JINA LA BWANA LIHIMIDIWE (Official Video)- Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi DSM
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ส.ค. 2022
- Toka mawio ya jua hata machweo yake, jina la Bwana litukuzwe milele na milele.
Karibu kutazama wimbo huu wenye kumtukuza Mungu hata tukiwa katika hali ya kukata tamaa, lakini siku zote Mungu utukuzwa.
Wimbo: JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
Waimbaji: Mt. Secilia Makuburi
Mtunzi: A.J.Myonga
Audio: Holy Trinity Studios
Video: Studio iRis Pro.
Subscribe, like, comment and share - เพลง
Hongereni sana Wanakwaya kwa kazi hii nzuri. Wimbo mzuri sana. Audio ni nzuri, mmeimba vizuri, Video na creativity yake ni amazing. Mmeniongezea wimbo kwenye playlist yangu. Mungu awatunze.
Tunafurahi kusikia maoni haya kutoka kwako mtaalamu asante sana.🙏🙏🙏
Akutunze pia ndugu
Kumuweka nyumbani mwanamke aliye tasa 🔥🔥🔥
Kazi safi sana mbarikiwe
Mbarikiwe sana👏👏
So amazing go my kwaya goooo gooooo
Hongereni kwa kazi nzuri,mzidi kubarikiwa
Wimbo bora kila idara aise, ujumbe mzuri, Kumuweka nyumbani mwanamke aliye tasa
Waooh mbarikiwe Sana🙏
Naam!Ndiyo mawio ya jua💥💥🗯
Kaka ni yeye astahiliye kuhimidiwa na kusifiwa
Hata machweo yake, jina la Bwana litukuzwe. Asante kwa utunzi bora kabisa
Asanteni wanakwaya hakika ujumbe ni mzuri mno
Ubarikiwe 🙏
Kazi nzurii 🔥
Asante sana
Hongereni sana
Asante sana 🙏
KMSM 🔥🔥🔥🔥🔥 nawapenda Sana Watanzania
Hongereni sana kwa uimbaji safi, special request lyrics kindly
Jina la BWANA LIHIMIDIWE Milele na Milele BWANA WA MAJESHI ampaye heshima mwanamke tasa nakumpa furaha ya kuitwa Mama.....Yesu ni BWANA WA MABWANA NA MUNGU wa Miungu🙏🙏Alfa na Omegaaa
Hakika Bwana Mungu ni mkuu juu ya mataifa na utukufu wake ni juu ya mbingu. Ubarikiwe sana.🙏🙏🙏
Nimebarikiwa sana kwa kunifanya nishiriki japo kidogo tuu.... Mungu atukuzwe milele 🙏
kazi nzuri sana aisee pongezi kwenu wanakwaya lkn zimfikie mwalimuwenu na mtunzi wa wimbo huu kaupiga mwingi sana unagusa kila eneo yaaan
Like de creativity
🔥🔥🔥🔥
Waoooh kazi nzuri sana
Asante sana 🙏
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
tuko live wote na asante kwa wimbo mwuli tena sana
Asante sana 🙏
Saaaaaaaaf sana creativity nzur kweli it's perfect
Asante sana 🙏
Makuburi hoyee kwa kazi nzuri barikiwa sana
Amina, barikiwa pia...
@@emanuelkenedy8094 Amina
Asante sana 🙏
Huwa na'admire sana video zako
Enjoy...🙌🙌🙌
Asante sana🔥🔥🔥
Ongereniiiii Sana Mt ceciIlia
Asante sana
KAZI nzuri sana hongereni sana 🙏
Asante sana 🙏
Hongereni sana kwa shooting nzuri.
Asante sana
It's an amazing video. Toka Mawio ya Jua hata Machweo yake God is Great and Almighty!! Hongereni Wanamakuburi.
Asante sana 🙏
Mungu azidi kuwabariki,,
Amen
Hiyoooo....🎼🎼🎼🙌🙌🙌
Ndiyoooo
Jina la Bwana lihimidiwe milele💥💥💥💥💥
Amina mtumishi 🙏
Bonge la kazi hongera sana Secilia makuburi kwa kazi nzuri na ubunifu wa hali ya juu..... Myonga hongera naona kazi yako nzuri
Asante sana 🙏
Waooo, My lovely ch oir; hongereni sana !!!!
❤❤❤❤
Jina la Bwana lihimidiwe hongereni sana Wana Cecilia kwa wimbo mzuri
Asante sana 🙏
Waoooo🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri sana
Hongereni sana wana Secilia team nzima iliyohusika
Wabveja sana bhabha...🙌🙌🙌
Asante sana 🙏
Wapi Catherine Ngolowoka
Wapo Mama Mogela
This is creativity of highest order ... Big up
🙌🙌🙌
The long wait is over💥💥
😀😀😀😀😀 what a creative style
Viva KSM -Makuburi
Mbarikiwe sana kwa kazi ya kutukuka
Asante sana 🙏
Yaaani nimecheka kwa sauti siyo kwa surprise hiyo ya old school
Old school 😁🙌🙌🙌
♥️♥️♥️♥️♥️
❤🔥❤
Waiting ✋️
Hahahahhahaha
👏👏👏
Nawapenda mno ❤️
Tunakupenda pia
Tunakupenda pia❤❤❤
This is the hit song
Trust me
Kwani kujiunga Kwa kwaya yenu sh ngapi?
Mia moja tu 🤓🤓🤓
Si hela, ni BURE....kumtumikia Mungu ni wewe tu uamue, si kwa malipo...
Hakuna kiingilio kwenye utume, ukiitwa itika, karibu sana Kwaya ya Mtakatifu Secilia-Makuburi. Ratiba ya mazoezi ni: Jumatano, Ijumaa na Jumamosi saa 11:30 jioni, njoo TUMWIMBIE BWANA KATIKA ROHO NA KWELI ♥
Wow! Bonge la kichupa, hongereni sana KMSM, mmetupatia wimbo wa sifa kwa Mungu wetu
Asante sana 🙏
Ahsanteni kwaUtume Mungu aendelee kuwa tunza
💥💥
🔥🔥🔥
The long wait is finally over. Hit song 🔥🔥🔥
Enjoy 🔥🔥🔥
❤❤❤❤
Kama kuna nyimbo nilizowahi zipenda basii hii nyimbo inanikosha aseee na mara kumii saiv inanimalizia MB humu kwa simu
Pole 🤣🤣🤣
Mstari wangu bora “Toka mawio ya jua hata machweo yake jina la Bwana lihimidiwe milele na milele”. The song is so yummy ❤️❤️❤️❤️❤️
Enjoy ❤❤❤
It's awesome 🔥🔥 hongereni Sana, endeleeni kuieneza Injili Kwa tungo nzuri
Asante sana
This was worthy waiting... I love the enormous creativity in the video living aside the best quality of the audio... this is really wonderful ❤️
Thank you, welcome for more...🙌
Thanks so much. Enjoy the Music 🎶
Finally!😊
Enjoy 😊