Kuna Kazi nyingi tuu zinalipa relocation. Mimi nililipiwa, flights, hotel, vehicle transportation, house furniture, etc etc. Hakikisha unasoma wakati ukiwa bado jeshini chukua hata madarasa 2 kwa semester. Good luck.
Iyo kazi ndooo nataka mm akika ni ndoto zangu kuwa military kwenye hiii dunia tena america 🇺🇲🇺🇲👍 good experience from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 brother
Kaka ongela sana nakubali sana u s a awana ujanja ujanja kwenye maisha ya mtu jamani umepata nakuombea sana kaka tuangalie na sisi najua ww una moyo mzuri I love america 🇺🇲🇺🇲👍👍👍👍👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Bongo nyoso kaka pambana mpambanaji wewe ongela kwa mafanikio na sio mchoyo tangu mwanzo nipo nawe kaka tupe na connection from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hiyo ni sawa Lazima iwe hivyo kwasababu Wewe pia Maisha Yako ume ya sucrifice to death anytime Ukihitajik kwenda vitani also your Life lipo kweny mikono ya US Government Ukiondoa Mungu
Inshu sio kwamba hatutaki kujiunga tunataka hasaa lkn tunaishi hali ya kuwa hatuna GREEN CARD so inatuwia ugumu kujiunga kwasasa mie binafs mwaka wa kupata green card basi wala sichelewi najiunga USA ARMY mchana kweupeeee nsaini mkataba wangu wa miaka mitano nkimalza hapo kibati narudi Bongo stak strees tena 🙌🏽
Green card ni njia rahisi ya kufika unyamwezini lakin kwa watu wenye kipato Cha chini & kati ni very Expensive kulipia zile Costs baada ya kupata Green Card. Almost 7.5M
@@abubakariemilian9125green card hainunuliwi kaka na kama wangekuwa wanaziuza kwa umuhimu wake USA basi ndan ya masaa kadhaa tu zitakuwa zimesh kwisha hata iwe inauzwa mil 20 ila green card huwa unapata kwa njia tu ya ndoa endapo umeoa au kuolewa na usa citizens,Lottery au boss wako raia wa marekani aku spons n.k laah sivo hata ukae miaka mia marekani kama huna bahati ya😂 green card hutoipata hata kweny account yako uwe na million 100 😂😂
Pesa tule wenyewe?😂 but mumbuka ingetakiwa nilipe kwanza kabla yakurudishiwa pesa yangu na cha juu, most likely ningetumia pesa ndogo kussafirisha the thing is sitaki stress hyo for this time
Bro mbona sasa fursa za kazi nyingine hauonyeshi sasaivi, unaonyesha tu mambo ya jeshi wengine hatupo interested au sasaivi fursa nyingine huwezi kuonyesha?
Kaka bongo imeuzwa wapale wanaenda congo wakulya wanaenda somalia wasukuma wanaenda sudani je wewe😂😂😂😂 utaenda wapi baki uko ila tuvute sisi mafaita tuje 😂😂 from mwanza 15:49 😂😂😂 tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Georgia nipazuri pia kaka..... hongera sana
Iyo kazi ndooo nataka mm akika ni ndoto zangu kuwa military kwenye hiii dunia tena america 🇺🇲🇺🇲👍 good experience from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 brother
Nakukubali sana bro Mungu aendelee kukulinda Kaka.
This Man, makes me changed become improving mind🎉❤
ahsante sana bro kwa darsa
Kaka ongela sana nakubali sana u s a awana ujanja ujanja kwenye maisha ya mtu jamani umepata nakuombea sana kaka tuangalie na sisi najua ww una moyo mzuri I love america 🇺🇲🇺🇲👍👍👍👍👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wow wow wow ..congratulations .. mashalah mashalah mashalah
Atoki mtu hapa kaka unaondoka lini hapo kaka ❤
HONGERA SANA SAANA
Bless you bro 👏🏾👏🏾
Bongo nyoso kaka pambana mpambanaji wewe ongela kwa mafanikio na sio mchoyo tangu mwanzo nipo nawe kaka tupe na connection from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Soon Insha Allah nakuona
Tupe vlog ya safari , tunasubiri
Kak mungu akubariki bn .. we'll meet one day inshallah
Bro I hv dream to enjoy usa army 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
kaka napenda sana jeshi nitafanyeje nijiunge najeeshi uko marekani
Aise balaa wewe kweli unahama kaka😂😂
Wewe wewe 👉 Bwana Jeshi we we usirudi Tanzania 😂😂 Tanzania imeuzwa baki uko uko 🇺🇸✌️
😂😂🙌🏼
The hidden truthful
Kaka mwaeza host watu juu ya kujaribu bahati
Kaka lifanyie kazi jambo letu la group
Samahan sana kaka
Mkuu nauliza hapo kwenye kuchagua kati ya active and reserve
Kwa mtu aliyechagua reserve anaweza kwenda kuajiriwa sehemu nyingine na kulipwa.....????
Uko poa sana
Kila la kher kaka
Which work do u do in the military
I might be in the States this year I want to join Navy. M'bongo nipo Namibia hapa.
I wish to have it men..one day yes inshallah
Mshana the black smith hemu tengeneza clip inayoelezea background Yako kutoka Tanzania to America?
Hiyo ni sawa Lazima iwe hivyo kwasababu Wewe pia Maisha Yako ume ya sucrifice to death anytime Ukihitajik kwenda vitani also your Life lipo kweny mikono ya US Government Ukiondoa Mungu
Bro I hv dream to enjoy usa army
Kaka naomba mawasiliano yako nakupataje?
Hello, naweza kupata mawasiliano yako?
Inshu sio kwamba hatutaki kujiunga tunataka hasaa lkn tunaishi hali ya kuwa hatuna GREEN CARD so inatuwia ugumu kujiunga kwasasa mie binafs mwaka wa kupata green card basi wala sichelewi najiunga USA ARMY mchana kweupeeee nsaini mkataba wangu wa miaka mitano nkimalza hapo kibati narudi Bongo stak strees tena 🙌🏽
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 dah " sitaki stress"
Green card ni njia rahisi ya kufika unyamwezini lakin kwa watu wenye kipato Cha chini & kati ni very Expensive kulipia zile Costs baada ya kupata Green Card. Almost 7.5M
@@abubakariemilian9125green card hainunuliwi kaka na kama wangekuwa wanaziuza kwa umuhimu wake USA basi ndan ya masaa kadhaa tu zitakuwa zimesh kwisha hata iwe inauzwa mil 20 ila green card huwa unapata kwa njia tu ya ndoa endapo umeoa au kuolewa na usa citizens,Lottery au boss wako raia wa marekani aku spons n.k laah sivo hata ukae miaka mia marekani kama huna bahati ya😂 green card hutoipata hata kweny account yako uwe na million 100 😂😂
vp kuhusu likizo zenu, muna chukua mda gani months ama weeks leave after training?
Sawa subir ssa uende huko rushia 😂😂😂
Ninaitaji kujua jinsi ya kujiunga na jeshi la marekani, kuna link au unawezaje kunisaidia?
Huku bongo mtu unaweza kujihisi una LAANA to the extent lazima nifike marekani😊
Kwanini hujasaini mkataba mrefu like 15yrs or more au ni utaratibu kwamba lazima uanze na miaka minne?
Nakumbuka kabla ujaenda jeshi uliwahi sema ni rahisi....
Ukomo wa umri kujiunga na jsho lamarekani ni miaka mingapo?
Vigezo gani vinahtajika kujiunga na jeshi la marekani??
Deployment wapi?
and write and receive many messages
Naomba kaka nisaidie jinsi ya kujiunga na jeshi la marekani hadi wakukubalie kuwa mwanajeshi wa us army kama ww..apo
Kaka acha kuota amka usingiIni
American citizen
😂😂@@vallencymacdonalds
@enwhy???ocksilungwepondajr9707
Kaka pesa yote hyo ..kwnn usichukue guta
Pesa tule wenyewe?😂 but mumbuka ingetakiwa nilipe kwanza kabla yakurudishiwa pesa yangu na cha juu, most likely ningetumia pesa ndogo kussafirisha the thing is sitaki stress hyo for this time
Bro ningepeta kuuliza kitu kwani kujiunga na jeshi la U.S.A vigezo vya elimu??
Mimi napenda kua FBI wa us
👊👊👊👊👊🤝🤝🤝🤝🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mwisho miaka minagapi kujiunga na jeshi hapo usa
Bro mbona sasa fursa za kazi nyingine hauonyeshi sasaivi, unaonyesha tu mambo ya jeshi wengine hatupo interested au sasaivi fursa nyingine huwezi kuonyesha?
@@raphaeldesigner2 nitaangele ucjal naongelea jeshi coz nilikuwa nimefungiwa na jeshi kwa mda mrefu so watu wengi walihitaji kujua
Kaka bongo imeuzwa wapale wanaenda congo wakulya wanaenda somalia wasukuma wanaenda sudani je wewe😂😂😂😂 utaenda wapi baki uko ila tuvute sisi mafaita tuje 😂😂 from mwanza 15:49 😂😂😂 tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hii nzuri san mkuu..Naomba mkuu unisaidie namba yako ya WhatsApp