Ubunifu wa matumizi mbadala ya betri za computer zilizotupwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Ingawa idadi kubwa ya watu inatumia computer mpakato kwa shughuli mbalimbali lakini pindi betri za computer hizo zinapokwisha uwezo wa kufanya kazi huwa zinatupwa.
    Je, unajua kuwa betri hizo zinaweza kufaa kwa matumizi mbadala na yenye tija sambamba na kuokoa mazingira?
    Hebu tazama mjadala huu

ความคิดเห็น • 2