Maashallah Qasida nzuri, lakini je masharti ya mke zaidi ya mmoja yanafuatwa?? Halafu katika suna za Bwn. Mtume SAW hii naona wanaume mmeipaina UZITO kuliko zingine zoote. Wanaume hamkatazwi kuoa zaidi ya mmoja, lakini sheria zake zinafuatwa??
Waaaaa😂😂😂😂 hii comment nlipitanayo mie Subhanallah Mpemba keshanipiga na chini kitambo😔Ila haukua mwisho wamaisha yangu Ama nliondolewa mwanga wa kuish nao hakika np na kiza Cha kuzeeka nacho *NAKUPENDA my HUBIY wangu❤* kufika muda wa kutimiza sunna naww nenda ila Haki zangu usisahau pia😂
Mbona qaswida hii yaleta mjadala kwenye maoni ? Na katika mstari mmoja anaimba huyo binti kua " kuongeza mke ni Sunna lakini sio kwake _ arudishwe nyumbani kwao......dah ! Quran haikukosea wala haina shaka.
Wazo zuri sana lilozungumzwa. Nimependa vitendo pia. Wasanii wametulia sanaa. Hongereni
Nzuri iyo hongereni nyote, watching from saudi Arabia
Kaswida nzuri Ila sio amri kuongeza mke ! Ila ni ruhusa Tu Kwa wenye uwezo
hakun mwanaume hapendi wanawake wengi wanajua kuoa huduma mbovu kama shimo la choo
Hakika
Ni 🔥 ma sha allah ♥
Mashaallah
Nimeipenda......
Kaswida nzur sana
Sheria 4 uwadilifu ndio unaotakiw🎤🎤
Qaswida mashaallah ujmbe tosha 😊
Anshallhaa
❤❤❤❤
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH
Bass haya
Nice kasida mashaallah 🥰🥰
Taraaabuuuu hii si kaswida
Nadhra ilove🥰🥰
Mashallah mashallah 👌😍
Qaswda na mafunzo yke mashsAllah🥰🥰🥰🇰🇪🇰🇪
Mashaallah mashaallah nzuri sana
Wanaume sunna hii ndiowanayo ijuwa
hajakuchok Ila mpeuhur atimize suna yanaby 👊👊👊👊👍
Maa shaa Allah
Maashallah Qasida nzuri, lakini je masharti ya mke zaidi ya mmoja yanafuatwa?? Halafu katika suna za Bwn. Mtume SAW hii naona wanaume mmeipaina UZITO kuliko zingine zoote. Wanaume hamkatazwi kuoa zaidi ya mmoja, lakini sheria zake zinafuatwa??
Hayafatwi hata kidogo wanazalilisha wanawake tu mimi sitaki kuolewa mana hakuna ndoa saivi kuna mtihani ivo
Mashaaallah ❤️💞💕😍🥰
Mashallah wako vizuri
Mashallah❤️
Mashaallh 😘
Masha Allah
*🥰🥰Mashallah alaykum*
*Katimize Sunna yanabiyya my PRINCE CHOLLO WANGU haki zangu uczisahau kunitimizia🤗🥰🥰*
Waaaaa😂😂😂😂 hii comment nlipitanayo mie
Subhanallah Mpemba keshanipiga na chini kitambo😔Ila haukua mwisho wamaisha yangu
Ama nliondolewa mwanga wa kuish nao hakika np na kiza Cha kuzeeka nacho *NAKUPENDA my HUBIY wangu❤* kufika muda wa kutimiza sunna naww nenda ila Haki zangu usisahau pia😂
Mama
Mashallah 🤲🤲🤲
Alfu Mabrouk
maashaallah
Bismillah masha Allah ustadhi othman
Haji Gorig Kasida iko poa umetisha
Baada ya kusema "hali zetu masikini" yuwasema nini
Silipati vizuri hili neno
Cute
Mashallah mashallah imefana
Mashallh pambe
Mashallah ❤️ tamu
Inautamu gani kutotaka uke wenza tu
@@muabrashirazy4886 mm nataka sana2 sijapata 2 huyo wakuniowa2
@@zanzibarchanalkaswida6629 wew unasema tuu iv
@@mudathirmkubwamselem5650 hm ww ndio huamini lakini mm ndivo ninavo penda haswaa
@@zanzibarchanalkaswida6629saw alhuma amin na mm nita kuombea dua hiyoo🤲🤲🤲
Mwanake Acha pingamizi kuoa wajibu wake aijalishi anacho au hana
Unaambiwa kila maisha yakiwa magumu uengeze mke mna risk huengezeka
sio kweli hakuna mwanamke tahira utaishi nae dhiki zako
Ongeza uone show😂😂😂
Hii ni tarabu na ndio miongoni mwa Mambo yanayoturudisha nyuma waislam wa Zanzibar
Mh umezidi
ما شاء الله
Mbona qaswida hii yaleta mjadala kwenye maoni ? Na katika mstari mmoja anaimba huyo binti kua " kuongeza mke ni Sunna lakini sio kwake _ arudishwe nyumbani kwao......dah ! Quran haikukosea wala haina shaka.
Maashaallah kiongoz
🔥🔥🔥
nataka ku download,tafadhali naomba Jina la musician ako amefanya hiyo ngoma.
Mashaallh ❤️
Mashaallah qaswida nzuri
Qaswida
Kifo cha mtume
Nzur kasida inaelemesha jami
Sio tatiz iloo hakizak uta pat 💢💢💢
😅😅😅😅asante kak
Duh khatar jaman kama sielew iv wanawake wenzangu mpo
Nipo jmn sijawahi kukubali ukewenza
@@abdulkadirishangari4493 usipokubali wa dhahiri utakubali wa siri
Naogopa kusema neno ila wacha nijikaze litakalokua na liwe nahisi kama Zenji move za makombora na halikuniki
Ni wivu tu
@@umakramzahor4836 wa nini ndugu maana sijaliona kubwa apo zaidi ya vichekesho vya makombora
@@omaryjohobakari423 wanajua
@@umakramzahor4836 kuigiza vichekesho kweli nakubaliana na wewe
Sant san
Tena uwache lako hashuo kwa uwezo gani ulionao
Hhhhhhh
❤️❤️
Mashallah
Ma sha Allah
Bass haya
Pambeeee
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashallah