@@ellyiss1559 sisi ni wana wa Mungu na tunaongozwa na roho mtakatifu hiv ukiangalia hii clipu ni tendo la kiMungu hapa linafanyika aua umelitazama kidunia iyo moja mbili wapi kwenye bibilia kuna nabii mkuu au nabii mkubwa au mdogo Mungu hatazami kama ss wanadam njia zake si kama zetu natamani unielewe bila kukukwaza mana nia yangu uwelewe utoke kwenye huu mkondo
Natamani tu kumuona baba nabii Mkuu aseme neno juu ya maisha yangu nimechoka natamani hata kufa maisha yamenilemea sn namwamini baba aseme.tu neno nipone mimi
Nabii mkuu nko kenya nakuvatilia sana natamani sana kukutana na wewe lakini sina uweso wakuvika naamini nikivika maisha yangu ena patiliaka ungesaliwa Kenya nateseka sana natamani nkuje tansania kwa mkuu ubitamkie neno moja tu maisha yangu ebatilike
This man sees things different from most of normal people ..he is really blessed prophet.Realy God works in his ways.Harmonize ni vyema kwako pia kuzidi kumtafuta Mungu
Baba nabii ,ata ucku wa manane nackiliza unavyo toa madini zaidi ya tanzanaiti barikiwa kwa uwezo ulio pewa na Mungu naamini ukisema neno juu yangu nitabarikiwa nabii ,naitwa Ezekiel Lema al,Amen.
Yesu alisema ole ni wa Ulimwengu! Ndipo watakuja na kusema...Bwana...tulihubiri na kutenda miujiza KWA jina lako...nami nitawaambia...ondokeni sikuwajua ninyi nyote mtendao uovu....kasema...KWA matunda yao mtawajua....
To be honest Harmonize has a lot of life influencing songs that give people hope... Mwaka huu, mama, matatizo, atarudi, such songs are just great and motivating
Nashukuru mungu saàna kusikiya mwana muziki harmoniz anaanza kumuimbiya mungu maana nihitaji sauti yake nzuri iwe namuimbiya mungu mimi ni Hortense kutoka Congo DRC
habari nabii wa mungu napenda sana mahubiri Yako yameniweka nisongee karibu n'a Mungu wangu île n'a muomba mungu animé Siku n'a muda ilisiku moja nifike kanisani hapa ulipo niombi langu kila Léo asante naishi kongo DRC
Hapa ndio huwa unanifanyaga nakuelewa sana mtu wa Mungu,yaani you bless me to the extent sir. Unafikiri upeo sana na najifunzaga sana kwako halloo. Let the blessings also come to me as you said a man of God. Naomba uniombee pia na mm,even silent i can receive. Love you more every day papaa. Salute
Love this 💯 🇰🇪... medicine is ONLY for the sick and Christ Jesus came for sinners ...by doing this you've shown Love ,the greatest commandment...May God continue expanding your Territories 💓
My Spiritual Father sees the good in evrythng and evry soul ni kwl kbs Mungu ananjia zake za kuvuna watu wake na kurudisha walio wake kwake but due to most ppl naive minds and luck of God wisdom n knowledge wanaona kuwa watu wamataifa hawawezi kuwa wa Mungu na kusahau Mungu haitaji walio wema tyr anahitaji waliopotea na wenye haja naye haijalishi wapoje, wawapi wala wanafanya nn His key point is for them to blv and trust in Him and be His ppl, Nabii Mkuu anatambua hilo na ninajivunia kuwa mwanae wa Kiroho i love u Daddy😊😘
Sana mwimbo huo ni mzuri sana mungu akubariki sana na harmonize huyo ni mtoto wa maskini hana maringo acha mungu amsaidie amfungulie milango ya ridhiki
Nabii Mkuu upo vizuri,umenikumbusha nilipokuwa chuo Cha Biblia walifundisha ktk Somo la maendeleo ya jamii ,kuwa kioo na msaada kwa jamii Ili jamii imwone Yesu.asante baba,Kiserere Bunda
Shallom baba kMimi mchungaji richard Abraham Mollel nabarikiwa sana baba naomba macho yako yanione nasema kiuduma baba baraka zako kwangu mimi naamini zinifusha kwa haya
Huu wimbo upo clean kweli hauna tofauti na nyimbo zingine za gospel tofauti ipo Kwa aliyeimba tu so wenye makasiriko acheni negativity mtakufa mapema bure😁
Baba hata mie huwa nakupenda sana unavo towa huduma kwa watu hakika wewe ni mtume wa mungu hapa duniani ila kwa kuwa watu huwa hawawezi kuamini kwa hapohpo ila ipo siku utaacha histolia Kama mangufur hogera Sana baba Mimi naitwa James kakola ya kahama huku huwa nakufatilia Kila tukio unalo lifanya baba mungu akupe maisha malefu tu Sina nauli tu natamani Sana kuja kwako kubalikiwa🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🌎🌍🌎🌍🌎🌍🌏🌍🌏🌍🏖️
I always love it when notification says someone liked your comment and you have received a subscriber this motivates me and make me work tirelessly. God bless you for subscribing.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤tuombeana tupendane wote baba mumoja mazeebu yote baba nimumoja wewe ulie okoka usimucheka anaye tena maovu bali muombeee awe kama weweeee nabi mimi nimefulahisana hasa nilipo ona anaweza kabisa kucheza
That's true Kuna marafiki na ndugu wanakudharau lakini Hakuna Mungu mwingine Kama Aliye Hai, Napokea hiyo prophetic word maadui zangu wooote washindwe wao kwa Jina la Yesu kristo
Mungu awasamehe nyote akika 😭mumefanya nyumba ya Mungu kuwa ya uchinga wenu kisha wewe pastor kipofu ole wako Mungu atakuazibu makosa sana 😭
Hivi kweli hii picha unaitazamaje mtu wangu kweli hapo kuna roho mtakatifu kweli hizi ni nyakat za mwisho
Wewe ni nani
@@ellyiss1559 sisi ni wana wa Mungu na tunaongozwa na roho mtakatifu hiv ukiangalia hii clipu ni tendo la kiMungu hapa linafanyika aua umelitazama kidunia iyo moja mbili wapi kwenye bibilia kuna nabii mkuu au nabii mkubwa au mdogo Mungu hatazami kama ss wanadam njia zake si kama zetu natamani unielewe bila kukukwaza mana nia yangu uwelewe utoke kwenye huu mkondo
Iyi siyo kanisa ila ni Tv show wana fanya
😢😢😢
Wewe unaejifanya nabii mkuu, angalia Sana unawaelekeza watu jehanam, MUNGU akusamehe na akufungue toka vifungo vya ibilisi.
Huu wimbo unatupa nguvu na wengine tupambane ili huu mwaka Mungu atende muujiza uwe na baraka 💪🙏🏾
Kweli my
Mchungaj unalikat
Ssss
Sijapenda kabisa,giza na nuru vinaushirika ganiii????? I'm in Mombasa Kenya.🇰🇪🇰🇪
Wimbo mzuri una maneno mazuri sana.barikiwa sana harmonize
Jeshii ni kama maji usipoyanywa utaoga
Nasema mimi zainab naomba namba zako nabii pleas naumia nalia hapa nilipo nalia
Wooow very amazing
Let us not judge a person that song is good and the massage is also good to the community ....
😂😂
Mungu hadhiakiwi na Kila unachopanda mavuno tegemea kwenye nyumban ya ibaada du makubwa kanisan pastor kabsa
I said this kuwa Harmonize 🐘🐘 sio wa kawada leo inazindi kujidhihirisha Atafika mbali sana kwa uwezo wa Mungu 🙏🙏🙏
@Rukia Ali yeah Fact 🤝
Mungu hadhiakiwi jamani hata kidogo . Yesu wasamehe hawajuwi watendalo.
Vitu vingne vya kijinga kweli Sasa kosa la huu wimbo ni nini
Wimbo mtamu kweli 💕💕💕💕💕💕 mtumishi kacheza vizuri🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
Good
Bibilia na Uislamû nyimbo haramu. Soma Ezekiel 26:13) Amosi 5:23) Amosi 8:3)
Natamani tu kumuona baba nabii Mkuu aseme neno juu ya maisha yangu nimechoka natamani hata kufa maisha yamenilemea sn namwamini baba aseme.tu neno nipone mimi
Nabii mkuu nko kenya nakuvatilia sana natamani sana kukutana na wewe lakini sina uweso wakuvika naamini nikivika maisha yangu ena patiliaka ungesaliwa Kenya nateseka sana natamani nkuje tansania kwa mkuu ubitamkie neno moja tu maisha yangu ebatilike
This man sees things different from most of normal people ..he is really blessed prophet.Realy God works in his ways.Harmonize ni vyema kwako pia kuzidi kumtafuta Mungu
Noma 👏👏
This is how amind colonised by God's Word thinks
@@michaelowino410 su
@@nashipaikoima682 4 AED s111121,1e,3s3ze
Kivyangu mimi Mungu amupe maisha marefu
Kwakuwa ni mtu wa watu
Papa pasteur Usichoke kusaidia mataifa kimwili na kiroho
Barikiwa sana harmonize wimbo ni mzuri sana na una ujumbe mzuri sana
Baba nabii ,ata ucku wa manane nackiliza unavyo toa madini zaidi ya tanzanaiti barikiwa kwa uwezo ulio pewa na Mungu naamini ukisema neno juu yangu nitabarikiwa nabii ,naitwa Ezekiel Lema al,Amen.
Umefikili sana pasta uko Safi sana Mungu bariki kazi za mikono yetu
.
Yesu alisema ole ni wa Ulimwengu! Ndipo watakuja na kusema...Bwana...tulihubiri na kutenda miujiza KWA jina lako...nami nitawaambia...ondokeni sikuwajua ninyi nyote mtendao uovu....kasema...KWA matunda yao mtawajua....
That pastor's dance moves are on another level😂
Umeonaeee 🧐😄😄😄😄😄
And he is just confident
Na mimi namtamkia huyu kijana,maadui zake wote wazidi kushindwa 🙋♂️
Good song from harmonize have influence people to struggle in this year, big up ✊✊✊
To be honest Harmonize has a lot of life influencing songs that give people hope... Mwaka huu, mama, matatizo, atarudi, such songs are just great and motivating
Nashukuru mungu saàna kusikiya mwana muziki harmoniz anaanza kumuimbiya mungu maana nihitaji sauti yake nzuri iwe namuimbiya mungu mimi ni Hortense kutoka Congo DRC
Asante harmonize kwa kumkumbuka mwenyezi mungu.
Mwaka huu ni wangu kwa Baraka za mungu wangu.❤️❤️❤️❤️
habari nabii wa mungu napenda sana mahubiri Yako yameniweka nisongee karibu n'a Mungu wangu île n'a muomba mungu animé Siku n'a muda ilisiku moja nifike kanisani hapa ulipo niombi langu kila Léo asante naishi kongo DRC
Asante BABA kwa kumpa barara harmonize mana maadui wamemzunguka wengi sana🙏🙏🙏🙏tunapokea baraka kupitia wimbo huu
Waaoh nice one!!aki harmo utaenda mbali
Nimefurahi sana harmonize ni mtoto mzuri sana anaweza kuishi na dini zote mungu atamfungulia sana milango ya ridhiki mantashalla
Mungu anao watu wake wa Ajabu Nabii mkuu anayo ekima kubwa ya utumishi. Namkubali na nampenda.
Uko vizuri hamoo pokea unabii wa nabii mkubwa🌹🌹
Twashukuru Mungu Kwa yote.
Ni wimbo mzuri sana kwan una ushuhuda mzuri hata mm nimeupenda
Hapa ndio huwa unanifanyaga nakuelewa sana mtu wa Mungu,yaani you bless me to the extent sir. Unafikiri upeo sana na najifunzaga sana kwako halloo. Let the blessings also come to me as you said a man of God. Naomba uniombee pia na mm,even silent i can receive. Love you more every day papaa. Salute
Ameimba vizuri Kwa kweli acha Mungu aitwe Mungu
vraiment harmonise mungu atakuwa tu upande wake kwani amefurahisha nabii mkubwa wa tazania
Love this 💯 🇰🇪... medicine is ONLY for the sick and Christ Jesus came for sinners ...by doing this you've shown Love ,the greatest commandment...May God continue expanding your Territories 💓
Amen 🙏 very true brother
Good songs i love it
Sawa
@@emmaculatekazungu9451 qqqqqq
@@emmaculatekazungu9451
*
Wimbo unaujumbe San Tena wakubarki yule aliye na Iman na mung wake aminaaaa
My Spiritual Father sees the good in evrythng and evry soul ni kwl kbs Mungu ananjia zake za kuvuna watu wake na kurudisha walio wake kwake but due to most ppl naive minds and luck of God wisdom n knowledge wanaona kuwa watu wamataifa hawawezi kuwa wa Mungu na kusahau Mungu haitaji walio wema tyr anahitaji waliopotea na wenye haja naye haijalishi wapoje, wawapi wala wanafanya nn His key point is for them to blv and trust in Him and be His ppl, Nabii Mkuu anatambua hilo na ninajivunia kuwa mwanae wa Kiroho i love u Daddy😊😘
Hata wewe umepotea kwakipi Nabi anacho kifanya kuhusu Injiri kuwasifia iri azidi kuwapata wafuasi bira Mbingu niasala
Washindwe na walegee mtumishi tena wamesha shindwa na kulegea hasa mtumishi ... Ameen .......
Mungu mkubwa saaana yaani nimefurahiii saana aasante mcungaji
Kwanzia leo naokoka bravo Harmonize jeshii CEO of Konde gang
That's my daddy Yaani anakwenda na wakati Ngurumo ya Upako raha Bwana asikwambie mtu na Sasa imekuwa MPYA SIPATI PICHA 🔥🔥🔥🔥🔥!!!
Nimependa harmonize Thomas Zuma from kenya,,,soo have my gift🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Harmonize is a talented artist much love from kenya
Mungu atatenda kwa jina la Yesu utabarikiwa zaidi na zaid hamoniz baraka umeshushiw na Mwenyewz Mungu amina
Mungu akusame ukunasikiya nyimbo ya harmonize mu kanisa
Nabii umeukosha Moyo wangu asubuhi ya leo🙏🙏🙏🙏😘😘
Sana mwimbo huo ni mzuri sana mungu akubariki sana na harmonize huyo ni mtoto wa maskini hana maringo acha mungu amsaidie amfungulie milango ya ridhiki
Mwaka wangu by Harmonize that's Song from Heaven. God Bless you Konde and Our Pastor
Mtumishi wa Mungu natamani sana nikkutane nawe ila nashindwa. Naomba maelekezo
Amen sikuwa napenda nyimbo zako ila huu nimupenda sana Mungu akubariki sana
Lazima ujue anachofanya hapa, ni kumtunza Harmonize, ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za kuhamasisha mapenzi ya dunia...
Nabii mkuu anamchezea Mungu kweli hakuna kama wewe Baba
Nabii Mkuu upo vizuri,umenikumbusha nilipokuwa chuo Cha Biblia walifundisha ktk Somo la maendeleo ya jamii ,kuwa kioo na msaada kwa jamii Ili jamii imwone Yesu.asante baba,Kiserere Bunda
Mungu tusaidie
Hallelujah glory be to God. God no one like you my father 🙏kenya 🙏
Ameni Ameni Nimebarikiwa sana na Ibada zote kwa ujumla naitwa JOEL mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania niko Dar es salaam
Ama kweli konde boy kiboko duuh🙌
Shallom baba kMimi mchungaji richard Abraham Mollel nabarikiwa sana baba naomba macho yako yanione nasema kiuduma baba baraka zako kwangu mimi naamini zinifusha kwa haya
Great musician from tanzania God bless u..mjeshi
my friend huwezi juwa ni mungu yupi anaeimbia huu wimbo, juweni watumishi wa Kweli na waliotumwa na shetani
Ameeen Ameeen Hallelujah Glory Glory to Almighty father let it happen thise yr
Mpokee YESU yeye ni mpole na mnyenyevu wew xi nabii kalibu kwa YESU Baba angu BWANA WA MABWANA ANAKUITA
Mchunganji amenichekesha mno amedance mno mwenyezi mungu ni mwaminifu 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen Amen. Ndio Baba Nabii Mkuu GeorDavie
Warumi 12:1-2 wimbo mzuri sana tena unamtukuza bwana WARUMI 16:18
❤ safi
Huu wimbo upo clean kweli hauna tofauti na nyimbo zingine za gospel tofauti ipo Kwa aliyeimba tu so wenye makasiriko acheni negativity mtakufa mapema bure😁
😆😆😆😆😆😆😆taarifa zimewafikia wenye chuki zao
Wengine vichwa panzi
@@missmwayway4704 😁😁😁
Arusha tunawafalikiwa sana love from thousands hills
Halleluja Halleluja Halleluja dear DADDY. 🙏🏼💕.
Miss you.
Lots of LOVE from Sweden, hope to come to see you this year🙏🏼.
By his Grace 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mwaka huu ni wetu ni Bura kenzo from Kenya 🇰🇪 wapi like zangu mkinifata
Very nice harmonize keep it up this is your year to do wonders❤️🙏💯
Baba hata mie huwa nakupenda sana unavo towa huduma kwa watu hakika wewe ni mtume wa mungu hapa duniani ila kwa kuwa watu huwa hawawezi kuamini kwa hapohpo ila ipo siku utaacha histolia Kama mangufur hogera Sana baba Mimi naitwa James kakola ya kahama huku huwa nakufatilia Kila tukio unalo lifanya baba mungu akupe maisha malefu tu Sina nauli tu natamani Sana kuja kwako kubalikiwa🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🌎🌍🌎🌍🌎🌍🌏🌍🌏🌍🏖️
I always love it when notification says someone liked your comment and you have received a subscriber this motivates me and make me work tirelessly. God bless you for subscribing.
Be blessed bro kwa huo wimbo umefungua macho wengi. 2024 ni wangu.
I agree with you prophet....he should get saved n be singing like this👏👏👏👏👏💓💓
tas de parabens
Hata mimi nimeupenda Sana Mungu amkomboe harmonize
This is Konde boy for everybody 🔥🔥🔥🔥🔥
Yes
Wow,,,Gor is faithful
God bless konde jeshi, it's our year
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤tuombeana tupendane wote baba mumoja mazeebu yote baba nimumoja wewe ulie okoka usimucheka anaye tena maovu bali muombeee awe kama weweeee nabi mimi nimefulahisana hasa nilipo ona anaweza kabisa kucheza
Huu Ni mwaka wangu naamini kabisa ngoma nzuri
🔥🔥🔥
Mh nabii anacheza muziki Allah atuokoe huu ni ukafir kabsa bila shaka
KondeBoy go go go to the World 🌎💪🏻💪🏻 Kondegang4Life 🔥💪🏻
That's true Kuna marafiki na ndugu wanakudharau lakini Hakuna Mungu mwingine Kama Aliye Hai, Napokea hiyo prophetic word maadui zangu wooote washindwe wao kwa Jina la Yesu kristo
Wooowoooh harmonize karibu kweny uwokovu
Barikiwa harmonise! Pigia watu Moja Kali ya gospel
Baba Nabii mpe harmonize Gari kali maana una moyo wa pekee sana.
Mungu atampa si lazima baba nabii, ampe jameni
Mimi nimzaliwa wa burundi 🇧🇮 nikaa nairobi kenya natamani kuonana nahuyo mtumishi kirawakati namutizama mahubili yake yanani mbamba sana
Amen. Barikiwa sana Harmonize
Ndiye pasteur Dunia tunaitaji
Amina barikiwa Sana na huu wimbo
Jamani waumini wako wanacheza kiduku Yesu Bora urudi Ni kweli Nabii anacheza nyimbo za Duniani
Naye ni binadamu!
Bwana yesu asifiwe sana naitaji sapoti huduma yangu ya uimbaji ifike mbali nipate Mutu wa kunishika mukono nifike mbali sana
Acheni kuunganisha Mungu na dunia
God has to bless Harmonize in abundance
Mgeukia mungu acha usanii yesu anakuja achia watu wamungu wajue njia ya kweli
Excellent prophet ❤️❤️❤️❤️Kondegang for life
Harmonize twakupenda sana❤❤❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪
Asante Pastor
Baba mm nakubar baba mwakahuu niwang hakika❤️❤️❤️💕💕💕💕💕
From Kenya nawakilisha konde boy big up 🔥 i love Tanzania
Safi sana Harmonise Mungu azidi kukuinua
God Bless Harmonize.