BARUA YA KUNYIMWA VIZA YA USA NA SABABU ZAKE HII HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 19

  • @Kigomafahariyetu
    @Kigomafahariyetu 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera mkuu kwa Kaz nzuri san

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante

  • @DanielRobert-k9l
    @DanielRobert-k9l 3 หลายเดือนก่อน

    Welcome back ebm

  • @judithfimbo3743
    @judithfimbo3743 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna wakati mwingine hawaangalii documents ndani ya maswali mawili au moja anakua ameshafanya maamuzi ya kukupa visa au la.

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 2 หลายเดือนก่อน

    Naona mmtafte #dullastar

  • @Mwakaismsociety
    @Mwakaismsociety 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa Kaz kaka,na ufafanuz huo.msaada, ukifika marekani nin ufanye ili upate social security number?.hasa hasa ukija kwa visiting Visa?.

  • @emanuelcholela8679
    @emanuelcholela8679 2 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba muongozo wa visa isiyo ya kuhamia

  • @hancedamas557
    @hancedamas557 2 หลายเดือนก่อน

    NAOMBA msaada bro nataka kujua bro nisadie ninashida na Vissa bro nisaidie bro

    • @meryamabdullah2081
      @meryamabdullah2081 2 หลายเดือนก่อน

      Ye atakusaidiaje visa akati intaviw unafanyiwa wewe na hio inchi ndo inayo toa visa yeye atakusaidiaje sikiliza hpo maelezo ni mambo gn yanasababisha mtu kunyimwa Visa

    • @Babygirl758
      @Babygirl758 2 หลายเดือนก่อน

      @@meryamabdullah2081😂😂😂😂😂

  • @gordianherbert9822
    @gordianherbert9822 3 หลายเดือนก่อน

    Samahan mkuu nlikua na swali kama umeapply mara ya kwanza ukaona umekosea si unaweza ukafanya tena😢

    • @sumatraveler1957
      @sumatraveler1957 3 หลายเดือนก่อน

      Ndio unaweza kuaplai hata mara 10 , kikubwa unatakiwa kufaam kwanini umekosa alafu wakati mwengine ujisaishe.

  • @IbrahimMwadini-hz7ib
    @IbrahimMwadini-hz7ib 3 หลายเดือนก่อน

    kaka edm ili nizungumze kiswahili nini nifnye ubalozini niongee kiswahili katika mahojiano...

    • @judithfimbo3743
      @judithfimbo3743 2 หลายเดือนก่อน

      Kuna dirisha la kwanza utamuomba ama utamwambia unataka kuongea kiswahili na utapewa nafasi hiyo.

  • @Frank1301-y4t
    @Frank1301-y4t 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa hiyo barua wanaandika saa ngapi au ndo tayari kabla hujafika dirishani ulishanyimwa tayari...

    • @neemakenge1153
      @neemakenge1153 3 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @judithfimbo3743
      @judithfimbo3743 2 หลายเดือนก่อน

      Zipo pale pale printed tayari. Anaweka stamp na tarehe anakupa. Haina jina.

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@judithfimbo3743Nini hasa kinaweza kufanya kukosa Visa?

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 3 หลายเดือนก่อน

    Visa😂😂