Mtc ki ufupi Sina Cha kukupa kaka zaid ya kukuombea maisha marefu, wasanii wengine wanayo haki ya kujifunza kupitia tungo zako maana ni kama vile sio za kawaida kumbe ni za kawaida sana kwako,, hongera sana kaka.
Kikweli mkubwa daah unazidi kuninenepesha tu nikisikiliza nyimbo zako zinanipa ujumbe wa maana saana mimi mshabiki wako dam dam karibu sana sangamwalugesha apa tunakuitaji sana
Uko very good kimaneno na rafuz zako najivunia sanii letu kisima Niko lwamgasa
Kazi nzuri sana kaka npo Zimbabwe ila nyimbo zako nazielewa sana
I like your music from Zambia
pamoja sana kisima majabala mungu akulinde na aibaliki kaz yako my brother
Nakubali nyimbo zako mzee
Kalibu nakutafasili lugazote Tanzania tupowengi wengine hatusikii unatunyima haki
Hakika kisukuma kinawaka sana hiri ni funzo umekumbusha mbari sana narudi nyumban
🎵🎵🎵🎵 wimbo mzuri sanah huu wimbo anaimbwa msanii Nan????????????
Nami nakuku Bali shikilia hapo hapo muda ni kisima bhudagala akuwezi saizi
Unatisha kazi nzuri 🎉
Uko sawa
Mungu akutangulie dhidi ya maadui zako
Noma xanaàa
Kisima uko sawa
Pamoja sana kaka mkaya bariad san
Mtc ki ufupi Sina Cha kukupa kaka zaid ya kukuombea maisha marefu, wasanii wengine wanayo haki ya kujifunza kupitia tungo zako maana ni kama vile sio za kawaida kumbe ni za kawaida sana kwako,, hongera sana kaka.
Daaaa kkk majaba moja hiyo omwa kishosho acha waisomeee
Hivi kisima huwaga anamuimba nani maana huyo jamaa anayo kazi
acheni kuvujisha nyimbo
Wimbo zavi zana🙏🙏🙏🙏🙏💯🇰🇪
Wimbo mzuri kweli
Kisima shikome
👍👍👍👍👍good good upo vizur
Heshima kwako ndg❤❤❤
Hapo sawa
Pq1 sana
Heko kaka heko kwa wimbo wako.
Well done!!!!
Ikulu ya Mihayo kisima nyanda majabala
Video
Jjjjjj
Kikweli mkubwa daah unazidi kuninenepesha tu nikisikiliza nyimbo zako zinanipa ujumbe wa maana saana mimi mshabiki wako dam dam karibu sana sangamwalugesha apa tunakuitaji sana
Mpe hai jose Tl mwenzangu😅
Kisima wewe uko juu
Sana fundi
Kama Kawa
Uhakika 😅
Kisim
Good
Pa1 sana
The base 😂
nice song
Thank you
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
maningu wewe ninoma
kaka unafikiria Sana halafu ndio unaachia ngoma,Mungu akutangulie.
Huyuu jamaa ni hatar Anasitahil sifa 🔥🔥🔥🔥
mh kwakwel watakuongea mpaka kuchoka kaz ya mungu haina makosaa 🙏 respect for you
Uko wapi
@@maninguTouchTz ar
Dar
Oya nipatie fair la kupakulia hiz nyimbo
Hongera sanaa una pini kali sanaa ujumbe ulioshiba Olesawa ngosha Kisima.Shikome na Nzuki ni pini kali sanaa hizi.