Nimependa vitu vingi kwenye hii video lakini the best of all, Mbosso amebeba uhalisia wa hali ya juu, Ngoma iko soo emotional na yeye anaonekana soo emotuonal pia, Kaimba kwa hisia kubwa, Sema sijui walikupa nini au ulikumbuka nini mpaka ukatoa yale machozi maana ukiangalia vizuri umelia kweli, Yaani everything is good 👏, Video imepangiliwa vizuri pia , Hongera Mbosso 👏👏👏👏👏
nimeikubali kazi ya huyu kijana mwenzangu.....maulana akuzidishie na mengi katika kazi zako.. na pia maaadui na ndugu wako wengine wa yamoto band popote pale walipo
East Africa Kama mbosso Khan wa wcb wasafi hajawahi kukuanguasha kama ambavyo hajawahi kunianguasha mimi like hapa yaan huyu jamaa anajua sana achen ubishi jaman like nyingi please yaan bonge la video wasafi fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This is a song that make my tears roll down. I remember the Mbosso who had given up in music trying to prove to Diamond that he can truelly sing. This was Mbosso's first song @Wasafi. This will never get old. Akija Kenya taja tu mji na mimi ntakuwepo....
Team WCB unakuja vizur, lakini kaza sana, jitahidi uwe unatoa hit song.. Nadhan unaona rayvan, harmonize, platnumz wakiachia k2 inakuwaje. All the best
This song summarizes my life in 2024! I'll leave this here for people who will be alive by 2070 mjue men will always embarrass you😢mboso umeimba maisha yangu kwa huu wimbo😢na mkumbuke gachagua got impeached this year too😢
Najua kila mtu anamjua shark khan hua nimtalam wa love story. Nafikir mbasso pia nimtalam wa love story coz kupitia nyimbo yake unaweza uka generate concept on how to write a love story and always mbosso's songs is heart touch. Keep it up mbosso and show the world your talent For sure you're the best songs writer.
2023/and song is still fresh ooh my goodness it got a lot of intense ,its a masterpiece I tell you ,r.i.p mark zk last time we meet , he just played this song wee kumbe he was passing a goodbye message mungu na awe naye mbinguni
Aki dunia haina huruma kweli,just the other day my ex was singing this song to me.Eti akifa azikwe na picha yangu 😩😩 now his in the harms of another woman ,am left with nothing but his picture as i sing to this our favorite song back then.#silali baridi usiku natetemeka that's my message to him
Pia mimi siku nikifa nataka nizikwe na picha yake... Mbosso si wewe peke yako. Let's cry together...Alafu wenye wanatufanyia mimi na Mbosso ivi Mungu anawaona
So touching and emotional...still in pain of losing my lovely wife who left just with no reason and no bye bye...and went to Tz.....nauguza donda kuu moyoni...
Hee!! hee!! La la aah aaah Naishi naisha, hata sura inakosa nuru Napukutika, mnyonge mwoga mi kunguru Namridhisha na wa mwisho kwenye musururu Penzi la kujificha, mbele za watu haiko huru Sili nikashiba, mwanga ndani nje giza Kanipa ratiba, zamu yangu kila jumapili Moyoni mwiba, nahema kwa shida Penzi msiba, lina niliza mimi yeeh Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (Yee!le!Le!le!) Naimani nitakutana na yeye (Aaaah-aaa!aa!a) Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (yee!le!Le!le!) Naimani huko tutakuwa wenyewe (lalala) La la la la Woo wo wo La la la la Uuu uu uu u La la la la Iye iye iyee le le La la la la Silali baridi, usiku natetemeka Na mbaya zaidi, rafiki wananicheka Silali baridi ye ye, usiku natetemeka Mi najitahidi, ila siishi kusononeka Mmh eh Ona mawingu yamepambwa kwa rangi nzuri Sio mimi wala wewe, ni mungu mwenyewe Akaumba jua na mbingu, na mapenzi kama kivuli Tujifiche mi nawe, sa mbona unaniacha mwenyewe Wahenga walisha sema, ukipewa ukilema Unapewa na mwendo, ila kwangu si neema Yani sisimizi kumuua tembo Ooh chanda chema Limebaki neno Hakuna mapendo Nilipolenga nimedema Moyo umekosa malengo, mama oh oh Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (yee!le!Le!le) Naimani nitakutana na yeye (Aaaa!-aaa!aa!a) Siku nikifa, nizikwe na picha yake yeye (ee!le!Le!le) Naimani huko, tutakuwa wenyewe (Lalala) La la la la Woo wo wo La la la la Uuu uu uu u La la la la Iye iye iyee le le La la la la Silali baridi, usiku natetemeka Na mbaya zaidi, rafiki wananicheka Silali baridi ye ye, usiku natetemeka Mi najitahidi, ila siishi kusononeka Silali baridi (La la la la) Mi najitahidi (La la la l
Huu wimbo naupenda sana. Mola akufikishe mbali. Natamani watu wangependa "the beauty of someone's heart" maana tukisema mavazi ya hela nyingi na magari ya kifahari, vyeti vya chuo wengine hatuna. Ila upendo tulio nao kwa wale tunapenda "is more than riches" Nakupenda kaka. Mola akufikishe mbali.
WCB nyie ni wapuuzi sana yaani kila mnapo achia nyimbo zenu tunasahau za wengine tunaanza kusikiliza zenu hata story zenu zinatrend kuliko za wengine mmhh jamani mtauwa wenzenu bure
Dejong360 TV hahaaaa millardayo ana hali ngumu ,kaangalio waliopost Diamond SKU ya tuzo za sinema yetu wanaviews laki 4 yeye millardayo Ali mzungumzia Ommy dimpoz mpaka sasa ana views40k kudadek na bado atazd kufulia halafu taarfa ni kwamba Leo asubuhi clouds wamepga nymbo za WCB hii imethibitishwa ,hahaaaa wameona washaanza kufeli
Jamaa anapenda kweli kutetemeka,ila mpaka sasa nimegundua kitu katika wasafi wooote mtu mwenye tenzi nzuri na zinazovutia huyu dogo ni namba moja ana tungo nzuri sana na zinasikilizika nimemfatilia nyimbo zake zote huyu dogo yupo vizuri sana kwenye uandishi
Walai sauti yako yamtoa nyoka pangoni..I love all your song infact nimedownload zote. Can't get enough of all your song .If you are here again for this song like it please
i dont mean to be so off topic but does someone know a trick to log back into an Instagram account..? I stupidly lost the login password. I love any tips you can offer me.
Mboso hi kazi iko juuu sana na me nimeikubali sannnnnnaaaa songa mbele mdogo wg sisi tuko na we na me nitakusapoti kwa maneno yg kusapoti sio kwa hela tu kumsapoti mtu unamsapoti kwa hisia kwa fikra kwa dua kwa maneno mazuri kutoka moyoni so asante sana kwa kazi hii Maneno yako yanafanya tusipende tena
Kwa huu wimbo Mbosso alifungua roho yake yote.
Nani bado anasikiza hii track 2024
This song will live forever,no matter how many years 🎉2024 but sounds so sweet like yesterday...
I don't know why I shed tears anytime I come across this song 🥺🥺🥹...I really love this song❤
kwa hali hii bongo flavour ipo WCB,weka likes nying kwa mbosso
woo-hoo
Dah acha muitwe wasafi t bhana maana sio kwamdundo huu umetenda hak sana mbossocan wcb gonga like twende sawa
mbosso msanii bora wa muziki kwenye sayari nzima, nakupenda sana since the 2024🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Bongo Fleva safi ni ya Wasafi,Sisi kama Wakenya 🇰🇪 tutazidi kuwapa sifa kisa mnatuakilisha East Africa.#mziki mzuri.
.🔥 🔥
Raventon Reyes Pata Uhuru wa kifedha kwa Siku mpaka tsh 300,000+. WhatsApp me 0674116695, mkazi wa DAR ES SALAAM kwa maelezo na maelekezo zaidi.
tuwe na umoja east afrika
nikifa nizikwe na picha yake yeye.....Kali sana brw naskiza ndan ya +254 Kenya gonga like tu appreciate ma Brw...🔝🔝🔝🔝
th-cam.com/video/sy17CDcNoFk/w-d-xo.html
❤
Just some minutes to 2025 na nausikiza huu wimbo...Yani mi ndio mtu wa mwisho kuuskiza huu wimbo 2024 na wakwanza 2025 likes zangu jamani..
Nice one. Sasa ni bayana hakuna aliyekuwa anambeba mwenzake mgongoni Yamoto Band. Vijana wote wanne wanaweza kama solo artists.
innocent tawa true brother
Nimependa vitu vingi kwenye hii video lakini the best of all, Mbosso amebeba uhalisia wa hali ya juu, Ngoma iko soo emotional na yeye anaonekana soo emotuonal pia, Kaimba kwa hisia kubwa, Sema sijui walikupa nini au ulikumbuka nini mpaka ukatoa yale machozi maana ukiangalia vizuri umelia kweli, Yaani everything is good 👏, Video imepangiliwa vizuri pia , Hongera Mbosso 👏👏👏👏👏
Lakini pia na nyimbo inaliza hii kweli mbosso kajitidi sana2
That true
A
Kama una sikiliza Hu wimbo 2024weka likes hapa
oyoooo!!! haka kawimbo kamekonga moyo wangu mpaka machoz yamenitoka😭😭💟💟🔥
Emanuel K vanny II
hatari sana mtoto wakibiti kama nawewe unatamani ukifa uzikwe napicha ya #WCB gonga like hapa
inaniliza sana
Yani niko December 2024 mwaka unaisha na ameniwacha daa nimeelewa maana ya hi nyimbo 💔💔💔
Usijali utapata atakae kupenda
Natamani mpenzi wangu wa siri asikilize wimbo huu ajue jinsi gani nafeel much love mbosso........
Saw saw kamand
Huyu Ndo Tajiri Wa Huzuni Mbosso Khan Mshedede Kma umekubli gonga like twend sawa
Picha yake 😢😢 dah 2024 kama unasikili gonga like apa
Nko
😢😢😢😢
nimeikubali kazi ya huyu kijana mwenzangu.....maulana akuzidishie na mengi katika kazi zako.. na pia maaadui na ndugu wako wengine wa yamoto band popote pale walipo
daaaah
East Africa Kama mbosso Khan wa wcb wasafi hajawahi kukuanguasha kama ambavyo hajawahi kunianguasha mimi like hapa yaan huyu jamaa anajua sana achen ubishi jaman like nyingi please yaan bonge la video wasafi fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Maria Antony 🔥🔥🔥🔥
BONGO TOP10 TV 👏👏
Daa! Wangapi tunaitazama
Kwamwaka 2020
East Africa talent iko kusema ukweli. Bro you are talented, sio chocha. +254 in the house. Pita na like ka wamkubali Mbosso
This is a song that make my tears roll down. I remember the Mbosso who had given up in music trying to prove to Diamond that he can truelly sing. This was Mbosso's first song @Wasafi. This will never get old. Akija Kenya taja tu mji na mimi ntakuwepo....
I remember...I remember...
WaKenya wengine ni kama tulihamia Bongo. Love love Mbosso!
This was mbosso’s third song in Wasafi not first one….. first watakubali ,second Alele then this one
@@richardwest6771 research well
Two months to 2024 nipewe likes 😢
Remain days 22
10/2/2024 listening to this song 🎉🎉
@aishahassan1912 11 \2/2024
16/9/2024😢
@@MethodeSmith-e1g19/92024😢
Mbooso imba ... Imba Mbooso acha kulia 😆😆😅 ngoma kali W.C.B wamekupika kaka umeiva sasa tuachie vitu vya kikwely .. kama unamkubali Mbosoo nipe 👍👍👍👍👍👍👍
Banto Misango nakubal
Banto Misango shooshooo
Banto Misango
Banto Misango
L.p.
Banto Misango huyu anaweza sana
Dah Mbosso we fundi kinyama, hapo mwisho tumelia pamoja bro, naomba like za @Mondi kwa kumchukua huyu fundi.
Siku nikifa nizike na picha yake 😢 tunaoisikiliza 2024 tujuane kwa like
I'm here
Ahsant diamond kwa kuwasaidio vijana wenzako na Sisi tuko njiani Respect for Wcb and Africa
duuu
Naomba na mm siku nikifa nizikwe na picha yake maana huwa silali baridi usiku natetemeka. Bigup Mboso from WCB
nakubal xn ila sauti kam umekunywa kamunywesho
Ambae bado anachek hii ngoma 2023 gonga like tujuane
tupo
Tupooo
Yobra Todas..fika at all platforms
So emotional.....inaumiza upendo ulokithiri mbali na manyanyaso ila still anaomba akifa azikwe na picha yake..... salute to #WCBMALENGO
Tisha mnya gonga like
Team WCB unakuja vizur, lakini kaza sana, jitahidi uwe unatoa hit song.. Nadhan unaona rayvan, harmonize, platnumz wakiachia k2 inakuwaje. All the best
Hi
Aaah song kali sana
This song summarizes my life in 2024! I'll leave this here for people who will be alive by 2070 mjue men will always embarrass you😢mboso umeimba maisha yangu kwa huu wimbo😢na mkumbuke gachagua got impeached this year too😢
Najua kila mtu anamjua shark khan hua nimtalam wa love story.
Nafikir mbasso pia nimtalam wa love story coz kupitia nyimbo yake unaweza uka generate concept on how to write a love story and always mbosso's songs is heart touch.
Keep it up mbosso and show the world your talent
For sure you're the best songs writer.
Ukimsikiliza utahisi , mapenzi rahis
naanza kmuelewa mbosso aisee!! tuanza kuona uwepo wake pale wcb
michael jeremiah nce
Wimbo bora sana kwangu kutoka kwa Mbosso,uliua vibaya Mnooooo mwanangu
Mwenye akili kujiamini WCB For life Mboso Unajua kiungo mkabaji
huyu Dg atakua moto mbaya kama hali n hii jaman naomben like zenu kama mmekubal hii ngom
DALILI NA TIBA ZA MAGONJWA SUGU: th-cam.com/play/PLRMIRcpWDhty8QteCGsVIEDkg7Y9bVBZ8.html
Geofrey Dista we bosso wewe mpaka umenitoa amachozi
Geofrey Dista we bosso wewe mpaka umenitoa amachozi
Nani wako na mboso 2019???
Anavuma Africa mzima,,,from Kenya.
Naomba likes zenu jameni
Mboso anaimba vizuli
Mtoto wetu❤️
Kazi poa
Nc
💞💞👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Mimi ni wa kwanza kuwa na amri wewe ni sawa na bonyeza I like
me pia
القاسم Say ok
Nimeupenda wimbo wako bro mbosso wa picha yake
Mbosso khan Na kuku Bali kwa mapenzi
Great
Laaaaah!!! Laaaah laaaah! laaaaah Hapo ilipoanzia dakika ya 1:24 nimekumbuka mbaliiiiiiiiii sana. Oooh u wapi Jackline wangu..?
2023/and song is still fresh ooh my goodness it got a lot of intense ,its a masterpiece I tell you ,r.i.p mark zk last time we meet , he just played this song wee kumbe he was passing a goodbye message mungu na awe naye mbinguni
🤗🤗
@@dottokwindigili2534wq
Rip may the good Lord be with him 😢
Hii nyimbo inanyinyiga sana kwa moyo,@Mbosso ni mkali sana. Gonga like kama unakubaliana nami #WCB4life
Nakupenda bure mboso all the way from kenya 🇰🇪
Is true song
Akili the Brain 🧠 amenileta hapa ....Akili kweli ni Brain 2024
Mbosso kuna venye uko ligi yako msee big up...East Africa
heheee Charles nakucheki uku pia
Ben Kim hehe nawakilis bro
+charles Ndungu poa bro support good music
Safi for appreciation wajinaaa. East Africa ni wamoja. 👊
charles Ndungu i just can't get enough of this guy..Nampenda to bure.. +254 +491❤❤❤❤
Anaekubali mboso amepikwa akaiva...gonga like
nimekimbia hapa after kuona kwa comments ati huu wimbo uliimbiwa marehemu martha bt duuh!anywie r.i.p gal
Hey mazy hii wimbo ya vuma
,,🇹🇿🇸🇪🇸🇨🇸🇧🇷🇼🇷🇸🇵🇷🇵🇸🇷🇺🇵🇾🇵🇱🇳🇱🇳🇮🇳🇬
Cute
Naeza pata no ako
Mbosso nimkali sana una tisha bro gonga like apo kama una mkubali mbosso
DAWA ZA ASILI/TIBA ZA ASILI/: th-cam.com/play/PL_DSXHfkoymz_mON4Y4rJ7Tu9HulfT8W7.html
wcb hawajakosea kukusign ndugu yangu...unajua mpaka basi
Aki dunia haina huruma kweli,just the other day my ex was singing this song to me.Eti akifa azikwe na picha yangu 😩😩 now his in the harms of another woman ,am left with nothing but his picture as i sing to this our favorite song back then.#silali baridi usiku natetemeka that's my message to him
The same thing happened to me I really miss my late bf
So sorry about it
Njoeni kwangu
Pole sweet heart😍😍
Pole
Pia mimi siku nikifa nataka nizikwe na picha yake... Mbosso si wewe peke yako. Let's cry together...Alafu wenye wanatufanyia mimi na Mbosso ivi Mungu anawaona
Mkenya wa Kwanza hapa,Unyenyekevu wako kijana wajiuza..254. For Mbosso
charles Ndungu sa
charles Ndungu gk
charles Ndungu
charles Ndungu mboso
charles Ndungu
Mbosso all the way...kwa kweli nakupendanga Sana... Love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Safi sana mbosso kama unamkubali mbosso tiya comment yako apo chini
Nakubali san mbosso upo juu tu san yani wcb sichoki kuangalia ngoma zenu
So touching and emotional...still in pain of losing my lovely wife who left just with no reason and no bye bye...and went to Tz.....nauguza donda kuu moyoni...
😢
Pole sana bro stay strong may Allah bless you may you wife soul rest in peace Ameen
So sorry dear take heart 💔
Hatariiiiii
Woiii pole
yashanikuta haya ivi nawewe kumbe yamekukuta daah inauma sanaa, ngoma kali bro team mboso suport
Hatari sanaa mbosso keep it up broo...dondosha like kama umekubali hlo pini kushow love to him
Hee!! hee!!
La la aah aaah
Naishi naisha, hata sura inakosa nuru
Napukutika, mnyonge mwoga mi kunguru
Namridhisha na wa mwisho kwenye musururu
Penzi la kujificha, mbele za watu haiko huru
Sili nikashiba, mwanga ndani nje giza
Kanipa ratiba, zamu yangu kila jumapili
Moyoni mwiba, nahema kwa shida
Penzi msiba, lina niliza mimi yeeh
Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (Yee!le!Le!le!)
Naimani nitakutana na yeye (Aaaah-aaa!aa!a)
Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (yee!le!Le!le!)
Naimani huko tutakuwa wenyewe (lalala)
La la la la
Woo wo wo
La la la la
Uuu uu uu u
La la la la
Iye iye iyee le le
La la la la
Silali baridi, usiku natetemeka
Na mbaya zaidi, rafiki wananicheka
Silali baridi ye ye, usiku natetemeka
Mi najitahidi, ila siishi kusononeka
Mmh eh
Ona mawingu yamepambwa kwa rangi nzuri
Sio mimi wala wewe, ni mungu mwenyewe
Akaumba jua na mbingu, na mapenzi kama kivuli
Tujifiche mi nawe, sa mbona unaniacha mwenyewe
Wahenga walisha sema, ukipewa ukilema
Unapewa na mwendo, ila kwangu si neema
Yani sisimizi kumuua tembo
Ooh chanda chema
Limebaki neno
Hakuna mapendo
Nilipolenga nimedema
Moyo umekosa malengo, mama oh oh
Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (yee!le!Le!le)
Naimani nitakutana na yeye (Aaaa!-aaa!aa!a)
Siku nikifa, nizikwe na picha yake yeye (ee!le!Le!le)
Naimani huko, tutakuwa wenyewe (Lalala)
La la la la
Woo wo wo
La la la la
Uuu uu uu u
La la la la
Iye iye iyee le le
La la la la
Silali baridi, usiku natetemeka
Na mbaya zaidi, rafiki wananicheka
Silali baridi ye ye, usiku natetemeka
Mi najitahidi, ila siishi kusononeka
Silali baridi (La la la la)
Mi najitahidi (La la la l
Kama wewe ni kod +258 Mozambique na unawakubali wcb na kijana mboso gonga like
Hii ngoma imenifanya nikae juu ya Tv nimuangalie mke wangu
umetisha broooooooo
hahahaaaA
Dah!!! Hatari sana
David Wambura hahaaaa
daaah bro umenifurahishasana na coment yako wimbo umekuchoma had umegeuza tv kiti sio
Nani bado unausikiliza huu wimbo 2023? tujuane hapa
daaaah!nimeamini unakipaji mbosso,nice video 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
+254 tumepata favorite yetu...mbosso to the world
Wapi like za wanaocheki hili goma August- September 2024
Nipo apa 3 october
The ending though. So emotional.. Wangapi wanamkubali mbosso😍
Wendy Mutembei
Ok
sasa WCB nichague nan hasa awe my most favourite hili jib n gumu #wangap wanaliona hili?????
yuda SYC WCB zote mashine
noma sana Mzee baba
yuda SYC kweli maana whatever diamond pick turn into gold
Wow mbosso this song is touching my hat..even making me cry
Huu wimbo naupenda sana. Mola akufikishe mbali. Natamani watu wangependa "the beauty of someone's heart" maana tukisema mavazi ya hela nyingi na magari ya kifahari, vyeti vya chuo wengine hatuna. Ila upendo tulio nao kwa wale tunapenda "is more than riches" Nakupenda kaka. Mola akufikishe mbali.
Haka kamwimbo kamenikumbuxha mbali nikuwa nmegombn na mpenz wangu akinitumia wimb huu wasapuu dah nijikut natoa mchoz
😢😢😢😢am crying.. Nice one Mbosso 254 love🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍😍
Wasafi kweli mnaua wengine kweli Kutrend ndio zenu napongeza jinsi mnajituma sana kukiimarisha E.AFRICA kupepea MBOSSO BIG THUMB BRO
Huyu mtt anatisha daah Hana nyimbo mbaya halafu nyimbo zake anaghani au madrasa ananifurahisha sana yuko vzr
WCB nyie ni wapuuzi sana yaani kila mnapo achia nyimbo zenu tunasahau za wengine tunaanza kusikiliza zenu hata story zenu zinatrend kuliko za wengine mmhh jamani mtauwa wenzenu bure
hahahahahhhhhhh ni shida
Hahaha broo waache wanao jidai kuubania #WCB wakati ndo kila kituuu #MILLARD AYO ALIKUWA ANZama sana kweny trend kisa #WCB saiv haha anapumuria mashine
Dejong360 TV hahaaaa millardayo ana hali ngumu ,kaangalio waliopost Diamond SKU ya tuzo za sinema yetu wanaviews laki 4 yeye millardayo Ali mzungumzia Ommy dimpoz mpaka sasa ana views40k kudadek na bado atazd kufulia halafu taarfa ni kwamba Leo asubuhi clouds wamepga nymbo za WCB hii imethibitishwa ,hahaaaa wameona washaanza kufeli
safiiiiiiiiiiiiiiii
Masen Kaitaba o
Kama umemuelewa mbosso fanya kulike...
Nani hutunga nyimbo hizi Mbosso huimba? Kijana mdogo busara komavu kishenzi jamaa👑👑👑👑👑
Yeye tu... hufanya zote
Wee mboso ndo nini kuniliza hukuu aiii melia duuuh big up brother
Wallah huu wimbo umenitoa machozi sana.... Nimekumbuka matukio yangu ya kuhuzunisha ktk maisha
Hii ndio ndio nyimbo yangu pendwa toka kwako
Ndio ilinifanya niwe shabiki yako 🔥🔥🤝
😭😭
Dah,, nawapenda xan WCB,, HEXHMA KWENU aixe
Mi staki tena jamani #WasafiTumezidi khaaa mbona tunabalaaa ivi??🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Eddie 255 mpaka waombe pooo mana bongoflavour ni ya WCB ,Diamond alkabiwa funguo zote sjui wengne wataimba nn
Hosea Nobocka Hatari sana mzee baba yan co poa!na hivi tuna 📺 ndo tunaziachia tuuuuuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥pamoja sana mzazi
Eddie 255 ww noma sasa nani mkali sasa kati ww na boss wako
Jamaa anapenda kweli kutetemeka,ila mpaka sasa nimegundua kitu katika wasafi wooote mtu mwenye tenzi nzuri na zinazovutia huyu dogo ni namba moja ana tungo nzuri sana na zinasikilizika nimemfatilia nyimbo zake zote huyu dogo yupo vizuri sana kwenye uandishi
Mbosso shujaaa watching much lov from Kenya 🇰🇪
I had to comment. Mbosso you so emotional. But I love you. Makes the song so real.. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
The song touched almost everybody 😢😢😢😢😢😢
Am here after Martha's death... Pole sana Mbosso,mpende mtoto ulivyompenda mamae...pole bro
heh jameni WCB nyiye hatari kama mna madawa vile yani kila pin kali. Big up Mbosso umeipatiya sana ila ndo kawaida yenu WCB
Huu wimbo hunifanya nianze kumbuka my girlfriend who died 3 years back and still am feeling that pain
Sorry sorry about your loss, my condolences, hope God gave you the strength to move on.
Walai sauti yako yamtoa nyoka pangoni..I love all your song infact nimedownload zote. Can't get enough of all your song .If you are here again for this song like it please
Please help me download wht app will i use
2021 and can't stop listening to this song. Mbosso u are a good songwriter.
Hope siko solo hapa.
Best indeed my favourite artist
i dont mean to be so off topic but does someone know a trick to log back into an Instagram account..?
I stupidly lost the login password. I love any tips you can offer me.
Is this mbooso or simbaa
@@kerubosteve8710 that's mbosso
KCKXQ1LLSJ 9EYPTO
DLDJKLSLLP
Nami nikifaa nizikwe na picha la baba yangu. Yani nilikupenda baba sijuwi niseme vipi 🥺🥺
@Mbosso is without doubt one of the most romantic artists in East Africa. I can listen to his songs even when I don't want to listen to any song.
My favorite.... Love from Kenya 🇰🇪
nipo karibu sana
Min messi
Mbosso hapa ulinimaliza nikiskiza lazma ni mwage machozi for my Big Bro.😭😭😭Fly with angles BROTHER💖❤💖❤🧚♂️🧚♂️🧚♀️🧚💖💖💖❤
Siku nikifa nizikwe na picha yake mwenyewe; ; from Kenya ; an amazing hit and really love it
mbosso khan wewe ni 💣💣🔥🔥🔥🔥team #WCB like za mbosso hapa
Nic ine mbosso
Mbosso khan naomba hiii kazi irudiee tena kuna vitu utaona ww meenyewe mana hata kimauvo utazidi kupata makubwa sana
Nikifa nizikwe na picha yake,mbosso I love all yo songs all de way frm zambia my Burundi man made me to love yo songs (Tamba,Tamu en hodari)
Mboso hi kazi iko juuu sana na me nimeikubali sannnnnnaaaa songa mbele mdogo wg sisi tuko na we na me nitakusapoti kwa maneno yg kusapoti sio kwa hela tu kumsapoti mtu unamsapoti kwa hisia kwa fikra kwa dua kwa maneno mazuri kutoka moyoni so asante sana kwa kazi hii
Maneno yako yanafanya tusipende tena
nyimbo nzuri sana
Bcoz umeimba bebii wa bebii tutasukuma hii song yako hadi ifike 1 million.anything good for bebii wa bebii is 🔥🔥🔥
Dogo anaimba kwa hisia kali sana na sauti isiyo kifani,
Hakika muziki wake unapendeza na kama unamkubali like hapaaaa
LUMULI MAKALA jamaan mie huu wimbo unanikoxha xn
LUMULI TV Just Watch! Mamb
@@gracenoah2419 çzß
Daaah mboso kaka umeimba kwa hisia mnoo kwema kaka
Dogo anajua has got metallic voice bravo