WAANZILISHI WA KWAYA YA BARABARA YA 13 ULYANKULU KWA VIUMBE VYOTE WAELEZA WALIVYDHRUMIWA NYIMBO ZAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @hakizimanaelie8916
    @hakizimanaelie8916 หลายเดือนก่อน

    Ndugu wapendwa Mwenyezi Mungu awabariki sana tungeomba muweze kuandaa vijana wengine waendeleze kazi nzuri sana muliyoyianza nyimbo zenu zote mulizitunga kwa ufasaha 9 /11/2024 Mungu awakumbuke kweli mulifanya kazi kubwa sana ❤❤❤

  • @EvangelisteMireilleMITAMBA
    @EvangelisteMireilleMITAMBA 12 วันที่ผ่านมา

    Mbarikiwe kwa kazi mumefanya, ila mapenzi ya Mungu ni kwamba injili ihubiriwe kwa urahisi. Tuki protect ao protéger kazi mulizozifanya munazuia injili. Tutoe bure na Mungu atawalipa.

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 6 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda mnoo nyimbo zenu zimenibariki saaana

  • @raymondbahati7626
    @raymondbahati7626 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo zao zina bariki

  • @isayahlesurwa307
    @isayahlesurwa307 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli mungu ni wa ajabu napenda sana nyimbo zenu.

  • @dennismogoi6843
    @dennismogoi6843 4 หลายเดือนก่อน

    Hapa kenya napenda nyimbo zenu, rudi uwanjani Tena ninasubiri.

  • @alexismuhoza3921
    @alexismuhoza3921 7 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana

  • @kimeusk
    @kimeusk 9 หลายเดือนก่อน +1

    Lovely ❤❤❤❤❤

  • @antonyndinga8890
    @antonyndinga8890 9 หลายเดือนก่อน

    Tunasikiliza sana myimbo zenu kwenye mitandao, inabidi mnufaike

  • @osmundmtavangu
    @osmundmtavangu 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mwandishi hukuandaa maswali vzr.Swali la kwanza ilitakiwa uulize kwaya ilianza mwaka gani? Pili ilitakiwa uulize walikusanyana vipi hadi kuunda kwaya Bora kabisa? Tatu mapato kidogo waliopata wameyatumia kufanya Nini? Nne hadi Sasa wangapi Bado wako hai?

  • @salarose5980
    @salarose5980 2 หลายเดือนก่อน

    duh natamani kuzipata kama hizo ,zilikua na upako sana

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw ปีที่แล้ว

    Mungu awawezeshe Kwa kila Jambo pia tafuteni watu media

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 25 วันที่ผ่านมา

    Huyo mama aimbe jamani.watunge nyimbo mpya

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sisis nibarua
    Wokovu ni lazima

  • @AsterNsengiyumva
    @AsterNsengiyumva 8 หลายเดือนก่อน +1

    Burundi turabumva cane ruyigi

  • @IrakozeReponse-mf2nk
    @IrakozeReponse-mf2nk 10 วันที่ผ่านมา

    Kumbe hawo wajama bado wapo Tzt? Mimi nilikuwa nadhani kwamba wapo Australia

  • @bensonjohn9633
    @bensonjohn9633 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuwapigania

    • @WelldanneSiwatu
      @WelldanneSiwatu ปีที่แล้ว

      Ninalomba numéro ya hawa wa ndugu,niko RDS

  • @anissawinasi2579
    @anissawinasi2579 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kusema Kweli Mungu awakumbuke zahidi nyimbo hizo nilihanza kusikia tokea nilipo kuwa mtoto wa miaka 5 mpaka sasa niko miaka 30 bado nyimbo hizo zinazidi kunibariki.
    Niko Canada nyimbo hizo zinanibariki Kweli Kweli Mungu asimame upande wao

  • @frankkinyaiya.8217
    @frankkinyaiya.8217 6 หลายเดือนก่อน

    Mwanamama Jovita Nyandu kazeeka MUNGU awalindee

  • @HermaniMugabe
    @HermaniMugabe 6 หลายเดือนก่อน

    Nami munipe namba hizi

  • @HermaniMugabe
    @HermaniMugabe 5 หลายเดือนก่อน

    Mutupe wimbo inayosema Nakama vilemusa alivyo inuwanyoka

  • @DAUDIMACHIMU
    @DAUDIMACHIMU 5 หลายเดือนก่อน

    hii ni kwaya ya TAIFA

  • @HermaniMugabe
    @HermaniMugabe 6 หลายเดือนก่อน

    Kwakotiwa nyimbo hizo kwasautihii

  • @happinesstesha7061
    @happinesstesha7061 5 หลายเดือนก่อน

    Watafuteni na wale wa mapigano ulyankulu jaman wapo wap

  • @mhenitv
    @mhenitv ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya Mr Edmund K Mukwiye

  • @HermaniMugabe
    @HermaniMugabe 9 หลายเดือนก่อน

    Mutup zamazenu

  • @erickmassanja4201
    @erickmassanja4201 หลายเดือนก่อน

    Muendesha kipindi. Huna weredi wa kazi yako! Umeanza Intereview vibaya huna maswali yenye Logic. Any way .Hongera kwaya Ulyankuru

  • @HermaniMugabe
    @HermaniMugabe 6 หลายเดือนก่อน

    Nipe wombo inayosema Nina ahadi Toka kwamungu Siku ikifika

  • @JamesMoshi-xz8zk
    @JamesMoshi-xz8zk 10 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba uwaoji na hawa mapigano ulyakulu

  • @Mwinatv-yb6lg
    @Mwinatv-yb6lg 9 หลายเดือนก่อน

    samahan naeza pata mawasilano ya hawa waimbaji

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw ปีที่แล้ว

    Mbona wanajulikana tu serikali inawajua

  • @HermaniMugabe
    @HermaniMugabe 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo huyo nfiyo ameimba

  • @HermaniMugabe
    @HermaniMugabe 6 หลายเดือนก่อน

    Hakujawayi nyimbo kamahizi tafazali mutupe zoto

  • @HermaniMugabe
    @HermaniMugabe 6 หลายเดือนก่อน

    Watupe nyimbo mupya tafazali

  • @HermaniMugabe
    @HermaniMugabe 6 หลายเดือนก่อน

    Mindizo nyimbo zinanifufuwa kiroho

  • @HermaniMugabe
    @HermaniMugabe 6 หลายเดือนก่อน

    Zawatuzaji

  • @WelldanneSiwatu
    @WelldanneSiwatu ปีที่แล้ว

    Ninaitaji numéro ya hawa wa ndugu,ya WhatsApp,niko RDC

  • @giftmusa6543
    @giftmusa6543 25 วันที่ผ่านมา

    Very poor presenter,poor introduction.

  • @osmundmtavangu
    @osmundmtavangu 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mwandishi hukuandaa maswali vzr.Swali la kwanza ilitakiwa uulize kwaya ilianza mwaka gani? Pili ilitakiwa uulize walikusanyana vipi hadi kuunda kwaya Bora kabisa? Tatu mapato kidogo waliopata wameyatumia kufanya Nini? Nne hadi Sasa wangapi Bado wako hai?