Dar kaka balikiwa sana japokua unanitumia moyowangu manusula yakupasuka maana napenda sana piano halafu mm sijui kuipiga ninapokuona unaichezea hivo kwakweli loho yangu hua inauma mungu akutunz
Kaka kazi nzur sana ila kitu kimoja huyo wa kamera kidogo ange kuwa ana jaribu kusimama kwa mbele kidogo iri show ya vidole ionekana vema unge kuwa una tusaidia sana cc ambao bado kabisa kaka ila good job.
Dar kaka balikiwa sana japokua unanitumia moyowangu manusula yakupasuka maana napenda sana piano halafu mm sijui kuipiga ninapokuona unaichezea hivo kwakweli loho yangu hua inauma mungu akutunz
Kaka mimi mwanafunzi wakonakufatilia sana. Naomba unipigie kipande cha tufani inapovuma sana moyoni mwangu
Shukrani sana kwa kaz njema kaka ila nilikuwa naomba namna ya kumove kwenye nyimbo za worship
Iyo voice ningapi mtumishi naiyo stayl
Hii voice ni gani,,tamu sana
Nakubali kazi yako umenisaidia sana kaka
Kazi njema kaka nakufuatilia kutoka kenya
Mwamba kabisa yani
Nakubali kua ni kitu kizuri sana kongole
Voice hiyo inaitwaje
Sema aliye shut hajaonyesha vizur butter
Napenda sana ila natamani kama ungeanza mwanzo kabisa na pia kama unadarasa utupe muongozo wakujifunza
Naomba kuuliza je kupiga sebene lazima ujue kutumia NOTA
Nakupenda sana biti la tenzi no,19 ila silijui
Mmi ndio nimeanza kujifunza ASA naitaji kujifunza zaidi kupitia wwwe
Uko vizuri kaka lkn uwe inaonesha kwamba ufunguo gani unaupigaa wewe ili tujue au vip
Ubarikiwe kaka napenda kujifunza kupigia wimbo wa kuabudu ,,taazamaa wewe ni bwana mungu wa wote wenye mwili
Upo Humu Andika Kbd Msafi Tazama Utaona
Vzur mwalimu naomba unifundishe napenda Sana unavyopiga
Uko vizur mtumshi Mungu akubark
Play njoni tufanyie shangwe mungu wetu
Shida ya sijulii setting praise and worship setting Julius
Asante ndugu kwa kujitolea kuona Kuwa injili inaenea kupitia njia ya muziki
Asante sana nimelearn naomba unifanyie nyimbo ya baba kama si wewe ningekuwa wap ni sebene
I like it ❤️ naomba unielikeze jinsi ya kushika chord za key F shap
Mkuu hahahàhaaaaa umepotelea wap sikumingi sana
Nipo Mwingi Sanaaa Nitarudi Hewan Punde
thanks bro kwa hiyo nyimbo ya Hakuna mungu kama wewe.. ubarikiwa tena sana... HONGERA!👍
Jifunze Zaid
Naipenda
Dat wonderful kbd kudos I need it
Nishikie kord za Kenya mkali wangu
Karibu Sana
Nataka unifundishe unapatikana wap kaka
bro uko poa . naomba unifundishe kidogo
Izo 123456 zinaniacha njia panda najua ABCDEFG Na ndy mwanzo najifunza
Brother KBD Hongera kwa kazi nzuri.......uwe unaelekeza na voice umeweka namba ngapi,styl nk..ili iwe rahisi kwa beginners kama mm na wengine.
Hellow kbd msafi naomba
Fanya na nyimbo inaitwa mataifa yote yanakufaham kuwa wew ni mungu
Sawa Wacha Kwanza Hii Iende Siku Kadha Afu Nikumbushe Mkuu
I love it
Kaka kazi nzur sana ila kitu kimoja huyo wa kamera kidogo ange kuwa ana jaribu kusimama kwa mbele kidogo iri show ya vidole ionekana vema unge kuwa una tusaidia sana cc ambao bado kabisa kaka ila good job.
Mi siwezi kukuelewa aijuw hata kuwasha unwasha pekeyako
Haikatai
TISHA SANA
safi sana mkuu nimekuelewa sanaaaa
Nashukuru Sanaa
Wee jamaa hufai kabisa!
Mr Kbd hongera sana kaka Mungu akujaalie zaidi na zaidi katika kazi yako.
Amen
@@kbdmsafi_tz8094 Kama hutojali,naomba video kuhusu namba za key ya F# maana nataman San kujua.
Hata ukiifuatilia Hii Imetaja Namba Zote Kasoro Namba Mbili Peke Ila Usijali Nitaandaa Leo
@@kbdmsafi_tz8094 Sawa kaka Nitafurah sana
Iyo voice ningapi sema iyo stail xjui umeeka flash
Dah nmeipenda aisee, f#ndio key naipenda sana but cjapata darasa zuri bado. Cjui unapatikana wap kk
Piga Namba Zipo Hapo
Nimependa hio ki2 bro
Kapate unywi nakuja kulipa
Hahahaha Natangulia Sheri Mkuu
Good
hello.. ujambo kbd msafi naomba ucheze nyimbo ya SIMBA WA YUDA ANAKURUMA...nitashukuru sana
Barikiwa sana kaka
Safi kaka naomba KEY f
Naomba key f kaka
nice one
Kaka wap unapatikana
Anapatikana Babati
Good job, keep up
Nataka kujua mzk wa namba naomba nifundishe kaka
That was in incredible plz pray a Catholic song with teaching ok
msearch jamaa anjiita Savior bee humu TH-cam
too first i can get you plz
Kaka samaha nisaidie hatua ya kwanza
Ukiwa unataka kupiga bit kweny kinada kama hicho jinsi ya kusevu na bar na kufuta
0763488266
Nahitaji
Namba zote moja hadi 7
Haya Mwanangu sawa hongera, nimeanza kutaman sana kujifunza kupiga piano sasa
Jifunze nami Sasa Utakuwa Bora Sanaa
naweza kupata mafunzo live ?
Ni myaka mingapi sasa tangu uanza kupiga kinanda?
Miaka Sita
Ndio bro kazi nzuri mi naimba ntatokaje kaka nahtaj hata kurecord but no support,kazi nzuri nimekuelewa
+254778566221
Sorry nlikuwa naomba upige wimbo huo hakuna mungu kama wewe yawe kwa ufunguo C
Ukopoa naomba nitumie clip zako namba 0626658488
Ata sjui unapatkana wapi et?
Vp jamaa em ntumie namba yako mm sele
Nice bro
+255763488266
Naomba hiyo beat kwa email coligwe@gmail.com tafadhali
Kbd msafi mi nataka tukutane whatsap namba yangu ni 0767837950
0763488266
Good