Historia/Kisa cha nabii Nuh (A.S) (Sehemu ya 3) na Hud (A.S) (Sehemu ya 1) - Sheikh Othman Maalim

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Kisa cha nabii Nuh (A.S) sehemu ya tatu na nabii Hud (A.S) sehemu ya kwanza lkinacho simuliwa na sheikh Othman Maalim
    #NabiiNuh
    #OthmanMaalim
    #Visavyamitume
    #IslamicKindness

ความคิดเห็น • 28

  • @fathmakajo2662
    @fathmakajo2662 ปีที่แล้ว

    الله يحفظك يا شيخونا

  • @shamilamchimiler2514
    @shamilamchimiler2514 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 3 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah shukranii sana jazzaka allahu kherii Allah akuifadhi shekhe wetu

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 4 ปีที่แล้ว +5

    Jazzakumllah Khery

  • @fatimambarak9474
    @fatimambarak9474 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallha shukurani sana

  • @zeenathabdulaziz5440
    @zeenathabdulaziz5440 7 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulilah kwa neema ya uislam

  • @vuaipanduhaji3681
    @vuaipanduhaji3681 3 ปีที่แล้ว +2

    Maashallah

  • @latifahali8228
    @latifahali8228 2 ปีที่แล้ว

    Mashaaallah

  • @shamesalimsita2456
    @shamesalimsita2456 2 ปีที่แล้ว

    Naomba kujibiwa

  • @bwanafacttv1635
    @bwanafacttv1635 3 ปีที่แล้ว +4

    Nawezaje kuvipata hivi visa vyote ndugu yangu

    • @IslamicKindness
      @IslamicKindness  3 ปีที่แล้ว +2

      bila shaka nilivo navyo waweza vipata

    • @bwanafacttv1635
      @bwanafacttv1635 3 ปีที่แล้ว +2

      @@IslamicKindness nawezaje kuvipata basi naomba unitumie watsup kwa namba hii 0783685847 ... zikiw ni audio nitakushukuru zaidi.... Ni visa tu vya mitume vilivyoandaliwa na othman maalim... Natanguliza shukran

  • @shamesalimsita2456
    @shamesalimsita2456 2 ปีที่แล้ว

    Aslm.alk.naam naomba kuuliza je kwa mda waliokaa kwa jahazi lile walikula nini na kulikuwa na viumbe tofauti

    • @IslamicKindness
      @IslamicKindness  2 ปีที่แล้ว

      waalekum salam siwezi kukwambia walikula wali ama ugali au matunda bila shaka kulikua na chakula.

    • @fathmakajo2662
      @fathmakajo2662 ปีที่แล้ว

      Allah hashindwi kwa jambo inawezekana kwa mda wote walikaa bila kuhisi njaa wala kiu

  • @ukhtmamy
    @ukhtmamy ปีที่แล้ว

    Mke wa nabii hud nae alikuwa anaitwa nan

  • @assilaa2007
    @assilaa2007 2 ปีที่แล้ว

    Kupat hivi visa vyote fully niwapi?? Au kun Dvd zao??

    • @IslamicKindness
      @IslamicKindness  2 ปีที่แล้ว +1

      jaribu katika maduka wanayouza dvd za mihadhara

    • @assilaa2007
      @assilaa2007 2 ปีที่แล้ว

      @@IslamicKindness Mm sipo Tz kwahuku nchi za waraab zipo kwelii hizo DVD???? napenda san nijue mwanzo mwisho wa visa hiv nijue vyote, lkn huku you tube vingi ndo hivo viko nusu nusu😟Alhamndulillah kisa cha Nabii Mussa na kisa cha Nabii Ibrahim nlibatisha kukuta fully😍ALLAH akuongezeeni hat nyie mnaotupostia japo nusu lkn tunapata kufahamu tusoyajua😊

    • @IslamicKindness
      @IslamicKindness  2 ปีที่แล้ว

      kwa vyote kwa ukamilifu wake sina hakika lakini nimejaribu kupost kaika hii chanel kwa mujibu nami nilivo vipata

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @samadually4268
    @samadually4268 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @limbendeshaibu3568
    @limbendeshaibu3568 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaalah

  • @hamida197mohd4
    @hamida197mohd4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah