Habari kaka Daudi, Mimi naitwa Cosmas toka Morogoro, naomba kupata Namba yako ya simu (whatsapp) kwa Msaada zaidi wa piano. Namba yangu ya whatsapp ni 0784479180. Naomba tuwasiliane kama hutojali kaka. Asante, ubarikiwe
@@7davmarecords296 Nitashukuru kaka, tangu nilipoanza nawe, nimefikia Hatua nzuri sasa. Nimemaliza kutembea kwa mwendo wa rithim kwa ufunguo D natamani kupiga Hatua kuipitia wewe kaka..
Je naweza kupata kwa njia ya WhatsApp haya mafunzo ili nifanye mazoezi? Msaada please nimebarikiwa sana na darasa hili unalotupatia, ila kuna vipande navikosa
video zingine za mafunzo ya 16 na kuendelea ziko wapi , nimeanunua kinanda kidogo najifunza kila siku kwa kufuatilia video hizi , naweza kuzipata zote hadi kuelewa hata ni kwa gharama zozozte
mwalimu nakushukuru sana hadi sasa naendelea na darasa niko zoezi la 13 ufunguo E , KWA NEEMA YA MUNGU NAELEKEA KUUFAULU, , vipi mafunzo mengine ya 16 na kuendelea , crips zako za video hii ya mafunzo nazweza kuzipata kwa gharama zozote . niko misungwi sda , kwa weli ubarikiwe
Nafurahia Sana mafunzo haya Hongera
Ubarikiwe sana kaka
Me ndonaanza kujifunza kinanda kaka kiukweli unanisaidia sana MUNGU AKUBARIKI KAKA
Asante mwalimu wangu tunaedelea vizuri
Ahsante sana ticha
Nimekuelewa sana mwalim
Napenda kinanda mungu akupe miaka mingi kwa kutoa elim nafatilia sanaaa mafunzo yako mwalim
Nakupenda bure bwana David
Hongera
Nipo kwenye dalasa lako lkn nimeishia 14 zingine sizion Lin barikiwa sanaaaaa maisha maref sanaaa
Darasa zurii
nakubali sanaa
Napenda
Mimi ni mwana funzo wako mpya nimeanza darasa na somo la kwanza, niko mwanza nyamadoke na imani unapaelewa.lengo langu ni kumaliza masomo yote
Umekuwa baraka kwangu
Uko vizur
Asante sana mwalim kwa mafunzo yako naamin one day ntajua kwa kuweka juhudi
Mafunzo mazur xanaa kaka ubarkiwe xanaa tunapokea kitu
Good work
Sawa kabissa
Mr. Daudi asante Sana, mafunzo yako yamekuwa Msaada mkubwa Sana kwangu
Shukrani endelea kujifunza naamini baada ya muda utakuwa fundi wa kucheza kinanda
Asante Sana Mr. Daudi naendelea kubarikiwa na darasa lako, Mungu azidi kunitumia na kukubariki pia
Habari kaka Daudi, Mimi naitwa Cosmas toka Morogoro, naomba kupata Namba yako ya simu (whatsapp) kwa Msaada zaidi wa piano. Namba yangu ya whatsapp ni 0784479180.
Naomba tuwasiliane kama hutojali kaka. Asante, ubarikiwe
@@cosmasroman8279 sawa nitakutafuta kwa whatsapp
@@7davmarecords296 Nitashukuru kaka, tangu nilipoanza nawe, nimefikia Hatua nzuri sasa. Nimemaliza kutembea kwa mwendo wa rithim kwa ufunguo D natamani kupiga Hatua kuipitia wewe kaka..
Thank you God 🙏 bless you nipo najifunza napenda na nataman kujua kinanda please 🙏 help me
Tuko pamoja ticha
God bless you Mr
Asante sana
Ila hicho kinanda ni sh ngap kinauzwa
Tupo pamoja
Asantee sana mwalim
Enjoying the lesson
We ni zaidi ya mwalimu
Sikaelewa namba 3
Ubalikiwe
Sijui nilikua wapi kuitazama hii.. But nimeridhishwa sana na mafunzo haya na nimezidownload video zote. MUngu akubariki sana kijana wangu
Mafunzo mazuri sana
tumefika wa kujifunza funguo hadi G hatuoni funguo nyingine au hapo ndo mwisho
nimependa San mafunzo yak mtumishi ila niliomba kujua namna ya kpinga kinanda kwa ktmia mikono miwili kwa pamoja
15 nakuenderea hazionekan techeer
Saf sana kaka
Thanks Mr Devid
Sehemu ya tano vp haipo
Nawafwatilia san a. Mbalikiwe
🎉
Hatua ya 3 haifunguki shida ni nini?
Je naweza kupata kwa njia ya WhatsApp haya mafunzo ili nifanye mazoezi? Msaada please nimebarikiwa sana na darasa hili unalotupatia, ila kuna vipande navikosa
MBONA HATUONI MWENDELEZO WA KEY F, G,A NA B?
Mwalimu muzuri sana
Tunashukuru
Naishi Finland
Asante pia kwa kuendelea kufuatilia
video zingine za mafunzo ya 16 na kuendelea ziko wapi , nimeanunua kinanda kidogo najifunza kila siku kwa kufuatilia video hizi , naweza kuzipata zote hadi kuelewa hata ni kwa gharama zozozte
Namba yako naomba plz
Huwa naenjoy sana darasa lako mwalim. God bless you
mwalimu nakushukuru sana hadi sasa naendelea na darasa niko zoezi la 13 ufunguo E , KWA NEEMA YA MUNGU NAELEKEA KUUFAULU, , vipi mafunzo mengine ya 16 na kuendelea , crips zako za video hii ya mafunzo nazweza kuzipata kwa gharama zozote . niko misungwi sda , kwa weli ubarikiwe
Naomba namba ya cm
Nafurahi sana somo lako na nalielew vizur je me natak kufaham zaid kwel?
Asante endelea kufuatilia utafahamu zaidi
Asante sana mwalimu, mafunzo yako yamekuwa msaada kwangu, barikiwa kwa kujitolea mwalimu.
Asante kwa darasa nzuri mwalimu, tunakupataje?
I guess it's kinda off topic but do anybody know a good website to watch newly released series online?
@Brendan Harlan i watch on flixzone. Just google for it :)
@Gabriel Johnny Definitely, I have been watching on FlixZone for years myself :)
@Gabriel Johnny thank you, I went there and it seems like a nice service :) I appreciate it!
@Brendan Harlan glad I could help =)
Mafunzo yako Poa lakini ufunuo iko kweli?
Naomba namba yako
Kaka nahitaj kujifunza uko wapi0743591437