Jinsi ya Kucheza Piano Somo La 3 by Reuben Kigame

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 18

  • @makariospeter9447
    @makariospeter9447 6 ปีที่แล้ว +4

    Asante mtumishi wa Mungu Kigame. mimi makarios naendelea kukufuatilia nikiwa Tanzania. Yesu Kristo akubariki na uendelee na huduma hii.

  • @wahomemartin
    @wahomemartin 4 ปีที่แล้ว +2

    Mr Kigame you are the best musician i know.
    Unaelewa mziki kwa ndani katiks makuzi na pili unavyojieleza. You are my mentor sir

  • @winnieandela7988
    @winnieandela7988 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana Mwalimu kwa haya mafunzo mazuri unayotupea. Baraka tele!

  • @johnmayaka
    @johnmayaka 2 ปีที่แล้ว

    Nina Shukrani tele kwa ukarimu ulioonyesha kwa kufunza kinanda na kugawa mafunzo haya kwa njia ya mtandao. Ubarikiwe sana.

  • @mwaikadu7474
    @mwaikadu7474 6 ปีที่แล้ว +2

    Asanti Mwalimu kwa masomo haya,umenisaidia Sana Mungu akubariki na abariki kigame media

  • @misaisanila7192
    @misaisanila7192 5 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe teacher nakuelewa vizur sana

  • @wahomemartin
    @wahomemartin 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwalimu haswa ima kwa ujuzi wa mziki la lugha sanifu. Yani Reuben weye ni kioo cha wanamziki

  • @isaacwanyonyi1205
    @isaacwanyonyi1205 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow! It's very nice lesson to learn.

  • @johnthomas3673
    @johnthomas3673 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana mwalimu!

  • @MojoTheDj
    @MojoTheDj 6 ปีที่แล้ว +5

    I have watched all the three clips and really appreciate yote ninayosoma ...God Bless you Bwana Kigame.
    Which piano/Keyboard would you recommend and where can i purchase?

  • @peterohilamuge12
    @peterohilamuge12 5 ปีที่แล้ว +3

    God bless

  • @gregorymassawe1441
    @gregorymassawe1441 ปีที่แล้ว

    God bless you!

  • @charlesmutisya9320
    @charlesmutisya9320 4 ปีที่แล้ว +1

    Soo great

  • @ScolasticaKigen
    @ScolasticaKigen 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi

  • @Carolinapaulo-xu4mu
    @Carolinapaulo-xu4mu 8 หลายเดือนก่อน

    Asante mwl ningependa kujua kituo hicho kinapatikana wapi?

  • @MonicaFrancic
    @MonicaFrancic 4 หลายเดือนก่อน

    Mnàpatkana wapi

  • @FloraNdabali
    @FloraNdabali ปีที่แล้ว

    Hello

  • @Carolinapaulo-xu4mu
    @Carolinapaulo-xu4mu 8 หลายเดือนก่อน

    Tupatie contact mwl tunahitaji hilo darasa