ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nshukuru sikuwa najua kupika mlenda, leo nmejaribu ni mtamu sana nahisi hata wako haunifikii❤❤❤
Mrenda my favourite 🤤🤤🤤
Nimependaa❤❤
Karibu
Wow had raha
asantee baby nashkuru sana nimejifunza ndio nataka kupika
Kwani huwezi pika Bila majani ya maboga?
Kongowea 🤝
Asante
Thanks
Maa Shaa Allah
Wow
Asante sana kwa receipt
Ss
Nimependa sanaaaaaaaaaaaaaa
SHUKRAAN sana
Mbona mm nimejaribu umekata haujatokea mlenda imekuwa tu kama mboga ya kawaida?
Ukueka maji mengi au ulichelewa kuukoroga ukianza kuchemka tu unaanza kuukoroga au labda hukukadiria bamia na majani
ulizidisha mboga majani, yani ukizidisha unakua kama mboga
Tamu
Ukiweka mafuta kuna shidaa
Mlenda hauwekwi mafuta
Wanasema majan ya maboga hauoshi ni kwel
Sio kweli
Wasukuma wengi awaoshi ndo maana ukila unakuwa na mchanga ni vizr kuosha
Kwel
Unaosha lkn hakikisha maji yamechemka vizuri Yani sana ili mlenda usikatike
Magadi husaidia nn kwa mlenda?
Majani ya maboga kulainika