Simba SC 3-0 Geita Gold | Highlights | NBC Premier League 17/08/2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ส.ค. 2022
  • Simba SC imeanza kwa kishindo msimu huu wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwa kuitandika Geita Gold FC mabao 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    magoli ya Simba kwenye mchezo huu yametoka kwa Augustine Okrah dakika ya 37, Moses Phiri dakika ya 61 na Clatous Chama kwa mkwaju wa penati dakika ya 82.
    Tazama highlights....
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 188

  • @Mr_Ben255
    @Mr_Ben255 ปีที่แล้ว +3

    Weka mambo mazuri🦁👍👍👍

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide ปีที่แล้ว +3

    Asanten azam tv kwa highlights ya haraka like this

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 ปีที่แล้ว +1

    Team inayojtambua siku zote haina mambo ya bahati nasibu 👑👑👑Simba nguvu moja

  • @xhadymxofe9480
    @xhadymxofe9480 ปีที่แล้ว +4

    Ndo kazi tumeanza😉😘😘😘😘👹👹

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 ปีที่แล้ว +1

    Simba nguvu moja Unstoppable

  • @untouchboymsafi1788
    @untouchboymsafi1788 ปีที่แล้ว +1

    Mnyama 🦁🇹🇿💪 home of trophies

  • @NyanzaMusaa
    @NyanzaMusaa 21 วันที่ผ่านมา

    Noma

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 ปีที่แล้ว +3

    Mm ni mwananchi Lakini mnavyomsakama mzungu sio sawa namwona atakaa sawa Sanaa mpaka mtaziba midomo yenu.

  • @esterjulius6505
    @esterjulius6505 ปีที่แล้ว +5

    Jana mmetufirahisha washabiki chama huyu chama mwamba wa Lusaka bila kumsahau Osman sacko mmeupiga mwingi sana. Ester Julius Mkoa SIMIYU wilaya bariadi

    • @erasmusleonidas6105
      @erasmusleonidas6105 ปีที่แล้ว

      Napapenda sana Simiyu bariadi nikiwa kagera ila ipo siku nitakuja tu

  • @billetz3621
    @billetz3621 ปีที่แล้ว +3

    First view 🥰🥰

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +1

    Hy tunaaza na Mungu, Bismillah

  • @injili90
    @injili90 ปีที่แล้ว +1

    Mlete mzungu simbaaa rahaaaa sana wanathimbaaaa😂😂🦁🦁nguvu moja

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 ปีที่แล้ว +2

    MWENDO MDUNDO
    SIMBAA NGUVU MOJA

  • @getaromatiko229
    @getaromatiko229 ปีที่แล้ว +1

    Safari imeanza vizuri!!!!!

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 ปีที่แล้ว +2

    Hii simba kuifunga ni kubahatisha tu

  • @esbdemmanuelnikola9127
    @esbdemmanuelnikola9127 ปีที่แล้ว +2

    Tuna omba dakika zionge zeeke sta mechi nzima Niko ZAMBIA 🇿🇲🇿🇲🙏🙌✌️

  • @gervasdamiano5213
    @gervasdamiano5213 ปีที่แล้ว +1

    Mnyamaa safi sanaaaaa

  • @bravin5971
    @bravin5971 ปีที่แล้ว +2

    Okrah anaipa simba speed ya kufanya mashambulizi

  • @sheheyusufusesiwa3668
    @sheheyusufusesiwa3668 ปีที่แล้ว

    Good service, and excuse for my mistake. Thank u

  • @justinloodolaitayo2781
    @justinloodolaitayo2781 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndiyo timu kamili ya Simba

  • @jacklinmasawe2697
    @jacklinmasawe2697 ปีที่แล้ว +2

    Mpeni mzungu Pasi nanyie SIMBA mnazingua

  • @deboramsafiri1939
    @deboramsafiri1939 ปีที่แล้ว +2

    Mzungu kafunga

  • @MudathiriMahr-df2wg
    @MudathiriMahr-df2wg ปีที่แล้ว +1

    Mzungu

  • @paulinafabiano4363
    @paulinafabiano4363 ปีที่แล้ว +1

    Naipenda simba jman mimi

  • @joshuabryson8044
    @joshuabryson8044 ปีที่แล้ว +2

    Chama kasababisha first goal,second goal la tatu akamaliza ubishi

  • @shamsabuku5544
    @shamsabuku5544 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo ndio simba wakubar wakatae

  • @nashrysimba4725
    @nashrysimba4725 ปีที่แล้ว

    This is simbaaaaaaa

  • @yusrathyriwa557
    @yusrathyriwa557 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndio simba bhana

  • @lama6310
    @lama6310 ปีที่แล้ว +4

    Mzungu jamani Kagusa mpira Mara Tatu😳🙆🏼‍♀️

    • @BigDreamsWorldwide
      @BigDreamsWorldwide ปีที่แล้ว

      UNATAKA SIMBA ISHINDE AU MZUNGU AFUNGE

    • @ggmaquatics4498
      @ggmaquatics4498 ปีที่แล้ว +1

      Anaingia mwishoni ndio maana akiingia kipindi cha kwanza tutaona kazi💯

    • @geraldpeter494
      @geraldpeter494 ปีที่แล้ว

      Mlete mthunguuu

    • @lama6310
      @lama6310 ปีที่แล้ว

      @@geraldpeter494 😂😂😂

    • @lama6310
      @lama6310 ปีที่แล้ว

      @@BigDreamsWorldwide tunataka Simba ishinde Ila kaletwa Simba ili kufunga

  • @allywaziri1997
    @allywaziri1997 ปีที่แล้ว +2

    mnyamaa

  • @NoorNoor-lm2bh
    @NoorNoor-lm2bh ปีที่แล้ว +2

    Tatizo wanamtenga san mzung yuko vizur tu mda anaingia ni ndog sanaa wange mwanza kwan kipind cha kwanz kisha tujue vuzur ila wanamfanyia sio ivyo

    • @zamoyonimaganya6282
      @zamoyonimaganya6282 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa umeongea ukwel tusimjaji mtu kwa dk 15 tu

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 ปีที่แล้ว

    This is Simba

  • @CharlesPaschal-i6y
    @CharlesPaschal-i6y 8 วันที่ผ่านมา

    Mkude xhikamooooo

  • @alkardomakoloka849
    @alkardomakoloka849 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndiyo Simba tunayoitaka

  • @gaudencehyera1475
    @gaudencehyera1475 ปีที่แล้ว +3

    Mwamba huwa anafanya kama mzaha watu wanakufa kiulaini kama Goli la Sakho alilowafunga Yanga. Mtateseka vuteni Subira Tunarudi hatujamaliza bado.

    • @alimbarouk1647
      @alimbarouk1647 ปีที่แล้ว

      Jipe moyo hhhhhh

    • @gaudencehyera1475
      @gaudencehyera1475 ปีที่แล้ว

      @@alimbarouk1647 KWANI WEWE MUNGU KWAMBA SIMBA HAIWEZI KUFIKIA MATARAJIO YAKE ETI KISA YANGA YAKO!

    • @gaudencehyera1475
      @gaudencehyera1475 ปีที่แล้ว

      @@alimbarouk1647 HATA LIVERPOOL WAMECHUKUA NGAO YA JAMII LAKINI MECHI MBILI WAPO WAPI?

  • @othmanjkamhanda4208
    @othmanjkamhanda4208 ปีที่แล้ว +1

    Asante Azam tv

  • @theodorahmchami4197
    @theodorahmchami4197 ปีที่แล้ว +1

    ♥️🦁

  • @eliudijustinyindi5939
    @eliudijustinyindi5939 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rebeccahemmed9013
    @rebeccahemmed9013 ปีที่แล้ว

    Wao

  • @hasanihamisi4597
    @hasanihamisi4597 ปีที่แล้ว +1

    Mzungu apewi pasi wanazingua

  • @suzypaul4559
    @suzypaul4559 ปีที่แล้ว

    ♥️♥️♥️💯

  • @ezekiellelyatz3231
    @ezekiellelyatz3231 ปีที่แล้ว

    Thanks doctor chama and our leader

  • @rammyabasi2921
    @rammyabasi2921 ปีที่แล้ว

    Unyama mwing🙏

  • @joelbusungu9194
    @joelbusungu9194 ปีที่แล้ว

    Simba dua

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 ปีที่แล้ว +1

    Penalty mngempa mzungu Ili kumuamsha morali...maana anacheza YOPE tu'..!

  • @maccospisikaliindustry1986
    @maccospisikaliindustry1986 ปีที่แล้ว +2

    Good 🙏🙏🙏🙏

  • @Anuarmustafa4128
    @Anuarmustafa4128 ปีที่แล้ว

    hii penati hapa imetokea wapi ?

  • @bakaryadam625
    @bakaryadam625 ปีที่แล้ว +1

    Ndotumeanza Ivyo

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 ปีที่แล้ว +2

    Jifunze hukmu za quran gusa picha yang mara 2 hapo kama hautojli

  • @saumsaid1966
    @saumsaid1966 ปีที่แล้ว +1

    tupo pamoja chama langu Simba Sport Club ila Maumivu ya juzi yalikuwa makali. muwe mnatufikiria na sie mashabiki

  • @Shijajohn5084
    @Shijajohn5084 ปีที่แล้ว

    Huyu kocha huyu nafkir hajui mpira wa sima vzur na hawajui wachezaji wa simba vzur kama anachezesha kiungo mkabaji mmoja kwa time ambayo ina wakabaji wazur😔. Anatakiwa abadilike haraka sana

  • @hamiselias5725
    @hamiselias5725 ปีที่แล้ว +2

    Naomba marafiki wa

  • @maryjkiosa3380
    @maryjkiosa3380 ปีที่แล้ว

    #nguvumoja🦁💪

  • @georgeburtontv6151
    @georgeburtontv6151 ปีที่แล้ว +1

    Uyoo mzungu ni cr7 wa simba kudadekiii

  • @jumaaally114
    @jumaaally114 ปีที่แล้ว +2

    mzungu wanamnyima pasi bwana

  • @jeremiajackson5282
    @jeremiajackson5282 ปีที่แล้ว

    Zimbaaaaaa

  • @hamidangitu227
    @hamidangitu227 ปีที่แล้ว +1

    Kwaiyo mzungu wanamuingiza uwanjani kwenda kutalii tu😅😅😅dhambi jamani

  • @nyamwagaonlinetv6445
    @nyamwagaonlinetv6445 ปีที่แล้ว +1

    Get

  • @kombozakaria8350
    @kombozakaria8350 ปีที่แล้ว +2

    Kagera sugar wanafata

  • @estangailo6307
    @estangailo6307 ปีที่แล้ว

    Chama ni chama kubwa

  • @josephfalaghamoja7800
    @josephfalaghamoja7800 ปีที่แล้ว +1

    Ikalia Pimpaaaaaaaa 😂😂😂😂

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kocha asije kuingia na huu mfumo wa kiungo mkabaji mmoja mbele ya kagera sugar. Atataga mayai.

    • @fj8317
      @fj8317 ปีที่แล้ว

      ukimiliki mpira unaweza

  • @erickclassic8017
    @erickclassic8017 ปีที่แล้ว +1

    Hatupoii🤪🤪🤪

  • @silmanofficial0133
    @silmanofficial0133 ปีที่แล้ว +1

    Azam mnafel wapi mbona hatuoni udambwidambwi hapa

  • @victorpaul3266
    @victorpaul3266 ปีที่แล้ว +1

    Mnachelewa kutoa highlights

  • @kandoyamitoyababeliministr9745
    @kandoyamitoyababeliministr9745 ปีที่แล้ว +1

    Kwa Nini wachezaji wa Tanzania wanatabia ya Kila mchezaji kusema na refari Hata kugusa ao kumsukuma ?

  • @agun_machine
    @agun_machine ปีที่แล้ว +3

    kumbe mzungu alifunga mpira ulivyokuwa umesimama🤒

    • @hoseasteven6241
      @hoseasteven6241 ปีที่แล้ว

      @@malleironworks4586 penalty inaadvantage?

    • @malleironworks4586
      @malleironworks4586 ปีที่แล้ว

      @@hoseasteven6241 Ukumbuke refa ndio mwenye maamuzi ya mwisho.. Nilichomaanisha hata Kama asingeweka penalty still mpira ungekuwa Ni advantage kwa Simba.. Neno advantage hutumika Kama refa anaona timu iliyochezewa faulo inaweza kuendelea na mpira unaoonesha kuwa na madhara kwa timu iliyocheza faulo..

  • @humphrelemaa7630
    @humphrelemaa7630 ปีที่แล้ว +1

    Tuko apa

  • @swedikiluvia9386
    @swedikiluvia9386 ปีที่แล้ว

    Alichofanya Mpole Kwa Outara Wachambuzi Hawajakizungumzia, Ila ni Muhimu Kukizungumza Kwa Maslahi Mapana ya Mchezaji Wetu Kinidham, na Timu ya Taifa, anaweza Ona yupo Sahihi Kwa Upande Wake Kwakuwa hajakosolewa Kinidham then atafanya hayahaya Kwenye Timu ya Taifa Kimazoea, Itatucost

  • @sultanmsoloni8635
    @sultanmsoloni8635 ปีที่แล้ว

    Kama kwa mkapa mmecheza ivi mkienda mikoani kazi mnayooooooo

  • @salumkasongo7507
    @salumkasongo7507 ปีที่แล้ว

    Lyanga anajiona staa

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzungu hawampi mipira ya maana akaonyesha uwezo wake?
    Mbona Kama Kuna kamgomo baridi?

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 ปีที่แล้ว

    Aliye nacho huongezewa

  • @YohanaDotto
    @YohanaDotto 10 หลายเดือนก่อน

    Videment

  • @nuhumohammed5307
    @nuhumohammed5307 ปีที่แล้ว

    Simba wa Vita jumamos alikua wap

  • @chakubutakamangila2274
    @chakubutakamangila2274 ปีที่แล้ว +1

    Japokuwa tumefunga lakini timu aijawa sawa sehemu ya katikati

  • @emmanuelsichone4681
    @emmanuelsichone4681 ปีที่แล้ว

    Azam mbona high lit mbov

  • @charlesseshaga3521
    @charlesseshaga3521 ปีที่แล้ว

    Yahga

  • @justinloodolaitayo2781
    @justinloodolaitayo2781 ปีที่แล้ว

    I want to put something to sako

  • @bonifacekomba7060
    @bonifacekomba7060 ปีที่แล้ว

    Tuache masihara okrah Ana mbio sana

  • @ahmadsaid4878
    @ahmadsaid4878 ปีที่แล้ว +1

    Kanoute dah 😂

  • @paulsamarini11
    @paulsamarini11 ปีที่แล้ว

    Ilichokfanya Simba ndo tunakihtaj

  • @maghanighanichali9519
    @maghanighanichali9519 ปีที่แล้ว

    Kumbe anacheza na jukwaa kama Inonga

  • @nuhajkikamba6281
    @nuhajkikamba6281 ปีที่แล้ว

    İ1

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 ปีที่แล้ว

    Kanoute hataki mazoea kamchapa Lyanga banzi la lips

  • @deobecksoni7275
    @deobecksoni7275 ปีที่แล้ว

    Mwanzo mzuriiiii

  • @rashidissa2540
    @rashidissa2540 ปีที่แล้ว +1

    Mlete mzungu

  • @hemedymsafiri6220
    @hemedymsafiri6220 ปีที่แล้ว

    Tuwachieni mchezaji wetu

  • @daddybenny
    @daddybenny ปีที่แล้ว +6

    Kama umeona mzungu akifunga weka like 🤣🤣

  • @gaudencehyera1475
    @gaudencehyera1475 ปีที่แล้ว

    Penati siyo goli Geita wamefungwa 2-0. Jana Yanga walipata Penati ya Mayele wameshinda 3-1Polisi.

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 ปีที่แล้ว

    Magoli ya penalt.... mmmh.

  • @saummohamedm435
    @saummohamedm435 ปีที่แล้ว

    Mbona wanacheza rafu sana simba filimbi nyingi zak

  • @ericklinus167
    @ericklinus167 ปีที่แล้ว +1

    huy mzung tumepigw

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว

    Mzungu waswahili wamempiga kipapai

  • @nyanungureti8102
    @nyanungureti8102 ปีที่แล้ว +2

    Manzuki

  • @barakajuma6915
    @barakajuma6915 ปีที่แล้ว +1

    Azamu Boresheni kamera ndg zanguni mweeeh picha resolution haina quality nzr Wakuu...

  • @benjamindenice53
    @benjamindenice53 ปีที่แล้ว +2

    Kipimo kizir cha simba ni Geita lkn siyo yanga

    • @zehrahaji1566
      @zehrahaji1566 ปีที่แล้ว

      Vipers anakupa hai🖐️

    • @EngJosh
      @EngJosh ปีที่แล้ว

      Tuliza kengere

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 ปีที่แล้ว +2

    Okrah aise ni mtu na nusu.

  • @JasmineRamadhani-fp3yi
    @JasmineRamadhani-fp3yi 2 หลายเดือนก่อน

    Mlete mdhungu

  • @emmanuelmakangula1475
    @emmanuelmakangula1475 ปีที่แล้ว

    iyo ndo simba mpy