 ปีที่แล้ว +8

    Muongo wewe unamsingizia zuchu wa watu pumbavu zako

  • @eunicelorite
    @eunicelorite ปีที่แล้ว +1

    Kwenda uko 2000 ni 21years ama 23 hujui Mimi ni wa 2000 na nko 23years muwongo

  • @aishaz1
    @aishaz1 ปีที่แล้ว +2

    Usiseme katembea n wengi unaushaid gn waambie wakuonyeshe msg ndo useme zuchu anawengi

  • @kingshivv
    @kingshivv ปีที่แล้ว +4

    Bro let's keep moving, napenda kazi yako pia pia Mimi fun wako

  • @EstherMakau-ug9ps
    @EstherMakau-ug9ps ปีที่แล้ว +10

    You makes my day indeed loves you sana❤❤❤

    • @AbdurrahmaniDjumah-be2ew
      @AbdurrahmaniDjumah-be2ew ปีที่แล้ว

      Clam nimechoka kusubiriya bing boss Toka utoe ya8 zifwatazo sijuwe vipi

  • @Mtm_fam
    @Mtm_fam ปีที่แล้ว +24

    Wakwanza ku like nipeni like zangu

    • @ucjvvjcjjvih9934
      @ucjvvjcjjvih9934 ปีที่แล้ว +2

      RIZIWANI 💋❤( CLAM)💯unawaeza hauna mpizan😅😅😅🥰

  • @jeylanrashidi1468
    @jeylanrashidi1468 ปีที่แล้ว +1

    Alafu sema mnafake sana. Hana utajiri wa aina yeyote. Hata Ile hurrier sio yake. Ile hurrier ni ya jamaa anaitwa @RICHARD ASHERI SANGA sasa ina uhusiano upi Na Ridhiwan Juma??

    • @HadijaSule-x1q
      @HadijaSule-x1q 4 หลายเดือนก่อน

      We huezi fake ??si ufake na ww pia utudanganye una range sio shida zako😅

  • @williamernest8712
    @williamernest8712 ปีที่แล้ว +2

    Uyu mwamb anajua

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama3963 ปีที่แล้ว +12

    Clam at ur age unataman kuwa na mumama sepetu😂😂😂

  • @GeorgeUsele-kr6qk
    @GeorgeUsele-kr6qk ปีที่แล้ว +3

    Mlandiz unanikumbusha mbali sana nilikuwepo maeneo ya ruvu jkt hapo 😂😂

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +7

    HAHA nimecheka sana atii nawatongoza akntukana. Haha kwanini jamani munamtukana nae ni binaadam km wengine

  • @NafhatNassor
    @NafhatNassor ปีที่แล้ว +1

    Ufff mm ni shabiki wake lkn ananichosha sauti yake tuu km mlevii

  • @jamilajamila9682
    @jamilajamila9682 ปีที่แล้ว +8

    😂😅🤣🤣😂😂wadogo wanapenda wanawake wakubwa kuliko umri wao

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 ปีที่แล้ว

      Swadakta 😛🥰wenyewe wasema Hawana presha

  • @zulehaabubakar3574
    @zulehaabubakar3574 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe zuchu malaya kapandwa mdogo sana maana ww klam unamiaka 22 sasa huo muda muliodet mh mtihani

  • @puritykalasinga371
    @puritykalasinga371 ปีที่แล้ว +8

    Excellent Clam keep it🥰🥰🥰🥰 l love watching your video much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sharlharl5890
    @sharlharl5890 ปีที่แล้ว +8

    Waaah kweli Zuchu kiboko ya mjini😂kashapendwa na nashnash wake inatosha

  • @samsonmutuku1803
    @samsonmutuku1803 ปีที่แล้ว +9

    I do love your comedy shows keep it up from Kenya

  • @zazalareine257
    @zazalareine257 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe upo singlo clam mi nakupend bure unanivutiyag 🤣

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah nakupenda kijana wangu ridhwan nakuekea mschana wangu inshaallah

  • @aminambwana5294
    @aminambwana5294 ปีที่แล้ว +8

    Kumbe clam katoto hata maongezi yake yanadhihirisha maskini, Mungu akufungulie kheri na mafanikio zaidi bro na wakwako hajazaliwa mungu atakupa kiulaini

  • @Son_TV_Online
    @Son_TV_Online ปีที่แล้ว +7

    Nakukubali san mdogo wangu 💪😂😂😂

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 ปีที่แล้ว +7

    Uyuu zuchu mara Mr pimbi tena clam naye 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mariamnjama3963
      @mariamnjama3963 ปีที่แล้ว +1

      Pimbi n mtu naye kujpaisfa tu 😂😂 ndo maana akanyimwa kimo😂😂

  • @lizspiffy9055
    @lizspiffy9055 ปีที่แล้ว +6

    Nakupenda sana clam 😍😍from Kenya

  • @Victoria-b9s8d
    @Victoria-b9s8d 8 หลายเดือนก่อน +1

    🎉umesema una mpenzii mi nadai Uwe mpenzii wangu😂😂😂 anyway napenda komedi zako Sana zanipa furaa wakati Niko na wowote

  • @mwanajumanduni3375
    @mwanajumanduni3375 ปีที่แล้ว +6

    Nampenda uyu kjana nikimuona nahisi nimeona mtoto wangu Yan ana fanana sana na mtoto wangu

    • @mugemainyas5241
      @mugemainyas5241 ปีที่แล้ว

      Ukute baba mtoto wako alichepuka akamzaa huyu kijana.

    • @ummuramadhan1842
      @ummuramadhan1842 ปีที่แล้ว +1

      Nduni mbona kambae hili jina niliwai liskia,,,,sio upande wa ng'ombeni

  • @jackyjacob2105
    @jackyjacob2105 ปีที่แล้ว +4

    kumbe ww ni katoto hvo ila me nakupenda Jaman 🥰🥰😋🙌

  • @mamuu765
    @mamuu765 ปีที่แล้ว +1

    Clam nioe basi

  • @BatuheneAM19901
    @BatuheneAM19901 ปีที่แล้ว +1

    Eti unamtaka mwwanamke yeyote

  • @jescajosephmathias9432
    @jescajosephmathias9432 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza anadanganya kuanzia umri

  • @DarveedyFedrick-ub5je
    @DarveedyFedrick-ub5je ปีที่แล้ว +2

    Big up man. Uo ndo uanaume we nimuwazi sana broh. Wala so kama unatafuta Kik we funguka mwamb!!!

  • @Caffe-gx1hr
    @Caffe-gx1hr ปีที่แล้ว +9

    Clam ametulia Sana👍🙏🙌

    • @josephinewambua862
      @josephinewambua862 ปีที่แล้ว +1

      Napenda movie zao sana mungu akubariki Sana waenda mbali zaidi y hapo walipo

  • @djpassovertz..tunaishimaramoja
    @djpassovertz..tunaishimaramoja ปีที่แล้ว +2

    Mi napenda chapati na maarage😂😂😂😂😂😂Zuchu kumbe alikua demu wetu manina tutabaki kua maarufu tuu hata wakitutangulia..sema nawakuli nyie majamaaa from +254

  • @naswiheart5687
    @naswiheart5687 ปีที่แล้ว +1

    Mimi huwa napenda sauti yako tu.

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge ปีที่แล้ว +3

    Huu ni upumbavu kweli. Unajitapa Kia umetembea na zuchu kwani nisifa? Huoni haya KUTOA AIBU zenu mtandaoni? Nahuyo hako kabinti kanako KUHOJI nipumbavu sana.

    • @benjaminelias901
      @benjaminelias901 ปีที่แล้ว +3

      Kwahiyo loho imekuuma sana kala mzigo dogo kubali ukatae

  • @santamkutano159
    @santamkutano159 ปีที่แล้ว +1

    Njoo huku kenya tunakupenda pumbavu zako wapi mbwa gogo

  • @gm6526
    @gm6526 ปีที่แล้ว +2

    Aah mi clam natamani siku moja kuja kushuti na wewe siku moja

  • @jeanafricanboy6110
    @jeanafricanboy6110 ปีที่แล้ว +1

    Kwani big ni nani?

  • @MrJMtvcomedian
    @MrJMtvcomedian ปีที่แล้ว +3

    Mimi apa nawapenda sana mungu awape uwezo tunafurahia sana

    • @JGOZBERT2002
      @JGOZBERT2002 2 หลายเดือนก่อน

      Poa dogo njamja

  • @jamessimba749
    @jamessimba749 ปีที่แล้ว +5

    Huyu dada abadilishe KOFIA sasa hatujui kama za ndaaaan anabadilisha

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 ปีที่แล้ว +2

      Ahhhh kafeli....hata sijuwi nimuanze wapi 😂😂😂😂

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 ปีที่แล้ว +1

      Anatak mumzoee hivo hivo ili msimusahau

  • @ziporaa8570
    @ziporaa8570 ปีที่แล้ว +1

    Clam mimi niko single na naitaji mtu ambaye atanitunza na kunipa mapenzi ya kweli

  • @Jonas-qc9bz
    @Jonas-qc9bz ปีที่แล้ว

    Una jua uyo klam nichi kweli jamani nilijua Ana igiza kumbe kichaa, Sasa Kama ame mtomba suchu sisi Ina tuhusu nini, Yani uhuu Ni usenge

  • @HalimaChirspin-qo7ch
    @HalimaChirspin-qo7ch ปีที่แล้ว +1

    Kaz nzur kaka napend michezo yako unafany vzr san

  • @Equence123
    @Equence123 ปีที่แล้ว +2

    Clam kama mungu kakupa uwezo basi wasaidie ambao hawajiwezi😊

  • @matthiasde2700
    @matthiasde2700 ปีที่แล้ว +3

    Iyeeeeeee wemaaaa😂😂

  • @tinakhan2235
    @tinakhan2235 ปีที่แล้ว

    Mtu amuambie Cartoon ni msichana huku Kenya jamani.. mbona hauna ujumbe na maswali ya kweli

  • @JacksonVuga
    @JacksonVuga หลายเดือนก่อน

    Hongera boy kwakazi yako endelea hivyohvyo nafatilia sana comedy zako nikiwa 🇰🇪

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 ปีที่แล้ว +1

    We Katto Tuliya Bwana Achana Na Awo Watakuuwa

  • @VaannyPheny
    @VaannyPheny 2 หลายเดือนก่อน +1

    Clam big up

  • @JonsonBenjamin
    @JonsonBenjamin ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaha clam unachekexha kweli

  • @Rathe362
    @Rathe362 ปีที่แล้ว +5

    Nahenda nyumbani ✌️😅

  • @dayadaniel4968
    @dayadaniel4968 ปีที่แล้ว +3

    Haka katoto kanachekesha eti kanampenda wema baada ya chibaba ndio kenyewe😃😃😃

  • @jamessimba749
    @jamessimba749 ปีที่แล้ว +4

    HUYU DADA MASWALI HAJUI KUHOJI NDO MAANA SOME TIMES KANAJIBIWA VIBAYA

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 ปีที่แล้ว +3

      Mhhhh watu wanasomeya namna ya kufanyia watu interview..lakini Bongo wanatuletea vichekesho saa nyingine 🤣🤣😂🤣

  • @msafirimachibya-w3g
    @msafirimachibya-w3g ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅Ora vp muuni bigap san kak kwenye kaz zako 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @Baraka-i2g
    @Baraka-i2g 10 หลายเดือนก่อน

    Napenda comedy zako but usiwe Freemasonry

  • @MsafiriFuraha-hn1co
    @MsafiriFuraha-hn1co ปีที่แล้ว +1

    Mmmmmm

  • @joycenjuguna2002
    @joycenjuguna2002 ปีที่แล้ว +1

    Aki ww wachekesha kweli

  • @lonelyparent
    @lonelyparent ปีที่แล้ว +1

    Nafkiri umerukwa na akili wewe,wajitafutia umaarufu tu kujidai nimetembea na zuchu,soo

  • @leilaahmad
    @leilaahmad ปีที่แล้ว +1

    Wow

  • @mahirsin1094
    @mahirsin1094 ปีที่แล้ว +2

    Umezaliw 2000 muongo mbwa wew

  • @coasteredward561
    @coasteredward561 ปีที่แล้ว +3

    Kama so kenyewe nyoko baati yako

  • @shadakpotos482
    @shadakpotos482 ปีที่แล้ว +12

    Clam force à toi bro 👊✨❤

  • @MuyumbaKayite
    @MuyumbaKayite 3 หลายเดือนก่อน

    clam Vevo unacho ongea nikweli🇹🇿🇹🇿🇹🇿 mimi ni congomani 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 ปีที่แล้ว +1

    Unajisifia zinaa mtoto wa kiislam

  • @JumaShimende
    @JumaShimende ปีที่แล้ว

    Watanzania baadhi yao sijui nini kwan sivitu vya kawaida tu ktk makuzi? Minapenda kazi zake napenda anavyo jituma.tuzungumzieni habari za kazi mambo ya mahusiano hayatuhusu na hayana mana youote kwetu.

  • @JohaSalum
    @JohaSalum ปีที่แล้ว +1

    Bado mtoto sana huyo

  • @dijahmbinyo7301
    @dijahmbinyo7301 ปีที่แล้ว +4

    2000. Ndio miaka 21 jmn 😂😂😂😂😂. Acheni izo

  • @haidarykufakunoga5973
    @haidarykufakunoga5973 ปีที่แล้ว +2

    Clam acha uhuni wewe " hiyo akaze, akaze tu ili mradi aendelee kushikilia ujiti" ni mchomekeo kimtindo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +3

    Ila ikramu isipende sana kuwa na mahusiano ya wanawake wakubwa na hawa wasanii achana nao

  • @Halimamaere
    @Halimamaere ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂😂😂😂Ila clam bwana adi kwenye interview unachekeshaga aya chibaba kuja uone huku chimama wako anapedwa uku

    • @vanessamadialo1880
      @vanessamadialo1880 ปีที่แล้ว +1

      Ywabamba🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Halimamaere
      @Halimamaere ปีที่แล้ว

      @@vanessamadialo1880 😂😂😂😂atali

  • @marrialmary3510
    @marrialmary3510 ปีที่แล้ว +7

    🤣🤣🤣🤣🤣hii interview inabamba

    • @Halimamaere
      @Halimamaere ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂Nmecheka ajabu ananifulahishaga sana

  • @dennisvenant7357
    @dennisvenant7357 ปีที่แล้ว +1

    Naitaji jimama la mchongo Niko na nyege sana

  • @KalyalyaKasimu
    @KalyalyaKasimu 9 หลายเดือนก่อน

    Bwamdogo fanya kazi vimada watakushusha vyeo

  • @kamugishakaroti2569
    @kamugishakaroti2569 ปีที่แล้ว +1

    Ukovizul ila punguza utaira

  • @Jodrey1
    @Jodrey1 ปีที่แล้ว +1

    Wewe Clam 😂😂😂 ume tongoza paka Jenifer??? Uta uponza 😂😂😂

    • @neemabefore918
      @neemabefore918 ปีที่แล้ว +1

      Mm nakutakia SASA sana wewe Mtoto

  • @FaidhaOmary-v1n
    @FaidhaOmary-v1n วันที่ผ่านมา

    Mpenzi wa chapati na marage uyo

  • @loyceakuku6019
    @loyceakuku6019 ปีที่แล้ว +2

    napenda ucheshi wako sana CLAM

  • @WakaliWamadj
    @WakaliWamadj 8 หลายเดือนก่อน

    Ukweli Clam vv hanaongoza kbs kwa komedy

  • @sammykahindi2240
    @sammykahindi2240 ปีที่แล้ว

    Hapo kungekuwa na maharagwe inge kuwa poa

  • @rnjama
    @rnjama ปีที่แล้ว +1

    Nataka mawasiliano n clam

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 ปีที่แล้ว

    Clam umezaliwa mm ndio namaliza shule darasa la saba mweee

  • @zayanaalmarjibi4254
    @zayanaalmarjibi4254 ปีที่แล้ว +4

    Chibu kumbe anajua kapata, kumbe kapatikana
    Anadhani yeye ndio wa mwanzo kumbe kuna foleni nyuma yake
    Basi hata nyuma yake foleni ipo inaendelea
    Mzowea udalali hawezi kazi ya duka

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 ปีที่แล้ว +1

      Haaa haaaa nimeipenda... (mzowea udalali hawezi kazi ya duka).lakini sijuwi kama wengine wamefahamu....hapo..😂😂

    • @godfreytv.3633
      @godfreytv.3633 ปีที่แล้ว +1

      Hamna kitu apoooo

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 ปีที่แล้ว

      Wew siyo kwer hapo kadangany ili kupata content ya kutrend mjin