Kwa kweli mnachosha na mambo yenu hivi Mtume angekuwa hivyo dini ingesimama kweli kwa aina ya masheikh kama nyinyi mnatukera sana mmekosa kazi kazi kukosoana tu sijui sijui Salafia jadida ,sijui Salafia qadim mpaka mwisho mtajiuta nyinyi ndo masalifia hakuna cha Salafia jadida wala nni ssi wote ni waislamu ambao tunafuata maamrisho ya Allah kwa kupitia Mtume Muhammed S .A.W na waislamu wote wanafuata maswahaba na ma maimamu baada ya maswahaba.Acheni mipasho katika.mambo ya dini mnatukera.
Mafuta toka akasome yemeni na mdogo ake walivyorudi tz wameleta fitna kubwa na kuvuruga umoja wa sunnah kaleta fitna kweli kweli akaanza kupiga vita ansari sunnah, tz na kuwatowa katika ahlsunna na kuwasingizia mambo mengi ambayo hayana dalili na kujiona yey pekee ndo salafi na kikundi chake kama dini yake vile tunawauliza wanaojinasibisha na huo usalafi wema walotangulia ndo waliishi hivyo katika uislamu wao walitoana katika sunna na mwenendo wa mtume ikiwa mtu kakosea jambo dogo unaruksa gani ww kumtoa katika man haji na mwenendo wa mtume sasa hawa kina mafuta ndo wamekuja na usalafi wa aina hii wakiambiwa wamekuja na fikra mpya za usalafi wanakanusha hamna wakati tunaona matendo yenu yako mbali na usalafi usalafi ndo kutaja aibu za mwislamu mwenzio itaqi laa muogopeni allah enyi watu
Assalam alaykum warahmatullah wabarakaatuh...Mcheni Allah ukweli wa Kumcha.Hakika Allah anashuhudia Nia na nafsi zenu. Kila kukicha daawa zenu ni zq kuwagawa na kuleta kufarikiana ktk uislam Mnabandikana Majina na Chuki waisla kwa waislam jila uchao mara Masufi ,Majadida na n.k haya Mtayajibu mbele za Allah....Mnachukia baadhi ya waislam na kuwapiga mapande, Wa'ataswimuu bi hablillahi jamiaa.........Hii Aya myaifanyia kazi lini?????????
Ndugu zangu na mashehe zetu . Tukumbusheni DINI YETU sio kila siku kukosoana mnakua kama mmetumwa na wasio kuwa waislam . Mtume s.a.w Hakua salafi wala sufi wala salafi jadiidu wala walaaa wala . SIO MAWAIDHA hayo . SOMESHENI ELIMU KAMA HAMNA VIREJESHENI VYOMBO VYETU . tushachoka tushachoka Tushachoka
Jamani nyinyi wote NI waislam au mmojawenu ktk nyinyi NI kafiri?mbona mnadhalilishana hivi?ivi ndivyo wakina imam shafii,imam hambal,walivyokuwa wakitofautiana ndivyo walikuwa hivi kama mlivyo?
@@FarisiAhmada shekh wengine hishima na hikma hawana waropokaji ovyo ovyo kama kina mafuta sasa wafuasi tutawaheshimu vipi ikiwa wao wamelalia fitna tuuh, kuwavunjia watu hishma na watu pia watamvunjia heshima
@@husseinazizi1275 Mimi sijauona ttz ndio Mana niandika hivyo na ujue Mimi ni miongoni Mwa wanafunzi niliyepitia na kusoma kwa sheik markazi pongwe sio kwamba ni mtu wa vichochoroni niliuekurupuka ndugu nimeandika kitu ambacho sheikh amekisimulia na hakusema amezuliwa na kitu ambacho kimetokea wakati akitafuta elimu katika nchi ya saidia Rabia Sasa ebu nielezee tatizo uliloliona ndugu
Nyote mawahabi mutajuana eti wanajiita masalafi hata Salim Baraiyan anakutaja na wewe kwa ubaya nyote ni pote moja la mawahabi Allah anawafedhehesha mmoja baada ya mwengine kila mmoja kati yenu Ana madhaifu yake na kati yenu hakuna salafi ni jina tu mumejipachika wala halitawasaidia nyote ni chungu kimoja, Salafi ni waja wema waliotangulia jee nyie mumo
@@abdallajuma0587 wewe hizb salaf, markaz zenu okoteni wanafunzi hukooo muwakaririshe matamanio ya nafsi zenu mm bado cjaona kuwa mna hoja wala dall za kutosha katika mambo mnayoyadai. Bado yatabaki kuwa madai tuu bila hoja wala dalili kwetu hatuyackilizi
Wee mafuta mche Allah unasema umejibu hoja za kile kitabu ebu twambie umejibu kwenye muhadhara gani? Mihadhara yote ulikuwa unazungumzia habari za milioni 200 tu hakuna hoja uliojibu na hata muhadhara huu hakuna hoja ya msingi uliojibu acha uongo mafuta.
Mashia wanatushambulia, nanyi badala ya kuangalia watu wanahuisha vipi sunnah,mnaleta Fitna Za Maslahi Mnatumia Elimu mlonayo kujifichia Maslahi yenu Achene Fitna linganieni Dini, Mnatumia masaa kusemana mnatupa Mifano gani,milioni 200 kila wakati wataja lingania Dina
Huu ni ujinga wa wazi kila mtu anatetea taasisi yake😂 Hata wewe Mafutaa unapewa pesa nyingi toka Saudia ili kueneza Usalafi🚮 Wewe Mafutaa ni Yahudi ulio someshwa saudia
Jamaa alponda sana miasasa mwanzo mwanzo, kumbe baada ya kuona kua ni mshiko jamaa kasajili na yy muasasi taasisi lkn kina answar muslim youth centre ni hizb!? wao ni sawa, majadida hamna jipya nyie
Allah akuhifadhi shekh wetu
Yarabi mjaalie shehe we2 mwisho mwema
Allah akuhifadhi shekh Abdulfadhili kwakubainisha hakki
Amiiyn
Twayyib
Allah akuhifadh ❤
Amiiyn
Kwa kweli mnachosha na mambo yenu hivi Mtume angekuwa hivyo dini ingesimama kweli kwa aina ya masheikh kama nyinyi mnatukera sana mmekosa kazi kazi kukosoana tu sijui sijui Salafia jadida ,sijui Salafia qadim mpaka mwisho mtajiuta nyinyi ndo masalifia hakuna cha Salafia jadida wala nni ssi wote ni waislamu ambao tunafuata maamrisho ya Allah kwa kupitia Mtume Muhammed S .A.W na waislamu wote wanafuata maswahaba na ma maimamu baada ya maswahaba.Acheni mipasho katika.mambo ya dini mnatukera.
Duuh
kasome acha makasiriko
@@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lmhabar ndio hyo
😂😂😂😂 ushajibiwa duuuuh!!! @@Hud_hud_Salafiy
👏👏👏
Allah akuhifadhi
BarakaLlahu fik sheikh kwa kusema ukweli na uendelee hivo hivo.Allah akuhifadhi
Amiiyn inshallah na wewe pia ndugu yangu katika iman
Alhamdulillaahi, Umeelekwa vyema Allah Akuhifadhi.Mahizbi wanashida wametafuta uchochoro umeuziba kwa kusema haqq.
Amiyyn Allah atuongoze katika haki mpaka itakapo tujia yakin
Mafuta anatafuta chochoro hoja za kitabu amezijibu Wapi?
@@cholomonmedia2199 kweri wewe macho yako chongo.
Mafuta uongo kweli ninyi ni majadida urongo mtupu
Mafuta toka akasome yemeni na mdogo ake walivyorudi tz wameleta fitna kubwa na kuvuruga umoja wa sunnah kaleta fitna kweli kweli akaanza kupiga vita ansari sunnah, tz na kuwatowa katika ahlsunna na kuwasingizia mambo mengi ambayo hayana dalili na kujiona yey pekee ndo salafi na kikundi chake kama dini yake vile tunawauliza wanaojinasibisha na huo usalafi wema walotangulia ndo waliishi hivyo katika uislamu wao walitoana katika sunna na mwenendo wa mtume ikiwa mtu kakosea jambo dogo unaruksa gani ww kumtoa katika man haji na mwenendo wa mtume sasa hawa kina mafuta ndo wamekuja na usalafi wa aina hii wakiambiwa wamekuja na fikra mpya za usalafi wanakanusha hamna wakati tunaona matendo yenu yako mbali na usalafi usalafi ndo kutaja aibu za mwislamu mwenzio itaqi laa muogopeni allah enyi watu
MASHAALLAH Ulipo ukweli uongo hujitenga Sasa ni zama mmalizane mawahabi na miuongo yenu na mi Bida yenu iwe kweupe
UNADALILI YAHILO UULISEMALO
Allah akuhifadh shekih wetu
Aaamiyyn
اللهم آمين
Mashallah
Ok
Too much Noise for little things,back bitting,opression,selfupgrading and defamation! Muslims are Brothers! This should be avoided!
Masha Allah sheikh ALLAH akulipe kheri, usibabaishwe na hizo comment za mahizib na masufi.
aaamiyn inshallah
Asalam alykum shekh Wang Allah akuhifaz
aaaminah inshallah
Assalam alaykum warahmatullah wabarakaatuh...Mcheni Allah ukweli wa Kumcha.Hakika Allah anashuhudia Nia na nafsi zenu.
Kila kukicha daawa zenu ni zq kuwagawa na kuleta kufarikiana ktk uislam
Mnabandikana Majina na Chuki waisla kwa waislam jila uchao mara Masufi ,Majadida na n.k haya Mtayajibu mbele za Allah....Mnachukia baadhi ya waislam na kuwapiga mapande,
Wa'ataswimuu bi hablillahi jamiaa.........Hii Aya myaifanyia kazi lini?????????
Kuna watu wamepinda na wanawapotez watu Kama vile mashia nao pia waachwe tushikamane nao katika kamba ya Allah au
Dini ni bayana na sio kuogopana
Ndugu zangu na mashehe zetu .
Tukumbusheni DINI YETU sio kila siku kukosoana mnakua kama mmetumwa na wasio kuwa waislam .
Mtume s.a.w
Hakua salafi wala sufi wala salafi jadiidu wala walaaa wala .
SIO MAWAIDHA hayo .
SOMESHENI ELIMU KAMA HAMNA VIREJESHENI VYOMBO VYETU .
tushachoka tushachoka
Tushachoka
Mche Allah na kaachin usome uctoa hujja bila ilmu kwa kuonesha et unaweza kutoa comment
Huyo Shk Musa Ismail ni fattaan mkubwa na mbadhirifu,mkabila hayo yalikithiri pale alipochukua uenyekiti wa hapo Kisumu
Sema haki sheikh acha ujanja
Duh mtihani
Jamani nyinyi wote NI waislam au mmojawenu ktk nyinyi NI kafiri?mbona mnadhalilishana hivi?ivi ndivyo wakina imam shafii,imam hambal,walivyokuwa wakitofautiana ndivyo walikuwa hivi kama mlivyo?
Kumbe mwajijua muwaongo hiyo ndio athari zenu kwasasa zinawashambulia wenyewe
Naomba kuuliza Je kitabu kiliomba kujibiwa? Kitabu kimeeleza sifa za hao watu. Sikutegemea mngekisifia kwahiyo ni sawaaau
SIJAELEWA SWALI FAFANUA VZR
Kasim
Allah atuongoze tuijue haq tuache kulumbana
Amiiyn
Uwage na aleast na shukran kwa barahiyan aliekulea uliopotako ktk usufi tamta)
Subuhana llah
Mifelia Kaz saana Bora mtu wa maulid kulikon vijisalafi dharau kibri
Allah akuongoze wewe jahili
Mafuta acha chuki na kutaja aibu za mwenzio ww una aibu zako kibao na mtume anasema mwenye kutaja aibu za mwenzie nae akumbuke kwani na aibu zake.
Kaa usome pia kuwa na heshma na mashekh
@@FarisiAhmada shekh wengine hishima na hikma hawana waropokaji ovyo ovyo kama kina mafuta sasa wafuasi tutawaheshimu vipi ikiwa wao wamelalia fitna tuuh, kuwavunjia watu hishma na watu pia watamvunjia heshima
Acheni malumbano nendeni muka fundishe dini ya mungu vijijini
Sawa tutalifanyia kazi hilo
Mzungumzieni na muhammad bachu muone moto😂
Mbona alishazungumziwa tayari na audio yake tulishaipost muda mrefu sana
hebu tupostie hiyo ya bachu
@@Hud_hud_Salafiy na si kawajibu tena mbona mpo kimya
Hawa majambazi tuu kujidai usalafi kumbe hamna lolote lile salafi wa kweli hawakuwa na moyo na urongo kama kina mafuta
Mbona kashapigwa bakora Muhammad bachu ulikuwa wapi wew mjinga
Huyu alieandika ni mpuuzi
Ni Mimi ndiye nimeandika hapo kwani tatizo lipo wapi na upuuzi wangu ni upi
Maandishi na maneno yapo tufauti uoni tatzo
@@husseinazizi1275 Mimi sijauona ttz ndio Mana niandika hivyo na ujue Mimi ni miongoni Mwa wanafunzi niliyepitia na kusoma kwa sheik markazi pongwe sio kwamba ni mtu wa vichochoroni niliuekurupuka ndugu nimeandika kitu ambacho sheikh amekisimulia na hakusema amezuliwa na kitu ambacho kimetokea wakati akitafuta elimu katika nchi ya saidia Rabia
Sasa ebu nielezee tatizo uliloliona ndugu
@@Hud_hud_Salafiy Afwan Akhy
Si mpuuzi kila siku kutukanana tu mpaka misiki mnanyanganyiana
Nyote mawahabi mutajuana eti wanajiita masalafi hata Salim Baraiyan anakutaja na wewe kwa ubaya nyote ni pote moja la mawahabi Allah anawafedhehesha mmoja baada ya mwengine kila mmoja kati yenu Ana madhaifu yake na kati yenu hakuna salafi ni jina tu mumejipachika wala halitawasaidia nyote ni chungu kimoja, Salafi ni waja wema waliotangulia jee nyie mumo
MBONA KICHWA CHA HABARI NI TOFAUTI NA KINACHOZUNGUMZWA HUMO NDANI??
Wewe khawarij au hujaskiliza mpka mwisho ukaona
Ebu sikiza mpaka mwisho ndio utajua kipi kimezungumzwa humu ndani
@@abdallajuma0587 nini mana ya khawarij
Njooni katika markazi zetu za Ahlusunna utajuwa maana yake
@@abdallajuma0587 wewe hizb salaf, markaz zenu okoteni wanafunzi hukooo muwakaririshe matamanio ya nafsi zenu mm bado cjaona kuwa mna hoja wala dall za kutosha katika mambo mnayoyadai. Bado yatabaki kuwa madai tuu bila hoja wala dalili kwetu hatuyackilizi
Hivi mashekh nisaidieni mtume (s.a.w) alikua madhehebu gani?
Wee mafuta mche Allah unasema umejibu hoja za kile kitabu ebu twambie umejibu kwenye muhadhara gani? Mihadhara yote ulikuwa unazungumzia habari za milioni 200 tu hakuna hoja uliojibu na hata muhadhara huu hakuna hoja ya msingi uliojibu acha uongo mafuta.
Katka mtu wa kuwa hafai kufatwa ni mtu huyu ana jiona yy ni mbora hali ya kuwa mbora ana mjuwa mwenyez mungu mnafki sana mtu huyu
Mashia wanatushambulia, nanyi badala ya kuangalia watu wanahuisha vipi sunnah,mnaleta Fitna Za Maslahi Mnatumia Elimu mlonayo kujifichia Maslahi yenu Achene Fitna linganieni Dini, Mnatumia masaa kusemana mnatupa Mifano gani,milioni 200 kila wakati wataja lingania Dina
Shikamaneni Katika kamba (dini) moja Wala msifarikiane
Hauna hekim Shekhe kuwen na ikhilaswi jamanin
IKHILASWI ILI NA HESHIMA IPI UNATAKA AWE NAYO MAANA HAPA YUPO KATIKA KUBAINISHA HAKI NA BATILI
Huu ni ujinga wa wazi kila mtu anatetea taasisi yake😂 Hata wewe Mafutaa unapewa pesa nyingi toka Saudia ili kueneza Usalafi🚮
Wewe Mafutaa ni Yahudi ulio someshwa saudia
Kumbe mlitiwa hatiani kwa uhalifu hamna jipya wahalifu
Salafi Hawa ni watu wa bidaa kujiona mwema kwa kuwadharAulisha wengne manhaj ya ufofolo mtume s a w hakufundisha hayo
Kijibu kitabu hicho
Shekh kua na hekima ktk da'awa
Hekma ipi unayoitaka wewe awe nayo
unahitaji hekma ipi maalim
Naona Show off! Sheikh Mada za ujadida zimesinya! Elimisha watu sikilasiku kuongea watu tu! Hakuna Hekima hapo!
Hekma ni kuweka wazi mambo ya dini
Jamaa alponda sana miasasa mwanzo mwanzo, kumbe baada ya kuona kua ni mshiko jamaa kasajili na yy muasasi taasisi lkn kina answar muslim youth centre ni hizb!? wao ni sawa, majadida hamna jipya nyie
Jadidah huna hoja
We vp wanawachuoni wenu kwani umemilikishwa wale
We jadida tu
Ata usemeje
Nyie makhawariji muna shida sana nini maan ya jadida hamujuw ata kiarabu
Waanzilishi wa hili jina la jadida ni makhawariji wa zama hizi ukiwemo wewe miongoni mwao
Ukimuona mtu atumia hili jina LA jadida basi uyo ni hizbi na ana chembe za ukhawariji
Pavillion: Kwani Jadida ni nini? Weka wazi ulilo nalo moyoni.
Majambazi wa kiwahibi wameanza kugombana wenyewe kwa wenyewe Nahiyo nidhambi ya matunda ya najdi
Dawa yako, walikosea kukuachia bora wangekukata shingo kabisa
Hivi mashekh nisaidieni mtume (s.a.w) alikua madhehebu gani?
Good question
Hivi mashekh nisaidieni mtume (s.a.w) alikua madhehebu gani?