DJ Geegee of Citizen TV Gospel Show Bambika made me know this song.Every Sunday during the show he must play this song.Ever since knowing the song whenever I play the song on TH-cam I listen to it more than once
Bahati ukizidi kushirikiana na watanzania you will be the bahati we kenyans want not the bahati wa 10 over 10 .swahili on point Maneno mazito on point Maneno ya maana on point God bless you
Sijui niseme Amen, hapana bwana leo co gosple ni flesple, yaan fleva na gosple vyote mbosso na Bahati, aise ninampango kuja nchini kwenu kukutembelea. kama ngoma umeielewa gonga like
This is a very good song , the vocals , arrangement, language, message , yaani mziki umeenda shule . Creativity ya hawa vijana jameni ... 2022 still a hit
I can feel it. Zile ngori si hupitia, Mbosso, Verse moto Sana. Bahati, hii verse Kali Sana, hapo pa kukazana kimziki napenda sana ni kama maisha yangu ndo unaongelea
Mboso please mtungie mama tee Wimbo arudi madale tushammiss mawifi zake💃💃👌👌Kaka bila Shaka safari hii afanyi mzaa Tena mbosoooo mrudishe mama teeee jomon
(kuna Mda naishiwa nguvu,,😢😢😢eeeeh mungu wangu lini langu fungu,,) Heavy word with heavy meaning this guy bahati ,,he is a God messenger Mbosso,my Tanzania favourite the passion he has in music,(naisi riziki yangu imepigwa pini)this is how we feel we are hustling the more we hustle the more the needs,big up guys love you from kenya
team bahati u have made us proud.keep it up. this are the type of songs you should be singing,love songs achia willypaul mana hana direction its either gospel or secular.
(HERE ARE THE SWAHILI LYRICS SUBTITLE WITH ENGLISH TRANSLATION ) . Yale yale ya ujana maji ya moto n’kaukurupukia (The same youth is like hot water I jumped on it) Leo hii wawili watoto wanaiangalia (Today two children look to me) Napambana sana na changamoto kuwatafutia (I struggle with challenges to provide for them) Nikikosa, mzazi mwenzangu anakuja moto (If I lack, my co-parent argues) Matusi kunishushia (Verbally insults me) Natumia nguvu kutafuta - jasho laloesha shati (I use energy to search - sweat drenches my shirt) . Chini nikiziba ufa, juu linang’oka bati (When I repair a crack on the floor, the roof leaks) Zile ngo ngo kwa ndugu jama (The knock knock to my friends) Zishaishanga mazima (mie) (Have completely stopped) Miondondo mlezi wa wana (I have no help as the children guardian) Lakini zali(zari?) sina (miee) (But I have no relief for myself) -------- Ama sauti yangu kwa mungu Baba, haisikiki? (Is it because my prayers to Father God are not heard?) Tuseme dua zangu mbingu ya saba, hazifiki? (Shall we say my prayers to the seventh heaven, do not arrive?) . Response: Futa chozi, futa (Wipe the tears, wipe them) . Usiulize nalia nini (Do not ask why I cry) Nahisi riziki yangu imepigwa pini (I feel like my provision have been stopped) Iyeee lele lelile le Mungu Baba nione (Father God, see me) Nikiwa kazini akili zote zipo nyumbani (When at work, all my attention is at home) Nikiwa nyumbani wakusalishe, sina amani (When at home they do not greet me(?), I have no peace) Nakazana sana, kimziki (I struggle with my music) Kweli napambana, kubahatisha riziki (Truly I struggle in trying for provision) Wanaomba mabaya wenye roho za choyo (They pray ill for me those with selfish hearts) Na ndugu zangu wakiwemo (My brothers included) Napata fupa mi kibogoyo, Mungu ameninyima meno (I get a bone, but I am toothless, God has withheld teeth for me) Nikitazama watoto wangu, inje ya ndoa wamezaliwa (When I look at my children, they were born out of wedlock) Kwenye imani ya dini yangu, wanasema nishakosea (In my religion’s faith, they say that I have sinned) . (Refrain) Ama sauti yangu kwa Mungu Baba (Is it because my voice to my Father God) Tuseme dua zangu mbingu ya saba, hazifiki? (Shall we say my prayers to the Seventh heaven do not arrive?) . Response: Futa chozi, futa (Wipe my tears, wipe them away) . Kuna muda naishiwa nguvu (There are times I lose strength) Elimu sina kichwa mbumbumbu (I have no education, my brain is empty) Naganga ganga njaa (I struggle with hunger) Mungu wangu lini langu fungu? (My Father, when do I receive my portion?)
dah!!! kwakweli mmeniweza nahisi hii nyimbo mmenitungia mm maana hakuna hata sehem moja isiyo nihusu mmenimwaga machozi kwakweli sidhani km kuna ngoma Kali zaidi ya hii masikioni mwangu dah!!! mboso&bahati mmejua kuniliza
I am here to represent Kenya, Kenyan Citizens and +254 Music. Unless we support our own artists, no one from outside will. Big up Baha #SupportToGrow #WeMakingStrides
''Ama sauti yangu kwa mungu babaaaaaaaaaa haisikikiiiiiiiiiii eeeeeeeeeeeeh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! tuseme dua zangu mbigu ya saba hazifikiiiiiiiiii eeeeeeeeeehh!!!!!!!! dah nice song.............
Best song, The melody and the message in it is so so awesome.Big ups to WCB and EMB record for the best song and may God bless you guys alot.....MBOSO always my favourite
2024 bado tuko hapa kwa bahati💪✌️
mbosso
2024
1 September 24
November 2024
bahati nakutafuta boss collabo bado tunakutaka Tz
Nipe likes za 254 kenya naikubali kazi ya producer shallzbaro na wasafi
wasafiiiiiiiiiiiiiiiiii
Bahati representing us well 🇰🇪🇰🇪. Nyimbo nzuri kabisa plus ikona na lyrics zenye maana..
Kama pia wewe unakubali like ❤
Bahati to the world ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
This is the bahati we missed...
Hapo mbeleni ulikua ushaanza kupotea but naona muelekeo mzuri sasa
DJ Geegee of Citizen TV Gospel Show Bambika made me know this song.Every Sunday during the show he must play this song.Ever since knowing the song whenever I play the song on TH-cam I listen to it more than once
Big up dogo wa kibiti kama unamkubali gonga likes twende sawa
bahati has the most beautiful eyes i have ever seen -so captivating
Team bahati,mpoo bahati daaah,wapy like xa kenya
Nyimbo yangu pendwa isiyo chuja 2024 bado tupo pamoja
Mziki huu hinakubalika sanaaaaaa mbosso Ni mkali goga likes Kama unamkubali mbosso wcb team
uwiiiii jmn WCB shikamooni ila ngomaaa Kali sanaaaa ila punguzeni kiki za kisengeeeee ,,,, wale wapenda kusoma comments km mimi shusha like ,,,,
+255 & +254 collaboration ni fire ,inspiring song kama umeikubali like hapo chini
Six years later, the song is now a reality 😢
I miss this bahati menh team 254
Nakubali hii....big up brothers.
#MukambaInternational was here
NIC
bro u can be there one day
🔥
Bahati ukizidi kushirikiana na watanzania you will be the bahati we kenyans want not the bahati wa 10 over 10 .swahili on point
Maneno mazito on point
Maneno ya maana on point
God bless you
tanzania ni talent weka like hapo chini kama umekubari kazi zao
ama sauti yangu kwa Mungu Baba haisikiki...
nahisi riziki yangu imepigwa pini....haya yananihusu mimi,kajua ya moyo wangu...
mashallah
East africa kama unamkubali mbosso khan na wcb kwa ujumla acha kubisha kijana anajua like nyingi kwake please🔥🔥🔥🔥
kichupa kikali
Nomaaaa Sanaaaa mbosso God bless you
@@petermshale5672 99999999999o999o9oooo99999
th-cam.com/video/AC8MNwt6_E8/w-d-xo.html
hapo bahati umenimaliza.. nilikua 78% perc fun but now am 100%, thanks also for raising our boy D Wonder, manze nimeskiza hii ngoma mara kumi, nomare
Leo hii wawili watoto wananiangalia/ nikikosa mzazi mwenzangu anakuja moto matusi kunishushia 😭😭😭 DAH !
buzzfeed TZ fala we
Mboso hii song, dah si mchezo jamani, inagusa maisha ya mtu kabisa.
Mbosssso yani kali tu....254 na 255 killing Africa.......woooow
Miss Dont Care nouma
Chikam
Hi
Sijui niseme Amen, hapana bwana leo co gosple ni flesple, yaan fleva na gosple vyote mbosso na Bahati, aise ninampango kuja nchini kwenu kukutembelea.
kama ngoma umeielewa gonga like
This is a very good song , the vocals , arrangement, language, message , yaani mziki umeenda shule . Creativity ya hawa vijana jameni ... 2022 still a hit
Piga kelele kama unaiangalia hii ngoma mara nyingi na weka like yako tukiwakilishe
All the way from New York City Mboso ume uwa baba let’s get some like
Diamond Platnumz Vevo FAKE
Diamond Platnumz Vevo Hapo Ukwl Uwepo, Mana Vita Haina Sare
Great
I can feel it. Zile ngori si hupitia, Mbosso, Verse moto Sana. Bahati, hii verse Kali Sana, hapo pa kukazana kimziki napenda sana ni kama maisha yangu ndo unaongelea
Am here for our beloved boy the African voice Mr mbosso. Yaani nakupenda sana wewe mtoto ❤❤💕💕👍
Mbosso kwa kila kolabo unaeka sauti inakua ni Hit asikuambie mtu Mwenyezi Mungu akuzidishie
Mbosso anajuwa wapi likes za Mbosso 🔥🔥🔥🔥🔥
We need another collaboration guys. Mbosso I just can't have enough of your music
Yaan ni first yangu kuiskiza hii ngoma and never heard such a blend of voices, Bahati x Mbosso 🔥🔥🔥💗💗💗❤️❤️💯💯💯 🇰🇪 x 🇹🇿 always ❤️ no matter what
Nawaelewa saan daah yaan mbosso nakukubali mpk nalia jinci unavyoimba kwa hisia
Tanzania 🇹🇿 + Kenya 🇰🇪 = Fire 🔥🔥 Gonga like Kama Mbosso na Bahati ni watu wako wakaribu 👍🏿
Waaaaaaaw mungu husikia maombi tuwe na imani... Wakati wa mungu ukifika hakuna wa kupinga,,,,. Nice song blessings
Kama unapendezwa na mbosso na bahati angusha apo like
Mamaeeee!!!! huyu msenge anajua
Wakenya mko wapi kama mmeikubalii hii ngoma gonga like hapa twende sawa
Ndaaaniii ndani
Mbovu mnaforce kuimba Kwanza huyo boya bahati simpendi
naww toa yakwako kali
Kwa niaba ya Cartels wote wa KUTANGA TANGA 🇰🇪 Ngependa ku approve this a a hit🔥
Brobox 👍👊
Brob ox
Nomaa
Brobox hahaaaa
Mboso please mtungie mama tee Wimbo arudi madale tushammiss mawifi zake💃💃👌👌Kaka bila Shaka safari hii afanyi mzaa Tena mbosoooo mrudishe mama teeee jomon
This song made me cry jamani😢!,,Angelic voices from our own brothers ❣💙...God will definitely wipes all our tears one day InshaAllah...
Lydia Salama , i am portugueses pager, gut i am crazy for this time of musicas, even whithout know what he says
He has done it already
Maratena vixy nimekubali hii kwa sana... Kazi bomba kweli!!!
Huyu bahati asajiliwe wcb tu maana naona anafit sana
Ramadhani Chilumba He already has his own recording label with 4 artists. The EMB Records.
Napeda sana bahati
Ramadhani Chilumba yuko ndani ndani ndaniiiiii....kabisaaaaaa🤣👍👊
that is not a problem ommy dimpoz has a record label with an artist and still he was signed to rockstar alikiba's label
He has his own EMB Records
Wcb for life kama wakubali gonga like yako hapa ..acha uvivu bhana kitu kizuri usifiwa💥💥😀💥😀💥😀💥😀
If you still watch this song weka like kwa hii colabo kalii🔥🔥
bado
(kuna Mda naishiwa nguvu,,😢😢😢eeeeh mungu wangu lini langu fungu,,)
Heavy word with heavy meaning this guy bahati ,,he is a God messenger
Mbosso,my Tanzania favourite the passion he has in music,(naisi riziki yangu imepigwa pini)this is how we feel we are hustling the more we hustle the more the needs,big up guys love you from kenya
team bahati u have made us proud.keep it up. this are the type of songs you should be singing,love songs achia willypaul
mana hana direction its either gospel or secular.
lyrics👌👌beats👌👌👌..nafuta chozi tu..ipo siku yaja
L’émotion que cette chanson dégage est énorme,la mélodie est impeccable.mbosso je t’aime depuis la R.D.Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Teambahati n teammboso...mko wapi....hii ni motoo
I am Ghanaian and i listen to this song 100 times a day. Yes i am addicted to ALL Mbosso songs
Just like me from Ghana
(HERE ARE THE SWAHILI LYRICS SUBTITLE WITH ENGLISH TRANSLATION )
.
Yale yale ya ujana maji ya moto n’kaukurupukia (The same youth is like hot water I jumped on it)
Leo hii wawili watoto wanaiangalia (Today two children look to me)
Napambana sana na changamoto kuwatafutia (I struggle with challenges to provide for them)
Nikikosa, mzazi mwenzangu anakuja moto (If I lack, my co-parent argues)
Matusi kunishushia (Verbally insults me)
Natumia nguvu kutafuta - jasho laloesha shati (I use energy to search - sweat drenches my shirt)
.
Chini nikiziba ufa, juu linang’oka bati (When I repair a crack on the floor, the roof leaks)
Zile ngo ngo kwa ndugu jama (The knock knock to my friends)
Zishaishanga mazima (mie) (Have completely stopped)
Miondondo mlezi wa wana (I have no help as the children guardian)
Lakini zali(zari?) sina (miee) (But I have no relief for myself)
--------
Ama sauti yangu kwa mungu Baba, haisikiki? (Is it because my prayers to Father God are not heard?)
Tuseme dua zangu mbingu ya saba, hazifiki? (Shall we say my prayers to the seventh heaven, do not arrive?)
.
Response: Futa chozi, futa (Wipe the tears, wipe them)
.
Usiulize nalia nini (Do not ask why I cry)
Nahisi riziki yangu imepigwa pini (I feel like my provision have been stopped)
Iyeee lele lelile le
Mungu Baba nione (Father God, see me)
Nikiwa kazini akili zote zipo nyumbani (When at work, all my attention is at home)
Nikiwa nyumbani wakusalishe, sina amani (When at home they do not greet me(?), I have no peace)
Nakazana sana, kimziki (I struggle with my music)
Kweli napambana, kubahatisha riziki (Truly I struggle in trying for provision)
Wanaomba mabaya wenye roho za choyo (They pray ill for me those with selfish hearts)
Na ndugu zangu wakiwemo (My brothers included)
Napata fupa mi kibogoyo, Mungu ameninyima meno (I get a bone, but I am toothless, God has withheld teeth for me)
Nikitazama watoto wangu, inje ya ndoa wamezaliwa (When I look at my children, they were born out of wedlock)
Kwenye imani ya dini yangu, wanasema nishakosea (In my religion’s faith, they say that I have sinned)
.
(Refrain)
Ama sauti yangu kwa Mungu Baba (Is it because my voice to my Father God)
Tuseme dua zangu mbingu ya saba, hazifiki? (Shall we say my prayers to the Seventh heaven do not arrive?)
.
Response: Futa chozi, futa (Wipe my tears, wipe them away)
.
Kuna muda naishiwa nguvu (There are times I lose strength)
Elimu sina kichwa mbumbumbu (I have no education, my brain is empty)
Naganga ganga njaa (I struggle with hunger)
Mungu wangu lini langu fungu? (My Father, when do I receive my portion?)
mohamedmohamed rreee
@@simp1eone thanks
Huyu bahati fundi nimemkubali
I really feel this song,,,bahati napenda huu mtindo very cool music
dah!!! kwakweli mmeniweza nahisi hii nyimbo mmenitungia mm maana hakuna hata sehem moja isiyo nihusu mmenimwaga machozi kwakweli sidhani km kuna ngoma Kali zaidi ya hii masikioni mwangu dah!!! mboso&bahati mmejua kuniliza
Wakenya onyesheni upendo
From Tiktok just to see our own Bahati😊❤
I am here to represent Kenya, Kenyan Citizens and +254 Music.
Unless we support our own artists, no one from outside will. Big up Baha
#SupportToGrow
#WeMakingStrides
Baba heaven's dumisha upendo na wa Tz 🇹🇿 utafika Mbali.... Mbosso wagwan tuu Sana voice zenu ziko Sawa
How come I never heard of such masterpiece
This is my third time repeating again and again
Bahati bahati bahati,,,,,,mbosso mbosso....nlijua tu huu si mchezo ...sichoki kusikilizaa hii ngoma kwa kweli
Nlikua natamani,itokee ,kumbe mungu anajua,salute both of them
Bahati umebakisha beka boy sasa
Tayari tumepokea collabo zako na aslay kisha mbosso..fanya bidii upate na beka basi
Mbosso nmekuelewa bro🤗🤗
Bahati peperusa bedera yetu ije kama una mkubali kijana wetu bahati ngoga like yako apo Kuonyesa upedo love you bahati
''Ama sauti yangu kwa mungu babaaaaaaaaaa haisikikiiiiiiiiiii eeeeeeeeeeeeh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! tuseme dua zangu mbigu ya saba hazifikiiiiiiiiii eeeeeeeeeehh!!!!!!!! dah nice song.............
Oyoooo... likes za Kenya🇰🇪 ni hapa wanangu👇
So knew this song but how didn't I know mbosso featured. Now I will have to listen 100+ times to make it up . Lots of love both yo
Binafsi nimeikubal hii ngoma kama na wew umeikubal gonga like yako hap
Good
mbosso keep it up you gonna do well
mbosso yupo juu mtuwangu
Kazi nzuri big up sana
Great
Mbosso hujawah kunidisapoint.....nakubali....umenishka hapa...kip gud music alive...#wajipangesana
Tanzanian + Kenyans = worldwide music,,,Kama na wewe umeiona hivo ,,,like pleaae
Jaman Mbosso ebu wahurumie Kwa vyuma duh kaz ni Motooooo me nakanya unapoacha nyayo!
Hadn't heard of this song before,,, I must say it's worth listening 💯
Mbosso mbosso kiukwel unajua mpaka unaboa, salute kwa kunipa furaha all da tym
Good chemistry mbosso n bahati big up.......
Wote wakali 👊
Kali sana dogo
hapo sawa, bahati×mbosso kazi safi,it's big tune.beat ndio nkama producer hakuifanyia haki.
Best song, The melody and the message in it is so so awesome.Big ups to WCB and EMB record for the best song and may God bless you guys alot.....MBOSO always my favourite
Great bahati.....you making progress
producer shallzbaro was here
kazi swadahta
Shallz Baro legend 🔥🔥💯
Shallz Baro hapa uliweza my nigga
Shallz Baro 😂😂when
Nakupenda mpk sijielewi mbosso wa africa😘😘😘...mziki mzuri👌..mashairi makali...unavaa usika vizuri...
wcb 4lfe ka unamkubali mbosso like zako 🔥🔥🔥
🔥
Hapo sawa kenya ft tanzania naona tuko majirani wazuri na wapenda mungu...nione likes za wasani hawa wazuri bahati en mbosso
U always perfect 👌 mboso nice ngoma jamaa
hey the song is mwaaaah damn penda this.....watu wa free wifi tuko wapi tukisema kalas ramadan😘😘😘😍
Nice song...message well executed, Bahati and Mbosso, one word for you.. INSPIRING!!!
Aiseee bahati natani sana Sikh nionane na wewe ilanaimani siku itafika bgp kenye kijana bora bgp BAHATI
Watu wa 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 gonga likes tuwakilishe
chriss cherry 👌💞
chriss cherry mambo nvutie wire. Plz cabowabo290@gmail.com
chriss cherry tukombele
chriss cherry mzr ww
chriss cherry kwel
sijui kiswahili niko USA lakini ii nyimbo ni nzuri inatibu yutiai na tyford uki isikiliza wcb ni 🔥
I love it ,well done you two
Ukiwa wcb Alf ukiwa aujui kuimba ww utakuwa wa ajbu pare kira m2 Fundi sana ongera simbaaaaaa from tz
Best up young bruhhh
Useni Kabwe. Upo zivur kajana
Ngoma Kali kabisa hakuna ubishi! Mbosso aliua kwa huu wimbo
From 254 Kenya 🇰🇪 show love
..
..
Gonga like Kama unakubali hii
machozi yananitoka tu,..eeeh song tamu "big up mbosso" nakubal sana
That`s my big brother, the long waited finaly it`s out, I`ve been waiting for this dear since utoke Kenya. May God expand your teritories.
duuuuh_mbosso_m2 mbaya xnaaa_beka na Aslay waltangulia2 wala hawajafka ila wew utafika brother godless you....
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇰🇪 Wcb ndio habari ya mjini 2018 ni moto. Kazi ju ya kazi 🔥🔥🔥🔥 👌💞👊
wakamba mpo .........gonga lyke tukisonga