KUMBE UMEME UKIKATIKA TRENI YA UMEME INAFANYA HAYA. (perfect side)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • 📜 Innovation for the future
    we strive to educate you in the world of science. We're delighted to hear your thoughts.
    We greatly respect all TH-cam policies and copyrights. We also appreciate your feedback as it's one way to improve our services.
    Message at Email: perfectsidetz@gmail.com
    subscribe our channel 🔔
    KIPINDI...
    UMEME UKIKATIKA, TRENI INAFANYEJE
    #perfectsidetz #side #tz

ความคิดเห็น • 40

  • @NgassaJr
    @NgassaJr 2 หลายเดือนก่อน +2

    majibu kamili yanaanza 5:19. video nzuri ina elimu ya kutosha kabisa.

  • @Nakomotosimfukwe
    @Nakomotosimfukwe 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri endelea kufanya kazi kwa kina

  • @andrew29468
    @andrew29468 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kwa nini Africa kazi yetu kusoma historia na hatufanyi jitihada za kugundua vitu vyetu

    • @Amospius-r3y
      @Amospius-r3y 2 หลายเดือนก่อน

      vigezo na mashart kz!

    • @KisagasiLuyangi
      @KisagasiLuyangi หลายเดือนก่อน

      Yaani Kwa wanao coment Leo we umeongea point 😂

    • @Ellyeliud
      @Ellyeliud 22 วันที่ผ่านมา +1

      Kabsaaa any tunasoma tuu history basii ila hatufanyi yetu

  • @akimsoso7148
    @akimsoso7148 22 วันที่ผ่านมา

    From Rwanda TU napenda

  • @yassinbahibry
    @yassinbahibry 4 หลายเดือนก่อน +3

    safi sana maelezo mazuri kabisa

  • @reelone-1
    @reelone-1 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hahaha iyo ya pili ya Diesel kile kichwa😂😂

  • @reganedwin2561
    @reganedwin2561 2 หลายเดือนก่อน

    Inabidi Tanzania ianzishe bajeti ya ugunduziii tukue kiteknolojia.

  • @EmmanuelMatonya
    @EmmanuelMatonya 4 หลายเดือนก่อน +3

    yes

  • @abdallahrashid2899
    @abdallahrashid2899 3 หลายเดือนก่อน +1

    Weka teknolog ya ndege inavyopaa

  • @TOZZTALL
    @TOZZTALL หลายเดือนก่อน

    Hivi si ni ina wezekana behewa moja la treni hiyo likatumika kuhifadhi mota ya kufua umeme itakayo zungushwa pale ambapo treni inapokimbia na behewa lingine litumike kuchakata na kuhifadhi umeme ili treni ijitegemee... by best _mlowe

  • @raiszongo4136
    @raiszongo4136 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naitaji kujua excavator inafanyaje kazi

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mnalala hapo.

  • @NdilanhaBoniphace
    @NdilanhaBoniphace 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bdo mnafikiria umeme kukatika

    • @Perfect_side_tz
      @Perfect_side_tz  3 หลายเดือนก่อน +2

      Vipi kama ikatokea itirafu kwenye grade ya Taifa?
      Kuna majanga ya Asili yanaweza sababisha Itirafu ya umeme sababu tunafua umeme kutoka kwenye maji au gesi hivyo vyote ni vyanzo vya asili.
      Pia kuna vifaa kuungua na kusababisha umeme kukatika.
      Ndiyo maana Treni hizi za umeme zinawekewa backup power siyo kwamba hawajui kama umeme hautakatika ila ni swala la Emergency.

    • @NdilanhaBoniphace
      @NdilanhaBoniphace 3 หลายเดือนก่อน

      @@Perfect_side_tz umeme wa Tz kila mda ni kukatika tu mbona Kenya hamna mambo kama haya inamaan majanga yapo Tz tu

    • @Perfect_side_tz
      @Perfect_side_tz  3 หลายเดือนก่อน

      😄 Tuombe Mungu natumaini mambo yatakaa sawa na Serikali itajitahidi.

  • @florianscarion5085
    @florianscarion5085 3 หลายเดือนก่อน +2

    Train kama train haitumii umeme wa AC inatumia DC ambao umekuwa converted. hizi video zako unawawekea ma mbumbu wasio ma uelewa wa masula ya ufundi. kiufupi hakuna kitu cha maana umeongea hapa maelezo yako ni mepesi sana

    • @Userminamka
      @Userminamka 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wew naye msenge kweli unaleta ufundi wako lwenye sayansi.
      Umeambiwa treni ina generator na kazi ya generator inazalisha umeme wa AC.
      Lakini ukaambiwa Motor za treni zinatumia umeme wa DC.
      Mimi kama Eng. Naamini kuwa umeme unaotoka kwenye Generator ni umeme wa AC na hapo ndiyo unabadilishwa sasa kuwa DC.
      Kwaiyo perfect side ipo sawa shida wewe unaleta ufundi wa mtaani bila kujia chanzo.
      Na ingekuwa kama treni inatumia umeme wa DC peke yake basi hata umeme wa grade ya Taifa ungekuwa wa DC, ila umeme wa gred ya Taifa ni wa AC lakini treni ina inverter kama jamaa alivyo sema na kazi ya inverter inabadilisha huo umeme kuwa DC.
      Acha ujuaji wako wa ufundi wa mtaani kwenye mambo usiyo yajua 😂😂😂😂😂

    • @AminaRashid-eb7lk
      @AminaRashid-eb7lk 3 หลายเดือนก่อน

      We mbona mshamba sana, kariakoo wameandika train inatumia umeme wa AC volt elf 25 na wameweka tahadhar kuwa watu wasipite alafu unasema Train haitumii umem wa AC duuh 😂

    • @reelone-1
      @reelone-1 3 หลายเดือนก่อน

      Bila shaka wew huna akili na unakaa mkoani hata uku dar tumeambiw Treni inatumia umeme wa AC, alafu unasem haitumii umeme wa AC inatumia DC
      Kila kitu huwa kinatumia umeme wa AC alafu kifaa icho ndiyo kina convert huo umeme kuwa DC kwaiyo Perfect side ipo sawa.

    • @wilfredmoshi6507
      @wilfredmoshi6507 3 หลายเดือนก่อน

      Leta maelezo yako wewe unaejua basi.

    • @JofreyMsigwa-ok7hv
      @JofreyMsigwa-ok7hv 2 หลายเดือนก่อน

      Tueleze Yako bas musenge wewe hv umevuta bange nn mbwa we haya chapu lete maelezo Yako sasa

  • @DeonatusPaschal-v8i
    @DeonatusPaschal-v8i หลายเดือนก่อน

    Nini huwa kinafanyika kufunga app nchi moja nyingine ikaendelea kutumika na VPN ikawa msaada wa matumizi yakawaida

  • @alfonsimwalongo942
    @alfonsimwalongo942 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hamna kitu ww

    • @Userminamka
      @Userminamka 3 หลายเดือนก่อน

      Ww una nin zaid ya mapumb

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 2 หลายเดือนก่อน

      Lete chako tukione...alafu wewe unaonekana ni mganga wa kienyeji😅

  • @benswax2931
    @benswax2931 2 หลายเดือนก่อน

    Kitu nilitamani hapa sijakipata nilitaka kujua je tren inatembea twmena kwa kasi sasa umeme wa taifa unaifikiaje na ipo safarini au kwenye leli au inakuwaje

    • @albertkatuga2434
      @albertkatuga2434 2 หลายเดือนก่อน

      Na mimi hapo nataka kujua huo umeme unatokea wapi unafungwa waya au umeme unakuwa kwenye leli

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dahhh hongera sana kwa maelezo. Aliyegundua huu usafiri wa treni tumpe congole sana. Hahahahahahaha !! Hii ya mvuke ilikuwa na uzito wa tani 500? Hahahahahahaha

    • @Perfect_side_tz
      @Perfect_side_tz  4 หลายเดือนก่อน

      😀

    • @OswardMwamtobe
      @OswardMwamtobe 4 หลายเดือนก่อน

      Wametuletea trein icyo na kiwango kizuri kabisa, tunaitaji Wabadirishe

  • @basilsimon676
    @basilsimon676 2 หลายเดือนก่อน

    Elezea mota basi huwa unataja tu inazungusha vitu tu tupe kipindi juu ya mota

  • @dreamleague-uq2gx
    @dreamleague-uq2gx 4 หลายเดือนก่อน +4

    Asante mkuu nimepata kitu💯💯✊

  • @Code_22
    @Code_22 4 หลายเดือนก่อน +1

    Km 100 per hour steam train 😂😂😂😂

  • @MuzicAfrika
    @MuzicAfrika 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ina batarries.