Hii nyimbo iacheni kama ilivyo..kila niunapohisi nataka kuota mbawa na kujisifu huwa narudi hapa kujikumbusha mm si kitu mbele za Mungu basi huwa nabaki humble🔥🙏
"Niwe kama Peter kumkana Yesu mara tatu nikumbushe.. Niwe kama Jona kukataa kutumwa Nineveh nikumbushe"... Deep words right there. #RealMusic #TrueGospel
Mary nyambu si huyu wimbo ni lit tu saaaana hata baada ya miaka tano Bahati na Revanny kudos en u release another lit song like "Nikumbushe" HEKO HEKO HEKO HEKO SANA TUUUU!!!! this is 18th December 2022 bblessed Amen Amen Amen
Anyone reading this may GOD bless you protect you and your family to🙏🙏🙏 nani ako hapa afarter bahati kuhamia huko hop mnaerewa🤣🤣😂😂🙌🙌🙌pita na like please ata tano ni tashukuru
"niwe kama peter kumkana yesu mara tatu nikumbushe, niwe kama Jonah kukataa kutumwa nineve nikumbukshe"The message in this song 🙌🙌🙌 good job bahati and Rayvanny...
Message ya Wimbo huu ni kubwa sana na ukisikiliza kwa makini basi itakujenga na kugundua umaarufu wako uko mikononi mwa watu , hivyo basi waheshimu ili udumu zaidi.
"Leo nyota imengaa, nasahau nilikotoka, Naidharau mitaa,na mateso niliyosota, Ndugu zangu kinyaa,mafukara wananichosha, Niache wafe na njaa,Nijisifu nitawanyosha, Sili Kwetu Kisumu Bondo, chakula haina Swaga, Sitaki kula chapo dondo,Nataka Pizza na Burger, Uniepushe Maulana,Nisiishie njiani, Unikumbushe ya jana,kesho unipe thamani, Kwenye maisha ya muziki,Ukiwa na Upendo utaishi, Timu hazijengi urafiki,tusijekuuwana kwa kugombania viti, Eti nimuwache mama kwenye dhiki,kisa mambo yangu yametiki, Akipiga simu sishiki,nikipokea nimuone kama shabiki." RayVanny
This song asks us to be humble no matter how blessed we become. You need that one friend who will always keep you in check incase you start getting prideful. "Nikumbushe"
extremely true wewngi huasha mama kwenye dhiki kisa mambo kwao mabo yamekuwa sawa mungu niepushe mih pia nipe dhamani mora rayvanny yawa wasafiwakali sauti nayo uuuui
Oh how I wish I could speak Swahili, so i don't have to use google translation often. Such a beautiful song, a job well done Bahati & Rayvanny. Your number one Australian fan.
Umoja ni nguvu.Watazania na Wakenya, wakishikana na waungane hivi,tutawashinda hawa W.Africa. Wimbo mzuri sana.Kazi nzuri Bahati na Rayvanny . sisi ambao tuko mbali na home,uwa twaskiza nyimbo za East Africa sana especially Bongo flava coz ni zote za mpaka za Kenya ziko ndani. I must admit that,sisi wa East Africa,Mwenyenzi Mungu ametubariki na mambo mengi e.g, Sauti nzuri,Urembo wa kupita nchi zengine, nchi nzuri yani,Paradise. etc.So tujivunie kuwa wa East Africa.
I love this song. Rayvany is my favorite African artist and this is one of my favorite songs by him. Poweful message delivered by powerful vocals. ❤❤❤❤
Best East African Collabo, before uvuke border kutafuta deal za majuu, malizana na African artistes kwanza. African collabos are much better than with any out-of-africa artistes. Btw, I commented before watching this video, bye Imma gonna holla at ya!
Salim Salim yeah 1 thing I like about him he Neva forgets where he came frm or look down on other guys who r down lyk some celeb we see big up bahati lazima tukukumbushe
As this song plays through, I feel the need to hire someone whose role will be to whisper to my ears and remind me that I am just human despite the praises I receive. #TeamYesChills
bahati am empty of words to express the love I have for this song congratulation so much continue with that spirit God is with you together with your time
Hi kwa wenye tuko hapa 2024
am here
Hi
@@marywangui90521❤❤❤❤
Here I am
👋
Mi nakukumbusha leo baha.
We miss this type of music.
Kwa kweli Bahati nyota yako imeng'aa ukasahau ulikotoka na kuingia kwa nyimbo za kidunia...siku ipo kweli Mungu atakukumbusha.
😂😂 yawa
Hii nyimbo iacheni kama ilivyo..kila niunapohisi nataka kuota mbawa na kujisifu huwa narudi hapa kujikumbusha mm si kitu mbele za Mungu basi huwa nabaki humble🔥🙏
my two bros killed it
inanikumbusha nikigrow kama msanii now i have my own production and a record lable,my role models
Nimeurudia huu wimbo zaid ya Mara kumi...naomba like 5 tu nitashukuru nduguzangu
th-cam.com/video/creWLPva-Ig/w-d-xo.html
Kumbe Laura mim natania hiyo nyimbo ikiwa nzur uwa, naludiaga mara mbili mbili
Mimi pia
Tutajuajeee
😅😅
"Niwe kama Peter kumkana Yesu mara tatu nikumbushe.. Niwe kama Jona kukataa kutumwa Nineveh nikumbushe"... Deep words right there. #RealMusic #TrueGospel
Hjehuhuerubkzfuexjgjetro zgbufcytoadvuzcjsfjnkfhgurizthrgyghgtueeuzfuecieinureiedueguzduxhruuczturvigyurhurh
À
we need to remind him about his "nineveh" line...
Mary nyambu si huyu wimbo ni lit tu saaaana hata baada ya miaka tano Bahati na Revanny kudos en u release another lit song like "Nikumbushe" HEKO HEKO HEKO HEKO SANA TUUUU!!!! this is 18th December 2022 bblessed Amen Amen Amen
Six years later... anybody??
Bahati you have changed, Nakukumbusha tu
Very true
changed with what???
Kma Bado waitazama hii video 2024 gonga like❤🎉❤❤😅
Tupo ndani
Pamoja
2024🎉listening 🎶 👌
Mwanzo me naiona leo
Ndakas🎉
Anyone reading this may GOD bless you protect you and your family to🙏🙏🙏 nani ako hapa afarter bahati kuhamia huko hop mnaerewa🤣🤣😂😂🙌🙌🙌pita na like please ata tano ni tashukuru
😢😢 mimi nakukumbusha leo July 08 2023.. Bahati umechange... umurudiye Yesu ..it's never too late...
The first time kuona hio post nilijudge juu sikudhani itakua Gospel but nimepata ikona message kali sana.. Thanks Bahati
+254 Nikumbushe
song uko poa sana ongera sana bahati uko nasauti poa sana pia rayvan uko vizuri sana
2021 hii nan karud kusikiliza uu wimbo??
Mimi nauelewa sana
Watching it day and night
Mimi nimeishi majuu more than half of my life, sijawahi sahau!!! Wimbo tamu sana..zote tukumbuke tulikotoka!!!!
"niwe kama peter kumkana yesu mara tatu nikumbushe, niwe kama Jonah kukataa kutumwa nineve nikumbukshe"The message in this song 🙌🙌🙌 good job bahati and Rayvanny...
baha tena big up yo
Mama akipiga simu sishiki,nikipokea namwona kama shabiki....it really got me there...
from Qatar eti nimuache mama kwenye dhiki kisa nimetoka majuu akipiga siku siishiki nikishika nimuone kama shabiki big up Ray vanny $bahati
Team lebanon..mko wapi?...Good work baha
Eve Ikaal we are here
Faith Ndinda ...fine dear...checked
Eve Ikaal tupo sana
Veru nice indeed...hamjalala
Eve Ikaal here I am
Bahati we need such songs from you, still my fav,,, gonga like if we agree 😂
mkumbushe we need him this way
mkumbushe🤣🤣🤣🤣
We seriously need him back in 2024😭😭
I don't understand Swahili but hii ngoma ni kali vibaya mnoooo mmetisha kinomanoma.....love from Malaysia
Angel shirima Kwel Kali mpaka umeandika kiswahl wakati hukielew kwel noumer😂😂😂
Stop lying how u don't understand Swahili n at the same time ur writing swahili
Latipha Hamad huhuhu nimejitahidi Wang dis song kill me huhuhu
mussa lwila huhuhuhu
Angel shirima thiiiii
Message ya Wimbo huu ni kubwa sana na ukisikiliza kwa makini basi itakujenga na kugundua umaarufu wako uko mikononi mwa watu , hivyo basi waheshimu ili udumu zaidi.
Nakukumbusha @bahati sio yule wa jana.
Kama unaamini itafika 1M+ hit like,
Song ina message kali,well done BAHARAY
I'm an Arab,I don't know Swahili but I love the song.... Iko juu tu sana hehe
lukale N. Wicky ati u r a what an arab😂😂😂😂...mwarabu gani anaitwa lukale
Lukale N. Wicky haha haha waah OK we see u mwaarabu
😂😂
arab😂😂😂nd u wan ukubushwe haha
Lukale N. Wicky mpaka unajua kucheka in Swahili......haha you killed me
Mungu kubusha bahati siku hizi amejawa na kiburi na kuwatharau wengine ata kazi yako aligoma🙏
May we never forget where we came from, leave alone those who held our hands along the way.
Let this song be a reminder.
Kama bado unakumbushwa na Mungu weka like na tuiskize tenah
mwana buja leo nipe supporti... namtusi mradi iwe kiki 😂😂😂💥💥💥🙌
I can't stop crying..... Bahati na Willy Paul nawakumbusha......
Song with a strong message,mungu akitubariki tunabadili mienendo 2022 we keep moving kumwomba mungu atukumbushe
Nyimbo hii inamaana sana. Ni fundisho ya ajabu. Merci aux artistes
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
🥭🥭🥭🥭🥭🥭🥭🥭🥭🥭🥭🥭🥭🥭🥭🥭🥭🥭
❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
Kaka nyimbo ni burudani haijawahi kumfundisha binadamu nahaitatatokea for level ukishindwa kunielewa subili nyimbo zikufunze🤫🤫🤫
"Leo nyota imengaa, nasahau nilikotoka,
Naidharau mitaa,na mateso niliyosota,
Ndugu zangu kinyaa,mafukara wananichosha,
Niache wafe na njaa,Nijisifu nitawanyosha,
Sili Kwetu Kisumu Bondo, chakula haina Swaga,
Sitaki kula chapo dondo,Nataka Pizza na Burger,
Uniepushe Maulana,Nisiishie njiani,
Unikumbushe ya jana,kesho unipe thamani,
Kwenye maisha ya muziki,Ukiwa na Upendo utaishi,
Timu hazijengi urafiki,tusijekuuwana kwa kugombania viti,
Eti nimuwache mama kwenye dhiki,kisa mambo yangu yametiki,
Akipiga simu sishiki,nikipokea nimuone kama shabiki." RayVanny
More likes 👍
Wow
6 years ago usiponiona Leo kama Jana na kesho unikubushe
Me nimependa tu lyrics.
Alafu whoever adviced Bahati to pick Rayvanny for the collabo is a genious.
Two talented young lyricists.....Amazing
vincent kyalo likewise to me... liked the lyrics.... ziko juu tu Sana..
Umeona eeeeehh
This song asks us to be humble no matter how blessed we become. You need that one friend who will always keep you in check incase you start getting prideful. "Nikumbushe"
rayvanny lyrically is on another level, nice song it is mtoto wa mama amejikakamua pia kweli
Niwakumbushe pia mgonge like wenzangu😅😅
This video shows a true definition of watu hutoka mbali....just from watching KISS and am loving this two
They've got the vybe💥
Yehova nikumbushe nikitoka majuu..Nikirudi 254 nitumie furusi vizuri coz hizi furusi zatoka mbali..video zuri..nyimbo tamu..👏👏👏👏
Betty Kanana hahaa kabisa
hehehe
Betty Kanana Amin Amin
Betty Kanana kabsa
Betty Kanana haha 👊👊
Mafans wa kenya kama uko ndaaaaaaani ndaaaaani .. tupa likes na coments hapa kabla willy paul hajatoka honeymoon atupate hapa
Nelson Amonyo hehehe willypozee bado hajarudi
Nelson Amonyo Tukumbushe willy Paul akitokea honeymoon apitie hapa kwanza
Nelson Amonyo 😂😂😂ati honeymoon
Nelson Amonyo ofcos...bahati wetu yupo juu...#na bibi...Diana marus
Amoyo. Ndaaaani kabisa
Vanny boi , ii ngoma sijui kwann naikumbuka mistar yako sana
well done bahati and rayvanny....team free WiFi like zenyu
uko vizur kijana
Lydia Njo
Unikumbushe,nice song m'barikiwe sana bhti na ray
wow
Tunakukumbusha fahiyma mmetoka mbali
This song just reminds me to never let success and pride get in the way of living a godly life with family and friends. Such a blessing.
huu wimbo unanibariki sana
Pride comes before a fall. We just need to humble ourselves
2019
2020
2021 kama bado waitazama tujuane like
Still My favorite
21 🤚🏻
If you are here after fikra za bahati
@@sherrykenisha3692 Sherry you look familiar
I'remember my song
extremely true wewngi huasha mama kwenye dhiki kisa mambo kwao mabo yamekuwa sawa mungu niepushe mih pia nipe dhamani mora rayvanny yawa wasafiwakali sauti nayo uuuui
Huu wimbo sijawahi kuacha kuupenda ni 🔥🔥🔥 6 JUNE 2022
Na. Mi nivo
Toka hii ngoma itoke hadi Leo 2024 bado nipo Pale 😢 pale
Oh how I wish I could speak Swahili, so i don't have to use google translation often. Such a beautiful song, a job well done Bahati & Rayvanny. Your number one Australian fan.
Kama bado waitazama hii ngoma 2020 gonga like twend sawa😙😙
👍
Mimi 2021
Nice
2022 still watching gonga like
Me wa 2023 ntasema aje
Rayvanny going to GOD'S house and being prayed to wow Glory to GOD and Bahati GOD still loves you.a classic ❤❤❤from 🇰🇪 featuring 🇹🇿 ❤❤❤❤❤❤❤❤
Back here at2023 praise be to God...let us remember where we came from and the people who helped n stood by us through the hard times❤🙏🏾
Umoja ni nguvu.Watazania na Wakenya, wakishikana na waungane hivi,tutawashinda hawa W.Africa. Wimbo mzuri sana.Kazi nzuri Bahati na Rayvanny . sisi ambao tuko mbali na home,uwa twaskiza nyimbo za East Africa sana especially Bongo flava coz ni zote za mpaka za Kenya ziko ndani. I must admit that,sisi wa East Africa,Mwenyenzi Mungu ametubariki na mambo mengi e.g, Sauti nzuri,Urembo wa kupita nchi zengine, nchi nzuri yani,Paradise. etc.So tujivunie kuwa wa East Africa.
true. all collabos with tanzania are bomb
man fav til today .....
Bahatis prophecy on himself has come to pass
😂😂😂 ushasema
great inspiration.wenye huweng tweng wakitoka majuu..unikumbushe....
nice one......hahaha!!!......best comment so far....still reading
Ngoma kali sana hii naninadhani haitojirudia tena🔥🔥
''Kwenye maisha ya muziki ukiwa na upendo utaishi.'' kali sana
Who is waiting for mpasho and Ghafla kuandika "You wont Believe Gospel singer Bahati storms out of an Interview with Larry Madowo"
doe jammie Haha aki mpasho
ofcoz tukumbushane jamani
+Mtatina Superius hhhhhh yh true
hahaha lol
Lmao
2024 piga like tukisonga
Nyimbo nzuri sana naipenda❤ ujumbe wake mzuri mno
Corona times still here getting courage from this lit 🔥🔥...wagapi tupo
Did i hear Ray say "siili kwetu Kisumu Bondo" so he has his roots in 254.Wakenya mpo
Am a Zambian i love the song vary much ❤❤❤
I love this song. Rayvany is my favorite African artist and this is one of my favorite songs by him. Poweful message delivered by powerful vocals. ❤❤❤❤
2019 still my best , I love these song sana team 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
Who's watching with me😊😊..
Vanny Boy u r the best #chuma#
Baha kip it up
Tuko
🙋♀️
remind baha nikama amesahau
Nakuombea Dua lake mwenyezi Mungu ewe unaetanzama video hii🤲🙏🙏 nehema na ikubebe🙏🙏🙏
Who is here after bahati and vanny sang the kiss song..perfect duo
kwanzaa rayvanny
I'm here again in 2024❤️❤️❤️❤️The song is a vibe📌📌📌
2025 see you , first comment 😘
Beautiful song, beautiful message. And that Tanzanian Swahili is just beautiful!
Judy Karanja thanks. Kenyan Swahili is good and we enjoy listening it as well.
Best East African Collabo, before uvuke border kutafuta deal za majuu, malizana na African artistes kwanza. African collabos are much better than with any out-of-africa artistes. Btw, I commented before watching this video, bye Imma gonna holla at ya!
TH-cam Polls so true
Nimesikiliza hii nyimbo aisee nikamkumbuka mama angu waubatizo yaani nimemtumia adi pesa najumapili naenda kumuona tangaa
Bahati kaimba tumkumbushe haya bas tumkumbushe arudi kwenye meli ya gospel
Hi, I am in Vietnam, I don't understand swalihili but nimekumbushwa!
Love the song!! 👏👏
Xtian Dela 😂😂😂 really
Xtian Dela Hahahahahaha really....this people from overseas hamjui kiswahili u will kill us ooh....
unafanya nini hapa 😂😂😂
watu wa diaspora hamjui Kiswahili....nawakumbusha mrudi nyumbani
Xtian Dela 😂😂😂😂I see u broh
Huu wimbo wanikumbusha mbali sana
Powerful message, this is what i call servanthood in the house of God
am from nigeria althoughtI don't understand kiswahili .... nyimbo nzuri mbarikiwe sana
Brenda Lihasi hahaa eti u don't understand Swahili lkn unamalizia na punchline ya maana ya kiswahili hahaa
Not bad
Brenda Lihasi haaaaaaa sorry follow me to interpretation kharas
Brenda Lihasi 😂😂😂
Brenda Lihasi 😉😉😉😉😉
Usiponiona Leo kama Jana unikumbushe...yeah watu husahau walikotoka na kujawa na kiburi....bahati you are my best artist
Reyvany ft bahati nawapongeza kwa wimbo huu mzuri Sana. MUNGU awabariki Sana✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Two of my fav artists on one song.... what more can a brother ask for???
Thank you so weet rayvanny CHUI pambana achana na watu waogee mabaya na ravnnyn
Bahati ninakukubusha umekataa kutumwa Nineveh.
here are rumors that these guys are going to jail for murdering that beat😂😂😂
😘😘😘 😘 😘 Bahati never disappoints
Yahani nyimbo hii mupaka sasa itabaki kuwa moyoni mwangu
wenye wamekimbia kufika hapa kama mm
#254 mnapitia hapa kwanza
Nancy Kabibi ile mbio nimekam nayo woi😂😂😂
Nancy Kabibi
Ndaaaaani 🙋🙋🙋❤
nashukuru umenikumbusha🙋
Nancy Kabibi niko ndaaani ndaaani hehee
Nancy Kabibi #Nashukuru umenikumbusha nishafika
Nimerudi hapa after kuwatch kiss
Hebu msikilizeni laizer classic humu ndani.ndo producer wa hii song.huyu jamaa ni producer no 1 kwangu.2020 July.
wale wabongo wenzangu
We represent Tanzaniaaa #vvanyboi #rayvany hit like n comment
heavy words shout out to dis song from Qatar hol up watunguyazz +254inawezaaa
Salim Salim hahaha.... kimya!!!! twende nao Jibaba😂😂
Ushasema boss yangu Adem simon
Salim Salim kabisa ishaa fika Qatar it's nyc
Santalal Shirly wahgwan boy iko sete
Salim Salim yeah 1 thing I like about him he Neva forgets where he came frm or look down on other guys who r down lyk some celeb we see big up bahati lazima tukukumbushe
Nawakumbusha Bahaa..still tamu sanaa
As this song plays through, I feel the need to hire someone whose role will be to whisper to my ears and remind me that I am just human despite the praises I receive. #TeamYesChills
Amen.
My prayer every day is that i don't forget where i am from 😥
Bahati si wewe wa Jana 😢😢 0:26
That bettle car 😍😍😍is my dream machine 😋😋,the song sio bayar tho
Purple Princess I see u
+Diana Diana 👀see you tew 😂😂😂,nmekumiss sana Chwetty 😘😘
Purple Princess I miss u too...nisipokuona Leo ama Jana unikumbushe❤
All the way from United States of America, I love those guys..awesome song...ninapousikiliza huo wimbo nalia...Mungu awabariki.tuko pamoja.
daa huu wimbo unafundisha sana
bahati am empty of words to express the love I have for this song congratulation so much continue with that spirit God is with you together with your time
Wenye tuko hapa 2025 nipee like
So this is what happens??😂😂😂
❤❤❤❤2024
Wewe uko 2025 aje mbwa
*2020 is here guys who is watching like me thumb up 👍👍🇹🇿🇰🇪🔥🔥🔥*
But notice bahati anapenda collabos
Baati love
🇹🇿🇰🇪🔥🔥🔥👏🏻we always going to be related no matter what neighbor's.GOD bless East Africa in general.hatariiii
Kama badoooo unaitazama ngoma hiii 2023 twendee sawaa😂😂😂
Niepushe maulana nisiishie njiani
The two Kenyan brothers, Ray, we love u.❤
Hii nyimbo inanifanya nikumbuke mbali😥😥 dah kweli maisha yanabadilika😢😢