Tanzania New Capital City- Dodoma, Updates (2021 -2024)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 มี.ค. 2024
  • The decision to move the capital from Dar es Salaam to Dodoma was made in 1973, and Dodoma officially became the capital in 1974. The move was intended to centralize government operations and promote more balanced development across the country. While Dar es Salaam remains an important economic and commercial center, Dodoma serves as the political capital where government offices, including the parliament and various ministries, are located. Over the years, there have been ongoing efforts to develop Dodoma further as the administrative hub of Tanzania.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 18

  • @simbarashekwaimona9724
    @simbarashekwaimona9724 3 หลายเดือนก่อน +3

    Baba mungu tunakuomba eeemwenyezi mungu baba muumba wa mbingu na nchi nakuomba umpe cheo chochote mpendwa wetu alitutoka gafla bin vuuu sema silalamiki Sana kwani Ni maamuzi yako ulimpenda Zaidi yetu au alishamaliza muda wake hapa duniani mpendwa wetu.JOHÑ POMBE JOSEPH MÀGUFULI MPE PPUMZIKO JEMA AMEN

  • @mathiasmichael9915
    @mathiasmichael9915 3 หลายเดือนก่อน +2

    Much Respect to the rate brave and genius President JPM... I love you forever.....❤❤🥰🥰😍

  • @SoFrii
    @SoFrii 9 วันที่ผ่านมา

    Hongereni sana kwa makala nzuri sana, ama kwa hakika mpango kabambe wa Makao Makuu ni moto hasa. Mungu wetu atupe neema ya kuukamilisha itokee Dodoma ya kisasa kabisa. USHAURI: Hiki kipindi kina jina la kingereza ndani lugha iliyotumika ni Kiswahili. Kwa faida ya wazungumzaji wa kingereza ni vyema mkaandaa toleo jingine litalokuwa na subtitle za kingereza. Pia background music ipungue kidogo kuruhusu maelezo haya yaliyoshiba ya Bw. Meshack Bandawe yasikike vizuri kwa kila mtazamaji.

  • @gastonmodestkaziri2566
    @gastonmodestkaziri2566 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu Bandawe, nimekukubali umeeleza vizuri uratibu wa kuhamia Makao Makuu Dodoma.

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yeah!kazi nzuri serikali tunataka jiji hili la Dodoma liwe la mfano kwa uzuri na majengo ya kisasa katika bara la Afrika.

    • @user-um8xn4ge4i
      @user-um8xn4ge4i 3 หลายเดือนก่อน

      Kujenga majengo ni julumu la wananchi Sio jukumu la seriikali isipokuwa serikali jukumu lake waweke misingi y uchumi na ajira alafu wachore miundo mbidu ya makazi y wananchi kisha kujenga shule vyuo n mahospitali masoko ya kisasa na kuweka sheria safi Sio sheeia za ukandamizaji km za Dar

  • @User-xl1ul4fp9b
    @User-xl1ul4fp9b 12 วันที่ผ่านมา

    Nikweli tunamkumbuka hilo jembe saivi nchi yetu ingekuwa inakaa kama ulaya

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 4 หลายเดือนก่อน +1

    Magufuli baba tunakukumbuka baba. Wanashindwa kusema ukweli. Uliyoyafanya ni makubwa baba.

  • @castroydaimon3107
    @castroydaimon3107 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika swala hili limewezekana kwa sababu ya mwamba JPM

  • @egdldm4981
    @egdldm4981 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ushamba ni mzigo, huo wimbo kwa nini msiuzime ili tusikie kinachosemwa ambacho ndio muhimu?😮

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 3 หลายเดือนก่อน +2

    Alie ifanya dodoma kua makao makuu ni MAGUFULI TU UKO KWNGNE KOTE ZILIKUA KELELE TU NA MIPANGO,,amtak kumpa hedhima Magufuli mnstuletea tathimin na mipango smbayo sikufsnyika mwanaume kafsnya maamuzi mara moja

  • @freddiekalyango3801
    @freddiekalyango3801 3 หลายเดือนก่อน

    @noelchoma Huo mziki Nicole

    • @freddiekalyango3801
      @freddiekalyango3801 3 หลายเดือนก่อน

      Hio bendi ya Moro Jazz ya Mbarak M. Mwaruka akiimba katika 1973 kuhusu kuhamia Dodoma vile hayati Mualimu JKN alitaka

  • @noelchomola8409
    @noelchomola8409 3 หลายเดือนก่อน

    Hilo limziki sijui lina umuhimu gani

    • @freddiekalyango3801
      @freddiekalyango3801 3 หลายเดือนก่อน

      noelchoma huo mziki ndio ulikuwa unayimbwa na ile bandi ya Moro Jazz wakati wa mwaka 1973

  • @eliasnicolaurobath6864
    @eliasnicolaurobath6864 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nawakumbushu ilivyo dar mitaa yake ni mwembamba dodoma iwe na mitaa mipana na barabara ziwe pana pia ipo shida nyingine kira jiji duniani linapendeza na taa za barabarani na mitaani hii shida ipo tanzania hamtaki kuweka taa za barabarani na mitaani

    • @ngoshakulwa8348
      @ngoshakulwa8348 3 หลายเดือนก่อน

      Sio hawataki. Tatizo gharama

  • @fransicmushenyera9302
    @fransicmushenyera9302 2 หลายเดือนก่อน

    mukiendelea kusema ukweli kuhusu kazi alizozifanya JPM mtakuwa mnawatendea haki watanzania lakini mkificha mnamchonganisha rais samia na wananchi wakidhani labda yeye ndio anawambia mfanye hivyo.kumbe sio sasa wananchi watapenda kuendelea kufuatiria