MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH.mung akuzidishie kipaji chako ddang.Ya ALLAH tuliendie wazazi wetu wawe na maisha marefu na mwisho mwema.qaswdah hii naiskila Kila wakt mpk yaniliza Niko mbl sana na mmng.ewe mung nilindie mmngu nikaweze kumuona Tena 🙏🙏🙏🙏 NAKUPENDA SANA MMA YANGU❤❤
Mashaallah ukhty enjiid allah akupe umri mrefu na wewe uje ufanye mazuri zaidi kama ukhty dida yaa rabbi wajaalie akina mama wote waliotangulia mbele ya hakki wawe kwenye pepo nzuri jannat fir-daus
MashaAllah shukrani my dear na kongole sana qaswaidah imesimama mahali pake ALLAH akuepushe na fitna na akupe Afya njema nina kipaji nataman sana kuimba na wewe nahisi tutafika mbali
Ma Sha llah dadangu mungu akubariki na Nuru Yako izidi kungaa wallahi umenikumbusha mbali sana hii qasida Yako ya Allah watilie Nuru wazazi wetu katika kaburi zao na uwape kauli dhabiti😢
Mola akuzidishie kwa kutambua uwepo wa mama dunian
Allaah awahifadhi wazazi wetu na awajaalie Pepo ya Jannat Firdaus.
Awasamehe makosa yao.
Aamiiyn
Dada hongera yako kwa kutukumbush uwepo na thamani ya mama katika hii dunia❤❤❤❤
Allah akupe starehe katika pepo yake mama yangu,nakukumbuka sana mama ulale pema peponi mama😢😢😢
mother is the best gift from Almighty Allah. may Almighty Allah make our mothers one of the queen in jannah.ameen ya Allah
Aaamiin aaamiin thumma aamiin 🤲
Mashallah dada yang mweyezimungu atulindie waziz wetu vipenzi
MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH.mung akuzidishie kipaji chako ddang.Ya ALLAH tuliendie wazazi wetu wawe na maisha marefu na mwisho mwema.qaswdah hii naiskila Kila wakt mpk yaniliza Niko mbl sana na mmng.ewe mung nilindie mmngu nikaweze kumuona Tena 🙏🙏🙏🙏 NAKUPENDA SANA MMA YANGU❤❤
MASHAALLAH UJUMBE MZURI SNA ILA NINAPO ISIKLIZA NALIA SN KW KUMKUMBUKA MAMA YANGU😭😭😭😭
Pole ndo yadunia
Kama mie 😢
Allah akuhidhi daima mdogo wangu kila nikiskiliza hii nyimbo nahis kulia eee Mollah wangu nitunzie mama angu kipenzi
Mama namuomba mola akujalie kila lakheri,nakuru.buka,kwa mama yako amina
❤ hii qaswida nikisikilizaga na baki nafurahi sana dada yangu uliye imba nakuombea dua kwa allah akujalie
Bila uwpo wke bsi wew hungfkia hpo ulipo saizi kwl umejitmbua pakbw n kjua uzur w mum na kuwko kwke hpa duniani
Yaan hii kaswida naipenda kupitakiyasi wallah Allah akupe.umri mlefu dada angu❤
Shukran sana habibaty
Da jamani mama mama mungu akulinde ulale salama huko uliko nimekumiss mwanao mi yatima
Mungu awanusuru naadhabu zakaburi wazazi wetu warotangua mbere yahaki mpka nimeria wallah nimekumc mama
Mwenyezimung mpe Maisha maref mama angu
Dada;umenikumbusha;mbali;Dada;yangu!huko;wap❤
Mashaa allah ❤❤🎉🎉
Masha Allah naimni Allah atkfkxha mbli kw hii kaswidah yko ju y ktmbua iwpo w mum mzaz ktka hii dunia
Mashallah nimekumc mama yangu mpka nimeria nakuombea urare salam huko uriko mamii tazid kuombea dua mwanao
Masha'Allah kipenzi qasda yako mzuri sana Allah akuhifadhi❤
Asante sanaas mama yangu kipenz
Hakika mwenyezi Mungu 🙏 akulinde piaaa
Ujembe mzir San uwafkie wa mam wote dunian
Daah hzi ndioo qaswida jaman dada🥰🥰🙏🫡
Ma shallh mung akuzidishie kil la khet inshallh❤❤❤❤❤❤
MASHAALLAH QASWIDA NZURI SANAA ALLAH ATULINDIE WAZAZI WETU NA AWAPE AFYA NJEMA NA UMRI MREFU 🤲🤲🤲
Mamy mungu akujalie sana ❤
Alhamdulillah Bint Allah akulpe kila jema kwa kuyatambua malez ya Mama
Mashaallah mungu akuzidishie ujuzi uzidi kutuelimisha na kutupa furaha ishaallah
QASWIDA yangu pendwaaaaaa
Mashaallah ukhty enjiid allah akupe umri mrefu na wewe uje ufanye mazuri zaidi kama ukhty dida yaa rabbi wajaalie akina mama wote waliotangulia mbele ya hakki wawe kwenye pepo nzuri jannat fir-daus
Allahumma aaamiin.shukran sana kwa dua yako kipenzi Allah atujaalie sote kwa pamoja
Mashallh amin ❤❤
Mashalah alah awalinde wazazi wetu sote tuzeeke nao
Allahumma Amiyn
Masha Allah,,mpaka nimelia
Daaaah mungu akujalie sana kipenzi 💕💕
Mashaaallah mamy mungu akuzidishie
Safi sana mama ni mama lnshaall
Maashallah maashallah maashallah allah akutangulie katika utunzi wako allah walinde wazazi wetu ameen iachilie jamani tuidanrod nzuri sana❤❤❤❤
Aaamiin aaamiin.waweza idownload kupitia boompaly ni rahisi sana.karibu sana kipenzi❤
Mashallah jazakanllahu khaira ❤❤❤🎉
mashaallah..shukran jazeelan
Aameen. Mwanangu killa kheiri kwa kaswida iliyotulia kilakipengele. Unanikumbusha Mama yangu.Alla akubarki awabarikiw Wazazi wet Aameen.
Allahumma Aaamiin❤️
❤❤❤❤❤mungu azid kukulinda❤❤❤❤❤❤❤
Masahallah
Amiin insha'Allah mwxho mwma kw mum zetu wote duniani n Allah awaongzi kw yle mazto kwao awfnyie wpsi
mashallah dada yangu nakupenda kama mama yangu kaswida nzuri sana tamu sana
❤❤❤❤❤ hongera Dada yangu mungu akulinde na wabaya❤❤❤❤❤
Mashaallah
Mashallh mashallh mashallh mashallh 🙌😭 I tabarakalau khar mashallh mashallh mashallh
Amiin Amiin
Maasha allah munguakihifadhi dada angu❤❤
Masa Allh mama ni mama akuna Kama mama katika Dunia
Masha allah Masha allah tabaraka rahman
Mashallah❤
Masha Allah habibty ❤❤❤ wallah ni melia ni memiss mama yang ku ona yenye napitia warabuni😢😢😢😢
Mashllh kaswida pambe atar
Amiin YaaRabbi'Allah Miin
mashallah utunzi umenigusa Sana dadaangu mungu akubariki sana dada
Haina mpizan
Mungu akulinde dada keep telling the truth of mama🙏🙏🙏🙏🙏💖💖💖💝🙊💖💖💓💞💓💞
Thanks ❤️❤️❤️❤️
❤❤❤🎉 💐 nakupenda blue dada jamani qaswida nzuri sana
Mashallah asante sana kwa qaswida hii I.enifariji sana
Ungereni sana bukoba umetisha
MashaAllah shukrani my dear na kongole sana qaswaidah imesimama mahali pake ALLAH akuepushe na fitna na akupe Afya njema nina kipaji nataman sana kuimba na wewe nahisi tutafika mbali
Anza na mm kwanza unaenifahamu
@@twahamachozi8018 nakuja ucjal
❤❤ wimbo mzuri sana hadi machozi😢
❤
Insha Allah qaswaida nzur tunakuomba uipeleke gugo tuipakue uko
Inshaallah tumia vidmate kuipakua ama ingia boomplay utaipakua
Mashaaa 😍😍😍😍❤❤
❤❤❤
Imeenda shule
Mashaallah mashallah mungu akuongoze kwa kazi nzur
Mungu akunemeshee neema na afya inshaallah
❤❤❤❤❤
Mashalaaa nizuri sana 😘😘 hatasijui kwanini haidalodi
Nimeipenda hiyo khawswida mungu awatangulie waliotunga
Aamiin mtunzi ni huyo huyo ukhty anaeimba.karibu sana
Mashallah
Dd up vyema
❤❤
Shukrani hii imefika kbs
I wish angekuepo
❤️🌹❤️
Mashaallah mwenyezi mungu akuogoze
Mashaallah 🙏 dada ang
Nani anae kata vitunguu😭😭😭
Mm pia
nakukumbuka sanaa mama angu mwenyezi mungu akuraze mahari pema peponi
Masharh dada angu nimeinda hatari
Mashaallah🥰❤️❤️
Mashallah ❤❤❤
Mashalla ❤❤❤ nkpnda
Ma Sha llah dadangu mungu akubariki na Nuru Yako izidi kungaa wallahi umenikumbusha mbali sana hii qasida Yako ya Allah watilie Nuru wazazi wetu katika kaburi zao na uwape kauli dhabiti😢
Allahumma aaamiin.
Amiin yaraby❤🤲
@@mwajumamonze8792 Allah humma amiin
@@enjiidasnan2851❤
❤ahsante dada
Hi qaswida imenfanya ni mkumbuke mama kila siku 😢
Ahsante sana dada yangu kwakuiachia nimeinjoy
Usijali tuko pamoja
Mashallah nakupenda sana dada yangu
Masha allah 😂 adi machozi yanadondoka
Hizi ndo nyimbo hufanya waluhya Na jaluo kutokwenda kwao😂😂
MashaAllah mashaAllah baarakallahu fyiik
ALLAH Awape pepo mzuury mama zetu
Mashalla dada mungu akupe Maisha malefu❤❤
Mashaallha dada allha akupe maisha marefu❤
mashaallah kaswida nzuri sana
Ameen ya Rabii Ameen
Kawaida nzuri sanaaa🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️
Kaswida nzuri sana