Bro hiyo furaha sio yako tuu umefanya hata mimi nimefurahi pia... hongera sana na huwa naangalia sana contents zako na hii roadtrip toka video ya kwanza unapanga mbaka huko safarini ni nzuri na imejaa details za kutosha umuwachi muangaliaji awe alone. Bro niko safarini na nyie ingawa naangalia kwenye simu. May God protect you
@@mshanatheblacksmith teh ni dream yangu kufika US and Canada so Map ya Us na state zake zote zipo kichwan Awadh.InshaaAllah 1day ntakukumbusha hii msg
I been there done that , 4 years ago, I went to the park that is divided into two one part of the park iko usa na one side iko Canada so it was fun and cool to experience ila nothing special, and it’s BORING !!!!!!
Ukiwa na green card hauhitaji visa kuingia Canada kwasababu marekani na Canada ni nchi pacha ambazo zinamaelewano mazuri. Na wana histori moja wote na waliowakoloni ni wamoja na pia ni bara moja ya amerika kaskazini 🇺🇸🇨🇦
@@mshanatheblacksmith nmekupata kaka that means ni bora niapply visa ya Canada na USA ili kama nkikosa ya USA nkapata ya Canada utakuwa rahisi zaidi kuingia USA kuliko Bahamas, nmekuelewa
@@Jurbeg wabongo kama hawajatoka Dar hawaelewi, ukiwa huku hasa ukiwa nnje mda mrefu it’s so cold unajikuta unamafua alafu pia kuna miti inasababisha allergy ya mafua
Sasa ikiwa nataka kuja marekani kimaisha akini pia nikawa nahitaji niwe sehemu ambapo swala tano Msikitini napenda, inawezekana au ni kishidashida? niambie Bro wangu
We una mafua halafu unaride na Mtu kwenye gari moja huku vioo vimefungwa kwasababu ya Baridi kumwabukiz tuu mafua mtu mwingine. Kwanini usingesubiri Ukapona Mafua yako?

This is great comment ever nimefurahi kwa comment yako kk, mungu akubariki🙏🏻
Hongera Sana kijana nimependa ,hujawa mchoyo na fursa ulizozipata. Pia safi Sana kwa kutangaza utalii kwa wacanada uliokutana nao mpaka .
Mpakani
Haujabarikiwa kupata watoto?
Na Mimi nimefurahi Sana jamani hongera Sana bro 🇹🇿 to the world
🏃🕺🏃
Umetisha sana Bro
💪🏻💪🏻
Nakukubari San brow
Nakubali kaka 🔥🔥
Safi kk, tupo pamoja
Mshana naomba please 🙏🙏 no zako za whps sio story tupu..
Jamaa anainjoy sana
good job
Daaa..raha aiseee
mmeingia BRITISH COLUMBIA.ALBERTA aisee mmetembea ❤
Mzee ushafikaga nn? Exactly 👍
@@mshanatheblacksmith teh ni dream yangu kufika US and Canada so Map ya Us na state zake zote zipo kichwan Awadh.InshaaAllah 1day ntakukumbusha hii msg
@@salumsalum8866kaka tuwasiliane
@@salumsalum8866ukienda usinisahau unibebe na mimi 😹😹😹naota tyu ndoto ya canada na USA
@@MkisiStylish inshaahlaah Kwanza ni kuomba mungu pili Nia unayo you make it 1dai
SAFI SANA, NIMEIPENDA HII
👊🏼
Dah pw sana hiyo
Safisana brooo
Kaka kila hatua dua mpaka wazanzibar.tunainjoe
Green card holder anaingia Canada bila visa
Yes kk upo sahihi tume research now na wamesema unahitaji USCIS card(Green card)✊🏼
Daaaah hadi udenda umenitoka jamaa akiimba wimbo wetu wa nchi!
Brouh ukiwa na greencard canada unaingua bila visa ,,, fatila tuu then utaelewa
It’s true
Siyo kweli mkuu,
Kaka abari Yako nisaidie mpango yote Mimi sitaki kazi ofisni kazi mashambani mm nguvu kazi sichagui kazi sepa kidogo ninayo kaka naomba namba ya sm
I been there done that , 4 years ago, I went to the park that is divided into two one part of the park iko usa na one side iko Canada so it was fun and cool to experience ila nothing special, and it’s BORING !!!!!!
Polee kwa mafua lakin
Asante 🙏🏻
❤
Ukiwa na green card hauhitaji visa kuingia Canada kwasababu marekani na Canada ni nchi pacha ambazo zinamaelewano mazuri. Na wana histori moja wote na waliowakoloni ni wamoja na pia ni bara moja ya amerika kaskazini 🇺🇸🇨🇦
💪
Umeipeperusha bendera ya TZ vizuri sana
Tunatangaza nchi yetu na utalii wetu, Asante 🙏🏻
Yaani ameipeperusha bila hiana
Kila la gher bro
Yaani mwamba Leo umenifuraisha sana
Kwanini? 😃
@@mshanatheblacksmith yaani umeingia na bendela yatanzania mbaka kwenye maboda yawatu bila uwoga wowote
@@OmaryKaniki-hs5mz 😂😂 tunatangaza nchi 😂😂
@@mshanatheblacksmith kweli unajitahidi
Mzee umeona mzungu
Vipi ukizamia USA kupitia the Bahamas?
Ni kisiwa ndugu sio kama 🇨🇦 just a border unaweza kuvuka kwa kutembea 2, like upo Znz na unataka kuja Dar kwa kuzamia
@@mshanatheblacksmith nmekupata kaka that means ni bora niapply visa ya Canada na USA ili kama nkikosa ya USA nkapata ya Canada utakuwa rahisi zaidi kuingia USA kuliko Bahamas, nmekuelewa
@ibrahimsaguti7470, ni aje, em nipe namba zako mkuu
mkuu em nipe mwasiliano yako
mate tu yanatoka ila one day tutakuja huko japo ni nchi za ahadi ..basi tu hadi maneno yanaishia hapo
Tibu mafua kwanza hayo 😂😂😂
Mafua it’s because ya baridi hii ni North mwa dunia sio bongo mafua ni ugonjwa,😀
@@mshanatheblacksmith kweli ila mimi niko suoth Africa pia tuna barafu nasasa baridi imeanza 🇿🇦🇿🇦🙏😂😂
@@Jurbeg wabongo kama hawajatoka Dar hawaelewi, ukiwa huku hasa ukiwa nnje mda mrefu it’s so cold unajikuta unamafua alafu pia kuna miti inasababisha allergy ya mafua
@@mshanatheblacksmith asante kaka tuko moja nikweli kabisa 🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰
Sasa ikiwa nataka kuja marekani kimaisha akini pia nikawa nahitaji niwe sehemu ambapo swala tano Msikitini napenda, inawezekana au ni kishidashida? niambie Bro wangu
Do swala Tano msikitini ??? Kaka Bora ubaki Tanzania kwani Canada n'a Amérique Ama Europe iyo la swala 5 sahau
😂😂😂😂😂😂😂😂
Karibu Canada mkuu
Asante 🇨🇦
Hlw
Sawa bana
Canada ni nchi ya 2 duniani kwa ukubwa kisha marekani ni nchi ya 3 duniani kwa ukubwa ya kwanza ni Russia ya 4 ni china
China ni ya pili acha uongo tatu America
Siku moja uende Canada Kwa ma mkubwa
Jamani tusaidieni tusio soma tupate kuja kazi za usafi😢
Kumbe nirahisi sana kuinga Canada kutokea US
Mbona auja tuonyeshe Washington kutoka Oregon pale Eugene kaka
Msijali video nzima inakuja itakuwa P3 hii ni short video tu kwasababu i was happy kuingia Canada 🇨🇦 Ila Asante kwa kuuliza 🙏🏻
Nakubali sana kaka chukua maua yako kutoka mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹🌹🌹🌹
@@mshanatheblacksmithkaka naomba kujuwa ulitumia njia gani kufika huko?
We una mafua halafu unaride na Mtu kwenye gari moja huku vioo vimefungwa kwasababu ya Baridi kumwabukiz tuu mafua mtu mwingine. Kwanini usingesubiri Ukapona Mafua yako?
Hata mimi nimeliona hilo jamaa ana mafua makali sana
Naomba email yako brother
awadhmshana623@gmail.com