Haya mafundisho yamenikumbusha vitu vingi sana, MUNGU tusaidie wajoli wako,niliwai muua simba,alietumwa kunijeruhi ktk ULIMWENGU wa ROHO,na watu walinuna sana jamani, ba dubu niliwai kumuweka kwenye mashine ya kusaga Pamoja na watesi wangu,ukweli nasema walisagwa kama nyama za kusaga,na MUNGU akanikumbusha NENO ya kwamba hao watesi hawawezi kuondolewa wote kwa wakt mmoja. Eeh MUNGU uzidi kutushindia dhidi ya hao waliotushikilia,wakauone MKONO wako waziwazi ukitushindia. Amen
MUNGU WA DAUDI, Nisitiri na mimi! Nikumbuke MUNGU wangu!!! Nimechoka kukaa huku porini! Tuma watu waje waniite nimwendee Samweli akanipake mafuta niwe Mfalme!!!
Jina la majina Jina la YESU 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
AMEEEEEEEEN
Aamen...
Mungu ni mwema
Nina Kiu kuona Maono Mungu aliyoweka ndani yangu yakitimia
Amen mtu wa MUNGU, nitasimama tena.
BWANA MUNGU
Nitendee makuu sawa na maombi ya Makuhani wote katika madhabahu hii ya Kijitonyama KKKT!
AMEN!!
Narudi/turning back from unsuitable location in Jesus name 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Ameeeeen
👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉📢📢📢📢📢📢 tutatoka shetani apende asipende, na mbio za Elia twachimka katika jina la Yesu
Haya mafundisho yamenikumbusha vitu vingi sana, MUNGU tusaidie wajoli wako,niliwai muua simba,alietumwa kunijeruhi ktk ULIMWENGU wa ROHO,na watu walinuna sana jamani, ba dubu niliwai kumuweka kwenye mashine ya kusaga Pamoja na watesi wangu,ukweli nasema walisagwa kama nyama za kusaga,na MUNGU akanikumbusha NENO ya kwamba hao watesi hawawezi kuondolewa wote kwa wakt mmoja. Eeh MUNGU uzidi kutushindia dhidi ya hao waliotushikilia,wakauone MKONO wako waziwazi ukitushindia. Amen
MUNGU WA DAUDI, Nisitiri na mimi! Nikumbuke MUNGU wangu!!!
Nimechoka kukaa huku porini!
Tuma watu waje waniite nimwendee Samweli akanipake mafuta niwe Mfalme!!!