Huyu Mtumish kunamambo ameyapitia ..maana nyimbo zake n maisha yake ..lkn yeye hakuwah kuenda mtandaon kutangaza ..amenyaza had leo dadaa nakupenda mm ..umenifundisha kunyama ..Mungu akupiganie yataapta tuu hayaa🙏🙏
Dear heavenly father. It's my prayer that I be kept from the spirit of gossip and bipolar mood disorder. Let the words of my mouth and meditation of my heart be acceptable to you Lord Jesus Christ. Amen!
Its more than 5 yrs toka nimeusikia huu wimbo. Siku ya kwanza nausikia barabaran nilishake. Hadi leo bado utukufu ulio ktk huu wimbo n mkuu sana. Barikiwa sana. So spiritual
2024,,,,, mimi hua nimkimya sana dah! Nikiusikiliza huu wimbo ukimya wangu huongezeka. Mala mbili yake nawatu hua wananichukulia kama mjinga flan... Madam martha balikiwa sana
Whenever I listen this song , icontrol myself coz sometime many things comes on my way to make feel unhappy so that ican crry but I use this song to keep myself quiet 🤐 mayGod bless the one who brought it to help our hearts 💕
God bless you Martha and always reveal secrets in u because when u sing u put urself in someone's situation when we listen to ur advice they encourage alot and let us not give up
Mungu akutangulie siku zote za maisha yako na akufikishe katika malengo yako yote mti wenye matunda matamu siku zote hupigwa mawe Daima. 🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻
God is saying To You Today: My child you are worrying too much. Remember who I am. There is nothing too hard for me. You may not see it, but I have everything planned out for you. Trust me. Amen 🙏
Kwa hakika wimbo huu umenijenga katika maishani mwangu ,kwa kweli nilisikia mengi baada ya kupoteza baba yangu mzazi na ndungu zangu SITA but mungu azidi kumlinda mama yangu mzazi na tunapo zidi kunyamaza kwa uwezo wa mungu thanks Martha for this song I'm watching from kakamega kenya
Going through tempest of Life tis song has HELPED me shut my mouth , watched and prayed. BUT THE LORD HAS ALWAYS FOUGHT MY BATTLES. ITS WORTH TO NYAMAZA.
A lot was said when my mother died 25 years ago. A lot was said when my father died in 2020. This song gives me strength and reasons why I should ignore what they say and go on with my life.
Thank you Mama Martha for ministering to us through this song .Mungu akubariki sana mama.Nakuombea wewe yule ambaye unapitia mambo magumu,umedhaharauriwa,umetusiwa na kuwekelewa mambo ambayo huyajui Mungu akupe ujasiri wa kunyamaza.Jifunze kunyamaza ukiwa Kwa dhoruba .
❤❤❤❤❤❤nashukuru Baba MUNGU alike kupa hii uduma ya nyimbo unanijengangaka Sana nanina jikaza kunyamaza Baba MUNGU anisaidiye kama alivyo kusaidiye ❤❤❤❤❤
When I listen to these song it reminds all my past and I just shed tears it’s not easy to keep quiet but whenever I was quarreled this is the song that always came to my mind 😭😭😭😭
Kwa waliorudi baada ya story ya beatrice mwaipaja mtandaonii kujeni hapa 😂😂like tujuane tu😂
Tupo hapa aisee
Nipo
Tutajazana hapa😂
Mm moja wao😌
Nipo
Wakenya wangapi wamerudi 2024
1:46
Ninapo kasirika nasikiza Huu wimbo hunipa nguvu ya Kunyamaza manaake sikuwa mpole mimi..Thank you Jesus.
Amina
Who else is listening to this wonderful song 2024
Am with u listening may God teach us to b silent
Ooh! My God continue teaching me how to be quiet . Nani anasikiliza hii nyimbo 2023
I am here in Bahrain 🇧🇭🇧🇭 really this song blesses me God bless you Mom Martha 🙏🙏
Mimi hapa
Ahsanteni sana .
Am here this song gives me strength to push through in my worst moments
Mimi hapa kwa tajiri wangu but the song heels my soul❤
Yawezekana kuna mengi alio ya pitia tusio yajua kwahio tusi mjaje bila kuskia upande wake ✌️ ✌️ ✌️ ✌️ ✌️
It's really kabisa dear huwez jua kip alipitia hapo nyuma aiseeeee tusione watu wanaish kwa furaha imepambaniwa long time
Na alishanyamaza tutamuona mpumbavu bure tusimjaji
Nilikuwa na mdomo kubwa sana lakini tangia niuskize wimbo huu hakika nilinyamaza kabsaa🙏
😂😂😂
Kwel eliza
Amen
🤣❤️🔥❤️🔥❤️🔥
ata mimi...
Huyu Mtumish kunamambo ameyapitia ..maana nyimbo zake n maisha yake ..lkn yeye hakuwah kuenda mtandaon kutangaza ..amenyaza had leo dadaa nakupenda mm ..umenifundisha kunyama ..Mungu akupiganie yataapta tuu hayaa🙏🙏
Naomba mungu anipe hii neema yakunyamazaa nakujishusha maana me nibintii mzulii sana tatizo ni mdomo😔🙏 eee mungu nifundishe kunyamazaà
Naomba tujuane pia unipee hio mdomo😅
😂
NIFUNDISHE KUNYAMAZA,, Martha ulikuwa msanii muinjilishaji kipenz cha mamangu ila amesha tutangulia(R.I.P😢),, who is watching in September 2❣️24??
Nmejifuza mengi kwa huu wimbo upewe like❤
A good song with message
Nyimbo zako nazielewa sana dada matha like zako
NIFUNZE BABA
Am back here this Dec 2024 to listen this song while waiting to start new year 2025
Dear heavenly father. It's my prayer that I be kept from the spirit of gossip and bipolar mood disorder. Let the words of my mouth and meditation of my heart be acceptable to you Lord Jesus Christ. Amen!
Amen
When you talk much you repeat what you already know, but when you listen more, you learn something new,
Kenyans loves this song
Kunyamaza kweli ningumu ni mungu tu
I love it so much
Kweli kabisa ni Mungu tu kunyamaza yataka moyo Sana
That's true
Kwa kweli nifundishe kunyamaza eeh mungu wangu ni mengi nakumbana nayo
Its more than 5 yrs toka nimeusikia huu wimbo. Siku ya kwanza nausikia barabaran nilishake. Hadi leo bado utukufu ulio ktk huu wimbo n mkuu sana. Barikiwa sana. So spiritual
Am here 2024....Nifundishe kunyamanza mungu..nisijibu nikukosee
🙏🙏❤
😂
AMINA. Na iwe ivooooo
2024,,,,, mimi hua nimkimya sana dah! Nikiusikiliza huu wimbo ukimya wangu huongezeka. Mala mbili yake nawatu hua wananichukulia kama mjinga flan... Madam martha balikiwa sana
Sikuwahi kuzipenda nyimbo za huyu dada, kutokana na kinachoendelea nimeamua ku-fall in love mazima, karibia nyimbo zake zote anaimba maisha yake
Kila ninaposikiliza nyimbo zako Huwa unajiimba mwenyewe kuhusu maisha yako?au ikoje? Ijapokuwa Huwa unanibariki mno na kunifundisha kitu.
00
⁰0
@@serahmumbi6592 q
Whenever I listen this song , icontrol myself coz sometime many things comes on my way to make feel unhappy so that ican crry but I use this song to keep myself quiet 🤐 mayGod bless the one who brought it to help our hearts 💕
God bless you Martha and always reveal secrets in u because when u sing u put urself in someone's situation when we listen to ur advice they encourage alot and let us not give up
Mungu pia Mimi nifundishe to kunyamaza hii mwaka 2024 going forward 🙏🙏🙏🙏🙏Toka nianze kuskiza wimbo za Martha at least I can see some changes in me
Am here listening to this song 2024 ❤
Nilifukuzwa, nilitolewa aibu, lakini leo namtumia pesa, aje amerika. Mungu amenipa moyo
Ubarikiwe sana iyi nyimbo imenisaidiya mwaizi siku ninaco pitiya kwa sababu na wifi yangu ananitesa ili uyu wimbo hakika ulifundisha kunyamanza
Mungu akutangulie siku zote za maisha yako na akufikishe katika malengo yako yote mti wenye matunda matamu siku zote hupigwa mawe Daima. 🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻
Mungu azidi kukubariki,nyimbo zako zinatia nguvu sana
Kkkkkj
Hallelujah,nifundishe kunyamaza kwa yale ambayo napitia sahi ehe mungu wangu naomba unifundishe kunyamaza 2024/7/22
Nifundishe kunyamaza Mungu wangu,nipo hapa kukutia moyo matha hayo anayoyasema ndugu yako usijibu nyamaza, Mungu alishakufundisha kunyamaza 🙌🙏
Hili ndio ombi langu.Mazingira mengine yanaeza kufanya nifanya nijibu lakini mungu naomba unipe neema ya kunyamaza
Najifunza kunyamaza
Nimeona nyimbo zake zote after kuanikwa na dada ake.
Acha kristo yesu aendelee kukufunza kunyamaza juu wueh!.
Mapito haya si rahisi aki.
God is saying To You Today: My child you are worrying too much. Remember who I am. There is nothing too hard for me. You may not see it, but I have everything planned out for you. Trust me. Amen 🙏
Am much blessed with this.
Amen amen
Amen.
Amen
Amen 🙏
Nimejifunza mengi kupitia huu wimbo
Kwa Mara ya kwanza nimeusikiliza huu wimbo Mpaka mwisho na umenigusa saana
Kwa hakika wimbo huu umenijenga katika maishani mwangu ,kwa kweli nilisikia mengi baada ya kupoteza baba yangu mzazi na ndungu zangu SITA but mungu azidi kumlinda mama yangu mzazi na tunapo zidi kunyamaza kwa uwezo wa mungu thanks Martha for this song I'm watching from kakamega kenya
Nifundishe kunyamaza Nina mengi😥😥😥🙏🙏🙏
Am going through alot at my work place..masengenyo ,fitina ,chuki ila naomba baba nifundishe kunyamaza ..its not easy😢😢😢
Ni mengi Nina pitia katika Maisha yangu ila Kila ninaposikiliza huu wimbo naingiwa na nguvu nyengine tofauti mungu endelea kunifundisha kunyamaza
Going through tempest of Life tis song has HELPED me shut my mouth , watched and prayed. BUT THE LORD HAS ALWAYS FOUGHT MY BATTLES. ITS WORTH TO NYAMAZA.
❤❤❤
Nimejifuza k2
Nifundishe kunyamaza Mungu anatenda,bwanangu ananifukuza na vitus zangu
Alafu anaoa
This song guides my life Mungu nifundishe kunyamaza...what a BLESSING! 🙌
May God bless u Joan,
Na ningependa kuwa rafiki yako
Amina hii mwimbo ya mzuri sana God is 😘
Ndifundishe kunyamaza Mungu wangu
This song made my mum to be a strong woman because of what she was going through sister Martha God bless you abundantly
Amen
Amen 🙏
Amen
Still new and fresh❤to God be the glory.
i recommend in Jesus name that may God bless you as spread the word of God to many. filling blessed.
listening from Kibra .. Nairobi.
Asante sana mama angu martha namimii najifundisha kunyamaza japo napitia mengi lakini nanyamaza namuachia yesu naitwa happy nesi eliasi nakaa msasani
Uko vizuri simama kiiman zaidi hapo mpedwa
Kwa yale tunayoyasikia na kuyaona kwa wakati huu,naomba Mungu utufundishe kunyamaza💯🙏🙏🙏
2024 ... still watching this song
Baba nifundishe kunyamaza
Wimbo mzuri martha,,,,napenda sana nyimbo zako ❤❤❤
Barikiwa sana da Marha
A lot was said when my mother died 25 years ago. A lot was said when my father died in 2020. This song gives me strength and reasons why I should ignore what they say and go on with my life.
This is so painful so sorry
All is well my brother
Kweli. NAMI nilisikia mengi sana kumhusu manangu mpendwa marehemu. Nikanyamaza
Mi nsikikiza sana wimboo huu unanisaidia sana
Comforting and touching words, God bless you 🇰🇪🇰🇪
It's really touching me after loosing my marriage.
Pole
😰😰😰,
Hugs mamaa hope’re ok❤
Pole don't mind God will open another door for you keep praying .mungu ni Nani!!!
Leo nmeamka tuuu nikatamani nisikililizeee hii nyimboooo,,, mungu naomba unifundishe kunyamaza
Nice one siz huu wimbo umekua ngao yangu kila wakati najiepusha n ugomvi kila wakati❤🎉
Nimejifunza kitu kupitia huu wimbo,ubarikiwe Sana mwiimbaji na mtunzi
Ubarikiwe Sana Martha Mtumishi wa Mungu,umebadilisha maisha yangu kupitia huu wimbo
Even in 2024 Lord help me to b silent
What a song..... tuzidi kibarikiwa na uu mwimbo 🙏🙏🙏 .... much love from Kenya 🇰🇪
Dada unaimba nyimbo nzur
Tuzid
Kubarikiwa
Kunyamaza nikuzuri ndio mungu akabiliane nao sirini wakuite muchawi
Kabisaaaaa
Today I pray may the Almighty God teach me how to keep quiet whenever Iam upset in JESUS Mighty Name amen
MUGU NI MWEMW
Huyu atakama anasemwa neema ako nayo kabisaaa.
Mungu akuunde upya dada.
More grace, arise again.
Kweli kunyamaza sio rahisi,mbali Mungu nifunze kunyamaza
Guide me lord in everything , teach me to be quiet even when things seems hard
I can repeat this song many times.
Aseee ukisikiliza hiiii unajua kbsa ni mtu ashawai pitia mambo magumu still alivuka mama hata hili utavuka ty 😢😢😢😢😢 wallah
I like your songs touched me while am sad 😭 I feel like am with my God
Comment your take on this. th-cam.com/video/2uu9_Jdcn7s/w-d-xo.html
Nmepoteza chances nyingi Sana kwa kutojua kunyamaza lakini tangu niuskie wimbo huu nlijifunza kunyamaza kwa kila ninalipitia
Huu wimbo unanifundisha kitu sana ubarikiwe sana
Akika hyu mtumishi wa Mungu nyimbo zake zinanipeaga nguvu sana,and I love nyimbo zake ,,Mungu azidi kukuinua martha
May God Almighty continue granting you a happy moments, your songs are giving me strength everyday
Amina Mungu anifudishe kunyamaza
Kuna wakati huwa najipata kwa hii kiatu na sema asante sana dada yangu mungu akubariki kwa kututia mioyo🙏🙏🙏🙏🙏
Welcome 🤗🤗🤗😊😊
Sio Kila jambo na swali unajibu kweli unatakiwa kunyamaza umuachie mungu wenyewe..
Napenda sana pombe hata sijui kama Kuna dawa ya kuacha
Wimbo huo wanitia moyo Mungu na akubariki pamoja na familia yako 🙏🙏🙏🙏
2024 October and still watching,who is with me
❤❤❤
Nifundishe kunyamaza Yesu wangu bila ww mm sitoweza naomba nifundishe kunyamaza
Thank you Mama Martha for ministering to us through this song .Mungu akubariki sana mama.Nakuombea wewe yule ambaye unapitia mambo magumu,umedhaharauriwa,umetusiwa na kuwekelewa mambo ambayo huyajui Mungu akupe ujasiri wa kunyamaza.Jifunze kunyamaza ukiwa Kwa dhoruba .
God knows the truth
Martha ubarikiwe huku nyimbo za zitia watu moyo kwa wale walikata taaaama we unawatia moyo Amen❤❤.
Dada ubarikiwe huu wimbo unanibariki sana👏👌
Nimeamini mtu huimba hushuunda wake ,na pia mtu utabiri yajayo,nyamaza kimya hiki kipindi kitapita tu Mungu Yuko nawe
Kwel anifundsh n me maan najion kabc nitamkosea mung stak kusem
Nikikwazwa na watu Huwa nausikiliza wimbo huu ndipo hasira zinaishia hapa
Asnate Mungu kwa kunifundisha kunyamaza kwa mana ningekukosea Mungu wangu ,,barikiwa sana mtumishi Martha
First time to listen to this Masterpiece I it discribes me a lot Lord help me to be silent and gain strength from you
Akika ni ukweli nimepitia mgumu ee mungu ni fuze kunyamaza
Nifundishe kunyamaza yesu as we close 2024!
Nikisikia hii wimbo Natoa machozi niliyoyapitia by God is gud ? Amenikumbuka amen
Amene Asante Yesu Uliye Mwalimu Mwema Unaye Weza Kunifundisha Kunyamaza,,, Barikiwa Sana Cct Martha
Mungu aendelee kukutia nguvu
Wewe dada umekuwa msaada mkubwa Sana kwangu umetibu moyo wangu Sana kupitia huu wimbo Mungu akukumbuke sana
Nifundishe kunyamaza yesu🙏
❤❤❤❤❤❤nashukuru Baba MUNGU alike kupa hii uduma ya nyimbo unanijengangaka Sana nanina jikaza kunyamaza Baba MUNGU anisaidiye kama alivyo kusaidiye ❤❤❤❤❤
Nifundishe kunyamaza....wewe Mungu ni mwalimu mwema 😭🙏
Comment your take on this. th-cam.com/video/2uu9_Jdcn7s/w-d-xo.html
God bless you
Wimbo mzuriiii nimejaribu ku download ikagoma dah
Amen in the name of Jesus Christ, mungu yupo kila mahali wapendwa , alikua ,yupo na atakua milele amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hakika Mungu mkubwa sana through this song kazin kwangu maneno mengi lakin naamua kunyamaza ili kuepusha mengi Amina Mungu , Asante Martha Mwaipaja😢😢😢
Nice song with great message enyewe keeping quiet sometimes is a big medicine to many encounters of daily lives
Napenda nyimbo zako sana Martha keep teaching us likes lazima upate❤
When I listen to these song it reminds all my past and I just shed tears it’s not easy to keep quiet but whenever I was quarreled this is the song that always came to my mind 😭😭😭😭
Nifundishe kunyamaza yesu 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Sometimes you pass through many challenges but you should ask the lord to be silent
I love this song so much I want to listen to it everyday
Eee mungu Kwa haya ninayopitia naomba nifundishe kunyamaza nisije jibu nikakukosea ww mungu 🙏🙏
Wimbo huu ata Sasa umenifariji nifundishe kunyamaza mungu wangu🙏
Kila nikiusikikiza huu wimbo huwa nabarikiwa sana asante dada martha mungu akuweke miaka 1000
Eee Mwalimu mwema nifundishe kunyamaza
❤❤❤❤❤
Mungu majaribu yamekuwa mèngi naomba unifundishe kunyamaza kwa yote😂😂😂
Thanks a lot Martha because your songs always gives me strength whenever i listen to them may God keep giving you that power you're my role model
Niko hapa baba, nifundishe kunyamasa nisi jibu isivyo faa
2:52 🎉 3:19