JINSI YA KUPIKA BIRINGANYA TAMU SANA YA NAZI/HOW TO COOK VEGETERIAN COCONUT EGGPLANT/EGGPLANT

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Jinsi ya kupika biringanya ya nazi
    MAHITAJI
    Biringanya
    Nazi
    Nyanya
    Kitunguu maji
    Karoti
    Kitunguu swaumu
    Hoho
    Hili pishi ni zuri sana kwa familia nzima, kila mtu ata enjoy ukipika biringanya hivi, unaweza kuzilia na wali au ugali au maandazi na chapati.Naomba msisahau ku like , comment below kama umejatibu pishi hili na uka lipenda. Asanteni sana
    For inquiries
    email:nikkipollo139@gmail.com
    instagram:missmasao

ความคิดเห็น •