Highlights | Yanga ilivyoisulubu Dodoma Jiji 3-1 na kuiteka Arusha - VPL 19/12/2020

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Tazama hekaheka za Yanga SC ilivyoichapa Dodoma Jiji 3-1 na kunyakua pointi tatu huku ikizidi kupaa kileleni pasi na kufungwa hata mechi moja.
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 200

  • @thobiastullo1076
    @thobiastullo1076 3 ปีที่แล้ว +8

    Wachezaj wa yanga mungu awabark mnacheza kwa kujtuma xana tena mna umoja 💛💛💛💛💛i love u yanga 💪💪💪💪

  • @samsonmartin2712
    @samsonmartin2712 3 ปีที่แล้ว +4

    Well done boys from Kenya I love yanga

  • @ernestmwanalinze2612
    @ernestmwanalinze2612 3 ปีที่แล้ว +4

    Yanga ya mwaka huu tamu sana inaleta raha sana kuitazama,mwaka huu 2020/2021 ni wetu wananchi kuchukua ubingwa

  • @dhakomodherooherokoko6037
    @dhakomodherooherokoko6037 3 ปีที่แล้ว +4

    I love waching Tz football..all the way from Nairobi.😂..the game is quite entertaining😂😂

  • @charlesgndende5358
    @charlesgndende5358 3 ปีที่แล้ว +5

    Mbona hi video haionekane vizuri, inatuharibu macho

  • @thobiastullo1076
    @thobiastullo1076 3 ปีที่แล้ว +3

    Saido ntibazonkiza kwel tumelamba dume tena anaipenda yanga xana anatabaxam tu mda wote xaf nafurah xana 💛💛💛💛Yangaa

  • @athumaniabdu3gmailcom641
    @athumaniabdu3gmailcom641 3 ปีที่แล้ว +4

    Yes azam tv

  • @janethlupilli1117
    @janethlupilli1117 3 ปีที่แล้ว +10

    Napenda Yanga coz mpira wake ni wakisomi

  • @scholarhaule9956
    @scholarhaule9956 3 ปีที่แล้ว +11

    Yanga tutafungwa na mahakama2🔥

  • @kazauram2ku265
    @kazauram2ku265 3 ปีที่แล้ว +5

    Mnachelewa sana kutuma video

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 3 ปีที่แล้ว +10

    ANTIBIOTIC......Ntibazonkiza....!...noma

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 3 ปีที่แล้ว +3

    💚💛💚💛🔥🔥🔥hiii ndio yangaaaa🔥🔥🔥💛💚💪💪💪💪💪💪

  • @mercymoshi3666
    @mercymoshi3666 3 ปีที่แล้ว +3

    Kuna aliyeuliza eti hii timu inayoongoza ligi ndio ile iliyoanza ligi bila kocha?!!!!LOVE YOU YANGA 💛💛💛💚💚💚💚🔥🔥🔥💪💪💪💪💪

  • @abdulkareemchande7204
    @abdulkareemchande7204 3 ปีที่แล้ว +9

    Yanga baba lao,mikia mama lao

  • @greenstudiosentertainment3637
    @greenstudiosentertainment3637 3 ปีที่แล้ว +5

    dodoma wanacheza mialeka kabisa, hii sio toughness kama kocha wao anavodai. kuwa toughness n uwezo wa kumiliki mpira bila kunyang'anywa4 na sio kucheza hizo rafu zao. kuna mmoja hapo kamkaba mwenzie kuanzia wako juu hadi wanadondoka eti ndo toughness

  • @user-uk9lb6ff4q
    @user-uk9lb6ff4q 3 ปีที่แล้ว +1

    Mariam Kwayanga hii Jamani raha sana

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 3 ปีที่แล้ว +5

    Saido njo mchezaji mweny viwango

  • @ibrahissa3051
    @ibrahissa3051 3 ปีที่แล้ว +4

    Daima mbele nyuma mwiko Wape Salaam

  • @alfredmasebela6597
    @alfredmasebela6597 3 ปีที่แล้ว

    Young africa no one like us many words cant do anythng but we are xilent in order to do more action .😘😘😘😘😍😍😍😍😍😍😍love uuuuuuu

  • @thobiastullo1076
    @thobiastullo1076 3 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndo yanga bhana 💛💛💛💛

  • @kelvindagine9571
    @kelvindagine9571 3 ปีที่แล้ว +8

    Mtani mnamchukua morison mnamuacha lamine moro . Hesabu zenu mlifeli hahaha

    • @brightbeatus8312
      @brightbeatus8312 3 ปีที่แล้ว

      Wakijisikia wamchukue na fei Toto tena

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว

      @@brightbeatus8312 fei Toto kaze😱ka

  • @angelmfugale786
    @angelmfugale786 3 ปีที่แล้ว +6

    Mjitahidi kuboresha camera zenu ili picha zionekane vzr zaidiiii

  • @habilinhohezron3099
    @habilinhohezron3099 3 ปีที่แล้ว +5

    Anaulizia misumali kwenye duka la vipodozi

  • @nehemialikatage7378
    @nehemialikatage7378 3 ปีที่แล้ว +1

    Dodoma jiji ni underdog mbele ya yanga

  • @evagervasnyembeke9075
    @evagervasnyembeke9075 3 ปีที่แล้ว +3

    Mukoko anapenda kudance yaani napenda tu nimuone kila saaa hii ndio yanga bhuanaaa

  • @emanuelkasiano6934
    @emanuelkasiano6934 3 ปีที่แล้ว +3

    Saidoooo🔥🔥

  • @richardjoseph3842
    @richardjoseph3842 3 ปีที่แล้ว +4

    Yaani hizi timu zimekuwa zikicheza faul sana kwa timu kubwa ndo makocha wanawafundisha hivyo au nimeona vibaya nisaidie maoni jamani.

  • @pilisadiki1972
    @pilisadiki1972 3 ปีที่แล้ว +4

    Kah ila yanga tamu nyeeeee

  • @hussnahassan9369
    @hussnahassan9369 3 ปีที่แล้ว +1

    I love u yangaaaa💛💚💛

  • @emmanuelwashima4364
    @emmanuelwashima4364 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda yanga

  • @melaniachambala3499
    @melaniachambala3499 3 ปีที่แล้ว +2

    Unbiten 💛💚

  • @nehemialikatage7378
    @nehemialikatage7378 3 ปีที่แล้ว +2

    Yanga anafanya kazi moja tu kufunga na kupata point tatu cyo vinginevyo

  • @doraharnold2431
    @doraharnold2431 3 ปีที่แล้ว +4

    Wachezaj wa Dodoma JJ wanacheza ulevi jmn mieleka kama yote

  • @swaumkatuga7474
    @swaumkatuga7474 3 ปีที่แล้ว +5

    Azam acheni figisu video haina quality mnatuumiza tu macho

    • @youngtaiz8359
      @youngtaiz8359 3 ปีที่แล้ว +1

      Bora na ww umeliona hili wameanza kufail sana

    • @scholarhaule9956
      @scholarhaule9956 3 ปีที่แล้ว

      😂 ndo mana yanapigwa ovyo

    • @hagaisanga7286
      @hagaisanga7286 3 ปีที่แล้ว

      Azam wanapandisha vifurushi halafu huduma inazidi kuwa mbovu

  • @oceanocean9585
    @oceanocean9585 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii ndio yanga ya 2020 2021 na kuendelea wapinzan Kaz wanayo

  • @moise6735
    @moise6735 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana mnayo if ifanya kwaku furaisha wanainchi. Keep it up

  • @chrispinchristopher3914
    @chrispinchristopher3914 3 ปีที่แล้ว +4

    Metacha acha kulewa sifa Fanya kaz

  • @elizayanga9756
    @elizayanga9756 3 ปีที่แล้ว +1

    Metacha alimlipiza seif kwa kosa la kumfuga goli la kizembeq🥰

  • @dullybang7246
    @dullybang7246 3 ปีที่แล้ว +3

    Yanga oyee

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwani hao makamisaa kuna ulazima gani wa kupiga picha pind inapigwa pic marefa na makepteni??

  • @ahmadibakari3739
    @ahmadibakari3739 3 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo ndio Yanga

  • @yacenharuna380
    @yacenharuna380 3 ปีที่แล้ว +3

    Lakin Fei bana aende ulaya tu hapa bongo hapamfai tena, mpra anaujua

  • @jakayamati3510
    @jakayamati3510 3 ปีที่แล้ว +4

    Hahahaa jamaa alifurahia goli alijua halurudi tna duuh

    • @elizayanga9756
      @elizayanga9756 3 ปีที่แล้ว

      Jmn aliruka uyo utafikir ye ndo wakwanza duniani kufunga goli upande wa yanga

  • @martinswai8031
    @martinswai8031 3 ปีที่แล้ว +2

    Dodoma hakuna walichofanya zaidi ya kucheza rafu tu

  • @lucymichael5687
    @lucymichael5687 3 ปีที่แล้ว +8

    ,Ntibazonkiza ana bichwa kama LA tambwe

  • @simonnjwaba4048
    @simonnjwaba4048 3 ปีที่แล้ว +2

    Mana naona tuu majina ya kigeni tuu mengi mnafurahia tuu wageni

  • @regiuskitosi7101
    @regiuskitosi7101 3 ปีที่แล้ว +5

    Tui la nazi na maziwa vinafanana rangi tu na si vinginevyo 😂 yanga juu 🤸

  • @dullybang7246
    @dullybang7246 3 ปีที่แล้ว +2

    Refa katuzingua hii gemu kulikua na Kadi nyekundu kama mbili..yanga tuko vizuri japo wapinzani wanatukamia..

  • @jumamasanja8086
    @jumamasanja8086 3 ปีที่แล้ว +1

    kwa nn msiweke dakika kuanzia 40? tuwe tinaona marudio

  • @emmamwinza288
    @emmamwinza288 3 ปีที่แล้ว +1

    Ntibazon chapa kazi

  • @sniperboy7098
    @sniperboy7098 3 ปีที่แล้ว +2

    Point tatu muhimuu tukutane gemu ijayoo daima mbele nyuma mwikoo

  • @paulprincemugisha7497
    @paulprincemugisha7497 3 ปีที่แล้ว +1

    Goooo Saidoo!!!

  • @yacenharuna380
    @yacenharuna380 3 ปีที่แล้ว +3

    Yaaan kwamtazamo wang Yanga n mabingwa wawape kombe tu🤣🤣🤣🤣🤣 yaaan mkia FC ajiandae yaaan nawazee wale cpat pcha

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 3 ปีที่แล้ว +1

    Yanga oyeeeeeeeeee

  • @revocatusbenezeth2282
    @revocatusbenezeth2282 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm mwana Yanga ila nimefurahi card ya yacuba

  • @jubajoseph8808
    @jubajoseph8808 3 ปีที่แล้ว +1

    Saido ntibazonkiza 🔥🔥🔥🔥

  • @fatmahobah1042
    @fatmahobah1042 3 ปีที่แล้ว +2

    Wape SALAAM

  • @simonnjwaba4048
    @simonnjwaba4048 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo wachezaji wa timu ya taifa walioanza wangapi

  • @musanyashilu6743
    @musanyashilu6743 3 ปีที่แล้ว

    Azam tv mnazngua low quality video enu

  • @israelnibigira6016
    @israelnibigira6016 3 ปีที่แล้ว +2

    Saido mtamelewa tu

  • @mosadibronze
    @mosadibronze 3 ปีที่แล้ว +10

    Lamine moro kashamfundisha manyeto kufunga sa itakuje" yanga hii kufungwa labda mahakamani tu. Bonyeza link hapa chin kunisapot na mm 👇👇👇th-cam.com/video/eFAfiPJUMhw/w-d-xo.html

  • @martineabel569
    @martineabel569 3 ปีที่แล้ว +2

    Msimu huu Kuna watu watakufa na presha

  • @joycesambeke1087
    @joycesambeke1087 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @jumanguya9116
    @jumanguya9116 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani tumeifunga Dodoma mzimaa.. Mpaka serikali hahahhaaa

  • @hailechips7891
    @hailechips7891 3 ปีที่แล้ว

    Gd job yang

  • @saimonmunyaga765
    @saimonmunyaga765 3 ปีที่แล้ว

    Woooyoooo raahaa saaana waaapeee saaalaaam..

  • @apostlejoachimeliya6089
    @apostlejoachimeliya6089 3 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli hapa hakuna mpira ....mnafunga kwa kubahatisha ila sio technic

    • @allec2905
      @allec2905 3 ปีที่แล้ว +1

      Umeona hizo faulo za Dodoma Jiji faulo 30 lakini kadi 4 tu...Walitakiwa wachezaji wao 2 waende nje kwa kadi nyekundu sio kwa rafu zile

    • @tedimapunda7752
      @tedimapunda7752 3 ปีที่แล้ว +1

      Unaeteseka na Yanga Africans ukiwa mkoa gani

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว

      Nyie magoli yenu ya kupewa na refa unasemaje mkia we

    • @karolibaraka1790
      @karolibaraka1790 3 ปีที่แล้ว

      Mbona unateseka Sana yakwenu ya uhakika yako wapi?nyie ndo mnatafuta point za mezani kwa penalt

    • @allec2905
      @allec2905 3 ปีที่แล้ว

      Hivi unateseka ukiwa maeneo gani? Kuwa mpole tu ndugu na badoooooo!!!!

  • @michaeljoseph7745
    @michaeljoseph7745 3 ปีที่แล้ว +2

    c kwa yanga hii

  • @collincarlos7433
    @collincarlos7433 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanacheza kunfu tu refa angaamua ddm mji wangebak 8 ndan

  • @joylesamsungipovizul8911
    @joylesamsungipovizul8911 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥💪💚💚💚💚💛💛💛💛💛

  • @ngundejkassim3252
    @ngundejkassim3252 3 ปีที่แล้ว

    huyu aron kalambo kipa mzuri sannnah

  • @eliasgembe5800
    @eliasgembe5800 3 ปีที่แล้ว

    Yanga ni hatar lakin salama

  • @merumbamagesa1416
    @merumbamagesa1416 3 ปีที่แล้ว +1

    Yang tv

  • @salimuathumani9150
    @salimuathumani9150 3 ปีที่แล้ว

    Safi Sana

  • @qulthumameir7480
    @qulthumameir7480 3 ปีที่แล้ว +5

    Mikia watakaa

  • @simongallvas5738
    @simongallvas5738 3 ปีที่แล้ว +1

    Kasida

  • @marijanikhalifa7445
    @marijanikhalifa7445 3 ปีที่แล้ว

    Muamuzi wa bongo hawajielewi kweli ufanyie faulo tena wew ulifanyiwa faulo ndio unakadi

  • @devothamlg5607
    @devothamlg5607 3 ปีที่แล้ว +3

    Antibiotic 🤣😂😂

  • @atanaskiondo1144
    @atanaskiondo1144 3 ปีที่แล้ว +1

    Yanga

  • @philibertphilimon680
    @philibertphilimon680 3 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @rickyjackiee6403
    @rickyjackiee6403 3 ปีที่แล้ว +2

    Quality za video zenu ni zero kabisa yani

    • @tonyelshabbaz
      @tonyelshabbaz 3 ปีที่แล้ว

      Tizama mkono wa kulia juu Kuna vidoti 3 kibonyeze utaenda kubadili quality ya video ! Weka 720 p

    • @bhokedavid8932
      @bhokedavid8932 3 ปีที่แล้ว

      @@tonyelshabbaz 😀😀😀😀😀😀bora umwambie watapata taabu sana mbona kama wanakeleka yanga ndo kwanza kumekucha

    • @khalifasaid1131
      @khalifasaid1131 3 ปีที่แล้ว +1

      @@tonyelshabbaz thanx bro nimejifunza kitu leo

    • @tonyelshabbaz
      @tonyelshabbaz 3 ปีที่แล้ว

      @@khalifasaid1131 umefanikiwa kuona??

    • @khalifasaid1131
      @khalifasaid1131 3 ปีที่แล้ว +1

      @@tonyelshabbaz yap! Thanx bro

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwel yanga mnacheza vizur ila lamine akitaka kucheza mpra show nacheka tu

  • @mahmoodalsubhi1619
    @mahmoodalsubhi1619 3 ปีที่แล้ว +2

    Anti bayoti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @emanuelmasandeko4165
    @emanuelmasandeko4165 3 ปีที่แล้ว

    Yanga noooma sanaaaa

  • @wizzybrood2698
    @wizzybrood2698 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwendo aupungui

  • @hussnahassan9369
    @hussnahassan9369 3 ปีที่แล้ว

    Wananchii eeeh eeeh wananchii eeh

  • @elickkyaruzi2292
    @elickkyaruzi2292 3 ปีที่แล้ว

    Nakubl

  • @sarahwalles2607
    @sarahwalles2607 3 ปีที่แล้ว +1

    Hivi jamani hatuigi kwa wenzetu kila siku najiuliza uyo alievaa suti anawaelekeza njia au ndo mwenye tunguli za uwanja au ana kazi gana?maana kwenye picha ya pamoja nae yumo yaan kuna vingine kichefu chefu tupu

    • @mussasuleiman9443
      @mussasuleiman9443 3 ปีที่แล้ว

      Huyo kamishina wa mchezo dada

    • @sarahwalles2607
      @sarahwalles2607 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mussasuleiman9443 Kamishina wa mchezo upi?

    • @mussasuleiman9443
      @mussasuleiman9443 3 ปีที่แล้ว

      Kila mchezo wa ligi ya bongo huwa una kamshina wa mchezo au huwa mtu yeyote mwenye nyazfa mkoa huo huaga lazma awezo kwenye picha ya ufunguz wa mchezo

  • @abdulfattahnguyu7429
    @abdulfattahnguyu7429 3 ปีที่แล้ว

    💛💚🇴🇲

  • @nitumemimikariakoo4688
    @nitumemimikariakoo4688 3 ปีที่แล้ว +1

    😗😗😗😗😗😗

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 3 ปีที่แล้ว

    Ttz dodom walikuwa wanatumia nguv nyingi baad watumie akili nyingi unaon hy ndio faida take madhamb x30 yote yanin ss tumia akili unapofany jambo sionguv

  • @audiphacekatolilo550
    @audiphacekatolilo550 3 ปีที่แล้ว +5

    Hivi hawa mikia ndivo walivo au?naomba mnisaidie wana yanga wenzang hawawez comment bila kutoa matusi au ndivo simba walivo au?wanachefua hawana maadili kabsa na bado tutazd kuwakeraaaa cc tunapetaaa matuc tunawaachia mikia

  • @amiabillity1635
    @amiabillity1635 3 ปีที่แล้ว +4

    nyie waandishi Malaya xn,mbona hamuandiki na hamuongei kuhusu goli la Kwanza la yanga lamine moro ameushika mpira Kwanza ndipo akafunga? mikundu yenu pamoja na wachambuzi woteeeee tz

    • @sniperboy7098
      @sniperboy7098 3 ปีที่แล้ว +1

      Oyaaa acha matusii mbona nyinyi mulibebwa na refaa

    • @aboubakarahmad234
      @aboubakarahmad234 3 ปีที่แล้ว +2

      Ucteseke toa Ilo Moja hesabu Ni 2 - 1 apo VP😎😎😎😎

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 3 ปีที่แล้ว

      Toa hyo moja 2-1 hap vp

    • @youngpbebytz8309
      @youngpbebytz8309 3 ปีที่แล้ว +1

      Kenge wew bx mbili moja

  • @jacksonnchimbi308
    @jacksonnchimbi308 3 ปีที่แล้ว +2

    Kombe lile jangwani Sisi tunawasajili akina mukoko Simba wanawaokota akina onyango waliomaliza mikataba Yao kwenye vilabu vyao ndipo mwaka huu mtajua kwamba vizuri vyajiuza vibaya vyajitembeza

    • @badrumbarouk3377
      @badrumbarouk3377 3 ปีที่แล้ว

      Kwel akil c nyel kwamba kila mtu atakua nazo iv unajitia tamaa ya kombe wakt mpira ata raund ya pil haija anza na ukiangalia ww na simba tafaut pwent 2 akimaliza viporo salama kombe simba anaweza kulichukua kupitia kwako wakikutana mara yapil izo pwent mbil zilo bak anachukua kwa yanga mi naamin hana uwezo wakuzuia asifungwe na simba mana ata ile raund ya kwanza tuliona sare ya kupewa penat na wakanyimwa penat halal simba ila mi naamin mzunguko wa pil tukipata marefa wazur watakao chezesha mpira halal naamin yanga kwa mkapa

    • @jacksonnchimbi308
      @jacksonnchimbi308 3 ปีที่แล้ว

      @@badrumbarouk3377 hata akimaliza viporo mechi 17 mzunguko wa Kwanza bado hamfikii yanga nenda kaangalie vizuri msimamo wa ligi halafu wewe Una viporo mechi 3,namungo ugenini,Azam taifa Dodoma ugenini je Una uhakika utashinda maana ukitoa Sare yanga anakuzidi point 4 habari ndio hiyo kwahiyo wewe usiione timu yako ipo vizuri mtakuja kufarakana hapa bongo nyinyi komaeni tu kule Harare hili mwakani mpate kushiriki na nyinyi tena

    • @badrumbarouk3377
      @badrumbarouk3377 3 ปีที่แล้ว

      @@jacksonnchimbi308 tatzo ww mguma wakuelewa ww unauhakika gan kuwa yanga izo mech alobakiza kua atashinda zote na ndo mana nikakwambia usijitie tamaa ya kombe muda wote watu wanaweza kupindua meza mzunguko wa pil ndo mgumu na ivo kubak na mech 3 ngum kwa simba sio tatizo simba kashinda nigeria ruwangwa kawaida sio muda wakutabir kombe muda uu tusubir kwanza na niliongea vizur tu simba akimaliza viporo vizur tafaut na yanga nipwent 2 na izo mbil anaweza kuchukua kwa yanga pia

  • @elizayanga9756
    @elizayanga9756 3 ปีที่แล้ว

    Bench la ufund la Yanga so kwa shangwe izo

  • @elizabethmajaliwa5189
    @elizabethmajaliwa5189 3 ปีที่แล้ว

    Upande wangu nimeona kawaida Sana

    • @robertdioniz3364
      @robertdioniz3364 3 ปีที่แล้ว +1

      Ingia utuoneshe yasiyokuwa yakawaidaa 😈

    • @elizabethmajaliwa5189
      @elizabethmajaliwa5189 3 ปีที่แล้ว

      @@robertdioniz3364 wewe sio juu yako kunijibu humu huwa hatupangiani mtu asemeje ,we toa maoni kivyako achana na yangu ,umeninunulia mb unavyonipangia mawazo? Jiheshimu shika yako ,toa point sio kunijibu point yangu , hii ni media Kila mmoja anaruhusiwa kutoa ya moyoni ,sio kumjibu mwenzake ,I am sorry !

    • @robertdioniz3364
      @robertdioniz3364 3 ปีที่แล้ว +1

      @@elizabethmajaliwa5189
      Kojoa ukale uote tena iyo ndoto haijatimia. Team ya wananchii

    • @merrysianapaul1199
      @merrysianapaul1199 3 ปีที่แล้ว

      @@robertdioniz3364 achana nae huyo my brother hazipo sawa hy

    • @elizabethmajaliwa5189
      @elizabethmajaliwa5189 3 ปีที่แล้ว

      @@robertdioniz3364 nami nazidi kumwambia uni maoni yako usinipangie , najua lazima nikojoe hakuna mwanadamu asiyekojoa Labda kuku ,nachokkueleza fuata Moyo wako ,usinipangie ninachoona nakusema mi si mkeo we vip?

  • @stanleyelias3761
    @stanleyelias3761 3 ปีที่แล้ว

    Staniley

  • @sosolazakayo2421
    @sosolazakayo2421 3 ปีที่แล้ว +1

    Real Madrid vs athletic Madrid

  • @scholastikageorgekivamba5016
    @scholastikageorgekivamba5016 3 ปีที่แล้ว

    doooo

  • @edgareb4226
    @edgareb4226 3 ปีที่แล้ว

    Marefa vpl hawaheshimiwi kabisa wtf