Maggie Muliri - Fagia (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2020
- Shallom mpendwa wangu, nakukaribisha tena kutazama video yangu mpya ya FAGIA.Naamini tutabarikiwa pamoja na Mungu atasafisha mazingira yako kulingana na Isaya 14:23 Bwana anasema atawafagilia mbali kwa ufagio wa uharibifu. Karibuni tumuombe Mungu awafagie ma agent wote wanaofatilia maisha yetu, wanaosumbua maisha yetu, wanao haribu familia zetu. Tena Kwa ufagio wa uharibifu. Video by Travel Kwetu Production,audio by Nathan Yetu studio.
#Maggiemuliri#Fagia#MusicVideo
Kwa mahubiri na taarifa za injili zitokazo mbinguni tembelea kurasa zangu za mitandao ya kijamii:
Facebook: / maguy.muliri
Instagram: maggiemulirioff...
Pia usisahau kusubscribe channel yangu ya youtube kwa nyimbo zingine nzuri za injili
Producer:Nathan 2K
Video Director: Traveler from Kwetu studio.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital - เพลง
Kama unaamini mungu atafagia kila mabaya gonga like twende sawa🇰🇪
Barikiwa sana
Jina la YESU libarikiwe sana mtumishi wa Mungu karibu Tanzania
Fagia jaribu zote baba
Wanani hao💥
Ee Baba fagia wanafki wote maishani mwangu
Fagiaaaaaa
Congratulations Mom kwa kazi nzuri
Mungu fagia maadui zangu wote.....teta nao wao teta nami Jehovah. hakika nimebarikiwa sana ujumbe mzuri kutoka kwenye wimbo huu wA FAGIA. amen
Amen sana kabisa.mungu akuzidishiye.
Powerful wafagiwe wote
Ubarikiwe dada nikweli kabisa unaniuwaga .sana tu
Mungu azidi kukuinua mamy Fagia wanao tutakia Mabaya
Finally, Jehovah fagia yote
Fagiaaaaaaaaa baba 💕💕💕💕🙏❤️
Mungu afagie watesi wote wabaya wote wimbo mzuri sana ubarikiwe sana mtumishi
Barikiwa mno dada
Fagia babaaaaaa. ameeen yo
Wapi like kwa huyu mama
Barikiwa mama
Hongera dadangu mungu akutumie zaidi
Uko mbele
Wewe Mungu ni mzuri nyakati zote sasa fagia takataka zote
Mungu fagia mashetani wote wanaozuia .mafanikio yangu
Ubarikiwe mama Nabi
Hongera sana dada angu
Fagia fagia amina..mama Nabii ubarikiwe..ni mda wimbo huu unaenda ku hit.
Wooooow hallelujah fagia fagia fagia watesi wetu
Top top . Mungu aku inuwe mabuja
Kazi nzuri sana mom
Ongera sana
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen
Ubarikiwe sana dada
Wa kwanza kufagiwa ni wewe maana Mungu hafanyi kama mwanadamu
Amen Amen Amen yuuuuuu 😘😘😘😘😍
Amazing 😍🤩
Wafagiliwe woteeee wanaojifanya marafiki kumbe wanafiki
Kabisaaaaaaaa, FAGIA
Mungu fagia.mashetani ote
Pale tusipo ona mungu wewe waona barikiwa sana mma angu
💥💥💥💥💥💥💥
Ubarikiwe
Maggie, Uko sawa👍👍🙏
Moto
This song is touching my soul nabarikiwa nayo
I like her
Alléluia Alléluia Alléluia !!!!!!!!!
Wimbo Mtamu sana
Mungu wafagie wote kwangu
Amen amen amen
Wana Ebenezer Mupowapi kwa Mama yetu !!like Nyingi jaman
Mungu fagia adui zetu katika jina kuu la Yesu Kristo
Amen Amen Amen 🙏 🙌 👏 ❤ ☺
Dahhh...hii lazima kila asubuhi ni i play kwenye radio yangu kwa sauti kubwa sanna na saboofa basi dahh wapangaji wenzangu ikiisha wananambia weka tenaaa hiyoo
Ameeeeeeeeen
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu awa fagie marafiki wote wabaya ndani ya maisha yangu,wanafiki wote wapite mbali na maisha yangu naya watoto wangu in jesus name amen
Mungu baba afagie kila watesi wa maisha yetu👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻 ubarikiwe Sana Mama
Waoooooooooo Hongera sana Mamaangu kipenz wimbo mzuri umeimba kwa hisia Mungu azidi kukuheshimisha watu wa Mataifa wapate kukujua kupitia huduma yako
Nilingoyaka iyi nyimbo yesu na hamu
Fangiya bote mungu
Amazing
Ameneeeee pastor Magret Muliri
Amen ma grande
Mungu azidi kukuinua wimbo mzuri sana.....ni ombi langu pia Mungu afagia Wote wasio NA mahana kwangu fagia
...ati wanani hao??? Fagia🧹🧹🗑️🗑️...wanajifanya wanatuombea...🧹🧹🗑️🗑️
Lilian osuru
Asante sana, mungu Afagie wote wa wanao tuwasiya mabaya, Amen
Fagia yote mabaya Baba yangu thank you Lord Jesus coz 2021 unafagia yote God bless u mummy
Mambo ni fire Sir God fagia takataka zote zinazonisumbua.hongera sana mama Maggie wimbo mzur sana
Wow loving this song.fagia katika jina la Yesu
Shila
Kenya
Fagia papa
Safi sana, kazi inabariki na kuleta kuijiamini katika imeisha, ni mwendo wa kufagia mabaya yote yanayotuzunguka.
Hongera Mama kwa kazi nzuri sana , chapa mwendo
Nice one mum!..👏👏👏👏👏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen 🙏 wafagilie mbali Yesu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💕
Mungu akubariki sana mama kabla mwaka hujaisha fagia 2020 madui wachawi weye chuki hote fagia 🔥🔥🔥mwaka hujao huwe wa neema na baraka
My favorite... May God sweep all my bad deeds🙂
Nice song ❤️👍
Dear lord fagia wanao nitakia mabaya 🤲🏾
Nice song and a blessing one
Yaaan hii nyimbo maake Mungu afagie kila mabayaa na yote yaliyotusumbua 2020. Mwaka ujao uwe wa Neema na Baraka👏😍💯🔥🔥🔥 Mungu azid kukupandisha Maman umenibariki
Vraiment ce qui tu chante est vraiment
Mungu fagia wanafiki wote 🔥🔥❤
Amen
🔥🔥🔥Be blessed
🥰❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🏽🙏🏽🙏🏽Wow wimbo mzuri sana kweli Ubarikiwe lazima kufagia 2021 watu wanafiki wote na wenye roho mbaya
🔥🔥🔥🔥💓 from Tanzania
My favourite ❤God Bless you 🙏
Vidéo nzuri na nyimbo nzuri mama. 2021 Mungu afagiye wabaya wangu wote.
Eeeh baba wafagilie mbal wasinione hata kwa darubin
Love this song very much congrats mam
Be blessed my mother kazinzuri sana
Amen
Amen
I love you so much and may God almighty bless you and your family and God to protect our country Congo because l am also a congolese 🙏🙏🙏🙏🙏💋💋💋♥️♥️❤
Fagia all anything evil in me O Lord
Be blessed my mom God bless u
What a beautyful song. May God sweep all hypocrites
Dada huyu ninamuelewa xna
Baba fagiya
👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
🔥🔥🔥🔥🔥👌❤️❤️❤️
Nice song thanks
Be blessed my sister. Wimbo mzuri sana sana .
Acha Mungu wa mbinguni azidi kukuinua.
Mungu afyagie wanafiki wote kwa jina la yesu!!!
I love your music
Amen,great.
Fagia......
Be blessed my mother kitu kizuri na kitam saana Lovely
Mm muislam ila hii imenibamba Mungu fagia wambea wotee wafukiwe na vumbi