Jinsi ya Kupika Rosti ya Biringanya| Learn to Cook Delicious Eggplant Stew in Minutes

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Hii ni Mboga nzuri sana kwa siku ambazo umechoka kula nyama.
    Mahitaji
    Biringanya 1 kubwa
    Tuil la nazi
    kitunguu maji
    karoti
    chumvi
    nyanya
    pilipili hoho
    tangawizi
    kitunguu saumu

ความคิดเห็น •