NENO LA MUNGU LI HAI KILA SIKU. NINAMSHUKURU MUNGU KUIONA CLIP HII LEO NA IMENIBARIKI UPYA NAANZA KUCHANJA NJIA JUMATATU AGAINST ALL EVILS ON ME IR LORD GOD HEAR ANSWER ME! NOW AMEN.
Yaani mungu akubariki mchungaji nashukuru mungu kwa huduma hii nikiwa dukani kwenye gari nasikiliza mahubiri Na yananijenga kiroho kimwili na ufahamu wangu una funguka kumjua mungu zaidi
Yaani mahubiri ya Pr.Kimaro hayakinaishii 2023 now!!
Against hope. Asante Mungu kwa ujumbe wa matumaini na wakunipa nguvu ya kusonga mbele.
Listening to this sermon today, trusting God 🙏🙏 to do the impossible
NENO LA MUNGU LI HAI KILA SIKU. NINAMSHUKURU MUNGU KUIONA CLIP HII LEO NA IMENIBARIKI UPYA NAANZA KUCHANJA NJIA JUMATATU AGAINST ALL EVILS ON ME IR LORD GOD HEAR ANSWER ME! NOW AMEN.
Nampenda Huyu Mchungaji Kiuliko Upeo, Abarikiwe Saaaaaaaaaana!
Mungu aendelee kukuinua kiuduma pastor Kimaro... Umefanyika baraka sana kwangu
Natamani kuwa miongoni mwenu kwa upako zaidi,Mungu abariki mchungaji teletele.Nabarikiwa nikiwa Uganda
Tumebarikiwa sana na mahubiri ya Mch Eliona Kimaro tumika mtu wa MUNGU, Wakati una nguvu na kipaji cha kuhubiri.
Yaani mungu akubariki mchungaji nashukuru mungu kwa huduma hii nikiwa dukani kwenye gari nasikiliza mahubiri Na yananijenga kiroho kimwili na ufahamu wangu una funguka kumjua mungu zaidi
Ameen