Simba 2-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 20/08/2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Goli la Dejan Georgijevic dakika ya 81 na la Moses Phiri dakika ya 42 yametosha kuipa Simba ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    Hii ni mechi ya raundi ya pili kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague

ความคิดเห็น • 257

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว +24

    Mzungu katunyamazishia watu, like Zake tafadhali

  • @innocentmushi3036
    @innocentmushi3036 2 ปีที่แล้ว +13

    Mimi ni Yanga Damu. Ila sikufurahishwa kabisa na zile dhihaka na ubaguzi dhidi ya Dejan. Leo nimefurahia kuona kafunga.

  • @daddybenny
    @daddybenny 2 ปีที่แล้ว +7

    Hii game nimechek zaid ya mara moja youtube..inavutia sana..dondosha like kama na ww umekuwa ukirudia..na viewers ni wengi

  • @bensonbenezeth
    @bensonbenezeth 2 ปีที่แล้ว +7

    Mzungu movement zake nzuri, Sema ananyimwa mipira.

  • @gloryjohn6120
    @gloryjohn6120 2 ปีที่แล้ว +5

    Naipenda simba jamn 😍😍😍

  • @sirizawa3360
    @sirizawa3360 2 ปีที่แล้ว +4

    Tunaipeleka on trend number one nguvumoja💪💪💪

  • @Userog254
    @Userog254 2 ปีที่แล้ว +5

    Hii ndio Tim mboga 7 full mazagazaga yaani kila mchezaji mfungaji hatutegemei mtu mmoja
    Simba Unstoppable

  • @teddyhenry2579
    @teddyhenry2579 2 ปีที่แล้ว +6

    Mlete mzunguuuu simba damu damu ulaya katikati ya Dar🥰🥰🥰🥰

  • @maryjkiosa3380
    @maryjkiosa3380 2 ปีที่แล้ว +3

    Uyo mzungu inatakiwa avae namba 9 . Lete mzungu 🦁💪🙏🏻

  • @noelchambo6929
    @noelchambo6929 2 ปีที่แล้ว +3

    Leteee mzunguuuuu,, lete mzunguuuuu,,🦁🦁🦁💪💪🔥🔥🔥🔥 leo tumeupiga mwingi aseeee pongezi kwetuu wanamsimbaziiii,,🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪🦁🦁🦁🦁

  • @dorothylyimo5378
    @dorothylyimo5378 2 ปีที่แล้ว +5

    Chama chama na moses phiri na mzungu mungu awalinde tunaomba

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว +3

    Sema huyu Mzungu anayo touch nzuri sana

  • @markkayuni9775
    @markkayuni9775 2 ปีที่แล้ว +6

    Mzungu staa kuliko mchezaji yeyote kwenye ligi yetu nimeamin leo ananyotq ya kupendwq🇹🇿🇹🇿

  • @crazydaddy9217
    @crazydaddy9217 2 ปีที่แล้ว +6

    Simba kama itajengeka chemistry basi ni timu hatari sana sana sana
    Yaani hizi pasi zikikamatika na benzene ring basi inaweza ikasababisha watu kuchukia kukutana na simba

    • @camilomassao8971
      @camilomassao8971 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa bro, Koch’s aone ujumbe wako

  • @Trendzzzzzzz
    @Trendzzzzzzz 2 ปีที่แล้ว +3

    Professional football from Simba sports club.

  • @peras26Life
    @peras26Life 2 ปีที่แล้ว +3

    Lete mzunguu lete mzunguu❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥❤️

  • @zarinatv2024
    @zarinatv2024 2 ปีที่แล้ว +3

    Naipenda Simba yangu jaman yaan hadi napata utam kisimi kinasisimka uwiiii🙈🙈 #NguvuMoja🦁🦁🔥🔥🔥💪🏽💪🏽

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 2 ปีที่แล้ว

      😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Daaa

    • @amehassan8792
      @amehassan8792 2 ปีที่แล้ว

      Dah nakubal simba nguvu moja

    • @azanmohd9851
      @azanmohd9851 2 ปีที่แล้ว

      Kisimi chko kina simama kweli

    • @azanmohd9851
      @azanmohd9851 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kina si mama kinaa takaa nn

    • @azanmohd9851
      @azanmohd9851 2 ปีที่แล้ว

      Kinaa. Sisimkaaa kweli hicho kisimi chako ww

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 2 ปีที่แล้ว +8

    Sijafurahishwa na utupaji wa mabao ya wazi... Tunatakiwa tuwe clinical infront of goal.. hii mechi hata 7 tungepata kama wachezaji wetu wangemakinika mbele ya lango...

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว +3

    Simba ni wazuri na wameonyesha soka Kali sana ila wanakosa umakini katika umaliziaji na hii mara nyingi inawagharimu hata wakikutana na Yanga,,,,kwaujumla ilikuwa mechi nzuri sana Kwa maana hata Kagera wameonyesha soka Kali sana!

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi sanamzungu wetu wahoooo mlete mzungu mlete mzungu waooo

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante Dejan Sasa umetuamsha , Safi sanaaaa...

  • @victormollel7512
    @victormollel7512 2 ปีที่แล้ว +2

    Mlete mzungu 💓💓💓💓💓💕💕

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 2 ปีที่แล้ว +2

    Goli la lete mzungu 😋amazing sana…..

  • @YasintaPeter-y3p
    @YasintaPeter-y3p หลายเดือนก่อน

    Mzungu na fred Nan bola

  • @musamabura5200
    @musamabura5200 2 ปีที่แล้ว +1

    Dejan what a striker

  • @n.o.m4385
    @n.o.m4385 2 ปีที่แล้ว +7

    kipa wa Kagera sugar kawaokoa ila walikuw waoge magoli mengi leo

  • @deograsiagissamo407
    @deograsiagissamo407 ปีที่แล้ว

    Simba tamuuuu nyie 🦁🦁♥️

  • @mwljuliuskiwovele
    @mwljuliuskiwovele 2 ปีที่แล้ว +3

    Kwanza ile movement kibongobongo ni ngumu sana

  • @musalimukile6409
    @musalimukile6409 2 ปีที่แล้ว

    Wachezaji wa simba wanapendana sana hadi raha

  • @josephmlyahilu5666
    @josephmlyahilu5666 2 ปีที่แล้ว +1

    Good service, I enjoy to view you tube

  • @najmaally7556
    @najmaally7556 2 ปีที่แล้ว +2

    Ila hii game ya Leo nimefurahi sana yaani Simba penda sana ndani mzungu wetu Leo kawafunga midomo wale washamba hahahahahaha hatujamalizaaaaaaa🦁🦁🦁🦁❤️

  • @michutv9677
    @michutv9677 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimekua wakwanza na mzungu wetu hatujamalizaaaaa😂🦁🦁🦁

    • @hamadhamad257
      @hamadhamad257 2 ปีที่แล้ว

      Anatakiwa Inonga ampige pige Mayele nje ya boksi kubwa atatuumiza sana.

  • @celvinrobert7972
    @celvinrobert7972 2 ปีที่แล้ว +1

    What a goal

  • @aubreychuma5449
    @aubreychuma5449 2 ปีที่แล้ว +1

    Classic goal🇺🇸🇺🇸

  • @paolo4584
    @paolo4584 2 ปีที่แล้ว +1

    Huwa najiuliza kwann NBC Premier wanatumia beat za caf champions league wakati mpira ukitaka kuanza?

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 2 ปีที่แล้ว +4

    Lete mzungu ni lete mzungu tu Braza simba ni simba tu….endeleeni kumkebehi lete mzungu wetu ndiyo kwanza aaaa mnamtengenezea umaarufu.

  • @muahamedealiuazir4715
    @muahamedealiuazir4715 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzee baba anaonekana akichenza winger ndo atafaa zaidi maana sio kwa speed zile

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว +3

    Hao wachezaji wa kitanzania ndio hawaonyeshi kujituma wageni ndio wanajikaza na kuinogesha ligi ya Tanzania bara.

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 2 ปีที่แล้ว +6

    Sidhani kama Simba inamuhitaji Manzoki, natamani siku moja Mzungu apige namba 9 alafu Moses Phir namba 10, winga kushito Banda na winga Kulia Sakho. Chama na Kanoute kati na nyuma kama kawaida

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 ปีที่แล้ว +1

      Na ndiyo ilitakiwa namba zipangwe hivyo Dejan apige namba tisa zen Phiri apige namba kumi

    • @malleironworks4586
      @malleironworks4586 2 ปีที่แล้ว

      Simba inamuhitaji MANZOKI.. Angalia shot on target ngapi zimepatikana.. Dejan Ni mzuri Lakini sio mshap Kama Manzoki.. Wakisaidiana Simba itafunga kwa idadi kubwa ya magoli..

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว

      Hapo Okrah asikosee

  • @Bitlontravels555
    @Bitlontravels555 2 ปีที่แล้ว +4

    Ulaya ni ulaya tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hatariiii

  • @ibrahimally5868
    @ibrahimally5868 2 ปีที่แล้ว +1

    Ila chama daaah!, mamae

  • @elipendomayunga2898
    @elipendomayunga2898 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzungu aanzee mapema

  • @steve_tz
    @steve_tz ปีที่แล้ว +1

    Goli la Dejan Kila siku naliangalia

  • @teddymboya1437
    @teddymboya1437 2 ปีที่แล้ว +2

    simba tamu jamani

  • @joramgobness5281
    @joramgobness5281 2 ปีที่แล้ว

    It's 🔥🔥🔥🔥🔥 Simba 💪 moja

  • @emmanuelmanikulu7791
    @emmanuelmanikulu7791 2 ปีที่แล้ว +3

    Kwani wao wanasemaje huko anajua hyo ana baraaa hyooooooo

  • @nyaganyaga3876
    @nyaganyaga3876 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzungu angekosa na Hilo basi ningeomba yeye na sakho wakae benchi kidogo mechi Kama tatu hivi wajifunze. Beki ya kagera wamefanya makosa mengi washukuru kipa na bahati ya kutofungwa goli nyingi. Mdhungu naona anapenda mpira wa kukimbizana aangalie hii ni Africa atavujwa miguu... Mwenzake moloko hoi tayari....jamaa wanapita na zote. Ilikua game nzuri Sana kwa Simba

  • @saidbakari2408
    @saidbakari2408 2 ปีที่แล้ว +2

    Hatujamalizaaaaaaaaaa

  • @innocentpaschal981
    @innocentpaschal981 2 ปีที่แล้ว +6

    Tatizo wachezaji wetu tusiwe wabinafsi Yani mzungu anatoa pasi alafu anaiomba kwa mbele lakin unakuta jitu linakaa na mpira tu mguuni

    • @quantumcosmos7771
      @quantumcosmos7771 2 ปีที่แล้ว +1

      SAHIHI KABISA...NIMEBOREKASANA NA HUU UPUMBAVU...MZUNGU NI MSTAARABU SANA NAANACHEZA SOKA LA DARASANI LA KUTOKAA NA MPIRA ILA MIJITU KAMA VILE HAITAKI ASHAINI VILE..HOVYO SANA

    • @winfordmwangonda5375
      @winfordmwangonda5375 2 ปีที่แล้ว +1

      Uko sahihi kabisa ,ndio mpira wa kiafrika,Mzungu anagusa na kukimbia mbele,sisi mpira wetu ni show game ,mtu nataka kupiga chenga ambazo hazina faida

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 2 ปีที่แล้ว +1

      Hapo ndo huwa namkumbuka Luis ukiomba tu ishafika zamaani sana

  • @josephmlazier1391
    @josephmlazier1391 2 ปีที่แล้ว +1

    Phiri🔥🔥🔥

  • @Stevenkmjshick
    @Stevenkmjshick 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn leo wanakufa vibaya hawa😅😅

  • @mussahamisi1191
    @mussahamisi1191 2 ปีที่แล้ว +2

    Mleteee mzunguuuu 😂😂😂😂😂😂 katufuta machozi leo

  • @nassoroally8076
    @nassoroally8076 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzunguuuuuuu

  • @yohanamir1367
    @yohanamir1367 ปีที่แล้ว

    Nimekubali

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว +1

    Watangazaji wetu mna Mambo,,,,,,!!!

  • @leeabd9057
    @leeabd9057 2 ปีที่แล้ว +3

    Kinacho wauma sio kufunga goli tatizo hiyo shangilia yake watakoma mbona

  • @zanuraside5313
    @zanuraside5313 2 ปีที่แล้ว +4

    Nanyinyi wachezaji wa simba muwe mnampa pasi mzungu

  • @jafariabdallah7669
    @jafariabdallah7669 2 ปีที่แล้ว +4

    sakho leo katunyima magoli mengi sana alikosa utulivu alikua anapiga piga tu

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 2 ปีที่แล้ว

    Ohoooo asante thimba

  • @edwardngoye6235
    @edwardngoye6235 2 ปีที่แล้ว

    Simba tamuuu....!!

  • @adammohammed9131
    @adammohammed9131 2 ปีที่แล้ว +2

    Simba

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 2 ปีที่แล้ว

    Wao mzunguuuuu

  • @manchillahofficial7238
    @manchillahofficial7238 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimecheka Dance ya mzungu wetu😂

  • @niyongaboemmanuel1550
    @niyongaboemmanuel1550 2 ปีที่แล้ว +3

    Muzunguuuuuuuu uraya ni uraya 2

  • @Nyagaboytz
    @Nyagaboytz 2 ปีที่แล้ว +6

    Hii mech ni tamu Sana Kama wachezaji wangetulia wangemchapa mtu wiki

  • @captainabimelek140
    @captainabimelek140 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatujamalizaaaa

  • @gabrielemanuel985
    @gabrielemanuel985 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzungu yuko vizur ispokuwa asife moyo pila matunda liko pamoja nae.

    • @ibrahimuphilipo2873
      @ibrahimuphilipo2873 2 ปีที่แล้ว

      Daah hili Gori balaa,yaan wachezaji wawili chali.

  • @Bizzy176
    @Bizzy176 2 ปีที่แล้ว +5

    Hiyo pasi ya goli aliomba akanyimwa sema kipa alivyopach na ye hapo hapo akafanye yake uchoyo wa psi acheni Jamani timu yangu kuweni kitu kimoja

    • @bakarihatibu4587
      @bakarihatibu4587 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata mimi nineona
      Wanamnyima ushirikiano tu mzungu
      Hata kuna moja Sakho alikua ampe mzungu

    • @monicaalvin8209
      @monicaalvin8209 2 ปีที่แล้ว

      Nimejukiza pale mwenda alikuwa anapaswa nani😆😆😆

  • @armandonappa435
    @armandonappa435 2 ปีที่แล้ว +1

    Kagera sugar..
    Wamecheza
    Na simba kaitaba Bkoba utatoka salama
    Unaifahamu vzur kagera nkiwa kaitaba

  • @fettykilango2814
    @fettykilango2814 2 ปีที่แล้ว +2

    Triple c mr assist

  • @daddynamombas3898
    @daddynamombas3898 2 ปีที่แล้ว +1

    Simba wako vizuri, kocha apewe nafasi arekebishe wachezaji wake naiona semi final ya cafcl. Hii ligi muhimu kushinda ila nusu ya ligi ya mabingwa ndo muhimu sana.

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +7

    Jifunze hukmu za quran gusa picha yang mara 2 hapo kama hautojli

  • @salimuiddikipingu
    @salimuiddikipingu หลายเดือนก่อน

    Nani anamkubali mzungu

  • @elikanamyula1667
    @elikanamyula1667 2 ปีที่แล้ว +2

    Kanout kacheka leooo

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzungu umenifanya niongezeke kilo kwakweli kwa furaha

  • @brandsmedia4861
    @brandsmedia4861 2 ปีที่แล้ว +3

    Naona nimeonekana na Jezi ya Lete mzungu..😊, Sakho ajifunze kitu

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 ปีที่แล้ว

      Umeonekana wewe au imeonekana jezi?

  • @ezekielandirea868
    @ezekielandirea868 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzungu atawalaza wengi sana endapo2 atapewa nafasi ya kucheza na akipewa ushirikiano na wenzake

  • @butungo1
    @butungo1 2 ปีที่แล้ว +2

    Sakho, Isra Mwenda walikuwa wachoyo kwa nafasi ambazo kama wangetoa pasi kwa Dejan kungekuwa na magoli mengi

  • @gracendaji2857
    @gracendaji2857 2 ปีที่แล้ว +2

    Mlete mdhunguuu...😂😂😂🦁🦁🦁

  • @dicksoncyprian8259
    @dicksoncyprian8259 2 ปีที่แล้ว +3

    Okwa ni hatari,kocha hasimweke benchi

    • @triplea3463
      @triplea3463 2 ปีที่แล้ว

      Unataka akae nani bench chama au

  • @Msabi-cp7wy
    @Msabi-cp7wy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Djan nimchazaj sema tu bas

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzungu kawaziba midomo wote

  • @fredrickbwire840
    @fredrickbwire840 2 ปีที่แล้ว +3

    Duh! Simba ni matata

  • @mariamemanueli7429
    @mariamemanueli7429 2 ปีที่แล้ว +1

    ♥️♥️♥️♥️

  • @msabimarwa9994
    @msabimarwa9994 2 ปีที่แล้ว +2

    Simba nguvu

  • @majijamaneno5668
    @majijamaneno5668 2 ปีที่แล้ว +1

    Oyoooo

  • @Rugemalilatv1994
    @Rugemalilatv1994 2 ปีที่แล้ว +1

    Kipa wa kagera yuko vizuri sana aongeze ushapu pia mabeki inabid kujua mapungufu ya kipa wao mipira ya kutemwa akilala aamki haraka
    Aendelee kufanyia mazoezi

  • @damsonkelvin1215
    @damsonkelvin1215 2 ปีที่แล้ว +1

    Credit kwa mtangazaji kafanya poa sana

  • @levocatuspjohn8638
    @levocatuspjohn8638 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mzungu arudi😂😂😂😂😂

  • @user-yq2ts5dz7z
    @user-yq2ts5dz7z ปีที่แล้ว

    Simba oyeeeeeeee

  • @frenkifrenki4775
    @frenkifrenki4775 2 ปีที่แล้ว +4

    Uyu mzungu atauwa watu anaspidi atar

  • @michaelsukwa4371
    @michaelsukwa4371 2 ปีที่แล้ว

    Mzungu hatarii

  • @japhetmathew4153
    @japhetmathew4153 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥

  • @salvadormwamwaja1723
    @salvadormwamwaja1723 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzungu apewe ulinzi

  • @masigamire341
    @masigamire341 2 ปีที่แล้ว +3

    Mletee mzuguuuuuuu

  • @Damarry-FX
    @Damarry-FX 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuwa wa pili. Dejan ataua watu. Huyu jamaa mikimbio take ni mizuri mno. Sema wachezaji wakimjulia atafunga so chini ya magoli 10+

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 2 ปีที่แล้ว

      We nae mikimbio ukisema nipe maana yake

  • @emmanuelyjohn5181
    @emmanuelyjohn5181 2 ปีที่แล้ว

    Sherehe ya ndimi video

  • @ImaJackson-zk9vt
    @ImaJackson-zk9vt 2 หลายเดือนก่อน

    Tulikuwa wabaguzi hakupewa pass zur alipewa za lawama

  • @nicodemshello163
    @nicodemshello163 2 ปีที่แล้ว +4

    Sakho na chama vip mnakosa magoli ya wazi kabisa KWA nini mpjra unapokuja unganisha usianze kupiga chenga

  • @mussamgande2530
    @mussamgande2530 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilichokigundua watu weusi wanamnyima mzungu pasi hii itatugalimu Sana Kama wakiendelea nahuu ujinga mzungu anaomba hawampi pasi huu ni ushamba wakizamani Sana