Maggie Muliri - Fungua Mbingu (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ค. 2021
- Fungua Mbingu ni wimbo unaoelezea ukuu wa Mungu katika maisha yetu ya kila siku ungana na mimi wakati huu kumuelezea Yeye kwa wema na fadhili zake juu yetu.#MaggieMuliri#FunguaMbingu#MusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital - เพลง
Mama mungu wambinguni akubari saana, wimbo huu umenibariki sana....funguwa mbingu baba, ondoa giza baba, naitaji nuru yako baba
Minister of God ume gusa moyo wangu tena Mungu azindishe
Giza kaa mbali na maisha yangu ....Mungu fungua mbingu kwa ajili yangu naomba🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ondoa giza maishani mwangu nataka nikuone 👏👏👏👏👏👏👏
Italia nabarikiwa na wimbo mzuli sana
Mama yetu unapamba na kuimba vizuri nyimbo
Hujawahi kukosea hata siku moja, nikijua unatoa wimbo najua tu naenda kubalikiwa na ujumbe kwenye nyimbo utakayoimba
Ooooooh my Good fungua mbigu maishani mwangu🙏🙏🙏🙏🙏
Ondoa giza weka nuru maishani mwangu🙏🙏
Unajua kinachoitwa utamu wa muziki? Ndicho ninachokisikia katika wimbo huu!!! Kila baraka, Dada yangu! Ka jambo kutoka Kampala!
Fungua mbingu 🙏🏽
Baba ni funguliye mbingu tamka neno juu yangu
Thanks mtumishi for the great job of evangelization
Fungua Mbingu Baba ziwe wazi kwaajili yangu giza likae mbali na maisha yangu thank you Mama kwa wimbo unafariji sana
Barikiwa my lovely mamaa
Amen Amen Amen. Mungu fungua mbingu baba
Kwenye Yesu kuna 100% Raha kubwa ,#ireceive, #humilite, #ombeyauvira, #chubakamunike
This is my prayer almighty God 🤲
Mungu azidi kukupa maono zaidi Mom..Mungu amefungua mbingu hakika kupitia wimbo huuu...Mungu akuinue kwa viwango vya juu zaidi
Mungu wangu please acha ii nyimbo iwe majibu ya maombi yangu🙏🙏🙏🙏🙏
Good song my lovely mum congrats
Mtumishi Maggie MUNGU AKUBARIKI SANA SANA SANA,,umegusa moyo Wangu huduma nzuri kwa nyimbo zote na huu nasikia ROHO MTAKATIFU akisema MBINGU zilikuwa zimefungwa Hadi MUNGU akiposema iwe NURU iwe GIZA jamani huu ufunuo." BWANA akutendee haja ya moyo wako.🙏🙏🙏!!!
Very nice our mum keep that spirit love all the way amen
Wimbo mzuri sana
Mimi n'a sema amina
Am blessed we miss you here in kenya
🔥🔥🔥🔥
Oooh Lord Jesus fungua Mbingu Mungu wangu na utamke neno ili giza likae mbali na maisha yangu soo powerful
Ondoa ngiza,weka nuru maïshani mwangu,achilia mwanga baba,ni ishi baraka zako
Amina kubwa nyimbohii imenibariki sana aminaaa
Baba fungua mbingu kwa ajili yangu🙏🙏
Barikiwa sanaaaaaaaa💪💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘😘😘😘😘😘kwa wimbo.huu mbingu zitafunguka tuuuuuuuuuuuuuuu....music is good
Fungua mbingu baba tamka neno Mungu ee giza likae mbal na maisha yangu
Beautiful song mama barikiwa zaidi ❤️
Nice song i. Love the message and the rythm... Kweli tamka neno yesu kwa maisha yang.... Giza litoweka kwa maisha yangu
My Almighty God just removes the dark and my life will be safe
Fungua mbingu baba yangu
What a prayer!
Amen mungu ondoa giza weka Nuru maishani mwangu
Glory be to god 🔥🔥🔥👑👑👑🇨🇩🇫🇷
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amina
Ooooh hallelujah sema na maisha yangu Yesu🔥🔥🙏❤️
God bless you...amaizing song.
Nice song my mum😘😘
amen mungu hanyimani
Amen, nice song
My mom b blessed🥰
ooooooh amen Mungu akubariki ❤ dada yang🙏🙏🙏🙏🙏
Nice song💖💖💖💡💡💡💡
Nice song 💕
Halleluiyaaa
You have never disappointed the Lord and God has chosen you as an angel whenever you are singing God opens heaven for you and let God remember your family and mine🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu funguwa mbingu
Very nice song
Nice Song
Thanks dear sis
Impressive
My song right now💜💜💜
Good song
I love this song,God bless you
Ouahhh, nice song blessed thanks
Great song. It blesses my heart
Barikiwa sana maggie wa yesu
Barikiwa sana
Aminaaa
Hallelujah..at my lowest but am being blessed
U bless me mama God bless you ....am waiting
Blessings Dear Sister im Pastor Sunny Amoon Worshiper From Pkaistan
Léo ifunguliwe kabisa. Mon Dieu j'ai besoin de ta lumière ! Merci bcp maman muchungaji n'a courage n'a kazi ya Mungu
Amen amen dear wangu
Uimbaji umekukataa mamaangu
Ukikukubali wewe inatosha mpendwa
Amen dear
🙌🙌🙌
Asante YESU
Uinuliwe sana Mama yangu,
You've never disappointed. Thanks Maggie, am blessed. Amen
Lovely song
My prayer too giza likae mbali nami
The song is a dedicated to all Rhumba fans regardless to the religious, ethnic background. Africans, Europeans, Americans, Asians who like Lingala music it is high time to revisit songs sung by our mother Maggie. She is the best artist who inspires young ones into Gospel music. Praise the Lord.
Amen amen amen thank u Patrick I appreciate😘
Amen
Amen.
2024❤❤❤
Amen 🙏🏿
Congratulations 🌹🌹🌹🌹🌹🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nyimbo zako zinanibariki sana
@@magretsasi9974 amen mama mungu akuweke wew nababa pamoja na wadogo zangu
The song is so encouraging. Keep up the spirit of uplifting the souls
Ameen
Amen
Jus drop it please
Nice song
🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀💕💋
Someday, your music will be a hit. I really love it! Pls continue to create great music. I sent you an Email/DM to join Sessions Live to gain fans and earn money as well.
Hello sasa
Amen
Amen