KUPIKA MATEMBELE YA NAZI/sweet potato leaves with coconut cream
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- JINSI YA KUPIKA TEMBELE LA NAZI
Social Media
-Instagram @ikamalle
-Snapchat. @ika_malle
Email phenomenalika@gmail.com
VIDEO ZINGENE
-AINA 3 ZA WALI
• MCHELE MMOJA,MAPISHI M...
-WALI WA MAYAI
• WALI NA MBOGA ya MAYAI...
-BIRIYANI
• KUPIKA BIRIYANI//RAHIS...
-Ugali bamia na Dagaa wa kukaanga
• UGALI + DAGAA WA KUKAA...
-Ugali na mishkaki ya firigisi
• UGALI+MISHKAKI+MATEMBE...
Asante, ika
Tobaa 🙊 🙊 kwann tunatamanishana hiv jaman wengine tuliko hatujawahi kuona hata majan ya mchicha mungu saidia corona iishe nirud nchin mwang
Waooooow i like it..... nitajaribu kupika hivi namimi... ntalia na ugali.
Tembele na ugali,sijala cku nyingi..yummy😋😋
😋😋
Waoooh Mashallah
😋😋😋😋😋😋😋tamu sana iyo..
😋😋😋
I like it
asante. sana. upishi. mzuri
Mashallah c kwetu Kenya cdhani kama kunaiyo mbonga
Akuna ila tz iko,tembele mboga tamu sana
Matawi ya ngwaci? Viazi tamu leaves
Mpendwa hii inaota popote ni kuchúkua mbegu tu upande ndani ya wiki 2 au 4 unavuna tayari kwa kupika na kula
Mashallah napenda na ugali 👌
GOOD
My fav mboga kwa ugali😋😋😋
😋😋😋😋
Asante,tupikie samaki mapishi mbalimbali mpenzi
Yan naona naisi kura mh kazi nzur sistar
Asante
Yummy yummy
Mboga yangu napenda sana 👏🏽👏🏽
Yaaaaaani 😋😋😋
Yaaan umeniweza apo nakuja na ugali wangu wala usijalii
Naenda kujaribu hii sema badala ya nyanyachungu (sizipendi), nitatumia bamia nitarudi hapa na feedback😂😂
Ugali
Pish tamu sana
yummy
Ss watu wa visiwani kwa wali tu
wooh
Mm napenda kula na ugari
Kumbe Nazi na limao vinachanganywa jmn
Ndio ila inatangulia limao nazi maishoni ukiweka kwa pamoja nazi inakatika
Nyanya chungu ni ipi ama zile Mombasa twazijua kama tunguja
😋😋😋😋😋 tam Sanaa
Napendelea kula kwà wali wa nazi. Bila ya mchuzi
Naitwa mbugadiwani nikiwatanga duga napenda kuilana ugali
😋😋
Tembel zulisana
Naugali
Tembele kwa ugal😋
Yaaaa
Inavutia kiasi kwamba nalia na wali na ugali
Tembele kwa ugali yaan hadi mate yananitoka kwa uchu
Yaaaa
Naungali
😋😋😋
what is nyany chungu please
garden egg
😍😍😍😍😋😋😋😋😋😋
😋😋😋🤤🤤🤤🤤🤤💞
What is pilipil chungu in English
Egg plant
@@monalisamateke7264 Egg plant ni biringanya
Root tomatoes
African egg plant
Am just laughing at my ignorance yaani, i have lived with congolese and they make this,until i bumped into your video, i always thought matembele was a lingala word 😂(They use the same name) In my defence i grew up in central Kenya..
Pambe mim wali wanazi
Na ugali
😋😋😋
Ugari
😍😍😋😋😋
Hi. Nauliza matembele nini ama majanì ya nini??
Ni majani ya viazi vitamu
@@souvenirweber7169 shukran.. walahi hata sijuwi majani ya viazi zinaliwa hupikwa mboga😁😁
They don't look like the normal wide sweet potato leaves
ata mm nliona ivo but sasa wajua sweet potatoes iko na mbegu aina mingi ama vipi? @ika malle
it's actually not potato leaves, we don't eat potato leaves in tz ( to my knowledge)
@@nurathmbelwa6597 thank you for the information
Tembele na ugali
Yaaaaaaani