Nina maswali mengi sana mkuu lakni nikuombe usiache kutusanua kuhusu hii fursa mana vjana wa bongo bado sana kufahamu haya mambo. God bless na mungu akutangalie umalize salama AiT yako tukuone kwny deployment miezi ijayo kaka. Bless sana toka nyumbani tz🫡
Big up bro nikikuona nakumbuka tu tukizo la kusitisha kozi. Daaah sijui kama nitapona tena naipenda hii kazi basi tu ndio hvyo nishakuwa na athritis sina namna
Ahsante kaka kwa kutujuza kuhusu hizo changamoto Ila kama kuna yoyote anahitaji kufanyiwa maombi ya visa ya marekani lakini hauna pesa kwa sasa basi nitumie ujumbe nitakuelezea namna ya kufanya
Mkuu vipi kwa yule ambaye aliwah kuwa mwanajeshi katika home country yake vipi akifika huko anaweza kujiunga na jeshi la marekani na maisha mengine yakaendelea
@mshana ningeomba cku moja kama hutojali tengeneza content juu ya US Amry uniforms maana ata nikigoogle bdo inaleta kash kash hazieleweki hasa hasa za services zle
Kaka mshana shukrani kwa haya madini mkuu. Ubarikiwe mnoo....kuhusu elimu kuna video moja ulisema wewe mwnyw una elimu ya college toka bongo lakini jeshi uliingia kwa elimu ya fom4, swali hapa kwanini ulitumia hiyo kuliko ya college mana najua hata rank ungeanzia ya juu...nieleweshe mkuu
@@mshanatheblacksmith nmekusoma kamanda...mtu mwenye mastaz au digrii moja anaanza na ranki gani? Vipi immigrant anaweza kuwa active duty na akawa ofisa akiwa na elimu hiyo ya digrii toka bongo?
Jamani Jamani wewe umebarikiwa that's why you in USA watu kama sisi not blessed by God that's why we live in country that is ruled and gets looted by BRITISH 🤘
Kitachubadilika ni Rank utayoanza nayo ni kubwa probably E4 but mafunzo ni sawa kwa wote watu wasio pitia mafunzo ya BCT ni kama unatoka branch moja kwenda nyingine let say unataka kutoka Army kwenda Air Force hutopitia BCT na utaanza kama mwanajeshi na rank itayofanana na uliokuwa nayo Army or little bit above
Na vipi kuhusu malipo yani ule mshahara wa rank yako unaanza kuupata tangu umeanza BCT au baada ya AIT au malipo ya BCT yakoje tofauti na ukianza kazi rasmi afta AIT??
UTAJIRI ni kua comfortable with what you have. NICE...
Uko sawa kabisa kaka kwema lakini inspiration wetu mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 brother
Nina maswali mengi sana mkuu lakni nikuombe usiache kutusanua kuhusu hii fursa mana vjana wa bongo bado sana kufahamu haya mambo. God bless na mungu akutangalie umalize salama AiT yako tukuone kwny deployment miezi ijayo kaka. Bless sana toka nyumbani tz🫡
Mhhhh dollar laki sita ,😳😳mbona tunatamanishana mkuu 😂😂😂pumbavu zangu ngoja nikaoge nikaoge nakuja
Big up bro nikikuona nakumbuka tu tukizo la kusitisha kozi. Daaah sijui kama nitapona tena naipenda hii kazi basi tu ndio hvyo nishakuwa na athritis sina namna
Pole sana kk 🙏🏻 how bad your arthritis? You may still be able to join Military
Japokuwa sina mipango wa kuwa mwanajeshi Kuna kitu nimeambulia kwenye hii stori
Keep going forward brother..
Thank you, I will budda
Nakubali
Yan tusokua na familia atuna con wala skonzi 😂NATAKA KUJA MILITARY 🎖️ kuchoka ata jkt ya Tz nlichoka yajayo ni mema Amen
Ahsante kaka kwa kutujuza kuhusu hizo changamoto
Ila kama kuna yoyote anahitaji kufanyiwa maombi ya visa ya marekani lakini hauna pesa kwa sasa basi nitumie ujumbe nitakuelezea namna ya kufanya
Naomba namba yako ya watsap tafadhali
Mshana je wakikupa mission yakwenda inchi fulani je unaweza kuka ta kwenda iyo inchi?
Broo👊👊
Bro si unitafutie connection
Mkuu vipi kwa yule ambaye aliwah kuwa mwanajeshi katika home country yake vipi akifika huko anaweza kujiunga na jeshi la marekani na maisha mengine yakaendelea
Kaka nisaidie nipate kazi Marekani yeyoteile nitafanya mana nimechoka kuishi bilakazi
Noma sana kakaaa
@@Joendutitv 🫡 budda the BOSS
@@mshanatheblacksmith how will it be?🪖🎖️
Mshana naomba kujua huko jeshini hakina kazi za mjengo mm ni fundi wa paa
@mshana ningeomba cku moja kama hutojali tengeneza content juu ya US Amry uniforms maana ata nikigoogle bdo inaleta kash kash hazieleweki hasa hasa za services zle
@@_motivementor great I got you 👍
ni vigezo gan unatakiwa kuwa navyo kujiunga na jeshi hilo.
Nahitaji kujiunga kwenye jesh la USA,msaada naomba ,nianzie wap
Upo US. Na unatakiwa uwe na green card kisha unaenda kwa ofisi ya recruiter aliekaribu
Hiyo green card unaipataje?@@mshanatheblacksmith
Kaka mshana shukrani kwa haya madini mkuu. Ubarikiwe mnoo....kuhusu elimu kuna video moja ulisema wewe mwnyw una elimu ya college toka bongo lakini jeshi uliingia kwa elimu ya fom4, swali hapa kwanini ulitumia hiyo kuliko ya college mana najua hata rank ungeanzia ya juu...nieleweshe mkuu
Cku graduate ndomana nlisoma miaka 2 instead ya mitatu
@@mshanatheblacksmith nmekusoma kamanda...mtu mwenye mastaz au digrii moja anaanza na ranki gani? Vipi immigrant anaweza kuwa active duty na akawa ofisa akiwa na elimu hiyo ya digrii toka bongo?
Kila siku kila wiki tunajifunza kitu kipya
Kabisa 🫡
Sauti aija tulia
Jamani Jamani wewe umebarikiwa that's why you in USA watu kama sisi not blessed by God that's why we live in country that is ruled and gets looted by BRITISH 🤘
Kaka vp kuhusu elimu mfano una masters or PhD, wote mnapitia same activities or?
The basic training ni lazima hata Bongo ukianza jeshi Ni lazima 6 monthl jkt
Kitachubadilika ni Rank utayoanza nayo ni kubwa probably E4 but mafunzo ni sawa kwa wote watu wasio pitia mafunzo ya BCT ni kama unatoka branch moja kwenda nyingine let say unataka kutoka Army kwenda Air Force hutopitia BCT na utaanza kama mwanajeshi na rank itayofanana na uliokuwa nayo Army or little bit above
@@mshanatheblacksmithshukrani kaka wacha tupambane kuja
Na vipi kuhusu malipo yani ule mshahara wa rank yako unaanza kuupata tangu umeanza BCT au baada ya AIT au malipo ya BCT yakoje tofauti na ukianza kazi rasmi afta AIT??
Mshana vipi kuhusu asvab hesabu sijui inakuaje
@@crispasmwase9188 ASVAB sio ngumu hvyo na kama unaiwazia unaweza kuingia online kutafuta maswali yake au kuna Army App ya kujiandaa na ASVAB