Highlights Yanga walivyoipapasa Ruvu Shooting na kuichapa 2-1 kwa Mkapa - VPL 06/12/2020

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 158

  • @cledyprocess7734
    @cledyprocess7734 3 ปีที่แล้ว +118

    Kama una mkubali T K MASTER gonga like ya nguvuu 😍

  • @rizicksimon3956
    @rizicksimon3956 3 ปีที่แล้ว +43

    Hiii ndiyo yanga ninayoijua Mimi ongera sana yanga yangu💚💚💚💛💛

  • @elizabethjames4501
    @elizabethjames4501 3 ปีที่แล้ว +27

    Safi sana wananchi mmejua kutupatia raha mwaka huu👍😀😀😀😀

  • @annadotto2429
    @annadotto2429 3 ปีที่แล้ว +18

    Mbele daima nyuma mwikoooooh 👌 👌 💚 💚 💚 💛 💛 💛

  • @Nestory_nest_C
    @Nestory_nest_C 3 ปีที่แล้ว +65

    Kisindaa man of the match

    • @grobaltechtz1656
      @grobaltechtz1656 3 ปีที่แล้ว

      Kisindaa@th-cam.com/video/bjUrSRpcuHc/w-d-xo.html

    • @lukalupanga1194
      @lukalupanga1194 3 ปีที่แล้ว +1

      @@grobaltechtz1656 GE

    • @yohanakikwa447
      @yohanakikwa447 3 ปีที่แล้ว

      @@grobaltechtz1656 you in prayer Kiti bb

  • @sospetermkangi722
    @sospetermkangi722 3 ปีที่แล้ว +23

    TUISILA KISINDA (JET FIGHTER).
    Jet fighter ni ndege za kivita zina sifa ya spidi kali, uwezo wa kushambulia ikiwa kwenye speed ile ile, kwenda kushoto au kulia , chini au juu. TK master ana speed kali, ananyumbulika, anaweza kwenda kushoto au kulia, anaweza kukupasia mpira anakutanguliza halafu anatoka nyuma na kukuovatek. hivyo basi naomba wanajangwani tumbatize jina la Jet fighter,.
    kama unakubali gonga like kisha twenzetu na wanajangwani na jet fighter.

  • @ingabirefabrice3418
    @ingabirefabrice3418 3 ปีที่แล้ว +31

    tk master mzeee baba asanteeeeeeeeeee

  • @kelvindagine9571
    @kelvindagine9571 3 ปีที่แล้ว +113

    Yakuba ni mchezaji . Mzuri kama unakubaliana na mimi like hapa

    • @mwakipundahenry5235
      @mwakipundahenry5235 3 ปีที่แล้ว +1

      Bonge la mchezaji, ana speed, ball control, hachoki. Sema naye TK master ni balaa, hawa wawili ni wachezaji

    • @fihilihakika8709
      @fihilihakika8709 3 ปีที่แล้ว +2

      Hata mimi nakubar mzee baba

    • @kelvindagine9571
      @kelvindagine9571 3 ปีที่แล้ว

      @@mwakipundahenry5235 umeona hiyo mwakipunda

    • @kelvindagine9571
      @kelvindagine9571 3 ปีที่แล้ว

      @@fihilihakika8709 yes sana

  • @amidufemikuti8039
    @amidufemikuti8039 3 ปีที่แล้ว +16

    Yanga raaaha yanga yetu wananchi

  • @ibrahthedone149
    @ibrahthedone149 3 ปีที่แล้ว +7

    ilove yanga from burundi🙌

  • @madinboymchoro4426
    @madinboymchoro4426 3 ปีที่แล้ว +97

    Kama unaipenda yanga Tonga like hapa

    • @grobaltechtz1656
      @grobaltechtz1656 3 ปีที่แล้ว

      @th-cam.com/video/bjUrSRpcuHc/w-d-xo.html

  • @samsonmartin2712
    @samsonmartin2712 3 ปีที่แล้ว +50

    Bravo young Africans from Nairobi Kenya

  • @ericericek1137
    @ericericek1137 3 ปีที่แล้ว +30

    Rossein Tuisila Kisinda from As Vita club🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @marrysaimon4330
    @marrysaimon4330 3 ปีที่แล้ว +22

    Penda sana timu yanga, daima mbele nyuma mwiko

  • @gracejohn4256
    @gracejohn4256 3 ปีที่แล้ว +9

    Tk Master Ni sheeda

  • @dullybang7246
    @dullybang7246 3 ปีที่แล้ว +22

    Tuacheni na yanga yetu watoto WA jangwani..

    • @grobaltechtz1656
      @grobaltechtz1656 3 ปีที่แล้ว

      @th-cam.com/video/bjUrSRpcuHc/w-d-xo.html

  • @michaelamoss3364
    @michaelamoss3364 3 ปีที่แล้ว +19

    Tki masita mchezaji bora katika mechi hii ...yanga oyeeeeeee

  • @deborahcharz8907
    @deborahcharz8907 3 ปีที่แล้ว +8

    Nakubali Sana man of the speed TK master 💛💚💛💚

  • @amidufemikuti8039
    @amidufemikuti8039 3 ปีที่แล้ว +14

    Tk master duuuu noma sanaaa

  • @alfredyjustinian6984
    @alfredyjustinian6984 3 ปีที่แล้ว +9

    Lkn pongezi kwa tk master jmn huuu sio pw

  • @meryciananyankena8098
    @meryciananyankena8098 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii ndo yanga nayoitaka mie💪💪💪🔰🔰🔰🔰

  • @lucycastory1650
    @lucycastory1650 3 ปีที่แล้ว +43

    Piga kelele kwa yanga yetu kama unaipenda kindaki ndaki weweee show show

    • @dominichumay7234
      @dominichumay7234 3 ปีที่แล้ว

      Oyoooooooooooooooooooopooooooooop9oooooo

  • @yacenharuna380
    @yacenharuna380 3 ปีที่แล้ว +26

    KISINDA we n hatar xana

  • @elizabethjames4501
    @elizabethjames4501 3 ปีที่แล้ว +35

    Tuisila nimekuelewa mwananchi ukipata mpira nikuchomoka2

  • @Nestory_nest_C
    @Nestory_nest_C 3 ปีที่แล้ว +22

    Yanga🔥🔥🔥

  • @kanalning7732
    @kanalning7732 3 ปีที่แล้ว +12

    Iiii ndiyo yanga inakeraaaaaaaaaaá

  • @jilugutv5732
    @jilugutv5732 3 ปีที่แล้ว +3

    Thanks Dana kwa yanga yet🤗🤗🤗

  • @kelvinbeautus1335
    @kelvinbeautus1335 3 ปีที่แล้ว +34

    Huyu kisinda sy pow anaukimbiza hatar

    • @fatmahobah1042
      @fatmahobah1042 3 ปีที่แล้ว

      Hamna kitu hpo tumelamba garasa

    • @mo_masai4261
      @mo_masai4261 3 ปีที่แล้ว +1

      We ndo garasa

    • @fatmahobah1042
      @fatmahobah1042 3 ปีที่แล้ว

      @@mo_masai4261 imeisha hyo huwez badil ukwel shoga angu

    • @shaninaftary1693
      @shaninaftary1693 3 ปีที่แล้ว

      @@fatmahobah1042 kakojoe ulale

    • @fatmahobah1042
      @fatmahobah1042 3 ปีที่แล้ว

      @@shaninaftary1693 anza ww shoga

  • @dogoshazzy761
    @dogoshazzy761 3 ปีที่แล้ว +15

    Makin sana wakwanza mm hapa 🔥🔥🔥

  • @tusakiblaga3263
    @tusakiblaga3263 3 ปีที่แล้ว +17

    Kwel sasa hii niyanga nayo ifahamu mimi khaaa si kwa brudani hii mambo moto

  • @hamzabeimoto18
    @hamzabeimoto18 3 ปีที่แล้ว +12

    Kama umemuona Nick mbish akishangilia ruvu gonga like

    • @nestolameki1942
      @nestolameki1942 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwendo wa ushindi tu mwanzo mwisho

    • @grobaltechtz1656
      @grobaltechtz1656 3 ปีที่แล้ว

      @th-cam.com/video/bjUrSRpcuHc/w-d-xo.html

  • @MITOBO
    @MITOBO 3 ปีที่แล้ว +34

    Uyu Kisinda n mtu na nusu

    • @grobaltechtz1656
      @grobaltechtz1656 3 ปีที่แล้ว

      @th-cam.com/video/bjUrSRpcuHc/w-d-xo.html

  • @pendomushi3289
    @pendomushi3289 3 ปีที่แล้ว +2

    Daima mbele nyuma mwikooo...💚💚💚💚💚💛💛💛💛💚💚💚💚💛💛💛💚💚💚💚

  • @mbwananasoro9587
    @mbwananasoro9587 3 ปีที่แล้ว +7

    Iyo yanga ni babalao si kwa mpira huu

  • @audiphacekatolilo550
    @audiphacekatolilo550 3 ปีที่แล้ว +10

    Ruvu bhana walijua na leo wanacheza na simba kumbe n yangaa hahahaaa

  • @kingsteph9851
    @kingsteph9851 3 ปีที่แล้ว +8

    Tuisila kisinda ni ✈️💥💥

  • @robertlameck7095
    @robertlameck7095 3 ปีที่แล้ว +4

    Aliyesikia mtangazaji akichapia
    "Nusu ya mchezo huyu " gonga like tujuane

  • @asiaathuman128
    @asiaathuman128 3 ปีที่แล้ว +7

    Saf yanga 🙏🙏

  • @davidchalambo2373
    @davidchalambo2373 3 ปีที่แล้ว +4

    H@aaaaa TK Master a.k.a Turboo hatar sana 💚💛 YANGA.

  • @chikukipinga4571
    @chikukipinga4571 3 ปีที่แล้ว

    Yanga mbele na iko imara naipenda yanga kiukweli

  • @coronasongs6821
    @coronasongs6821 3 ปีที่แล้ว +2

    Tk turbo ahsante snaaaa

  • @maikosamila7187
    @maikosamila7187 3 ปีที่แล้ว +1

    Jmn yanga hiii noma inashambulia mwanzo mwisho

  • @manifongotravellar4745
    @manifongotravellar4745 3 ปีที่แล้ว +10

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @roggerrajab9782
    @roggerrajab9782 3 ปีที่แล้ว +12

    Yanga tumnyimwa penalt imekuwa kona

  • @aloyckings5887
    @aloyckings5887 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwakaa huu ubingw w2

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 3 ปีที่แล้ว +46

    Mfupa uliomshinda Jirani yetu, Leo Wananchi wameusagasaga.

  • @robertishepe9961
    @robertishepe9961 3 ปีที่แล้ว +2

    I love tz soccer 🔥🔥

  • @lemameasi4698
    @lemameasi4698 3 ปีที่แล้ว +19

    SASA YANGA IMEANZA KUONYESHA MPIRA MZURI NA WENYE MALENGO

    • @grobaltechtz1656
      @grobaltechtz1656 3 ปีที่แล้ว +1

      @th-cam.com/video/bjUrSRpcuHc/w-d-xo.html

    • @btsokotv1052
      @btsokotv1052 3 ปีที่แล้ว

      Sio sasa toka msimu umeanza

  • @MarcoPolo-ol2lz
    @MarcoPolo-ol2lz 3 ปีที่แล้ว +1

    Yanga bado hatudefend vizuri. Hawa jamaa walipata nafasi nzuri sana za kufunga ila hawapo vizuri.mwamnyeto na lamine wamepoteana sana.

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว +2

    Hivi ingekuwa marekani ndio haina korona tungekoma lakini kwa kuwa ni tz wapo kimyaaa. Wtz tujivunie jambo hili na kutokusahau kumshukuru MUUMBA wetu kila wakati

  • @bhokedavid8932
    @bhokedavid8932 3 ปีที่แล้ว +2

    Masawe😀😀😀 sisi sio wale mbute mbute mliowafunga moja

  • @habilinhohezron3099
    @habilinhohezron3099 3 ปีที่แล้ว +4

    Mtangazaji well done chukua maji popote ulipo ela utalipa mwenyew

  • @ezapesambili2130
    @ezapesambili2130 3 ปีที่แล้ว +5

    Kisindaaa weeeeeeeeee

  • @lofytodo875
    @lofytodo875 3 ปีที่แล้ว +4

    tuisilia kuna vitu vichache akiviweka sawa basi anayo nafasi kuwania mchezaj bora.

  • @mayungalukas1374
    @mayungalukas1374 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatushikiki yanga

  • @husseinshamte7129
    @husseinshamte7129 3 ปีที่แล้ว +4

    Mpaka ligi inaisha hatuachi kiti Yanga juu tuuuuu

  • @marrynguyen8031
    @marrynguyen8031 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatariiiiiii

  • @kingayoubshabani2551
    @kingayoubshabani2551 3 ปีที่แล้ว +3

    Kuna watu wanatamani waseme kua YANGA tayari GARI LIMEWAKA lakini wanahofia tu kwamba wataonekana ni wasaliti

  • @lusajopeter4943
    @lusajopeter4943 3 ปีที่แล้ว

    Yanga hiii motooooooooo

  • @othmanmalongo4499
    @othmanmalongo4499 3 ปีที่แล้ว +5

    🔰💪🔥🔥

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 3 ปีที่แล้ว +3

    HAaaaaaa Yanga mmetupa raha

  • @regiuskitosi7101
    @regiuskitosi7101 3 ปีที่แล้ว +2

    Yanga hii kufungwa ni ndoto

  • @sarahpetro4418
    @sarahpetro4418 3 ปีที่แล้ว +1

    Yanga raha sana

  • @charitymkombozi1800
    @charitymkombozi1800 3 ปีที่แล้ว +1

    Mdogo mdogo mpaka ubingwa wananchi

  • @ilmhd6758
    @ilmhd6758 3 ปีที่แล้ว +2

    Al watan 👏🏽🔥🤠

  • @abdulyvanny3475
    @abdulyvanny3475 3 ปีที่แล้ว +1

    uyu kisinda inabidi tumkague aseee ..n motoooo

  • @dullybang7246
    @dullybang7246 3 ปีที่แล้ว +5

    Chambueni mpira kiukweli na mtuoneshe matukio ya ukweli na mpira uko uwanjani hatutajki figisu.

  • @dullybang7246
    @dullybang7246 3 ปีที่แล้ว +5

    Tunawasubiri blabla Simba hawana jipya labda hela na figisuu nuktaaaa.. yanga tuko vizuri chambueni Ila pira linachezwa uwanjani..

  • @maherzain2555
    @maherzain2555 3 ปีที่แล้ว +2

    Afu apo siyo kupapasa....ni kutekenya

  • @wangonamuhange8218
    @wangonamuhange8218 3 ปีที่แล้ว +3

    Uyu tuisila aongezewe miaka 10

  • @mbazumutimapolinaire4240
    @mbazumutimapolinaire4240 3 ปีที่แล้ว +6

    Yanga ni baba lao

  • @dullybang7246
    @dullybang7246 3 ปีที่แล้ว +4

    Msipoangalia Azam online kuna unsubscribe kwa upendeleo wenu .. tutawapotezea.

  • @abdillaahmuhammad2539
    @abdillaahmuhammad2539 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli bana hii ni Barcelona ya Bongo

  • @victoromingo3337
    @victoromingo3337 3 ปีที่แล้ว +6

    Sign kahata.....4 depth

  • @jenifagerald1157
    @jenifagerald1157 3 ปีที่แล้ว +12

    Duu tuisila wewe kiboko

  • @bennamush1549
    @bennamush1549 3 ปีที่แล้ว

    Siyo kimoja tena ni viwili vya mkwezi hahaha raha sana

  • @audiphacekatolilo550
    @audiphacekatolilo550 3 ปีที่แล้ว +1

    Yangaaaaa

  • @charlesgndende5358
    @charlesgndende5358 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu beki wa Ruvu captain anacheza ndivyo sivyo

  • @rizmarkabraham2890
    @rizmarkabraham2890 3 ปีที่แล้ว +9

    Huyu Tuisila atawaumiza mapafu wapinzani duuuh hatar

  • @chikukipinga4571
    @chikukipinga4571 3 ปีที่แล้ว

    Yanga imara

  • @abdillaahmuhammad2539
    @abdillaahmuhammad2539 3 ปีที่แล้ว

    Huyu yacouba ningekuwa coach ningekuwa namuweka bench kwanza

  • @josephinejoseph3919
    @josephinejoseph3919 3 ปีที่แล้ว +1

    Yanga baba Lao

  • @renatusaugustine3410
    @renatusaugustine3410 3 ปีที่แล้ว +1

    Jaman yanga mnanipa rahaaa

  • @petromwagala5866
    @petromwagala5866 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukisikia yanga weka mbali nawatoto

  • @harushimana6152
    @harushimana6152 3 ปีที่แล้ว +2

    Hizo freekick saido atawamaliza

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว

    Video safi

  • @joshuanyonyi1353
    @joshuanyonyi1353 3 ปีที่แล้ว +1

    Sarpongu ni mchezaji mzuri
    Ana timeing ya movement wa tim ni sifa ya mshambuliaji kama enz za Mohammed hussen mmachinga. Mkama Ntare wa RTCkagera.

  • @sarahkingu7738
    @sarahkingu7738 3 ปีที่แล้ว +2

    💛💚💛💚💛💛💚💚

  • @redsondaudi715
    @redsondaudi715 3 ปีที่แล้ว

    🔥

  • @omarkimbwembwe5494
    @omarkimbwembwe5494 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameogelea maj ambayo hakuwekewa yeye

  • @shukranmlagala454
    @shukranmlagala454 3 ปีที่แล้ว

    Hii ndo yanga ya 2017 sasa laha laha tupu,,,,,,

  • @jacksonchilend4459
    @jacksonchilend4459 3 ปีที่แล้ว

    Weweeeeee we don't wa 5-5

  • @chachadickson6270
    @chachadickson6270 3 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja na Kushinda na kuongoza ligi, Lakn hamtachukua ubingwa

  • @zakayodaniel6772
    @zakayodaniel6772 3 ปีที่แล้ว

    Tanga, ruvu

  • @Nestory_nest_C
    @Nestory_nest_C 3 ปีที่แล้ว

    Wa kwanza

  • @amirhassan5618
    @amirhassan5618 3 ปีที่แล้ว +1

    Walikua wanakufa 4 hawa

  • @mussaoswadi4367
    @mussaoswadi4367 3 ปีที่แล้ว

    Nc

  • @sanityonline4512
    @sanityonline4512 3 ปีที่แล้ว +3

    mmmmmh mpira kama bunda sliga

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 3 ปีที่แล้ว +1

    *Tafadhali naomba angalia video ya wimbo wangu mpya kw kugusa picha yang hapo pembeni lakin pia naomba subscribe kwenye channeli yangu ili uniwezeshee kumonitize channel yangu hii*

  • @kalingabaraka1093
    @kalingabaraka1093 3 ปีที่แล้ว

    Simba boy