Harmonize - Mwaka wangu (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2022
- Mwaka wangu is a Inspirational song that encourages not giving up and believing that God is omnipotent no matter how much you are despised, how much you are insulted believe in your dreams you will succeed.
Harmonize - High School
Stream/Download: smartklix.com/HighSchoo
lDigital Distribution & Marketing By Ziiki Media
Subscribe for more official content from
Harmonize: / harmonize255
Follow Harmonize
Instagram: / harmonize_tz
Twitter: / harmonize_tz
Facebook: / harmonize255
TikTok: vm.tiktok.com/JYFv7PN/
Listen to Harmonize
TH-cam: / harmonize255
Audiomack: audiomack.com/harmonize
Apple Music : / harmonize
Spotify : open.spotify.com/artist/1eCae...
Boomplay: www.boomplaymusic.com/share/a...
The official TH-cam channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
For Bookings & More
Email: Harmonizemanagement@gmail.com
Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762
Lyrics:
Yaw yaw
Jeshii
Lalalilaa mmh lalalaa
Chiiii
Eeh
Ni mwaka mpya mambo mapya sina dhambi nimetubu
Na pesa ntazichanga change nizijaze kwa kibubuu
Japo hata kakibanda nikajenge huko pugu
Maana nyumba za kupanga nishazichoka vurugu
Eti kwani wao waweze wana nini
(Mmmh)
na mimi nishindwe nina nini
Nishachoka siku zote kuwa wa chini
wengine wanakula kipupwe ma ofisini
Mliosema haolewi olewi mbona kaolewa
mliosema hapewi hapewi mbona amepewa
mwaka huu ni wangu kutimiza ndoto zangu
nasema mwaka huu ni wangu kwa baraka za mungu wangu
(dear lord)
Hakuna mungu kama wewe babaa
(Eeeeeeh hakuna)
Kama wewe yawee
(Eeh hakuna)
Hakuna mungu kama wewe babaa
(Eeeeeeh hakuna)
Kama wewe yawee
(Eeh hakuna)
Huu mwaka nakusanya mavumba ninunue gari yangu
Na wale waliosema mimi ni mguma waje wamuone mwanangu
Huu mwaka marafiki wasio na faida nawaweka pembeni
Wanaokufata wakati wa shida ili wapate hafueni
Niwaonyeshe walionidharau kama mungu anaweza
Nami nipande dau niwasalimu kingereza
When God say yes nobody can say no
(When God say yes nobody can say no)
When God say yes nobody can say no
(When God say yes nobody can say no)
Mliosema haolewi olewi mbona kaolewa
mliosema hapewi hapewi mbona amepewa
mwaka huu ni wangu kutimiza ndoto zangu
nasema mwaka huu ni wangu kwa baraka za mungu wangu
(dear lord)
Hakuna mungu kama wewe babaa
(Eeeeeeh hakuna)
Kama wewe yawee
(Eeh hakuna)
Hakuna mungu kama wewe babaa
(Eeeeeeh hakuna)
Kama wewe yawee
(Eeh hakuna
#Harmonize #MwakaWangu #KondeMusic - เพลง
Kama na wewe ni mwaka wako like hapa kwa wingi....
Mwaka huu From Kenya
th-cam.com/video/WfQeX-ZQaPY/w-d-xo.html
Yani kanipa pawa mwaka kiwanja najenga kile😀😀💪🏽
Bonyeza na hapa uone hii 👇...
th-cam.com/video/Nwjf3aRNYPY/w-d-xo.html
@@radhiasalum7156 Bonyeza na hapa uone hii 👇...
th-cam.com/video/Nwjf3aRNYPY/w-d-xo.html
Duu anaweza huyu dogo
NAKUOMBA GONGA LIKE HAPA KAMA HUU WIMBO UMEKUGUSA KAMA MIMI ✍️✍️😭😭
Du umetisha sana mungu akupe maisha marefu hamonaiz
Huu wimbo hupo vzr
Waliokuja hapa baada ya kusikia mzee wa mjegeje kafariki gonga like.....
Jmn baada ya kusikia mzee mjegeje kafariki wakaja hapa basi na mim npo gonga like 😢😢mzee mjegeje pumzika kwa amani
Tujuane tuliorudi kutazama huu wimbo Kwasababu ya mzee wa Mjegeje [RIP Mzee wa Mjegeje]
🐘 kila mwezi ngomaaa
Huu wimbo ilinifanya mpaka nikajenga kwetu I love you ❤️ harmonize
Msanii anayeweza kuja na wimbo usio wa mapenzi na ukapendwa kuliko wa mapenzi👏👏👏
Sijai fikisha likes 20, leo si tujaribu jameni😂👇
th-cam.com/channels/DE1wEp1qCPJ__dGvTf9fgw.html
Hi nisubscribie 🙏
Tembooo🙌🔥🔥
King of interview,huu mwaka ni wako
th-cam.com/video/TmulGNZyj98/w-d-xo.html ali
@@ontitajosphat2907 th-cam.com/video/TmulGNZyj98/w-d-xo.html
th-cam.com/video/J_jrSbVq1Vw/w-d-xo.html East Afro Remix
th-cam.com/video/IOZa3DNynSw/w-d-xo.html
Jamani tujuwane tulio rudi uku bada ya ngoma yetu kupigwa kanisani💃💃kond geng for life 🔥🔥🔥💪
Apoo pa nipande dau niwasalimu kingereza😂❤❤
"Eti kwani wao waweze Wana nini,NAMI nishindwe Nina nini,nimechoka kuwa wa chini,mwaka huu ninwangu"thank you Konde boy
Bonyeza na hapa uone hii 👇...
th-cam.com/video/Nwjf3aRNYPY/w-d-xo.html
Amen
Mtoto wangu asubuhi akaniambia baba weka wimboo wa woyo woyooo when God say yes no body can say no ndipo niende shule...nikamwekea alafu akaenjoy akaenda shule🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥MWAKA WANGU MB Zitaishia hapa leo
ujumbe mkali sana tunawakilisha mahomboy ulaya america inatubidi tulete mapinduzi ya utumwa mamboleo,sàa ndio hizi ,haiwezekani mwenyekiti wa serikali za mitaa anapigiwa saluti na jeshi la ulinzi uwanja wa ndege wa kimataifa na huku raisi wetu anachukuliwa po ,utovi wa nidhamu..kuna mungu young african history......
R.i.p mzee mjegeje 🕊️💔
Acheni uchoyo,, nipeni likes za jeshiii
Ashia bwana 💥💥💣💣💣💣
🎶MARAFIKI WASIO NA FAIDA NAWA WEKA PEMBENI WANAKUFATA WAKATI WA SHIDA ILI WAPATE AFUENI, NIWAONYESHE WANAONI DHARAU KWAMBA MUNGU ANAWEZA NAMI NIPANDE DAU NIWASALIMU KINGEREZA🎶 YAAN MSTARI HUU KAUW VIBAYA SANA 🔥🔥🔥🙌
When God says Yes no body can say noo...🔥🔥🔥
Sure
Great work
True
Harmonize - Mwaka Wangu ( Official Music Video cover )
th-cam.com/video/QaLewyy2C2o/w-d-xo.html
acha zako
Team Jeshi wapi like ya kenya
Jeshiii 🔥🔥🔥🔥
Harmonaze tupe hela basi sisi mashabiki mana bando linaishia kwako ty
Amina mungu na minguzake zote zitafulai sana ikiea kuimba sifa za mungu na kuacha baadhi ya nyimbo vinazopoteza vizazi vijavyo
Kweli konde gang is for everybody 💯haichagui kijana wala mzee kila mtu anapewa haki yke 🥰🥰 big up sana Teacher konde twende nalo mpaka kieleweke mwaka huu wetu 💪💪💪
TANZANIA 🇹🇿🇹🇿 STAND UP KONDE BOY FOR EVERY BODY
th-cam.com/video/TmulGNZyj98/w-d-xo.html dar
Rg th-cam.com/video/8rHnDwWpLs8/w-d-xo.html
th-cam.com/video/0ZZvQJTe1ic/w-d-xo.html
Danger
th-cam.com/users/shorts9qeROo1tANU?feature=share
Acrobatic😝
th-cam.com/users/shortsNvLf63sO1hI?feature=share
waloiludia hii ngoma
mwaka huu gonga like hapa 🎉❤
Nyimbo nzuri watu wako kiheshima ata sisi walokole tumeifagilia big up from Mombasa 🇰🇪❤️🇰🇪
Mungu ni saidie niweze kutimiza ndoto zang zote ndani ya huu mwaka nakuendelea na niweze kufikisha muziki wang sehem inayo stahili 🙏🏻🙏🏻
th-cam.com/video/TmulGNZyj98/w-d-xo.html rajy
Mimi pia na Sema mwaka huu ni wangu na kila mmoja anamependa mziki huu mzuri more love❤️❤️ from 🇰🇪 it's true when God say yes No one can say no🙏
Mwaka hu ni wangu Hakika KUBWA 💪🔥
Mpaka kanisani kwetu ilisikika🙏🙏
Lovely Harmonize. Greetings from Nigeria..🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬
Toka Drc hapa UVIRA 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💚💚💚💚🇹🇿🙏🙏🙏
Yani watu wote Tanzania mnamkubali harmonize mimi ni nani mpaka nisimkubali achatu waniite msaliti ila lazima niambatane na wengi
Hata wazee wazamani wameshasema wengi wape
oya mwana ishi unavotaka wewe ukitaka uwe mister nice hiyo cost area ..pambana ,ngoma kali naikubali mpaka leo..sema kiba mwana muacheni kitambo halafu hana shobo...
Nimependa sana mstarii huu (marafiki wasio kuwa na faida nawa weka pembeni)
Fear of the Lord is the begining of wisdom.....harmonize alijua akuna Mungu kama Yaweh.
Nina imani kama ww ni mpambanaji amini huu ni mwaka wako pia🧘🏼♂kama tembo katoboa vita zote akiwa peke yke amini ata ww utatoboa inshallah🙏🏼
Nimeletwa hapa na Na NABII MKUU… u touching your people hata kwa church,,,, atarudi, ayola, Never Give up song to live
Mwaka wetu East Africa🇨🇩🇺🇬🇹🇿🇸🇴🇰🇪🇧🇮🇷🇼 konde boy
This song is for hustlers, it also helps someone to work hard and achieve his/her goals.Its more than a song
Mwaka huu ni wangu kutimiza ndoto zangu kwa Baraka za mungu wangu🙏🙏🙏🙏thanks tembo kwa kutufanya hata sisi wanyonge tujidai
Huu wimbo una ni motivate sana kusema kweli! 👏Harmonize!!!!
Mungu nimungu akunakama yeye ikokweli
Harmonize ... never disappoint...my Kenyan people let's gather here and show. Konde boy love
❤❤❤
🥳🥳🥳th-cam.com/video/qhOFQL2C1qI/w-d-xo.html
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪
Sasa patana na gospel ya miracle baby hadi huezi watch na wazazi 😂
Harmonize - Mwaka Wangu ( Official Music Video cover )
th-cam.com/video/QaLewyy2C2o/w-d-xo.html
Hakuna Mungu kama wewe yaweh🎶🎵. Me ni mkristo lakini Wimbo huu ni Kali Sanaa Konde boy for everybody. Likes za Kenya zije hapa. Tunawakilisha 254🇰🇪🇰🇪
Konde boy tembo mkali mwaka huu ni wangu kwa baraka za mungu wangu
Inspirational song ever, Hongera Sana wanainchi
Konde Music World Wide 🌎🌍🔥🔥
Mfalme wa parod😜
Parody ije mfalme wa parodi
Twakungoja na parody dogo
😁😄 funny
th-cam.com/users/shorts2Tw_amFbJEE?feature=share
mfalme wa parody.....tz
East African Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi and South Sudan, lets gather here for one love
Mpaka nabii ausifia huu wimbo
Huu mwaka ni wangu❤.I declare and decree in Jesus name.
WHEN GOD SAYS YES ,NO BODY CAN SAY...FROM KENYA🇰🇪 ,I BELIEVE IN GOD,I BELIEVE IN SECOND CHANCE,I BELIEVE THIS GUY HARMONIZE IS A MOVEMENT,ITS ABOUT LOVE AND GOD IS LOVE..HUU #MWAKA NI WANGU
🔥🔥🔥❤❤
th-cam.com/channels/DE1wEp1qCPJ__dGvTf9fgw.html
th-cam.com/channels/2sgshJMqEf_A1pV84dzEGw.html
Only JESHI 🔥🔥
🔥🪄✨
Mwaka mpya Mambo mapya Sina dhambi nimetubu
Kama unasikiliza huu wimbo 2024 gonga like😊
Nimeletwa huku na mchungaji wa hukoooo Chuga
" Waonyeshe waliokudharau kwamba Mungu anaweza" that line hit different❤
It's true
Can't believe he was thinking that 🌚
Same here
Mwaka wetu uu konde boy, peperusha bendera, much love from Kenya. Spoken word artist are suffering over here bt nikujikaza tu
th-cam.com/video/TmulGNZyj98/w-d-xo.html michu
Hakuna Mungu kama wewe.....sauti kama ya Dree
Afu huu wimbo apewe tuzo konde boy mwaka wangu unanifanya nijitume mwaka uwe wangu
TEAM KONDE GANG TUKO READY KWA VIDEO 🌷🔥🔥🔥🔥🔥🔥kama wamkubali jeshi piga like tukisonga
Harmonize Mwaka wangu Lyrics 🔥👇
th-cam.com/video/IoLBOsuBcWQ/w-d-xo.html
Much love for Konde Boy💯Ngoma kali,idea ya video nayo kali sana!🔥🔥🔥🔥
Traditional fireworks 💥
th-cam.com/video/-ymxZzy2EEw/w-d-xo.html
@@familyc7917 Mwaka huu From Kenya
th-cam.com/video/WfQeX-ZQaPY/w-d-xo.html
Let go..
th-cam.com/video/e7tNN0Fz5zQ/w-d-xo.html
maew
Bonyeza na hapa uone hii 👇...
th-cam.com/video/Nwjf3aRNYPY/w-d-xo.html
KONDE GANG🔥AMEN. MUZIKI MZURI 👍🏿💪🏿GOOD MUSIC
Duuh Atari sana kaka
Nyimbo yamoto sana Konde Umesha tupiga za kichwa 😂😂🔥🔥
th-cam.com/video/TmulGNZyj98/w-d-xo.html rasoo
IF GOD SAY YES NOBODY CAN SAY NO#RESPECT GOD BLESS YOU FROM 254
I love the message
Congratulations kuna Mtøtø USA ujapiga wimbo yuu awezi kunwa uji ata kidogompaka tuusikilize Ndo ana tumiya uji we
We..love you..men...bado tunasubiri mazuri kutoka kwako...waonyeshe wakomae
Hakuna Mungu kama wewe JAHWEH,
Hajawahi na hatakuwa kuwa kamwe!
The Story changer…..
God of Miracles & Wonders !!!
Team gulf, Team fulus, Team strong let's gather here for our Konde boy song much love 💘from 🇰🇪🇰🇪
Nisubscribie to
th-cam.com/video/TmulGNZyj98/w-d-xo.html dasha
@@mwasmoverscomedy th-cam.com/video/TmulGNZyj98/w-d-xo.html
Umetisha sana Harmonize mpaka Watumishi wa MUNGU wanaipiga kanisani kwa Nabii mkuu Geordevi ongera kaka.
Tulichokua tukikisubiri ndo hichi sasa 🐘❤❤❤🔥🔥🔥🙏
Yaani ivo tuu "hakuna mungu kama wewe" tuned to amapiano...truely African truely talented truely konde gang
Huyu ni mwaka wangu Tu jah has already opened the doors for me my hustle is being blessed
Mwaka huu wangu Mungu nisaidie 🙏🏾
hii nyimbo siyoyashukrani niyamatumaini ingekuwa shukrani ingekuwa mwimbo wa MUNGU,lakini matumaini ya mkristo siyokatika vitu kwahiyo hii sinyimbo ya MUNGU niyadunia inavuta tamaa kwajina la MUNGU
When God Says "Yes" nobody can say "No"💪💪💪
🐐🔥🔥
Harmonize - Mwaka Wangu ( Official Music Video cover )
th-cam.com/video/QaLewyy2C2o/w-d-xo.html
Kazi zuri
Hongera konde boy
The Light of God imeeanza kukuzukia hermonize God is rill
sasa hivi utasikia huu wimbo umefungiwa...we subiri tuu.
This one is not for Konde gang only it's for everyone else ⛽⛽🔥💯 Big one. He is a PROFESSOR of music 🎼🎼🎼🎼
Mwaka huu From Kenya
th-cam.com/video/WfQeX-ZQaPY/w-d-xo.html
Kabisaa..
th-cam.com/video/e7tNN0Fz5zQ/w-d-xo.html
🔥🔥🔥🔥
Bonyeza na hapa uone hii 👇...
th-cam.com/video/Nwjf3aRNYPY/w-d-xo.html
Boom🔥🔥🔥
Jamani this is another jam from konde boy,tamu hadi kisogoni,ukiipenda nipe like
Mwaka huu ni wangu.. When GOD says YES nobody can say NO
Being on a new year I say mwaka huu ni wangu💃💃💃💃...pitieni na like wenye tuko hapa leo
Harmonize ilinipata shida kama yako, wakati nimefutwa kazi na mkenya mwenzangu nilimwambia bro riziki yangu huwezi funga na mungu amenipa kazi kubwa kuliko yake, na leo amenipigia simu nimpee kazi bro wake.
My Tanzanian choice for a reason! Kondeboy, the best as at now. No debate. From Kenya Mombasa, mob, love!
Hakuna Mungu Kama wewe Bwana....Mwaka huu nachanga changa nyumba za kukodi nimezichoka,...Mabasi pia Mungu nimeyachoka Nipe gari...Walosema hatupewi Tupe...baraka
Bro kali sana, ata mi huu mwaka ni wangu bro🙏🙏🙏🙏
KONDE GANG 4 EVERY BODY 💥💥💥💥💣💣💣
Harmonize Mwaka wangu reaction 💥👇🏾
th-cam.com/video/IoLBOsuBcWQ/w-d-xo.html
Kudadadekiiiiiii🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Oya mwanangu vanni reaction sasa
Umemuona Mzee wa mjegeje 🤣🤣🤣🙌
Fanya bro,, mm natoka Kenya huku
VAN ISIKAKA💥💥💥✌🏻
th-cam.com/video/TmulGNZyj98/w-d-xo.html van
Jeshiiii big up sanaa
Waliokuja baada ya mtumishi kusema WHEN GOD SAYS YES NO ONE CAN SAY NO konde mwaka wako huu
Sasa konde ndio amerudi kwa vibe yake... hii kitu ndio tulikuwa tunamiss... much love from +254 🇰🇪
African culture embraced 💯💯👏👏👏👏👏👏african attires👍👏💯❤
Harmonize Mwaka wangu reaction 💥👇🏾
th-cam.com/video/IoLBOsuBcWQ/w-d-xo.html
th-cam.com/video/J_jrSbVq1Vw/w-d-xo.html East Afro Remix
Nimerudi tena kwajili ya nabii mkuu
Representing Konde gang outta kisii 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Kama venye nilisema God timing is always perfect🙏🙏 i can't wait to watch this movie nikiwa 🇰🇪🦅 Oyaa 🔥🔥
Harmonize Mwaka wangu reaction 💥👇🏾
th-cam.com/video/IoLBOsuBcWQ/w-d-xo.html
Mwaka wangu pia,this what youths need in such difficult times .....we need hope 🇰🇪🇰🇪
I am from Kenya but naipenda sana kiswahili ya Tanzania,, Harmonize, u will remain the singer mwenye kiswahili sanifu na yenye haina matusi. U r the star
Harmonize God bless you bro umenifurahisha kwa kumkumbuka mungu napia umewapa moyo wale walio na maisha ya shini na kuvunjika moyo umewapa moyo kuwa mungu anaeza kuwainua wakawa na magari na maisha mazuri na wale wanadharauliwa kuwa mungu anaeza kuwainua so bro hii nyimbo ni baraka umeleta kutoka kwa mungu imefurahisha watu wengi kutoka kenya na tanzania