Ziyara ya Masalafi wa Tanzania kwenda kwa SHEIKH Rabii kumuuliza baadhi ya maswali mwaka 2007

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Ziara ya ya Masalafi wa Tanzania kwenda kwa SHEIKH Rabii kumuuliza baadhi ya maswali
    #ziara#raabii#qassimmafuta#Amyc#Ansaarsunnah#alhilaalymedia#raddi#uhizbiyyah#hizb#

ความคิดเห็น • 21

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy หลายเดือนก่อน +3

    Naomba kujua maulamaa wangapi ambao wategemewa katika umma wa kiislam kwasasa maana namjua sheikh Fawzaani,Na wengine wachache kama Huyu sheikh Rabii Allah awahifadhi.Namaanisha waliohai

    • @sadru5710
      @sadru5710 หลายเดือนก่อน +2

      shaykh sulaymaan arruhayliiy, shaykh Abdullah albukhaariy,muhamman bin abdilwahhaabi alwuswabiy...nk ni wengi...

    • @user-tm2zk5gn4e
      @user-tm2zk5gn4e หลายเดือนก่อน

      Yupo sheikh suleiman al ruhayli

    • @almasisadick9719
      @almasisadick9719 หลายเดือนก่อน

      Sheikh Abdul Muhsin Al Abbaad, Sheikh Abdul razzaaq albadriy,

    • @abuahlaam
      @abuahlaam หลายเดือนก่อน

      ​@@user-tm2zk5gn4e Ameuliza ulamaa sio mashekhe elewa swali

  • @ZuberiMohammed
    @ZuberiMohammed หลายเดือนก่อน +1

    balaka llahu fiyka shaykhuna

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 หลายเดือนก่อน +1

    بارك الله فيك

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 หลายเดือนก่อน +2

    Mngeweka Transmission ya Kiswahili

  • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
    @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂mtu aje kusoma kwa majahil kweli

  • @salafy3566
    @salafy3566 หลายเดือนก่อน

    Ilikuwa 2007?

  • @WakaliFashionTz
    @WakaliFashionTz หลายเดือนก่อน

    Mbona hamjib maswali mliyoulizwa na M,bacho au ndo kupotezea alaf huyo shekh naye anayakiwa ajib maswali kwa kusikiliz wengine kwasbb hayo maswali ni ya kujitakasa nyie vile mmeitwa majadida mnataka mpate fatwa ya kuwapa nguvu jibun maswali kwanza afu mdo mengine yaendelee sheikh rabii allah amhifadhi anatakiwa asikilize wote siyo atoe fatwa kwa sikiliz upande mmoja tu.

    • @AbuuSumayyah-rh7oi
      @AbuuSumayyah-rh7oi หลายเดือนก่อน

      Sio kila mbwa anaebweka hurembewa jiwe
      Wengine huwa ni koko kwahiyo hekma yke ni kumuacha tu ikisha wende na shughuli zako za umuhimu yeye akichoka atanyamaza mwenyewee

  • @Abuu-lr5bz
    @Abuu-lr5bz หลายเดือนก่อน +1

    Swali la ujanja ujanja acha talbiisi hapo hakuna swali bali nituhuma ili mtakaswe nyinyi majadida acheni ujanja dini haitaki ujanja

    • @khamisiabdallah8737
      @khamisiabdallah8737 หลายเดือนก่อน

      Inawezekana hata maana ya talbis hujui

  • @khamisiiddi2470
    @khamisiiddi2470 หลายเดือนก่อน

    Kiarabu chenyewe cha pongwe yani yani kibaaaaao mkiambiwa mje tuwafundishe lugha sisi masuufiyya hamtaki

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 หลายเดือนก่อน

    Majadida bwana

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 หลายเดือนก่อน

    Chanzo cha mizozo na watu wa sunna kukatana wenyewe kwa wenyewe
    Kama alivosema shekh bakri abuu zaidi