7davma records
7davma records
  • 16
  • 248 569
Mafunzo ya kinanda 14''
Endelea kujifunza kupiga kinanda katika ufunguo 'F'
มุมมอง: 15 680

วีดีโอ

Mafunzo ya kinanda 13-
มุมมอง 14K5 ปีที่แล้ว
Endelea kujifunza kupiga kinanda katika ufunguo '' E''
Mafunzo ya kinanda 12
มุมมอง 20K5 ปีที่แล้ว
Endelea kujifunza kinanda na hii ni hatua nyingine Barikiwa
Thamani ya Mtu
มุมมอง 1475 ปีที่แล้ว
Thamani yako unayo mwenyewe
Mafunzo ya kinanda 11
มุมมอง 13K5 ปีที่แล้ว
Endelea kujifunza kinanda kwa njia rahisi kabisa (RYTHM) hatua kwa hatua
Mafunzo ya kinanda 10'
มุมมอง 13K5 ปีที่แล้ว
Endelea kujifunza kinanda katika sehemu hii (RYTHM) Mwendo na namna ya mapigo
Tanzania Nchi ya Amani
มุมมอง 2K5 ปีที่แล้ว
Tulinde Amani yetu watanzania na Africa yote
Mafunzo ya Kinanda 9
มุมมอง 16K5 ปีที่แล้ว
Jifunze kupiga kinanda kwa kufuata funguo(keys)
Mafunzo ya Kinanda 8
มุมมอง 17K5 ปีที่แล้ว
Jifunze kupiga kinanda kwa kufuata funguo(key) katika hesabu ya mbili
Mafunzo ya Kinanda 7
มุมมอง 22K5 ปีที่แล้ว
Jifunze kupiga kinanda katika key(funguo) kumi na mbili
Mungu akamkumbuka Raheli 2
มุมมอง 1865 ปีที่แล้ว
sikiliza sehemu ya pili ya fundisho hili
Mungu akamkumbuka Raheli
มุมมอง 3275 ปีที่แล้ว
Msikilize Muinjilisti Mohamed Mgase upone Imani yako yawezekana umekata tamaa kwa jambo lolote Maishani hii itakuponya
Mafunzo ya kinanda 6
มุมมอง 22K5 ปีที่แล้ว
Endelea kujifunza kupiga kinanda kwa njia rahisi kabisa
Mafunzo ya Kinanda 5 1
มุมมอง 26K5 ปีที่แล้ว
Jifunze kupiga kinanda kwa njia rahisi subscribe jiunge na darasa
Amani
มุมมอง 2305 ปีที่แล้ว
Amani
Mafunzo ya Kinanda 4
มุมมอง 67K5 ปีที่แล้ว
Mafunzo ya Kinanda 4

ความคิดเห็น

  • @sabainyansiri4888
    @sabainyansiri4888 2 วันที่ผ่านมา

    Mie inabidi nianze moja

  • @EzraJoseph-z5b
    @EzraJoseph-z5b 11 วันที่ผ่านมา

    Nice

  • @gidionaidanihokororo1525
    @gidionaidanihokororo1525 หลายเดือนก่อน

    nakupata mnoo but sehemu ya 4 umeniacha mkuu

  • @gekongachacha
    @gekongachacha หลายเดือนก่อน

    Mwl naomba namba yako ya Whatsap

  • @MariusNiyo
    @MariusNiyo หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana kaka

  • @EPHRAMSAYENDA-e2w
    @EPHRAMSAYENDA-e2w หลายเดือนก่อน

    Big up kiongoz

  • @antonysikuku3087
    @antonysikuku3087 หลายเดือนก่อน

    Hatua ya kwanza sijaiona ipo

  • @antonysikuku3087
    @antonysikuku3087 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu nimependa mafunzo yako sana ila sehemu za nyuma kama ka zoezi la kwanza la pili na la tatu sijaliona

  • @gekongachacha
    @gekongachacha 2 หลายเดือนก่อน

    Mwl uko vizuri sana

  • @TobiasLuanda
    @TobiasLuanda 3 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @AnthonyPiusi
    @AnthonyPiusi 3 หลายเดือนก่อน

    Napata vitu vingi ila ningekuwa nawe karibu

  • @justusmaundu6100
    @justusmaundu6100 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi safi sana mwalimu nazidi kufuatilia. Iko wapi sehemu 15 ya key G? Nmetafuta s ijaiona

  • @comexfireonthebeat9531
    @comexfireonthebeat9531 4 หลายเดือนก่อน

    ubarikiwe mwalimu

  • @chrispinmtewele2254
    @chrispinmtewele2254 4 หลายเดือนก่อน

    Darasa zurii

  • @thobiaschallo
    @thobiaschallo 4 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @dariasndibalema5012
    @dariasndibalema5012 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona mwalinu umeishia kwenye funguo f ujaedelea

  • @JosephIroma
    @JosephIroma 4 หลายเดือนก่อน

    Masomo mazuri haya, tutatembea hadi tamati

  • @JosephIroma
    @JosephIroma 4 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu, hili funzo la rhythm limefika hadi namba ngapi

  • @LucyPetro-t4t
    @LucyPetro-t4t 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba

  • @sallumdegela889
    @sallumdegela889 5 หลายเดือนก่อน

    1:15 asante nimepata kitu

  • @dariasndibalema5012
    @dariasndibalema5012 7 หลายเดือนก่อน

    Ticha nimpo nawewe nashukuru nazidi kupiga atua

  • @ChimamyKhalid
    @ChimamyKhalid 7 หลายเดือนก่อน

    Habar mwlm naomba uniunge

  • @dariasndibalema5012
    @dariasndibalema5012 7 หลายเดือนก่อน

    Natamani kufika mbari niboleshe mwalimu

  • @dariasndibalema5012
    @dariasndibalema5012 7 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu nipo nawewe kuazia mwanzo mpaka sasa

  • @dariasndibalema5012
    @dariasndibalema5012 8 หลายเดือนก่อน

    Nipo nawewe teacher

  • @INNOCENTRWEYEMAMU-ur2no
    @INNOCENTRWEYEMAMU-ur2no 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni mwana funzo wako mpya nimeanza darasa na somo la kwanza, niko mwanza nyamadoke na imani unapaelewa.lengo langu ni kumaliza masomo yote

  • @UwezoShamika
    @UwezoShamika 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana..ww ni mwalimu bora sana

  • @festomsigwa8967
    @festomsigwa8967 8 หลายเดือนก่อน

    Nawezaje kuafuatilia kwa mti'iliko unao takiwa manake mala niione clip ya 6 yambele yake unakutana na ya 15 Yaan clip sizipati kwa mtilililko unao tkiwa

  • @festomsigwa8967
    @festomsigwa8967 8 หลายเดือนก่อน

    Mkono wa kulia kwenda kulia na wa kushot uende kushoto mbona wakushoto unategea😂

  • @DorikasKahemele
    @DorikasKahemele 9 หลายเดือนก่อน

    nakufuatilia mwanzo mwisho kaka

  • @DorikasKahemele
    @DorikasKahemele 9 หลายเดือนก่อน

    nimefurahi sans Kaka mi napenda kupiga kinanda natamani nije kuwa na studio

  • @MICHAELLEONTH
    @MICHAELLEONTH 9 หลายเดือนก่อน

    Pamoj sana kaka nimepata kitu kipya kwer

  • @ShukuruRwagatale
    @ShukuruRwagatale 9 หลายเดือนก่อน

    Na mimi naomba kujiunga kwenye hili darasa

  • @ShukuruRwagatale
    @ShukuruRwagatale 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana

  • @PhinisonVenas
    @PhinisonVenas 9 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Kwa mafunzo mazuri Mungu akubariki

  • @philimonerastokalugutu4561
    @philimonerastokalugutu4561 9 หลายเดือนก่อน

    Thank you God 🙏 bless you nipo najifunza napenda na nataman kujua kinanda please 🙏 help me

  • @LucyeliasNyihwa
    @LucyeliasNyihwa 9 หลายเดือนก่อน

    Hbr mwarim naomb niunge kweny group

  • @PauloMilia-g1s
    @PauloMilia-g1s 9 หลายเดือนก่อน

    Mwambaa ako ya whasp

  • @ChrisJuma-zl2yg
    @ChrisJuma-zl2yg 10 หลายเดือนก่อน

    thanks

  • @emmanuelnkinda3924
    @emmanuelnkinda3924 10 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana ufundishaji wako napenda kuwa mwanafunzi wako

  • @Salomekebelo
    @Salomekebelo 10 หลายเดือนก่อน

    Hbr minaomba video za ufunguo c nimevutiwa navyo naitaji kujifunza

  • @DanielYobe
    @DanielYobe 10 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu Mungu akubariki sana kwakweli naendelea kujua kinanda

  • @yakobomayala1382
    @yakobomayala1382 10 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉darasa zuri

  • @ArcadeNgendakumana-me8rs
    @ArcadeNgendakumana-me8rs 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @SunPaulirankunda
    @SunPaulirankunda 10 หลายเดือนก่อน

  • @SunPaulirankunda
    @SunPaulirankunda 10 หลายเดือนก่อน

    Smen

  • @SunPaulirankunda
    @SunPaulirankunda 10 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi mwalimu asant

  • @SunPaulirankunda
    @SunPaulirankunda 10 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe

  • @SunPaulirankunda
    @SunPaulirankunda 10 หลายเดือนก่อน

    Safi San nakupend

  • @cosolatatarimo5272
    @cosolatatarimo5272 11 หลายเดือนก่อน

    Nimevipenda vipindi nitumie mafunzo yote 1 mpaka mwisho kwani nimeona manne tu