MWIJAKU ABANANISHWA NA DAHUU, GEAH ISHU YA KUPEWA GARI NA MKEWE, TAZAMA AKIJITETEA ATOBOA SIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 199

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 ปีที่แล้ว +3

    Hongera Mwijaku mwanaume mwenye kujiamini 👍👍👍

  • @dogojahman9381
    @dogojahman9381 2 ปีที่แล้ว +7

    Uyo mwamba waga namkubali sana yeye na Levo 💪💪💪💪💪💪 maisha niku pambana kwa kila njia mna jua kuzi saka saana

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 ปีที่แล้ว +5

    Asante Da Huu umeweka ukweli halisi hakuna kuficha. Hizo hela za Royal Tours aseme tu ukweli sio kudanya umma

  • @methuselamarco7108
    @methuselamarco7108 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante dadaangu umeliumbua lipumbavuu hiloo

  • @mesikamesika3008
    @mesikamesika3008 2 ปีที่แล้ว +6

    Elimu bila kujitambuwa ni adhabu ya kichwa. Huyu bwana hekima hana wala hofu ya mungu. Vijana tupambane maisha ni fumbo

  • @hdggu6792
    @hdggu6792 2 ปีที่แล้ว +10

    Huyu baba muongo jamani midevu kama striwaya😂😂😂

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 2 ปีที่แล้ว +6

    Chama la wana
    WATOTO✔️
    NYUMBA ✔️
    GARI✔️
    SIMU✔️
    😂😂😂 unamuita mpaka mkeo, mme wangu 🤗🤗
    👏👏👏👏

  • @rahima928
    @rahima928 2 ปีที่แล้ว +8

    Gari amepewa na silence ocean ya biashara yeye na baba levo yani uonyeshe upendo sehemu nyingine baada ya familia yake eti akupe gari unajitia sheikh unasema daimond na rayvan wanatembea na wanawake wakristo wakati wako umeshindwa kumbadilisha dini wala jina

  • @josephmateru8892
    @josephmateru8892 2 ปีที่แล้ว +9

    Nimewapenda bure mmeongea ukweli mwijaku mpigaji cna na vijana wanachulia vtu simple cna

  • @deotvonline2776
    @deotvonline2776 2 ปีที่แล้ว +11

    Kama umemuelewa mwijaku kaamua kujinunulia gari ili kumkumbusha Mama Samia amkumbuke kwa kujipendekeza kwake gonga like hapa🤣🤣🤣🤣😂😂

  • @allenudindo3803
    @allenudindo3803 2 ปีที่แล้ว +5

    fresh sana mwijaku,sifa za mwanamke wako ni kitu kikubwa sana ,upendo 🌹

  • @KamstheMixologist
    @KamstheMixologist 2 ปีที่แล้ว +5

    Mwijaku we love you from Congo 🇨🇩

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 2 ปีที่แล้ว +3

    😀😁😂 ananifurahisha sana Mwijaku mambo yake

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว

      Napenda sana vituko vyake 😀😀😀 mwijaku khaaaa😀😀😀

  • @abdulnaseerabdulhakeem9302
    @abdulnaseerabdulhakeem9302 2 ปีที่แล้ว +5

    " Et mme wangu,aaah mke wangu" 😁😁😁😁😁

    • @samatarabdullahi8083
      @samatarabdullahi8083 2 ปีที่แล้ว

      Safi mwijaku.Napenda sana wewe uko mwongea wazi.Salamu kutoka Somalia.

  • @sophiamumbe888
    @sophiamumbe888 ปีที่แล้ว

    Hiyo gari kanunuwa mwenyewe mwijaku wewe unapenda sana sifa na kubwiiru

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 2 ปีที่แล้ว +5

    Mwijaku muongo amenunua mwenyewe anataka kuonesha amenunua,aliona akionesha mwenyewe watu watamchamba kwasababu anasema watu kila siku

  • @mariamally1244
    @mariamally1244 2 ปีที่แล้ว +1

    Muongo mwijaku

  • @shamsishaaban6695
    @shamsishaaban6695 2 ปีที่แล้ว +1

    Husna safi sana huo ndio ukweli

  • @chieframadhani4976
    @chieframadhani4976 2 ปีที่แล้ว

    Mwijajo ni mbishi aliesoma aiseeeeee

  • @charlottempangala3881
    @charlottempangala3881 2 ปีที่แล้ว +1

    Hivi mwijaku yuko sawa kweli???

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 2 ปีที่แล้ว +6

    Mwijaku si alisema yeye nitajiri ana hela kumshinda daimond sasa Leo Hana hela vipi? Alafu ana deal na beti za WCB na matangazo mengine kaona haya kusema kanunua yeye watu watamponda gari ya rahisi angalau angenunua gari ya milion 60 kwasababu yeye anasifa kukosoa watu

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 2 ปีที่แล้ว

      Kumbe hata babalevo pia yuko na hela kumshinda🤣

  • @francismwacha253
    @francismwacha253 2 ปีที่แล้ว +1

    Gea ni mweupe pee😁

  • @jamesobedy3940
    @jamesobedy3940 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe wanakujua wenzio 😂😂😂
    Muongo hivyo 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rukkynassor2279
    @rukkynassor2279 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapo wasema kweli

  • @kimingowameno4068
    @kimingowameno4068 2 ปีที่แล้ว +2

    Duuu jamaa Ana macho makavu huyu hahahahaha

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nicheke mie watazania acheni Kuishi maisha ya kujisifu tunajuwa mnavyotaka maisha feck

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 2 ปีที่แล้ว

    mwijaku nimekupenda sababu unamsaport Konde

  • @barracksgabriell9152
    @barracksgabriell9152 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwenye leo tena kasema milioni 18 hapa anakomaa 22

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwijaku wewe umepewa hela ya royo ya mazaaa bana wacha kutuzengua wewe😅

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku unawafanya wanaume wezio wajione kama awaoa wanawake saiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mwijaku msifie Hadi upokonywe

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 ปีที่แล้ว

      Mimi nataka niwe chawa wako

  • @nesto3587
    @nesto3587 2 ปีที่แล้ว +1

    Namsubiria babalevo anajibie maswal hayo😂😂🤣😂

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 2 ปีที่แล้ว +8

    Sasa lazima uje uoneshe mtandaoni mambo ya gari,kazi kupenda kusema wenzako kumbe nawewe unapenda kujionesha huna lolote

    • @mdalamgir-gu9hu
      @mdalamgir-gu9hu 2 ปีที่แล้ว +1

      Kakojoe ulali lela..

    • @kassioothemiracle1688
      @kassioothemiracle1688 2 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa akojoe alale kweli

    • @belak999
      @belak999 2 ปีที่แล้ว

      Na wewe km unalo onyesha 🤸🏻‍♂️🤸🏻‍♂️🤸🏻‍♂️

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 2 ปีที่แล้ว

    Nimeskia iyo kauli ya million tano ya yule kaka kumbe mbwa tu

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 2 ปีที่แล้ว

    Kazi kwelii kwelii

  • @majaliwakinyonyi1006
    @majaliwakinyonyi1006 2 ปีที่แล้ว +1

    Anawadanganya iyo nimilion 8000.000

  • @wasalimie11
    @wasalimie11 2 ปีที่แล้ว

    laki tano kenya haitoshi hata week kwa mtu mmoja 21000ksh

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 2 ปีที่แล้ว +2

    Wabongo kweli wanafi yaani mke kumpa zawadi mumewe nyie kinawauma nini jamani wivu mbaya ongera sana mwijaku

    • @ayubukedimundi3221
      @ayubukedimundi3221 2 ปีที่แล้ว

      Sio kwamba wivu..... Mwijaku kaona akisema kanunua Gari bovu ivyo Gari kama nyumba kama box wakina baba levo watamcheka kaona asingizie mke wake

    • @maryamdunga3896
      @maryamdunga3896 2 ปีที่แล้ว

      Wanaushamba

  • @emmanuelemmanuel3047
    @emmanuelemmanuel3047 2 ปีที่แล้ว

    mke wangu wanamkopa

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 2 ปีที่แล้ว

    😃🤣🤣🤣🤣 kha Mwijaku atafika Mbinguni amechoka sana kwa UONGO ANAVYOUPIGA🥲🥲

  • @realramjen3270
    @realramjen3270 2 ปีที่แล้ว

    Kanunua mwenyewe

  • @bernadyahimba4279
    @bernadyahimba4279 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe bajaji ilikuwa ya kwake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 2 ปีที่แล้ว

    Eti wanamkopa 🤣🤣 halooo mwijaku

  • @universitylink
    @universitylink ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa watu wengi hawamuelewi ni comedian watu wanafikiri viingine

  • @allykota8355
    @allykota8355 2 ปีที่แล้ว

    Kapewa na Mama anatangaza movie

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 2 ปีที่แล้ว

    Mhh km unaoa Kwa sababu ya ivyo Kuna mapenzi ya dhati kwr hp 🤔🤷🏾‍♂️

  • @ayubukedimundi3221
    @ayubukedimundi3221 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku ndio kanunua Gari kama box hahaha hahahahaha kaona aibu kusema kanunua yeye a naona haibu

  • @yahyamkone5601
    @yahyamkone5601 2 ปีที่แล้ว

    Mmesema kweli tuache mitandao

  • @shabansalee4924
    @shabansalee4924 2 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 dume zima linafurahiya kupewa gali na mkewe kama kaongwa anakupumbaza uyo mkeo aya kunasiku atakuzawadia na mume mwingine na umpokeeee na utangazee kama unavo ropoka asaivi

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 ปีที่แล้ว

    Jomba Mwijaku Leo unasutwa makavu live 🤣🤣🤣🤣

  • @mwanajumamohammed6327
    @mwanajumamohammed6327 2 ปีที่แล้ว

    Fumbo kwa mama samia

  • @laizerlekisongo1216
    @laizerlekisongo1216 2 ปีที่แล้ว

    Dada nimekuelewaaaa
    Yan na ile bajaji nimekuelewaaa

  • @renatuswilson1577
    @renatuswilson1577 2 ปีที่แล้ว

    Ulongo au Uongo??

  • @aminakazogolo2229
    @aminakazogolo2229 2 ปีที่แล้ว +2

    Geah🤣🤣🤣🤣🤣

  • @simiyioninkwaya9291
    @simiyioninkwaya9291 2 ปีที่แล้ว

    Umesema ukweli dada yagu

  • @mwajabukapemba5458
    @mwajabukapemba5458 2 ปีที่แล้ว

    Mpende mkeo Mwijaku sifa kwa mwanamke bwana

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo logo la lexus iko wapi?🤣

  • @robinhomesuza8906
    @robinhomesuza8906 2 ปีที่แล้ว +1

    ilo Gali au jini mjini

  • @fadymoses4994
    @fadymoses4994 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwjaku 🙌🙌😂😂

  • @khalossalim3723
    @khalossalim3723 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku mkavu 😂😂😂😂😂😂

  • @kingmartin4924
    @kingmartin4924 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo bei sjui umeijuaje naakati hujanunua wewe?😁😁

  • @mosesgatsinzi7308
    @mosesgatsinzi7308 2 ปีที่แล้ว

    Haha Yaani Tanzanians nawapenda tu sana

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว

    Ndio maana inasemwa kuwa wanawake hatunaga siri kwakweli

  • @irenebeddah6524
    @irenebeddah6524 2 ปีที่แล้ว

    mmempa makavu. nimependa

  • @MikiGermany210
    @MikiGermany210 2 ปีที่แล้ว

    Mwijaku leo kapowa kumbe yupo na bosi wake, katupiga gari kanunua mwenyewe, alafu wenzake wakionesha magari yeye analaumu oooh ushamba kumbe na wewe ndio yale yale

  • @monicaalute3143
    @monicaalute3143 2 ปีที่แล้ว

    Me tunakaa watatu na laki 5 hainitoshi jmn 😭😭😭

  • @zenamwasekaga7460
    @zenamwasekaga7460 2 ปีที่แล้ว

    😄😄😄😄😄😄Mwijaku nyie🙌

  • @mzeewa6999
    @mzeewa6999 2 ปีที่แล้ว +5

    katika majinga duniani we lijinga ,ushamba wakiume unamdomo mtoto , wakulelewa unajisifu misifa mingine upumbavu

    • @capteinchuimchafu7894
      @capteinchuimchafu7894 2 ปีที่แล้ว

      Mwijaku atakuwa msenge si bure mamaaee zake

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 ปีที่แล้ว

      @@capteinchuimchafu7894 😄😄😄mbona hili nalisikia sana eti

  • @ahmadzubeir3363
    @ahmadzubeir3363 2 ปีที่แล้ว

    Wee Mwinyijaku weweeee...kwenye Dini usipenye penye maaana hukujuwi kabisaaaa

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 2 ปีที่แล้ว

    😃

  • @pendoanzigar3172
    @pendoanzigar3172 2 ปีที่แล้ว

    Alivyo mkavu Sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shamssaid2892
    @shamssaid2892 2 ปีที่แล้ว

    Gea umeshikika🤣🤣🤣

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 2 ปีที่แล้ว

    Wabongo mna taabu nyingi. Maneno , na drama tuu

  • @godlistenorio5950
    @godlistenorio5950 2 ปีที่แล้ว

    Tangazo hili jamani

  • @mwombekimartin4761
    @mwombekimartin4761 2 ปีที่แล้ว

    Aya bwan

  • @firdausqutty2067
    @firdausqutty2067 2 ปีที่แล้ว

    MwijKu apatwa kigugumizi🙄🙄aibuu

  • @rizoibrahimovich8217
    @rizoibrahimovich8217 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwijaku ni MNAFIKI,muongo Sana mshenzi

  • @jjrussell081
    @jjrussell081 2 ปีที่แล้ว

    Lexus ina steering ya Toyota🙈

  • @aishambagi7371
    @aishambagi7371 ปีที่แล้ว

    Chizi

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣 Kazi ipo hapo kwa Mwijaku

  • @omanigaming6430
    @omanigaming6430 2 ปีที่แล้ว

    Mwija😆

  • @hemedyakub9952
    @hemedyakub9952 2 ปีที่แล้ว

    Sio vitatu ni vinne kaka sio vitatu

  • @beautyandfashiontipsforbot4524
    @beautyandfashiontipsforbot4524 2 ปีที่แล้ว

    Sikweli unayosema mwijako kisahicho

  • @hawakambi5310
    @hawakambi5310 2 ปีที่แล้ว

    usituchoshe bwana umenunua mwenyewe huna uwanaume wa kuhongwa gari

  • @shadrackmwakalinga865
    @shadrackmwakalinga865 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣Mwijaku burudani sana

  • @festomatewa3638
    @festomatewa3638 2 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa mpigaji saaana😆😆😆😆

  • @godlistenorio5950
    @godlistenorio5950 2 ปีที่แล้ว +1

    Drama

  • @alkhudhertarek976
    @alkhudhertarek976 2 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁chawa huyu

  • @kastomwaipopo1763
    @kastomwaipopo1763 2 ปีที่แล้ว

    Mwijaku ni punga anaongea utumbo tu😂🤣

  • @msalabanireko1518
    @msalabanireko1518 2 ปีที่แล้ว

    Uongo ni ushindi wa muda mfup

  • @devothamwamwezi2036
    @devothamwamwezi2036 2 ปีที่แล้ว

    😆😆😆😆😆 me ntakununulia wewe vidox

  • @noeljoel6027
    @noeljoel6027 2 ปีที่แล้ว

    Mwijaku mwamb

  • @costantinebahakaso3736
    @costantinebahakaso3736 2 ปีที่แล้ว

    Hana hera

  • @aishahassan9812
    @aishahassan9812 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣nampenda #mwijaku

  • @stevenezekiel5670
    @stevenezekiel5670 2 ปีที่แล้ว

    Ahahahahah

  • @worldstartz
    @worldstartz 2 ปีที่แล้ว +1

    😂 😂

  • @aika3024
    @aika3024 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣Da huu bhn😹

  • @abdallahhamic4077
    @abdallahhamic4077 2 ปีที่แล้ว

    Acha uongo wewe mwijaku

  • @denicegabriel6616
    @denicegabriel6616 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @teodosiampogole6767
    @teodosiampogole6767 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣

  • @ninnakariba8368
    @ninnakariba8368 2 ปีที่แล้ว

    Clout chaser mkubwa huyu!!! Yeye na Eric Omondi same WhatsApp group. Watu wa kiki gang.