If Kenya can't appreciate and develop this talent then I don't know what we are!!!!!!!!!!!! Kongole mwanafunzi ...mimi mwalimu hapa nimependezwa na kazi nzuri na sauti nyororo ...
Hassan yuko vizuri mimi ni shabiki yake Toka Tanzania 🇹🇿.nakubali sana kazi zake. Amejaliwa kipaji kikuzeni kipaji chake,huyu ni malenga mpya ana ghani kwa weledi sana.
Nampenda huyu bingwa, kwanza nilidhani anatoka tanzania kumbe ni mtoto wetu , asante mola kwa kumjalia talanta huyu kijana, radio citizen tafadhali muinue huyo kijana ili arealize kipaji chake, nalipenda shairi sana,
Nature the talent ,we have good swahili upcoming professor to continue the good work professor ken wali Bora left unceremoniously. You are going far young boy keep it up
If Kenya can't appreciate and develop this talent then I don't know what we are!!!!!!!!!!!! Kongole mwanafunzi ...mimi mwalimu hapa nimependezwa na kazi nzuri na sauti nyororo ...
Hassan yuko vizuri mimi ni shabiki yake Toka Tanzania 🇹🇿.nakubali sana kazi zake. Amejaliwa kipaji kikuzeni kipaji chake,huyu ni malenga mpya ana ghani kwa weledi sana.
talented and amazing you will go far little brother may almighty God bless you abundantly never lack days of your life press on
Wapi likes za our talented boy
Bosi serikali isaidie uyu mtoto ako na points za kuangaziwa
Safi sana Hasan.Allah ajalie maisha yenye heri nawe Amin
Nampenda huyu bingwa, kwanza nilidhani anatoka tanzania kumbe ni mtoto wetu , asante mola kwa kumjalia talanta huyu kijana, radio citizen tafadhali muinue huyo kijana ili arealize kipaji chake, nalipenda shairi sana,
Mtoto wa mwagarashi,ndugu mdogo hamisi
Best poem to ever hear..
Huyo kijana atunukiwe🔥🔥💯 maanake talanta anayo☺️
Waoo so sweet, I love poetry! This is awesome boy child keep going, congratulations
MashaAllah....shairi kuntu kabisa.
Kazi nzuri Hassani,Kongole kwa mwalimu wake Mwagharashi.
Maashaallaah mungu akuzidishie Hassan hakika una kipaji kizuri sana
Wow MashaAllah mtoto ashikwe mkono afike mbali😍😍
So perfect ,I must invite you to perform at my wedding .Nitakutafuta likoni. Citizen TV please don't leave hiyo talent iwee wasted . Lift Hassan .
Sasa
Best ever congratulazioni young bro.
Dope message therein, Absolutely fantastic!!
I love this kid .mashaalah💯💯
kwa hali ninavyo kienzi kiswahili..Nimependa talanta ya huyu kijana..Mungu amjalie
Alpiiii Achunaaa habibi Mashallh god bless you
Mashallahhhh mola amjalieee kipaji anachoo amebarikiwaa
Mashaallah Hassan kudos to you May God BLESS you
Wow kijana Mwenyezi akupe uzima ukariri zaidi na zaidi nimelipenda sana
Congratulations boy may Allah keep u healthy malenga wa mwaka
Heko kijana..... Kazi nzuri
Nice,,,wow,,love it,,big up boy
Woooow, proud of this talent.
Good job boy..
May God keep you for the coming generation 🙏
Happy that my bro knows what he is best at,,, keep it up
Nature the talent ,we have good swahili upcoming professor to continue the good work professor ken wali Bora left unceremoniously.
You are going far young boy keep it up
Kama waona kiswahili ni lugha nzuri mbona weye watumia kiingereza
@@erickbarongo9542 nashukuru kwa kunikumbusha ,asante Sana nitazidi kukitumia siku zote .
Wow I like this may God bless you so much and keep doing and doing
mashaAllah kipaji kipo kabsa🥰🥰🥰❤️🔥🔥🙏👍
I like this boy, may the Almighty God protect him, all his life.
Ma Shaa Allah Tabarakallah,, Allah Akuzidishie Kipaji Chako Kakangu
This boys makes me crazy. May our God protect him and give him life
Mash Allah,uko vizuri sana dogo hassan.
Swadacta sana kijana hongera sana shairi safi
Wow huyu mtoto alijuaje hii yote jameni? 😂😂ongera sana kijana mungu akubariki
Talent 😍😍
Mashaallah hongera sanaa
Masha alla mungu akuzidishie kipaje chako❤❤❤
Maa shaa Allah! Tabaraka Allah
Masha Allah mungu akujalie kila la heri katika ushairi wako
Kipaji muhimu,hongera Hasan
Mashaallah tabarakallah
Ila kanishinda Tabia miereka😄😄
masha'Allah.
dogo upo vizuri sana,hosia kwa pande zote ni mzuri san
Raw talent, Mashallah
congrats dogo...keep it up
Hili shairi ni tamu sana, limeniongezea uchu wa kuyasikiliza mashairi mengi kutokea leo.
Mashaallah, talent
Safi Sana hassan 🎉🎉🥇🥇
Huyu kijana Mungu ambariki aende mbali kimaisha
Mashallah...shairi tamu.kongole babu
Mungu bariki huyu kijana.. Amen
Kweli safi sana 👏👏👏
Noma sana MashaAllah
"Wasojua kizungu poleni sitranslate",,"msinione chembamba kwa kula siwezekani"huyu kijana jameni😅😅perfect ❤❤
I say he is the best
Wow this is pure talent.
Wow wow 😲😲 Hongera sana rafiki
Mashallah 💓💓💓💓💓💞💞💞🥰🥰🥰🥰💕💕
Mashaallah Allah akuzdshie kpaj chako
Congratulations from Comoros
MaAshllh dogo umetisha xna...
I love this boy ,
Wah kiswahili kimenipita haki......kipaji mtoto kajaliwa
Unainua kenya mashaallah nakipaji mungu akutangulie mtoto
Aamiin Aamiin yaarabil aalamin
Ma SHA Allah 😂🇰🇪
👌👌👌👌👏👏👏heko Kwako Hassan
MashaAllah..
Mashallah
Am actually carried away😍❤️🥰might call you somewhere majaliwa😜🙏
God bless your talent my little boy
"usikose kipepeo"😂😂😂
Mashaallah mashaallah hasan
MashaAllah 👌
It's not until I listened up to the end that I realized how sweet the SHAIRI is,,,, the words are more than wise sayying
🤝👏
Hi
Mamma mia. Bonge la talenti
Mashaallah
He is really talented
Hongera hassani
MashaAllah 😁👏👏👏
Penda sana Kwale count.....as well ng'ombeni location........ALLAH AMHIFADHI BABA YANGU MASHELA.......by Ali azany
Nawakubali sana mwagarashi family
Am so proud of you little ❤️ one
mashaallah mashaallah Hassan
Hongera!
Nimekuja kumuangalia huyu moto
Good boy uko vizuri
MASHAALAH
Malenga chipukizi ,Rabana akuzidishie nguvu , hekima na busara ...mwana wa Kiafrika
Lumumba must do something wow
Dogo yuko sawa sana Masha Allah
This lad is absolutely positively spiffing...
That's great ❤❤🥰🥰🥰🥰🥰
Mashaa Allah🤭🤭❤️
Mashaa Allah Tabaraka Allah
Fundi sana huyu.....❤❤❤🎉🎉🎉
Mashallah hassan
Shairi mzuru sana
Mashallah mashallah mashallah tabarakallah
Yaani nashukuru rekebisheni ya citizen,kwa ukuzaji vipaji,siku moja nitakuwa mtangazaji hapo
Mashaallh ❤❤❤❤
Kongole bwana mdogo kwa ukubwa wako wa ushairi.Mola azidi kukuongoza katika kila hatua maishani.
Watching for 4th time