UBUNIFU: KIJANA AUNDA MASHINE ya KUTENGENEZA VIFUNGASHIO kwa Kutumia KARATASI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 39

  • @lugarawayouthfoundation8184
    @lugarawayouthfoundation8184 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kwa vijana kwa ubunifu mzuri tunahitaji kuwa na mawazo chanya kama haya,

  • @NehemiaMshumbusi
    @NehemiaMshumbusi 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana naweza kupta mawasiliano

  • @PeterCharles-rh6mi
    @PeterCharles-rh6mi 8 หลายเดือนก่อน

    Pamoja mungu abariki kazi ya mikono yenu

  • @husnazidihery4138
    @husnazidihery4138 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi Sana tunahitajia mawasiliano namna ya kupata hiy machine

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kaka uko vizur mashaallh

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali sana vijana wachapakazi nawabunifu

  • @josephmallya6519
    @josephmallya6519 3 ปีที่แล้ว

    Safi sanaaa

  • @HamiduMoshi-pe6sc
    @HamiduMoshi-pe6sc ปีที่แล้ว

    Please naomba unisaidie ya kujana huyu nahitaji hii mashine

  • @swallehjunior07
    @swallehjunior07 7 หลายเดือนก่อน

    Hii machine bado IPO KWELI

  • @rebecamwakipesile9577
    @rebecamwakipesile9577 9 หลายเดือนก่อน

    Bro nisaidie nimpate huyo kijana

  • @GeorgeChacha-qs1eu
    @GeorgeChacha-qs1eu ปีที่แล้ว

    Naomba no ya huyo jamaa

  • @willsontheonest1787
    @willsontheonest1787 2 ปีที่แล้ว

    Habali, Ninaweza kuunganishwa na Hugo bwana Mtengenezaji wa hiyo mashine?

  • @AmiliKatakweba
    @AmiliKatakweba ปีที่แล้ว +1

    Samahan naweza kupata number

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 ปีที่แล้ว

    Mashine zinapatikana wapi?

  • @salumgeorgekilanga620
    @salumgeorgekilanga620 6 หลายเดือนก่อน

    Inauzwaje

  • @MiriamMoses-n2l
    @MiriamMoses-n2l ปีที่แล้ว +1

    We are in need of phone number for Clinton

  • @vincentpascal5996
    @vincentpascal5996 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @imaculataleonard7653
    @imaculataleonard7653 2 ปีที่แล้ว

    Naomba msaada wa mawasiliano yake huyo kaka

  • @raynachambo7028
    @raynachambo7028 2 ปีที่แล้ว

    Cjaona sehem ya kuweka gundi ktk hiyo mashine na Ina ukubwa gani vipi kuhusu garantii na matengenezo ikisha na Mimi nieke kwa wanaohitani hiy mashine

  • @charlzlomo9219
    @charlzlomo9219 2 ปีที่แล้ว +1

    Waliniuzia moja zaidi ya mwaka moja na nusu hawajaja kufunga ninayo imekaa tu.

    • @athanassigoma7877
      @athanassigoma7877 ปีที่แล้ว

      Kuna shida gani Wasije kukufungia?

    • @mr.lolipoptech2901
      @mr.lolipoptech2901 ปีที่แล้ว

      Boss naomba mawasiliano yako

    • @BonitatemBonitate
      @BonitatemBonitate 9 หลายเดือนก่อน

      Ndiomaana vitu vyote vinavyogunduliwa na wabongo uwa havifiki mbali sababu wagunduaj wenyewe wabinafc serikali pia uwa haina sapoti yoyote kwa watu kama wao ili wazalishe wataalam wapya,ivyo mwisho wasiku inabaki story tu ya mtandao nakusahulika kabisa

  • @otitz6631
    @otitz6631 ปีที่แล้ว

    Mawasiliano?

  • @otitz6631
    @otitz6631 ปีที่แล้ว

    Huja mtag na hatujui tumpataje

  • @PeterCharles-rh6mi
    @PeterCharles-rh6mi 8 หลายเดือนก่อน

    Mawasiliano yenu tafadhali

  • @djk.p7871
    @djk.p7871 ปีที่แล้ว

    Naomb. Namba yake Bo'ss

  • @astelinachengula4612
    @astelinachengula4612 2 ปีที่แล้ว

    Nnahitaj mashine hiyo mpo wp

  • @Swahilistories
    @Swahilistories 3 ปีที่แล้ว

    Naomba nipate mawasiliano yake nisaidie ilo

  • @goodsonmhogo3135
    @goodsonmhogo3135 3 ปีที่แล้ว

    Watu kama hawa ndio tunatakiwa tuwatumie I'll taifa letu lisonge mbele serikali jalini vipaji HIV vizawa

  • @astelinachengula4612
    @astelinachengula4612 2 ปีที่แล้ว

    Mawasiliano napataje

  • @peterhankungwe6576
    @peterhankungwe6576 2 ปีที่แล้ว

    Tunaomba mawasiliano

  • @farajimohamednganilohi7001
    @farajimohamednganilohi7001 2 ปีที่แล้ว

    Mawasiliano tafadhali

  • @emmanuelmgaya3908
    @emmanuelmgaya3908 3 ปีที่แล้ว

    Nina mpataje huyu kijana mawasiliano yake

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 ปีที่แล้ว

    Tz ni wababaishajitu. Uku kwa waarabu mifuko bado tunaitumia adikesho ongera kijana nilikuabado sijaona Chanel yako

  • @salumgeorgekilanga620
    @salumgeorgekilanga620 6 หลายเดือนก่อน +1

    Inauzwaje

  • @imaculataleonard7653
    @imaculataleonard7653 2 ปีที่แล้ว

    Naomba msaada wa mawasiliano yake huyo kaka