This guy is naturally talented ndio maana Rayvanny akaamua kuleta more talent wcb...one more like is enough to show the respect of hardwork and real talents
i feel like crying when ever i listen to this music, i love @mobosso songs, Swahili and Tanzania. i do not understand Swahili but i have the feeling of what the music is saying, language matter not when it come to music, music is the food to the soul, no matter the country or the language. big up bro, love all the WCB family. from Lagos Nigeria i stand for u. and must time i pay money in Nigeria clubs to make them play your songs. Mungu ibariki Tanzania na watu wake, tubariki watoto wa Afrika.
Onowu Izuchukwu You really made me feel... 💓... I understand Swahili but I the same about music from around the world. Good music, especially, speaks to the soul 👌💚
,daah awa wadogo zake mondi ni hatareee kam vile namuona aslay.. yupo getin kwa wcb😁😁😁..... mambo ni 🔥🔥🔥 ujawai kunianguxha.... hapa ndo nimejua yamoto band ilikua na msanii mmoja....😁😁😁😁😁😁
Mbosso nikupe idea juu ya nyimbo hii waweza pata nyimbo nyingine. Tunga nyimbo demu karudi na kudai alikua nakupenda kweli bali kule aliebda kuchuma mali na mali ameshapata hivyo amerudi kula maisha na wewe yule lizee kasha liacha halafu wewe kama unagoma ila kutokana na mali alizo nazo binti na jinsi unavyompenda na shida ulizozipata alipokua mbali inakulazimu umrudie.
Mbosso Kumbe wewe hatari kwenye Solo! Mungu akuzidishie! Lakini unatushtua kwa kazi zako, unaonekana we’ll experienced artist, sio mchezo wewe. Inaonesha watoto wa yamoto band wametengenezwa wakatengezeka! Wote wakali! Na kila Mtu anakipaji cha namna yake peke yake!
Mbosso we ninomaaa najua mshikaji kaona ujio wako lazma haumize kichwa mbossooooo fireeeee washa motooooo Wamekubali natakuzoea tuu mbossooooo uko poa sana good song
Napenda sana WCB walivo Na umoja! Wasanii wote wanapeana support kwenye kazi zao, wanaingia kwenye clips wenyewe! Ni raha kuwaona namna hii! Diamond wewe bingwa kwenye kazi, hongera za dhati ndo Haki yako!
Vijana wajifunze mziki mzuri ni mziki mzuri tu. Wengine wanadhani kuactia sehemu ya hali ya juu au kukaa utupu ndio mziki utapendwa. Sasa waone mfano w huu wimbo.
Kama umejaliwa kutizama nyimbo hii 2025 njoo hapa
Leo nomejikuta nimemiss sana huu wimbo
@@soniavicentempeme2234😂😂unatukumbusha miaka sita nyuma tushukuru mungu mbk leo tupo hai
It’s 2024 but still hits 😊😊😊😊😊😊 i love this song heeeey❤❤❤❤
Hey
Hatariiii
Nani anaangalia hii nyimbo na kusoma comments za wadau wengine kama mimi tupia like yako hapa...from... MUHORO.... RUFIJI.... PWANI.... TANZANIA
Mbosso 2024 ❤❤❤❤🎉
Noma hii nyimbo nakubali sana
Kama mbosso hajawahi kukuangusha kama ambavyo hajawahi kuniangisha mimi acha ubishi like hapa wcb forever 💯💯💯
Vp
Nimesema mm huna miezi miwili tayari ww ni star wa East Africa 👏
This guy is naturally talented ndio maana Rayvanny akaamua kuleta more talent wcb...one more like is enough to show the respect of hardwork and real talents
th-cam.com/video/b9F4B3ZOZyQ/w-d-xo.html
mboso hakunaga! kipaji kimevuka mipaka. we mkali Bro
tisha sana dogo mbosso
The songa is very good
Wanene Tv lm
Mboss ndagupe sana bro
mj..! wcb ni heshima 100%
mmmmh maromboso unampango ganii na mziki mbona unataka kuumiliki ww duh bonge LA hiti
DAWA ZA ASILI/TIBA ZA ASILI/: th-cam.com/play/PL_DSXHfkoymz_mON4Y4rJ7Tu9HulfT8W7.html
i feel like crying when ever i listen to this music, i love @mobosso songs, Swahili and Tanzania. i do not understand Swahili but i have the feeling of what the music is saying, language matter not when it come to music, music is the food to the soul, no matter the country or the language. big up bro, love all the WCB family. from Lagos Nigeria i stand for u. and must time i pay money in Nigeria clubs to make them play your songs. Mungu ibariki Tanzania na watu wake, tubariki watoto wa Afrika.
Onowu Izuchukwu You really made me feel... 💓... I understand Swahili but I the same about music from around the world. Good music, especially, speaks to the soul 👌💚
Thank you, we love you
Same as me I understand the language
Wow thats good
The girl is stealing some dollars and hiding it
yukuwapi aslay !!!! maana kwa mwendo huu nakuona kama unamzika aslay!!!!
Ramson GERALD sana tu atamzika
amini
Kaka umetisha bhana ya vichupa vyako vikali😗😗
Hahahaha sabuni mwanangu zinaisha 😂😂😂 mdomo koma kelele 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umeuwa mwanangu bless sana
upepo wa firauni umempata ngedere hahaaa mboso wape vitu waaaminika mwanangu kaza buti utafika mbali....👏👏👏
Ur the best mbosa .. Wcb hatukoseagi hata chembe, yaan bandika bandua .mbosso umeuaaaaaa
th-cam.com/video/b9F4B3ZOZyQ/w-d-xo.html
Love you Mbosso, you are still my best singer from Tanzania 🇹🇿
Hii song inakuanga na ma feeling sana ,,unaweza jikuta kwa kukata kitunguu
Ni cabrandy bby 4rom @Qatar nakukubali mboso 100% big up sana.
asante sana mbosso kwa kulinyoosha goma hili chukua dada angu bule
Mbosso 😂😂😂😂sijutii kuwa shabiki yako. much love from Kenya😍
th-cam.com/video/mmLPvQa6cls/w-d-xo.html
😁😁😁😁😁
@@wanenetv9672 the bet it will take a little while but am a friend
@@wanenetv9672 the
❤️
Mboso natanguliza shukran kwa kusema kua we NI #Nyoko huo mwendo sasa 😂😂🙌✊🔥
Hata mm nimekuzoea Mbosso,sijutii kuwa mfuasi wako
Following you mbosso from +974 brother from another mother +254
Nimewaona kin@ lava lava @ vivan boy pamoja na Moses iyoba kama umeikubali achia like zako twende sawa
Kenyans likes zenu ni hapa tusupport Mbosso...
,daah awa wadogo zake mondi ni hatareee kam vile namuona aslay.. yupo getin kwa wcb😁😁😁..... mambo ni 🔥🔥🔥 ujawai kunianguxha.... hapa ndo nimejua yamoto band ilikua na msanii mmoja....😁😁😁😁😁😁
Daah wakfanya kaz mboso ,aslya na nandy itakuwa hatar kweli
Huyu marombosso ana balaaaaa!!!
Mbosso nikupe idea juu ya nyimbo hii waweza pata nyimbo nyingine.
Tunga nyimbo demu karudi na kudai alikua nakupenda kweli bali kule aliebda kuchuma mali na mali ameshapata hivyo amerudi kula maisha na wewe yule lizee kasha liacha halafu wewe kama unagoma ila kutokana na mali alizo nazo binti na jinsi unavyompenda na shida ulizozipata alipokua mbali inakulazimu umrudie.
nassoro ngaina atachumaje kwa mfugaji jmn au njiwa bata kuku na ng'ombe
Mamb
Aise jamaa kaumiza sana! Imekaa kwa poa sana
Kama una mkubali mbosso naku mtakia mafanikio please gonga like tukutane centro.
Huuu wimbo ni mzuri sana umejitaidi sana mbosso
Elongo Lusambya ninomaaaaa
Elongo Lusambya Marshall😘
Elongo Lusambya mimi tim kiba ila namunga mkono ndugu yangu wakibiti wote kwetu kumoja
rayan alhabsi kama kawa
👍
Butu mobimba nazo lela 😭 mbosso 🇨🇩🇨🇩💪🩸🩸🩸🔥 2024 venez avec vos likes 👍 d’amour.
nafurai kuskia ndani lingala kaka, goodluck for your job.
inspiration of all the time like ngapi kwake
Mussah Hassan 2
nomasana
rahma kaliii
Kama kawaida wcb mbosso unaonesha utofauti mkubwa katka game.. Piga kazi mzee baba no way out
wasafi for life umetisha mboso
dah hii nyimbo kalii ahsante kwa nyimbo za isia penda sana ili song song
Hongera MBOSSO. Umeitumia lugha ya kwetu congo DRC nazo lela,nalia
C mon chanteur préféré de Tanzanie ... Azo yemba très kitoko 🇨🇩
kweli we kiboko ya wanafiki endelea kuwakimbiza wcb4ever
DAWA ZA ASILI/TIBA ZA ASILI/: th-cam.com/play/PL_DSXHfkoymz_mON4Y4rJ7Tu9HulfT8W7.html
npo zimbabwe huku, , sielew kiswahil, 😂😂!!
I'm from Oman i dont know kiswahili but hii nyimbo licha yakupunguza mawazo Na kuongeza nguvu zakiume nmegundua Inaongeza unit za luku pia ...dadeqi
HOLLY MORE hahahahaha nimejikuta natukana tu bonge LA comment
Sead Kolasnic hahahaaaaaaa nyimbo Kali sana hii damu yngu.
HOLLY MORE duuuuuuh
hatari izo nguo zilipendwa kweli ila safi ngoma iko vizuri piga kazi baba mashabiki nyuma yako twatoa sapoti #mboso
Jona joel95 mambo vipi? Karibu utazame web series mpya ya kitanzania,hautojutia...bonyeza hii link th-cam.com/video/O7pvQ2c5Gvc/w-d-xo.html
mutu mobimba nazolela, naumia sana nimekuzoea,, cc: wapenda muziki mzuri woote,,, i am watching now,,,
Oyoo nakapendaje big up momboso
Mbosso Kumbe wewe hatari kwenye Solo! Mungu akuzidishie! Lakini unatushtua kwa kazi zako, unaonekana we’ll experienced artist, sio mchezo wewe. Inaonesha watoto wa yamoto band wametengenezwa wakatengezeka! Wote wakali! Na kila Mtu anakipaji cha namna yake peke yake!
Saada Harrasy boom
Saada Harrasy namkubali sana mbosso ana shairi nzuri mno
Saada Harrasy
vp
Gud😘😘😘
Wasafii.
Cjutii
Kuwa
Shabiki
Wa
WCB forever
mbosoo safiiiii sana wasafi WCB tishaaa sana
Mbosso wakuhite mbosso tu mahana huta mbossoto later. Big up. Ngoma kali
Huyu Mbosso alianza maneno yenye utata zamani kumbee, haya atwambie "upepo wa firauni" ndio upiii 🤣🤣🤣🤣🤣 2025 still a hit💥💥
Baada ya miezi 6 mbosso ni MTU mwingine
African Voice Nimeielwa sana hiyo nyimbo yani muda wote nahisikiliza.mbosso Khan
Bonge la chupa aliemuona mzee Wa kuwavunja shilawadu mifupa agonge like apa
Mbosso we ninomaaa najua mshikaji kaona ujio wako lazma haumize kichwa mbossooooo fireeeee washa motooooo Wamekubali natakuzoea tuu mbossooooo uko poa sana good song
Mboso Rudi huku nimekusihi toka huko uliko I loved how you use to sing this days
Hongera dogo kaza mwanangu mungu atakupa fungu lako
Whoever played that guitar 🎸 on the intro did justice to this song
Nyimbo zako n poa sana
kalii kinoma mjomba..dubai nimekupata msalimu SIMBA
Kweli kabisa nimekuzoea me siwafatiliagi wcb lakini huyu dogo kanifanya niipende big up
kaka Mola akutie nguvu na hekima ni SAM from KENYA
Its your time bonge moja la sebene sipatiii picha likipigwa live band
LIVE BAND LITAUWA YAANI SEBENE KA LA MWANA LA KIBA
Napenda sana WCB walivo Na umoja!
Wasanii wote wanapeana support kwenye kazi zao, wanaingia kwenye clips wenyewe! Ni raha kuwaona namna hii! Diamond wewe bingwa kwenye kazi, hongera za dhati ndo Haki yako!
Very good Mr Mbosso
😂😍😍
Kutoka kisumu Kenya. ..gusa like twende sawa
Nimekukubali
Pamoja sana 👌👌
From kitale nakuona
Am from Meru county 💝
Kilifi county....
Wewe ndio sababu naumia sana nmekuzoea..... 😍 😍 it nce song all da way +255
daaah we jamaaa unajua mpaka bas yan kila muda nackiliza huuu wimbo yan
Mbosso unazidi kuniprove mawazo yangu nilivyokuwa nakuchukulia yaani uko vizuri mwanangu kaza kaza
Mdogo wangu, upo vizuri sana.
Bado tunasubiria Upige mtungi mmoja na Simba .
Wangapi tunasubiria ngoma ya mboso na Mond??
Gongeni like
ngoma Kali sana mwanangu kaza sana
Kazi nzur sana kak
Kipaji kilichobarikiwa Hongera Mbosso
Wcb nihatari wanauwa sana
Wow this is really agreat song mbosso you gonna be best in music industry keep it up
Good Music bro
Mbosso hakika anapiga kazi...like nyingi hapa kwa wanaokubali
Mbosso
Vijana wajifunze mziki mzuri ni mziki mzuri tu. Wengine wanadhani kuactia sehemu ya hali ya juu au kukaa utupu ndio mziki utapendwa. Sasa waone mfano w huu wimbo.
Mbosso jamani, za kwako ngoma tamuuu...
umetisha san mbosso bonge la ngoma
Nakubali kaka Piga kazi utatoka tyu
Haya sasa twendeni @mbosso wakimbize wakimbize.
faba bin dawood mambo vipi? Karibu utazame web series mpya ya kitanzania,hautojua...bonyeza hii link th-cam.com/video/O7pvQ2c5Gvc/w-d-xo.html
african from Bordeaux France like your music it so cooll
watu wa tz mmebarikiwa from 254
Jamani hii nyimbo Nilikuwa naimba kabla haijatoka nazani sasa ntakuwa nacheza tuu nikisikia mdundo umetisha mdogo wangu....#tupe mavitu
hili goma live band ni nyoko mzee ukikamata gitaa lako pale kat duuh. wcb 4 life mamaee
Yani wcb amuchoshi kabisa ngoma zenu kali san
Mbosso ww ni mwandishi mzuri sana. Mungu na akuzidishie maarifa na kipaji kizidii kung'aa .lots of love from +254
Mboso umemaliza yani daa asante mdogoangu
Mbosso we mkali sana haki hii ndio yamoto band
254 kimewaka..nakukubali si haba...wakenya tuko wapi
Bonge la nyimbo atawakibana nyimbo, nzuri itapendwa2...TH-cam pia media so tutatoboa2
Nyimbo Kali Mbosso kuliko zote huu ndo nimeona wimbo!!!
Hello
Kwel Kipaji ni sawa na baraka za mngu Uwezi kificha na kama huna huna tu Mbosso wee Nimekusomaaaa!♥♥♥ it
Maaamaee, mungu akupe nini tenaaaa... yaani walio dislike hi ngoma wanachuki binafs ngoma kali sana ii
You are the only one who would make me follow Wasafi -
From Senegal i don't speak the language his singing but i love the voice keep it up mbosso 🇹🇿😍
Nawakubali sana hawa madogo Dogo aslay mbosso ila mbosso kaza buti
Mboso nampenda Sana anajuaa kwakweli
Oyoooooo....watakubali tu mbosso
All the way from Congo congrats bro (butu mobimba nazolela= I'm crying all the night)
espoir kabishi asantee kwa tafsiri na hapo ndo nimeupenda zaidi
Sipendi like lkn hii nyimbo ni hit song kwa mboss mpe like yake
bonge moja la sebeneeeeee
WCB for life
Mpaka sahivi nyimbo naiskiliza sana 2024 from Comoros